MATHNA{UKEWENZA}..SEHEMU YA KWANZA (1)

  Рет қаралды 230,455

BIN MAHSEN FILM

BIN MAHSEN FILM

Күн бұрын

daresalam #bongomuves #clamvevo #cloudsmedia #diamondplatnumz #diamondplatnumz #azamm #azamsportsfederationcup #bujumbura #wasafifestival2023 #coastalunion #swahiliflix #mombasa #tanga#wasanii #zanzibar #zanzibarbeach #filamu#qatar #nairobi #kenyanews #kenyanews #kigali #millardayo #kitengetv #nungwi #pembangunan #mombasa #baikokodance#lindiyetutv #tangatv#zamaraditv #sinemazetu #zuchu #entebbe #mlimanicity kilimanjaro#mombasa #mombasakenya #daresalam #tanga #kilimanjaro #zanzibar #zanzibarbeach #nungwi #nungwibeach #pangani#zamaraditv #millardayo #kenyatiktok #mombasaraha #uganda #swahiliflix #kisumucity #nairobicitycenter #qatar #saudiarabia #gazaunderattack #sinemazetu #africa #zambia #kingsmusic #facebook #instagram #comedy #ripotiyaleo#startimesch468#simbasportsclub #yangasc #baikoko#swahiliflix #bongo #qatar #africa #zikomu#diamondplatnumz#kenyanews #ugandanmovies #kenyanmovies #congomovie#swahiliflix #bravotv #sanura #kichechecomedy #africa#snake boy#bravotv #zanzibarbeach #nungwibeach

Пікірлер: 541
@yusuphkijangwa3147
@yusuphkijangwa3147 8 ай бұрын
Ktk jambo hili mume anatakiwa kuwa kiongozi mzuri the way utakavyowaongoza wake zako ndivyo watakavyoishi lkn kama utakuwa ukiwa faragha na mmoja unamponda mwingine basi jiandae kuchanganyikiwa, lkn kama utasimama ktk misingi anayoiridhia Allah basi utafanikiwa na mtafurahia maisha. Pia kila mmoja akumbuke haya maisha ni mafupi sana hiyo amani, upendo na furaha ni vitu muhimu sana. Mwisho nawaombea kher wote ambao wako kwenye ibada hii ALLAH awajaalie maisha yenye utulivu, furaha, upendo na amani.
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Allahumma amin umeongea ukamaliza
@amangarcha3977
@amangarcha3977 7 ай бұрын
Jey melody
@citykibonge2999
@citykibonge2999 8 ай бұрын
Maa Shaa Allah nampenda mke mkubwa kwa ukarimu wake❤
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Oogh shujran
@Marem-nl3tf
@Marem-nl3tf Ай бұрын
❤❤❤ mashaallah tabaraka Allah Alhamdhulillah 🙏🙏.. mwenyezi mungu awajalie wepesi na upendo wa dhati inshaallah 🤲 inshaallah 🤲
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Allahuma amin inshallah
@halimakisali2426
@halimakisali2426 9 ай бұрын
❤❤❤maashaallah tabaraqah Allah Alhamdulillah..mwenyezi mungu awajaalie wepes na upendo wa dhati insha Allah 🎉🎉🎉
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Allahuma amin wa shukran
@munamuna4621
@munamuna4621 9 ай бұрын
Mashaa Allah 😂😂😂😂kama kweli vile ila mie napendaaa saaan uke wenza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Mashallah mlango wa kuingia peponi upo wazi kwa ajil yako inshallah
@TeddylameckTeddy
@TeddylameckTeddy 9 ай бұрын
Akuna moyo unao penda pa wili ni tamaa na ndio maana kuna mmoja Atapendwa sana atimae maugomvi
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh 9 ай бұрын
​@@TeddylameckTeddyyani me hapo siwezi hapo tuuh anavo mkumbatia huyo mmoja me wivu huku
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 9 ай бұрын
@@TeddylameckTeddy hapa hutegemea na mwanaume
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 9 ай бұрын
Upo teyar kweli?
