MATHNA{UKEWENZA]SEHEMU YA 9

  Рет қаралды 9,713

BIN MAHSEN FILM

BIN MAHSEN FILM

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@AyshaAbuubakar
@AyshaAbuubakar Күн бұрын
Huyu Leyla m nampenda kwel kwel yan kutoka moyon❤❤nakupenda mnooo we dada
@BoneshaIssa
@BoneshaIssa 2 сағат бұрын
Kazi iko poa sana ila munachelewesha kazi
@shamzone388
@shamzone388 2 күн бұрын
Twasubiri kwa hami kubwa sana twataka tujue mwisho wake
@anabelanambali772
@anabelanambali772 Күн бұрын
Kutoka Msumbiji 🇲🇿 kazi nzuri
@AishaNasra
@AishaNasra Күн бұрын
Aki twangoja sanaaa kazi yenu nzuri Mashallah ❤
@InukaUangaze-s3y
@InukaUangaze-s3y Күн бұрын
Kweli hasidi ni yule mwandani mwako yatufunza kwa hii dunia ya sasa usiamini mtu kabsa kazi nzuri sana ❤❤❤
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Күн бұрын
😢😢😢😢😢 jamani hao wamama watu wazima ni zaidi ya shetani daah😢😢😢😢
@hawaa2227
@hawaa2227 Күн бұрын
Wa mama hovyo nyie jmn ila kwa mlicho kifanya kitawagharimu sanaaaa
@SalmaMsikiti
@SalmaMsikiti 20 сағат бұрын
Haya in maisha halis ya huku mtaan
@zawiajuma715
@zawiajuma715 Күн бұрын
Hawa wa mama ni hatari tunaomba mwendelezo kazi nzuri
@mejumaakoja5050
@mejumaakoja5050 Күн бұрын
Tena ni kiboko haswaa daaaaaah Wana roho ngumu 😢duuuuu
@ShakilaAyoub
@ShakilaAyoub Сағат бұрын
Uyu mama mkwe nimchawi
@UkhtyRukhaya
@UkhtyRukhaya Күн бұрын
Jamnii leten mamboo hayo tuenjoy 🥰😋
@lutfiasuleiman
@lutfiasuleiman 22 сағат бұрын
Mungu akuepushe na wakwe kama hawa
@safiasuliman5136
@safiasuliman5136 Күн бұрын
Polen sna wake weza jmn huzun kwel
@AsiaFujo-mb8jz
@AsiaFujo-mb8jz Күн бұрын
Napenda mavazi anayovyaa mke mdogo ❤❤❤
@Aziza-r-l6f
@Aziza-r-l6f 21 сағат бұрын
😢😢😢 kuweni na subra ni kwa muda mtapita tu ila nyie wakwe mnakiti chenu nyie mbinguni😅 anyway gud job I like it ❤❤❤
@islamrashid5451
@islamrashid5451 Күн бұрын
Kazi nzuri sana
@FatmaMusaifa
@FatmaMusaifa Күн бұрын
Yaani nimejikuta nalia jamani hii movie inaumiza sana
@RoqaiIbrahim
@RoqaiIbrahim Күн бұрын
Twaisubiri kwa ham jaman nawapenda sana
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Күн бұрын
Kwakweli mm siwezi kujizuia nimelia 😢😢😢😢😢 mbona wamama wana roho mbaya hawa yaraabiiilaalamini Allah awalaanii
@hassanimsizilo
@hassanimsizilo Күн бұрын
Nimeiona nzuri Sana
@BinMahsen
@BinMahsen Күн бұрын
Boss wa kivuli
@JamilaBocha
@JamilaBocha 2 күн бұрын
Twaisubiri kwa hamu sana
@SalmaMsikiti
@SalmaMsikiti 20 сағат бұрын
Mtakuja kujulikana tu mungu yupo
@HadijaMajo
@HadijaMajo Күн бұрын
Mashallah nawpenda san
@MwanasitiBilal
@MwanasitiBilal Күн бұрын
Mashallah nzur sana
@ummuhumayraa7000
@ummuhumayraa7000 Күн бұрын
Mtihani sana wallah daaah
@zaharaidd8445
@zaharaidd8445 Күн бұрын
MashaAllah ❤ mapema ndio best 😂
@Hamima-hf7ld
@Hamima-hf7ld 14 сағат бұрын
Jamani hatari tunawasubiri hao waloona wameshinda
@WanuHaji-g2e
@WanuHaji-g2e Күн бұрын
Mkwe mdogo ushaingia matatani
