Wàllahi mimi huwa napenda sana kusifiwa ninapo fanya jambo na mume wangu alikuwa hana hiyo tabia basi niliumia sana lkn kwa sasa amebadilika nikifanya jambo ananisifia alhamdulilah Allah amuongoze
@aishafrancis771420 күн бұрын
Mimi ni mkristo natarajia kuolewa na muislam tena ndoa ya uke wenza nilikuwa nawaza sana ila kupitia wewe madam Fatuma umenifunza mengi na hofu sina nakushukuru sana dada.🙏❤
@MeswalehShaban-mg5kk10 ай бұрын
Mashallah mashallah ❤...kupitia kwako mama najifunza mengi sna...Allah akujalie utajir w afya njema daima ili uzidi kutufunza yaliyomema ...
@BimkumbwaAmour10 ай бұрын
Aamiin
@RossaMengo10 ай бұрын
MA SHA ALLAH..huyu ukhty namtaka IN SHA ALLAH akuje kenya..ntampataje
@MuniraGambere9 ай бұрын
Sijaolewa ila nimependa sana haya maneno.... Maa shaa Allah ❤❤❤❤❤❤❤
@OmariAdam-jz2hm3 ай бұрын
Unasubili nn
@antyrahma10 ай бұрын
Darsa Iko vzuri ma Sha Allah ila unaweza kujitahidi kubadilisha badilisha katika kila sekta ndani ya nyumba ila nahisi hao wanaume wengine watakua hawajui kabisa ivyooo kusifia labda wanaona cjui ni kujishusha au hata sielewi
@FatmaOmar-r1t11 ай бұрын
Mashallah kipindi kizuri hakika nafarijika snaa kukiangalia , Allah akulipeni kheri kuanzia ukhti na ah Rashid
@KhamisMulife9 ай бұрын
😮mh mtihani kwakweli ndowa zetu mungu atupe wpes t
@BiubwaBeauty-henna10 ай бұрын
Anty fatma wanaume wengine hawabebeki wewe mumewako km nimuelewa nirizkiyako nabahati mshukuru mungu usione wewe niuhodari nibahati umrpata kutoka kwamungu tunaweza natunafanya lkn imeshindikana uwe unazungumza wanawake tu nawanaume watupatisha dhambi
@MwantumuAbdy4 күн бұрын
We mwache amalize maneno tunamuangalia tu
@rahmahty702611 ай бұрын
Jazakallahu kheiran
@citykibonge299911 ай бұрын
Maa Shaa Allah Tabaraka Allah❤ shukran ukthy kwa hili darsa.Nmejifunza mambo mengi.
@mhamadaldo733810 ай бұрын
Mashallah
@juhudiyaislamiya26609 ай бұрын
MashaAllah ukhti fatma
@غزلان-و9د10 ай бұрын
Muaerekeze hawo wanaume
@NijebarikoMoise9 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh kuna Wayne wengin awanafica sana
@mwantumswalehe230011 ай бұрын
Shukran jazaqallah kheiry ❤
@shamsahaji620211 ай бұрын
Ukitaka mwanammke avae zile nguo za harusini apendeze basi mpe nafasi asiwe anatumika mno ktk nyumba...unakuta mwanammke km punda ndani kila kitu yy ..hana likizo wala mapumziko unadhani atajipamba saa ngapi...mke ana wtt 4 wadogo tokea asubuhi mpk jioni hana msaidizi...bwana hana usaidizi ndani unadhani atajipamba saa ngapi??unadhani nae hataki kupendeza??hapana lazima wanaume pia wajiangalie .ukitaka hayo lazima mkeo apate nafasi ya mapumziko pia.