@AbuhamzaAli-m7y
@AbuhamzaAli-m7y 9 ай бұрын
Maashallah, Allah awajaze kheri na mapenzi ya dhati
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Allahum amin ila mh
@surusuru1994
@surusuru1994 5 ай бұрын
Mashaallah tanzania ❤😊
@BinMahsen
@BinMahsen 5 ай бұрын
Afuwan
@aishaomar9621
@aishaomar9621 9 ай бұрын
Mashaa Allah hongereni kwa kazi nzu bi mdogo kuwa makini familia za vunja nyumba bi mkubwa km hakupendi ungekuwa tangu sku ya kwanza ila kakugawiya mpka shamba 😢hebu tafakari kbla ya kujenga chuki moyoni😢
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Km hujabahatika kuona tamthilia KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA Bofya link chini upate Angalia mama akiivunja ndoa ya mwanane kwa mikono yake mwenyewe...Pia mjomba uone kanaga alizofua mume siku ya valentine day akaenda futiwa maji kaka yake wa hiari..Pia upate shuhudia mjomba wa nasri akitaka kulipwa penzi lavmke wa mjomba yake nasri ili atoe figo yake..Fuatilia kisa hiki kizuri cha kuelimisha juu ya ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE kzbin.info/www/bejne/bYjRqoGidr5nibssi=VWmsmHSLBKwmVNud
@ZulfahKilua
@ZulfahKilua 8 ай бұрын
Kikubwa subr to km yy ana chuki n yy mm namuomb Allah atamuongoza InshaAllah
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
@@ZulfahKilua inshallah amin
@AminaRamadhan-x2m
@AminaRamadhan-x2m 9 ай бұрын
Mashallah nmeipendaaa hiii ❤❤❤❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Shukrani❤❤❤❤
@ajalyg5518
@ajalyg5518 6 ай бұрын
Huy mke mkubwa mbn nmpend jmnii ❤❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen 6 ай бұрын
JAMN NAE AKUOENDA PIA
@Eva-e1m
@Eva-e1m 23 күн бұрын
Kwa nyumba moja na mke mwenzangu hapana kwakweli
@BinMahsen
@BinMahsen 22 күн бұрын
😂😂😂
@alhaniddi9357
@alhaniddi9357 9 ай бұрын
Maashallah Mungu anidumishe mm na mke mwenzang Amiin ❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Inshallah amin
@matihassanmwachigutu-hq7ei
@matihassanmwachigutu-hq7ei 9 ай бұрын
Mashaallah jaman uke wenza Raha mkielewana Mungu awajalie kila la kher
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Allahima amin jaman tena rah san
@ZaiidyMussa
@ZaiidyMussa 8 ай бұрын
Masha Allah naupenda uke wenza ❤
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Mashallah allah akubariq
@Mrs.Mumewangu
@Mrs.Mumewangu 3 ай бұрын
😂😂😂😂Wewe ni mkorofi wanapenda uke wenza ni wakorofi... Hii vita sio rahisi
@BinMahsen
@BinMahsen 3 ай бұрын
@user-gu1lg2zr8s yaaan hatar
@BinMahsen
@BinMahsen 3 ай бұрын
@user-gu1lg2zr8s yaaan hatar
@mwajumasaid7306
@mwajumasaid7306 6 ай бұрын
Mwenyezi mungu anijalie ukewenza wenye khery na mm
@BinMahsen
@BinMahsen 6 ай бұрын
Jamani mashallah
@MwajumaJ4-sg6gk
@MwajumaJ4-sg6gk 9 ай бұрын
Napnda sana move zako naninazifuatilia sana nakupnda we mdada
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤jamani nakupenda pia kipenz chang na najihis mwenye bahati kupenudwa na wewe
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o 9 ай бұрын
MashaAllah ❤very soon naenda kuwa mke mdogo i hope mwenzangu atanipokea vizuri InshaAllah
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Inshallah allah atakabal dua ya kupokelewa vyema
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o 9 ай бұрын
@@BinMahsen ameen InshaAllah
@IrakozeNasra
@IrakozeNasra 9 ай бұрын
hiyo kitu sahauu😂😂ukupokeee vzr huko kwiooo hhh ni chuk kwend mbelee mnakutania tu kw mme wenu😂😂
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o 9 ай бұрын
@@IrakozeNasra 🤣🤣🤣🤣😂acha kunivunja moyo na ww
@Mrs.Mumewangu
@Mrs.Mumewangu 4 ай бұрын
Sahau kabisa furaha kwenye uke wenza, mwenzio ni mke mdogo lakini ninayopitia karibuni namuachia mumewe jamaniiiiiii ziwezani 😅
@naimamalekela812
@naimamalekela812 9 ай бұрын
Mashallah very soon naenda kuwa bi mdg inshaallah naamin bi mkubwa atanipokea vzr ❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Mashallah
@naimamalekela812
@naimamalekela812 9 ай бұрын
❤❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@naimamalekela812 ❤❤❤❤
@allymohamed6265
@allymohamed6265 8 ай бұрын
Maa shaa Allah, Allah awabarikie waandaaji wa movie hii .