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Күн бұрын
Hii inafunza sna huyu mama ana roho mbaya sana ila Dunia ina waja Wana roho mbaya kwakweli 😢poleni sna daa leyla n mke mwenzio😭💔Allah atunusuru na mama mkwe kama hawa😢😢
@Sity-zo6hf
@Sity-zo6hf Күн бұрын
Subira muhimu
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo Күн бұрын
Hii inatufunza hasid hana sababu na habadiliki haijalishi ni nani kwako 😢😢😢hyo mama mkwe ananikwaza wapo wazaz wasiohurumia vizazi vyao 😢😢mungu atunusuru tusiwe miongon mwao Allahuma amiin
@AsiaFujo-mb8jz
@AsiaFujo-mb8jz Күн бұрын
Amiin imeniuma km mm ndo nimemzaa 😢😢
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo Күн бұрын
@@AsiaFujo-mb8jz inaumiza kwel kpnz ukizingatia alichelewa kupata mtoto maskin amejaaliwa wanamkatil hii funzo kubwa tusifosi kupenda wasiotupenda
@twagirimanaaisha
@twagirimanaaisha Күн бұрын
Nik watatu por muk wapir😢😢😢😢😢😢
@kibibiabdalla1451
@kibibiabdalla1451 Күн бұрын
Hapo umenena kabsa
@Sity-zo6hf
@Sity-zo6hf 23 сағат бұрын
Inahuzunisha sana😢
@linetkikin4023
@linetkikin4023 2 сағат бұрын
Mm wala sitaki mama mkwe kwangu tukutane tu kwake
@ZalhaSalim-p1k
@ZalhaSalim-p1k Күн бұрын
Mama mzazi nuksi hafai
@TerezaTereza-dh4lx
@TerezaTereza-dh4lx Күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢jamn machozi mengi moyoni poleni
@HusnayahayapoliHusnayahayapoli
@HusnayahayapoliHusnayahayapoli Күн бұрын
Nzur mashaallah ila fupi
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 11 сағат бұрын
Wema umewaponza kesho tena, shetani ni shetani tu hata mummbatize vp.
@MDMehndiHassan-ve9zy
@MDMehndiHassan-ve9zy Күн бұрын
Uyumama anarihimbaya nasulayake mbaya mwanao umembemba tumboni meezitisa Leo unampasumu kwasababuyamali zake mwenyewe nawake zake Leo bimkubwa umemulia mtoto wake ukaona aitoshi ukamuweka ndani mungu yupo na atasimama inshallah
@JamilaJuma-y7l
@JamilaJuma-y7l Күн бұрын
Nimelia sana
@lucasdaniel-bu8mp
@lucasdaniel-bu8mp Күн бұрын
Nilivo kua nasubirsasa
@SadaNusra-dt5tx
@SadaNusra-dt5tx Күн бұрын
Jamani uyo maman nibala
@safiasuliman5136
@safiasuliman5136 Күн бұрын
Jmn huruma mpka nimelia😢
@shukranhassan7879
@shukranhassan7879 Күн бұрын
Clean job🎉🎉🎉
@AdidjaHarakazi
@AdidjaHarakazi Күн бұрын
Mama shetani kweli
@Khairath-c3x
@Khairath-c3x Күн бұрын
Inishallaha yatapita🙏🏾
@hasnahasna581
@hasnahasna581 Күн бұрын
Ila mkwe jamn mmh
@NajmaNassoro-sl2gq
@NajmaNassoro-sl2gq Күн бұрын
Mashallah kazi nzuri sana
@Bintabubakar-id2so
@Bintabubakar-id2so Күн бұрын
😢. 😭😭😭Hasidi Hana sababu😢😢😢
@TauhidaOmar-p3i
@TauhidaOmar-p3i 2 күн бұрын
Twaingoja
@safiasuliman5136
@safiasuliman5136 Күн бұрын
Hawa shetan wakwe wameenda chukuliwa kwa furah kumbe looh
@JamilaJuma-y7l
@JamilaJuma-y7l Күн бұрын
Tunaomba namba 10 isichelewe
@KissaMwakilembe
@KissaMwakilembe 2 күн бұрын
Mii nikajuwa imetoka
@JamilaJuma-y7l
@JamilaJuma-y7l Күн бұрын