@FatmaOmar-r1t11 ай бұрын
Hakika ungakuwa karibu yangu ningekununulia soda ukanywa bureee umeongea maneno mazuri sana I wish wanaume wote wangeyaona ,huna mda wa kujipaka mafuta tu ya Nazi mwilini kila kitu unafanya Kwa haraka haraka Kwa ulezi
@FatumaMuya11 ай бұрын
❤❤❤nimependa comment yako ni kama ulikuwa unaniona mimi.Yani ungekuwa upokaribu yangu Shamsa ningekupa zawadi yako
@BiubwaBeauty-henna10 ай бұрын
Wallah Umesema kweli tupu wanaume watuzeesha watuchukuwa majumbani kwetu wazuri wajatufuja Mimi nishachoka nakaa tu nalea wanangu
@HajiKahema-tw5to10 ай бұрын
Apo umeongea
@غزلان-و9د10 ай бұрын
Mashallah
@bintsalimalbimany2879 ай бұрын
Maaaashaaaallaah kwakwel Raha jaman Rahaaaa 😂😂😂😂
@MansourMohdhaji11 ай бұрын
Jazaakumullahu khaira
@zainabuali99153 ай бұрын
Jamany sis wanawake tnajitahid kufany, kujifunza na kugaramik mpk kwa akina somo tupate elimu tuwatumikie waume zetu, lkn baadh yao hawasarifiki wabahili wa maneno na Mali. Tunaomba muwe mnaweka vipnd pia kwa ajil ya wanaume nao waelimike
@AbdallahAlhabsy-lu7zb10 ай бұрын
Sana ukhuty fatma
@HanifaOman-oo4pl11 ай бұрын
Maashaallah hukty Fatma
@HalimaKatotoally200-bw6xj10 ай бұрын
Asalaam aleykum warahmatullah wablatuh dada me nakupataj
@Oman-g6k9 ай бұрын
Asanteni saaana🎉🎉🎉❤❤❤
@chusseboywcb280810 ай бұрын
Nimejifunza ❤❤❤❤❤vingi❤❤❤
@JamilaAlly2310 ай бұрын
Mashaallah ila miye nipo nnjee naombeni ushauri
@TausiAbdully11 ай бұрын
Mashaallha nimejifuza san
@Eleonora-ei6yx10 ай бұрын
Hayo mambo ya wanaume hayana formula.Wanaume wanataka wanawake tuwe 100%,sisi ni binadamu haitowezekana
@khadijayusuph263410 ай бұрын
Ongea na wanaume ndo wanatuangusha"Sasa mme yupo tu Kama gunia asifu"akosoi hashauri" uji kipi anapenda kipi apendi duh"" Bora license tu
@FatumaHusseni-bp3fk11 ай бұрын
Amn duaa nimeipenda Sana
@SSur-e7d11 ай бұрын
Sanaaaa ukhty fatma
@ahmedsalehe948911 ай бұрын
Assalam alaykum Ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 31, natafuta mwanamke wa kuoa, awe na dini na tabia nzuri, alio kua kiakili na hofu ya Allah
@MariamObotte11 ай бұрын
Wewe dini unayo?, sifa unazo taka uwe nazo kwanza ww!!!!
@ahmedsalehe948911 ай бұрын
@@MariamObotte alhamdulillah nnazo kadri Allah alivyo nijalia.
@MariamObotte11 ай бұрын
Enderea kutafuta, utapata tu!!!!!
@ahmedsalehe948911 ай бұрын
Kama wewe hujaolewa nambie
@MariamObotte11 ай бұрын
Nimewahiwa!!!, tafuta wengine!!
@ubahamisi43111 ай бұрын
Alhamdhulillah nimejifunza jambo ❤❤🎉🎉
@IssaYussuf-r4f11 ай бұрын
Allah atakulipa kilalaqher
@sophiakimaro517411 ай бұрын
Hapo pa kusema hhuenda hajalelewa hivyo nakubali tcha.mimi mume wangu hakulelewa na baba nikimaanisha babaye alifariki mapema saana.mimi nimelelewa na wazazii wote wawili.Bas najionea tofauti saana.wakati mwinge namwuuliza mbona baba yangu hufanya 1,2,3 kwa mama yangu lakini hata haelewi.kwa mfano hata upike nini hutasikia akikusifia.najiuliza kwa miaka yote 10 jamani hakuna siku nilipika kitamu?