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Amina rabil alamin na mola wangu akufungulie milango ya kheri na kukupa mwisho mwema inshallah
@saudaumar3354
@saudaumar3354 8 ай бұрын
Mashallah nawapenda wotee na bibi mkubwa nampenda vile alivo sema amgawanyie shamba nilimpenda zaidi.na bro anataka kuharibu
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Hakiia bro anaharib mipang ya watu
@aishamminge2996
@aishamminge2996 9 ай бұрын
Moyo huu sina jmn mweeee 😅😅😅
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Jamni kwel
@Nurukwekwe
@Nurukwekwe 9 ай бұрын
Ivi mke mwenza tukapenda ivi shida iko wapii😢😢Allah atuuzeshe😊
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Amin inshallah
@user-dg4zc2un1y
@user-dg4zc2un1y 8 ай бұрын
Jaman ukeweza unawezekana lkn sie wengine tutashindwa mana hatuwez kulala bila ya iyo kitu ❤
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Kumilik hiyo kitu kuna raha yak bwana
@Mrs.Mumewangu
@Mrs.Mumewangu 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Umejua kunichekesha
@OmanOman-e8m
@OmanOman-e8m 9 ай бұрын
Mashaalah mungu.awambariki san❤❤❤ nawapenda san
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Amin inshallah nawe akupe baraka mar 10 y barak zet
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 ай бұрын
Nakupenda uke wenza jamani MashaAllah ❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Jaman basi njo uwe wa tatu
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 ай бұрын
@@BinMahsen naja napenda❤️
@aminanahimana8759
@aminanahimana8759 9 ай бұрын
​@@BinMahsen😂😂😂
@Fetty-s8c
@Fetty-s8c 9 ай бұрын
Kwel
@Fetty-s8c
@Fetty-s8c 9 ай бұрын
Kwel unaupendeya nini
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Uke wenza huu wa kukaa nyumba moja loh! siutaki ata kuusikia mungu aninusuru, anuepushie mbali ukewenza wa kukaa nyumba moja
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Jamani si maridhiano tu
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 9 ай бұрын
Kweli kila mtu akiwa kivyake ni bora zaidi
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@ZulfahMuhammad umeonaeeh
@NassoroHaji-i8k
@NassoroHaji-i8k 8 ай бұрын
Safi sana maashaallah kazi nzuri
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Shukrani sana nashukuru
@AminaLukanga
@AminaLukanga 7 ай бұрын
Shida na wanaongia. Jamaniiii kaaah mdada yule sitoweza kumsahau. Alinitukana mpka kwenye mitandao. Uzuri. Nikwamba. Mungu. Alinipa subiraaa. Sijawai. Kumjibu. Hata mara mojaaaaaa😊
@BinMahsen
@BinMahsen 7 ай бұрын
Mashallah
@rehema-lg5cl
@rehema-lg5cl 9 ай бұрын
Jamani mimi naupenda ukewenza sana na sana
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Inshallah itabid uupte
@rehema-lg5cl
@rehema-lg5cl 9 ай бұрын
Natafta sasa
@abdulomari4932
@abdulomari4932 9 ай бұрын
Pambana utapata
@ummushymer8720
@ummushymer8720 9 ай бұрын
Maa Shaa Allah, jmn wake ndo Hawa bi mkubwa big up Sanaa❤❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Apewe maua yake
@Zubaiba
@Zubaiba 6 ай бұрын
Nimempenda bure🎉🎉🎉🎉🎉
@BinMahsen
@BinMahsen 6 ай бұрын
@@Zubaiba jamn asante anakupenda pia
@abdallahkhalikijuma4874
@abdallahkhalikijuma4874 9 ай бұрын
Masha Allah mke mkubwaa anajua ukarimu
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Hakika jamn mpak raha
@abdallahkhalikijuma4874
@abdallahkhalikijuma4874 9 ай бұрын
@@BinMahsen sanaa lkn ndohivo mke mdogo anaharibu tenaa
@ZulfahKilua
@ZulfahKilua 9 ай бұрын
Mm niko uke wenz wawake 3 mm niwapili lkn wakwanz ana kirang km nn mm n bimdg tunapndan san n muombea kwa Allah nae abadilishe chuki yke n tupndane wot Aamiin
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Inshallah allah atawabariki mpendane wote
@msizirovideoproduction3049
@msizirovideoproduction3049 9 ай бұрын
miongon mwa move zangu bora nahii🔥🔥🔥🔥
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Shukrani kaka hakika wewe unacmchango asilimia mia katika kutengenezwa kwake
@YasminYasmin-pc4po
@YasminYasmin-pc4po 8 ай бұрын
Jmn mm pia naipenda ukeaenza jmn❤