Huyu mkwe hana uchungu na mwanae yuko hoi hospitali
@AsmasaidiTitu
@AsmasaidiTitu Күн бұрын
Mama wakwe wengine mav
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Күн бұрын
Uyu mwanamke angekuwa mevyaa wangu mm ningeenda jela yy akaenda oc ama kuzimu mungu anisamehe😂
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Күн бұрын
Natamani humo ndani muwe na camera hao mtu na dadake waazirike
@KhadijaOmar-yd6rc
@KhadijaOmar-yd6rc Күн бұрын
10 jmn lin
@shamzone388
@shamzone388 Күн бұрын
Mwatukera mbina anaongea na polisi munaweka music
@mwarimwasema8267
@mwarimwasema8267 Күн бұрын
Mama shetani😢
@lucasdaniel-bu8mp
@lucasdaniel-bu8mp 2 күн бұрын
Na mm nikajua imetoka
@BinMahsen
@BinMahsen 2 күн бұрын
Bonyeza notfy ili kesho saa mbili asubuhi ikiachiwa upate ujumbe
@ZeinabBakar-je4nr
@ZeinabBakar-je4nr Күн бұрын
Twasubiri tuone mwisho wa ubàya
@HusnayahayapoliHusnayahayapoli
@HusnayahayapoliHusnayahayapoli 2 күн бұрын
Ifike jaman maana huruma kwa katoto na mume jaman 😂😂😂
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Күн бұрын
Aita noga ten kam bba kafa
@Safina-qg9gv
@Safina-qg9gv Күн бұрын
Inshaallah
@DorothyKabwe-nx3om
@DorothyKabwe-nx3om Күн бұрын
Ya leo imeniliza😢
@NyotaMbwana
@NyotaMbwana Күн бұрын
Yarabby tuepusha na wakwe wa aina hii inaskitisha kwakwel
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv Күн бұрын
Nyinyi wamama mtu angeua uyo martin ungejisikiaje
@Bintabubakar-id2so
@Bintabubakar-id2so 2 күн бұрын
🎉🎉🎉❤❤
@AzaSultan-j8d
@AzaSultan-j8d Күн бұрын
Daaaaaah 😢😭😭😭
@AzizaJuma-p7x
@AzizaJuma-p7x 2 күн бұрын
❤❤❤❤
@zawadikasim6679
@zawadikasim6679 Күн бұрын
😢😢
@Fatema-n8x
@Fatema-n8x Күн бұрын
😭😭😭😢😢
@Molango-z4x
@Molango-z4x Күн бұрын
😢😢❤❤
@ZalhaSalim-p1k
@ZalhaSalim-p1k Күн бұрын
Mama mzazi nuksi hafai
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv Күн бұрын
Nyinyi wamama mtu angeua uyo martin ungejisikiaje
@ThamimaRajabu-bs2nd
@ThamimaRajabu-bs2nd Күн бұрын
❤❤❤
@MrMatetemek
@MrMatetemek Күн бұрын
🎉🎉❤❤
@JustineNdayizeye
@JustineNdayizeye Күн бұрын
❤❤❤❤❤
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
SARWAT MALKIA WA BAHARI Episode 40 Season 01 final
22:39
Masailo Shamte
Рет қаралды 6 М.
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 59 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 9 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 16 МЛН
Jifunze Kuosha Maiti by Sister Asya Binsunkar
44:46
Ahmad Badawy Tv
Рет қаралды 57 М.
Sahara Mohammed (Karembo) - ZUENA BTS INTERVIEW
4:24
Film Citi
Рет қаралды 2,7 М.
MATHNA {UKEWENZA}SEHEMU YA 8
21:57
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 14 М.
GUBU LA NDUGU WA MUME FINAL EP
18:53
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 11 М.
MPANGAJI  |14| #Kakoso
18:17
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 10 М.
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 59 МЛН