@Neema-fh1wp10 ай бұрын
😂😂😂
@shufaamalick57599 ай бұрын
😂😂😂
@MwantumuAbdy4 күн бұрын
😂😂😂
@faiahmed4699 ай бұрын
Ughut Fatma unaweza kuwa unafnya Kila kitu kumridhisha mume lakin.ikiwa mume kunavitu anavipnda kama hizo nguo bas awe anavinunua avilete but ww unafnya na yy hajavpnda Wala hajasfu bas na afanye bidii yakuvileta anavyo ipnda
Nilikaa miaka kumi na mume wangu lkn sikujua anapenda chakula gani haswaa mpaka nilikua nashangaa lkn juzi tu niligundua ana penda sa chapati laini na maharagwe
@MarimuIddy11 ай бұрын
Mashallah👏👏
@RukiaTanzania10 ай бұрын
Kwakweli wanaume wanatuchosha majumbani
@RehemaAlly-k3k11 ай бұрын
Assalam alaykum hapo nmeelewa lakini wenginne waume zetu hawasemi wanapenda nn nadhan akisema anapenda nn sidhani kama ninawezakushindwa kumpikia au kukifanya kitu anachokitaka
@Sashafadhili-z2qАй бұрын
🙏🙏🙏
@khairatsaleh-se5is11 ай бұрын
Mashallh
@subralugege701911 ай бұрын
Walasio kamahawajui ni ujeuri tu wa wanaume nakujisikia sana tu
@AishaSaoud-m4i11 ай бұрын
Yaani mume mungine una Fanya yoote lakini yupo busy na wanawake wa kwenye simu michepuko mtihani mtupu
@ItangishakaFatuma10 ай бұрын
Asalamu aleikumu warahmatulha wabarakatuh.naomba namba ya dadayetu Fatma jamani ❤❤❤
@AbdallahAlhabsy-lu7zb10 ай бұрын
Mwanamke awe na heshima kwa mumewe na kwa watu wa mume na kwa wazazi wa mume ndio mke ana pendeza na pia ajue mapishi ndio navutia kwa mume
@fatumakombo8410 ай бұрын
Jmani naombeni kuuliza je km mume jeuri kuna daw au kisomo cha kupunguz jeuri
@Samsungjprime-ww9ve11 ай бұрын
Mashaallah
@KelvinAbel-ok7bm2 ай бұрын
Kwann mwanamke huwa anatoka majimaji wakati wa tendo la ndoa?
Mash Allah darsa nzr N taam ila sie wengine waume hatuna vp sheikh Rashid nafas 4 zote zishajaa?? 😢
@nsabimanahafsa774610 ай бұрын
😂😂
@SaidsalehMohd6 ай бұрын
Wanaume wengine hawajuw thamani ya mke ata ujipambe
@AminaJaphali10 ай бұрын
Asanteeee
@VeronicaWilliam-hz2tl10 ай бұрын
Assalam alaykum mume wangu kila ninalo lifanya kwake sioni Kama anailifura hiya najitaidi Sana naomba ushauri
@mwajumasaid73069 ай бұрын
❤❤❤
@SalmaThabiti-jd5dk9 ай бұрын
Mi apo kwenye malofa wanamipango sibishi kbs yaaani mipango km mipango
@AshaAthuman-ju6vu8 ай бұрын
❤🎉
@IssaYussuf-r4f11 ай бұрын
mm kwakweli nimefaidik san had naskiya uroho wandoa
@FatumaHusseni-bp3fk11 ай бұрын
Usijal
@HamidakomboKombo-xs2ju11 ай бұрын
Ukhti wakati mwengine mume hakusifu kwa sababu ni ubakhili, kwahio hakukigharimia hicho unachojipambia. Akikusifu atajisuta nafsi yake
@RamlaNunguli-do1hw11 ай бұрын
Mm wifi zangu walinipaka mapoda ile tumerudi nyumbani kutoka ukumbini nikaenda kuoga narudi chumbani mme wangu ananambia laah huyu sasa ndio mke wangu😂😂😂😂😂
@yessraelbajun11 ай бұрын
😂😂😂
@RamlaNunguli-do1hw11 ай бұрын
@@yessraelbajun hatarii😂😂😂
@Zainab_salat10 ай бұрын
Mume amezoea jinsi ulivyo😂😂😂 bila makeup
@RamlaNunguli-do1hw10 ай бұрын
@@Zainab_salat nilicheka aliongea kwa msisitizo😂😂😂 alinikumbusha kuwa hapendi makeup kwa kweli
@RahmaJabir-q9y10 ай бұрын
Sadata
@mwanaedashekue730411 ай бұрын
😢😢
@NOORMOHAMED-sg9lo9 ай бұрын
Ngariba ni bora kuliko nyie mabaradhuli hamna wala hamjui maana ya yote munayoongea