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Inshallah mola Atakutunuku mtu wako
@JawahirYasin
@JawahirYasin 7 ай бұрын
MashaaAllah Mimi nataka uke wenza ❤❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen 7 ай бұрын
Afuwan mora akubariki uke wenza
@Shadia544
@Shadia544 9 ай бұрын
Jamaniii haya maigizo tuu siku hizi wanawake tulivyohatupendani jamaniii miee naomba mungu nipate mke mwenza kama huyu 🫶🫶🥰
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
😂😂😂 Ila maigizo lkin yapo inshallah utapat
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Km hujabahatika kuona tamthilia KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA Bofya link chini upate Angalia mama akiivunja ndoa ya mwanane kwa mikono yake mwenyewe...Pia mjomba uone kanaga alizofua mume siku ya valentine day akaenda futiwa maji kaka yake wa hiari..Pia upate shuhudia mjomba wa nasri akitaka kulipwa penzi lavmke wa mjomba yake nasri ili atoe figo yake..Fuatilia kisa hiki kizuri cha kuelimisha juu ya ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE kzbin.info/www/bejne/bYjRqoGidr5nibssi=VWmsmHSLBKwmVNud
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 9 ай бұрын
Mm nataka wakuongeza vp?
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@saidkhamis9507 hivyo hivyo 😂😂😂
@jumazulfa1870
@jumazulfa1870 11 күн бұрын
Sijui natabasamu nini😂❤❤😊
@samjabri2611
@samjabri2611 Ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Afuwan
@alhaniddi9357
@alhaniddi9357 9 ай бұрын
Pepo inamstahik bi mkubwa Maashallah Allah bariq he
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Allahum amin
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 9 ай бұрын
Yaani huyo bi mkubwa uso wake ni km mawardi tabasamu lake haiba yake daah nimempenda sana ila niseme ukweli uke wenza siuwezi siuwezi tutagawana majengo buree 😂😂😂😂😂but mmecheza vizuri saana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Jamni shukran y kwanza y mke mkubwa na ya pili asant kwa maua unayotupa
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Km hujabahatika kuona tamthilia KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA Bofya link chini upate Angalia mama akiivunja ndoa ya mwanane kwa mikono yake mwenyewe...Pia mjomba uone kanga alizofua mume siku ya valentine day akaenda futiwa maji kaka yake wa hiari..Pia upate shuhudia mjomba wa nasri akitaka kulipwa penzi la mke wa mjomba yake nasri ili atoe figo yake..Fuatilia kisa hiki kizuri cha kuelimisha juu ya ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE kzbin.info/www/bejne/bYjRqoGidr5nibssi=VWmsmHSLBKwmVNud
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Km hujabahatika kuona tamthilia KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA Bofya link chini upate Angalia mama akiivunja ndoa ya mwanane kwa mikono yake mwenyewe...Pia mjomba uone kanga alizofua mume siku ya valentine day akaenda futiwa maji kaka yake wa hiari..Pia upate shuhudia mjomba wa nasri akitaka kulipwa penzi la mke wa mjomba yake nasri ili atoe figo yake..Fuatilia kisa hiki kizuri cha kuelimisha juu ya ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE kzbin.info/www/bejne/bYjRqoGidr5nibssi=VWmsmHSLBKwmVNud
@AliRashid-h3e
@AliRashid-h3e 9 ай бұрын
Inapendeza mno nataman na mm niowe mke mwengine kama hivi mashaAllah
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Inshallah oa bwana
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 8 ай бұрын
Oa unyooke mbwa ww 😂
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
@@sikudhanimohammad7692 😂😂😂😂😂😂
@HamiduRamadhani-cm5rw
@HamiduRamadhani-cm5rw 7 ай бұрын
Mashal'lwah. Endeleeni. Na msichoke. Kutuelimisha. Kwani. Ndoa. Za Sasa. Ni. Mtihan. Tu. Kwetu
@BinMahsen
@BinMahsen 7 ай бұрын
Amin inshallah
@mwanaharusimohamed2408
@mwanaharusimohamed2408 9 ай бұрын
Mashallah movie nmeipenda jman
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Ahsantee sana
@leillabakari5555
@leillabakari5555 9 ай бұрын
Kazi nzuri
@Hawanalugha
@Hawanalugha 8 ай бұрын
Wooh ameizing nimeipenda mashallah
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Shukran sanaa
@teedullah5708
@teedullah5708 9 ай бұрын
Mashallah mke mkubwa
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Allahum amin
@mwamvuamussa-pd4su
@mwamvuamussa-pd4su 9 ай бұрын
maria Philipo, roho mbaya sio nzuri mpende mwenzio ile kitu sio sabuni eti itaisha cha msingi awatunze yaan awe na uwezo wa kutoa huduma
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
😂😂😂Kit gani
@evesilayo740
@evesilayo740 Ай бұрын
Mke mkubwa mashallah
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Hakika mashallah
@bintdhahabu7894
@bintdhahabu7894 9 ай бұрын
Maashallah ❤❤❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Shukran
@SamiaAbel
@SamiaAbel 23 күн бұрын
Mmmmhh mbona me siwezi na sitaweza jamani😅
@BinMahsen
@BinMahsen 22 күн бұрын
Kwann
@user-xh6tb2oh1q
@user-xh6tb2oh1q 9 ай бұрын
Mashaallahvtabarakallah
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
SHUKRAN
@rehema-lg5cl
@rehema-lg5cl 9 ай бұрын
Nazipenda hizi move za mavunzo mashaallah
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Shukran sanaa
@sein.208
@sein.208 9 ай бұрын
Masha Allah ❤️ ❤️ ❤️
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Afuwan
@Mwanababy-k9b
@Mwanababy-k9b 9 ай бұрын
Allah anijalie ukewnza ❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Allahumma min na.Uwe wenye her.Na.Mapenz
@greatvisiontz
@greatvisiontz 9 ай бұрын
Hatarii na nusu
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Mtu na majini yake😂😂
@PendezaZawadi
@PendezaZawadi 8 ай бұрын
nimewapenda sana
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Asante sanaa
@faizaally6581
@faizaally6581 9 ай бұрын
Mm nataka jamni uke wenza 😢 muhimu mume ajue majukumu yake kwenye ndoa😊
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Inshallah allah atakupa
@salmakashau-ib9fq
@salmakashau-ib9fq 9 ай бұрын
Ctaki hta kuuckia maana mm mwenzangu mdg alifariki nkaambiw mm ndio nimemuuwa wallah ctosahau Kila nnapopita kamuuwa mwenzie bc mpk leo ctki ht kuuckia mwisho wacku mume atka kuoa tena ndipo nlipomwbia nipe changu nisepe bc mpk leo heshima na adabu nimestarehe
@faizaally6581
@faizaally6581 9 ай бұрын
Pole kwa hilo lililo kutokea ila una pepo yako kwa Allah maana yeye ndo ajuae ukweli ila sio wanaadam​@@salmakashau-ib9fq
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@salmakashau-ib9fq duh pole sana
@labelleshashank8852
@labelleshashank8852 9 ай бұрын
❤❤❤ maashaallah tabarakallah
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Afuwan
@Kittunni01-oq8kd
@Kittunni01-oq8kd 9 ай бұрын
Nice jamani raha
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Asantee tena raha san
@SafiaJuma-zf1os
@SafiaJuma-zf1os 7 ай бұрын
Mashallah sijui ata niseme vp
@BinMahsen
@BinMahsen 7 ай бұрын
Sema tu jamn
@fadhilabakari3061
@fadhilabakari3061 6 ай бұрын
Manake kwanza apo nicheke! Dah 😅! Rabbi tujaze subra wanawake wote
@BinMahsen
@BinMahsen 6 ай бұрын
Uneona eeh
@fatumamohammed2857
@fatumamohammed2857 9 ай бұрын
Mashallah hongoren sana
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Shukran
@jemmymach9909
@jemmymach9909 9 ай бұрын
MashaAllh ❤❤😊
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Shukran❤❤❤❤❤❤
@user-xd4qc5iy7j
@user-xd4qc5iy7j 9 ай бұрын
Unafiki Mimi siwez😅😅😅 uke wenza hapan ntakuaa mtu wallah future hubby Pepo la ukewenza litoked km lipo
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Jamn ila dini inaruhus hivyo😂😂😂
@hassaniomary2031
@hassaniomary2031 8 ай бұрын
Mashaallah madda zangu
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Shukran sana kwa niaba yao ILA HUU NI MWISHO WA MSIMU WA KWANZ WA MATHNA MWENZI JANUARY NALETA MSIMU WA PILI JE UNAHISI KUWA MKE MDOGO ATABADILIKA KWELI?? USIKOSE KUFUATILIA UHONDO HUU WA MSIMU WA PILI AMBAVYO NI MTAMU KUSHINDA MSIMU WA KWANZA...PIA NAKUOMBA KUFUATILIA KISA CA SUPER WOMAN(CHUMA BINT KOBELO) DADA ANAYEKUTANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA KATIKA KUOKOA UHAI WA MAMA YAKE...
@zamdauseni9787
@zamdauseni9787 8 ай бұрын
Mwambiye ajuwe Awe mukarimu ananoma nakewenza mupendane
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Yaan tumemwambia sana ILA HUU NI MWISHO WA MSIMU WA KWANZ WA MATHNA MWENZI JANUARY NALETA MSIMU WA PILI JE UNAHISI KUWA MKE MDOGO ATABADILIKA KWELI?? USIKOSE KUFUATILIA UHONDO HUU WA MSIMU WA PILI AMBAVYO NI MTAMU KUSHINDA MSIMU WA KWANZA...PIA NAKUOMBA KUFUATILIA KISA CA SUPER WOMAN(CHUMA BINT KOBELO) DADA ANAYEKUTANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA KATIKA KUOKOA UHAI WA MAMA YAKE...
@asharamadhan16
@asharamadhan16 8 ай бұрын
Mashallah naogopa hivi mdogo asilete vitimbi jamani😂😂❤
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Umeona eeeh
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 9 ай бұрын
Wallahy mungu angenipa moyo kama wa uyu bi mkubwa bc ningekuwa Tajiri wa peponi lkn kaah ctaki hata kuyaskie ya uke wenza kwanza Hao wanao letwa huwa ndio vijengo wallahy 😂😂😂
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Jaman ila ukewenza imeruhusiwa ila pia inshallah allah akupe moyo wa bi mkubwa
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 9 ай бұрын
@@BinMahsen amiin lkn siutaki wallahy mambo kama hayo bi mdogo ashaanza kiserani na mm nilivyo jini cntamywa damu 😂
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@mejumaabaraza3989 😂😂😂😂 jaman jini makata atakutana na maimuna
@Rumaysabint
@Rumaysabint 9 ай бұрын
😂😂😂​@@mejumaabaraza3989
@mamquty4417
@mamquty4417 9 ай бұрын
@@BinMahsen Mashaallwah kazi nzur sana, Allah awalipe kher
@aishamsemwa-zu3eo
@aishamsemwa-zu3eo 9 ай бұрын
Siwezi muamini mke mwenzangu kihivyo aki
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Umeona eeeh
@HamiduRamadhani-cm5rw
@HamiduRamadhani-cm5rw 7 ай бұрын
Sio. Wewe. Peke. Yako. Nawenzako. Wapo. Kama. Wewe kwasababu. Sio. Wacha. Mungu. Kwani. Hayo. Ni. Mamlisho. Ya Al'lwah. Sio. Yetu. Mimi. Nawewe. Nanyinyi. Msiopenda. Hayo. /. Kupinga. Ndio mnayo. Amlisha. Yashetwan. Yafanyike. Kama. Zinaa.
@BinMahsen
@BinMahsen 7 ай бұрын
Haswaaa
@فاطمةفايز-غ1غ
@فاطمةفايز-غ1غ 9 ай бұрын
Uke wenza mzuri..Ila wanaume ndio wanaharibu..wanajisahau kutimiza majukumu Na kufanya uadilifu
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Ilo kweli kwan hata katika Dini inasema uweke uzani sawa huku kijora cha msomali kule nacho peleka hicho
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 9 ай бұрын
Usema kweli yaani hayaa maisha nimeyapita na wake wakiwa kitu kimoja mume anakerahika
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@ZulfahMuhammad jmamani kwa nini sasa
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 9 ай бұрын
@@BinMahsen sababu mwenyewe niko kwenye ukewenza nayaona 😂😂
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@ZulfahMuhammad wee una expirience hebu tujuze maisha yako namke mwenzio
@TeddylameckTeddy
@TeddylameckTeddy 9 ай бұрын
Waaaoh
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
😊😊😊
@NuruMwangoka-oj2xl
@NuruMwangoka-oj2xl 9 ай бұрын
Siwez mir kwa kweli
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Uuugh kwann
@NuruMwangoka-oj2xl
@NuruMwangoka-oj2xl 9 ай бұрын
@@BinMahsen nitapata kesi bure
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@NuruMwangoka-oj2xl 😂😂😂
@user-xd4qc5iy7j
@user-xd4qc5iy7j 9 ай бұрын
Kaka mbaya sanaaa😅
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Umeona eeeh
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 9 ай бұрын
Huyu kaka mtu mbaya sana sijampenda kwakweli mwaharibu kazi sasa😢😢😢
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Jman pole
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 9 ай бұрын
@@BinMahsen fisadi mkumbwa 😭😭
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh 9 ай бұрын
kumbe namidume mimbea
@mariammariam5723
@mariammariam5723 7 ай бұрын
Mashaallah
@BinMahsen
@BinMahsen 7 ай бұрын
Afuwan shukran
@FridaThobias
@FridaThobias 8 ай бұрын
Mmmmmh haya mambo siyawezi kwa kweli
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Jamn kwann
@Dama-xt9re
@Dama-xt9re 8 ай бұрын
MaashaaAllahnampendamkemkubwakukarimu wake
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Amin inshallah
@user-vm9tj5ij6o
@user-vm9tj5ij6o 6 ай бұрын
😢😢😢jaman uke wenza mm nauogopa kam nn ila sisi wanawake nd tunaanzaga kupeana visa
@BinMahsen
@BinMahsen 6 ай бұрын
Umeona eeeeh
@HawaHusen-l2s
@HawaHusen-l2s 7 ай бұрын
Asalamu ghalaikum ukewenza mm binafsi siuwezi mie nawivu balaa
@BinMahsen
@BinMahsen 7 ай бұрын
Waaleykum salma kwann
@maryd1538
@maryd1538 9 ай бұрын
Nimeipend
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Whaoooo asntee
@HauwaAbdalaAbdala-sx3uu
@HauwaAbdalaAbdala-sx3uu 9 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️ mashaAllah
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Shukrani ❤❤❤
@FaziliYusufu
@FaziliYusufu 8 ай бұрын
Mimi nauweza
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Nakubali
@RaysMerige-cn6xg
@RaysMerige-cn6xg 9 ай бұрын
Mmmh mbona mm siwez jmn
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Ila dini yaruhus
@halimamohammed3580
@halimamohammed3580 8 ай бұрын
Natizama huku naumia mimi Hahahahahaha 😂
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Pole jamn
@halimamohammed3580
@halimamohammed3580 8 ай бұрын
@BinMahsen ahsante aisee mm Allah aniepushe na uke wenza siutaki na sitauweza kabisa
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
@@halimamohammed3580 jamn inshallah
@assfzainab912
@assfzainab912 9 ай бұрын
❤masha ALLAH
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Afuwan shukran
@tsch4944
@tsch4944 9 ай бұрын
Mm nijikute ety mke mwenzangu 😂😂😂😂😂
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
😂😂😂😂 Jamni si ni dini ndo yataka hivyo
@aminachappa8677
@aminachappa8677 9 ай бұрын
Dadaa mm siwezi kabisa
@prezgal8869
@prezgal8869 8 ай бұрын
Mimi siwezi walah
@BinMahsen
@BinMahsen 8 ай бұрын
Kwann
@CuteMgeni
@CuteMgeni 9 ай бұрын
Weweeeeeeeee mm c wezi kupangiwa eti siku tatu bora ntulie kwetu 😂😂😂😂😂
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Hah waitak kila siku
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Km hujabahatika kuona tamthilia KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA Bofya link chini upate Angalia mama akiivunja ndoa ya mwanane kwa mikono yake mwenyewe...Pia mjomba uone kanaga alizofua mume siku ya valentine day akaenda futiwa maji kaka yake wa hiari..Pia upate shuhudia mjomba wa nasri akitaka kulipwa penzi lavmke wa mjomba yake nasri ili atoe figo yake..Fuatilia kisa hiki kizuri cha kuelimisha juu ya ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE kzbin.info/www/bejne/bYjRqoGidr5nibssi=VWmsmHSLBKwmVNud
@CuteMgeni
@CuteMgeni 9 ай бұрын
@@BinMahsen sio siku mda wowote nkitaka kumbe n kwa zamu nyoooooooo c viezi
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
@@CuteMgeni hahah upo vereeeee weleee
@user-go6xm3ef1o
@user-go6xm3ef1o 9 ай бұрын
Tulia uziniwe 😂 utapigwa maji akili ikikusawa utaitaman ndoa
@user-gv4up5ed8v
@user-gv4up5ed8v 9 ай бұрын
Eti Léo siko vizuli nenda uka nizibie nafasi yangu
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Ndio maana yake
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 11 сағат бұрын
Ingekuwaga wanawake wote wana upendo kama huu tusingekuwa single
@BatuliAdam-q1m
@BatuliAdam-q1m 27 күн бұрын
Mm mke mkubwa alinipenda hatar Ila mume hatukumpata
@BinMahsen
@BinMahsen 27 күн бұрын
Haya kivipi shoga yangu
@BatuliAdam-q1m
@BatuliAdam-q1m 27 күн бұрын
@@BinMahsen hakuwa na kauli nzur kwetu na hata hivyo si muadilifu
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 9 ай бұрын
Ukewenza siuwezi yaani siwezi naweza pigana kila siku 😂😂
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Kwann
@mishiomarabdhallah627
@mishiomarabdhallah627 9 ай бұрын
Wasema ww mm pia siyawezi ntakonda Kwa sonono ya roho na ngumu za Kila siku😅😅😅
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 9 ай бұрын
Msema kwl Mpenzi wa Mungu.Kwa kwl tuko wengi.
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 9 ай бұрын
@@fatumahapesamohamedfatumah4633 huenda hata hiyo moja ikawa na maugonvi?
@surusuru1994
@surusuru1994 5 ай бұрын
Mmmh😂😂😂kaka
@BinMahsen
@BinMahsen 5 ай бұрын
Anabalaa
@MwajumaJ4-sg6gk
@MwajumaJ4-sg6gk 9 ай бұрын
Ila mumeweza pokeeni mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Uwiiii jaman asante sana tukeyapokea kwa mikono miwil habibty
@ZuhurAmir
@ZuhurAmir 9 ай бұрын
Mashallah
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Afuwan
@georgemajani
@georgemajani 9 ай бұрын
Moch love
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Thanx
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 9 ай бұрын
Good job
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Thanx
@asiamohamedy2643
@asiamohamedy2643 9 ай бұрын
Mm mwenyewe nitaangalia hii nxur san
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Ooogh shukrani na usiache ku subscribe na.Kushea mpendwa
@mozasuleiman2753
@mozasuleiman2753 9 ай бұрын
Mhhh
@BinMahsen
@BinMahsen 9 ай бұрын
Nini tena
MATHNA{UKEWENZA}SEASON 2  SEHEMU YA KWANZA💕💘💓
24:50
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 62 М.
SHEMEJI |1|
17:57
BHAILAM
Рет қаралды 96 М.
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 14 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
MATHNA..(UKEWENZA)..SEHEMU YA TATU (3)
15:43
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 89 М.
SIFA HIZI ZINATOSHA KUMTULIZA MUME
20:12
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 71 М.
MAMBO NANE UKIYAFANYA MALAIKA HUKUOMBEA DUAA / SHEIKH HASSAN AHMED
32:41
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 351 М.
MATHNA{UKEWENZA}..SEHEMU YA TANO
21:32
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 14 М.
BIBI TIKISA HII HAPA..TANZAMA UMBEA
9:22
Gebo Mkary tv
Рет қаралды 10 М.
MSAMAHA A/MBOTO/SLIM OMARY
38:52
Halisi tv
Рет қаралды 13 М.
SAIKOLOJIA YA MWANAMME
53:34
Elmi TV
Рет қаралды 40 М.
#19- UKE WENZA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
11:34
Mau Mpemba
Рет қаралды 63 М.
MATHNA[UKEWENZA}SEASON 2.                    SEHEMU YA TATU💘💓
32:55
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 34 М.
MISSION IMPOSSIBLE [39]
27:06
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 95 М.