Wadau wanaoikubali hii ngoma wangapi na tunaangalia 2024 gonga like tuendelee kusonga mbele✔️✔️✔️✔️💯🇹🇿
@magesamatiku750610 ай бұрын
Ni miaka mitano sasa tangu aliponitoka kipenzi cha moyo wangu.Mpaka sasa sijampata wa kuziba pengo lake ni 2024 bado nina maumivu makali😢😢😢😢😢
@NicolausNovath7 ай бұрын
Pole broo
@mumenguvuze2093 Жыл бұрын
Thank my ancestors that I understand Swahili language ... And as music purist ... Hapa Matonya umeweza .... From the message , melody , arrangement ... Story telling ... AND EMOTION {HISIA }.. hALAFU VIDEO IKAMALIZA ... Huu wimbo unatoa hisia ya huzuni .... AWESOME!!! 2023 NA BADO IKO RELEVANT
@javanuzaj25484 ай бұрын
2024 na bado hakijaeleweka
@fredyndelwa92732 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana huu wimbo wako
@hukibakari39558 жыл бұрын
umethibitisha ukongwe wako katika game melody Kali beat Kali kideo kikal congulatulation bro!!
@kenstarmusic0012 Жыл бұрын
Hii song still uwavnikiskia natokwa na machozi 😭😭😭 Rest In Peace My Love Egile
@balysonemmanuel45278 жыл бұрын
true talent never die......nafasi yako kwa game ya bongofleva ipoooo......#goodmusic kelele tupa kule...
@JerryMdoe-k6t Жыл бұрын
Hili goma ni homa Sana ❤ kila leo kama ndiyo kwanza imetoka studio ❤❤❤❤❤yani kuloga tumeroga ila bado hakijaereweka❤❤❤❤jery zazbar ❤
@princeirenge335310 ай бұрын
Courage mista mantonya❤❤❤
@leonardodavinch41058 жыл бұрын
daaaah mungu anatambua juhud zakho unajua unakipaji cha music ..unajua musiki unajua kuandika u knw evrythng abt music matonya.
@lillykuiname69 Жыл бұрын
Team 2023 still listen to this beautiful song where are your likes please 🥺 much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jumahaji24545 жыл бұрын
Like za mama mailah hapa Team video queen Gigy money 😀😁✌
@AnnithaMgawe2 ай бұрын
Alikuwa mzur kweli hapo
@pollyodeny50478 жыл бұрын
Tonya mbili wimbo uko vizuri from audio to video the director ameitendea haki.
@mamatuishi-mamatuondoke88228 жыл бұрын
me too i miss u tonya
@sephissa30048 жыл бұрын
Kama media hazijabana hili ni bonge la #hit ujumbe mzuri sn "sio mtu mpaka afe ndio ujue thamani yake" umerudi kwenye game tonyatime.
@amosmosses71168 жыл бұрын
hakununa mtu anaeweza kubania nyimbo nzur ch mcngi n cc fans ku request in differnt media ili ichezwe othwise mtaishia kusema imebaniwa
@jafariufuku32157 жыл бұрын
Tonya umenikumbusha mbari Sana cjajua Kama nitakuja kumpata kama Yule inauma sana
@saumuhassan13656 жыл бұрын
Seph Issa Exactly my dear
@sanuramohamed8725 жыл бұрын
Good
@abdallahmkombozi56055 жыл бұрын
hiiii ngoma kila week naicheki hata Mara saba hiii ngoma Kali Sana'a Tonya home boy big up sana
@godfreyshikanda25217 жыл бұрын
Very deep. The King 👑 Matonya is back
@mumenguvuze55058 жыл бұрын
Kile kidonda ulicho nipa mpaka leo maumivu yako... wow!! sweet music music..
@mumenguvuze20932 жыл бұрын
Bado kali ... still relevant .....
@wakusomawakusoma71508 жыл бұрын
wooowww!!... aiseee hii pini ni tamu.... Kazi nzur sana.... bit tamu... mistari mikalii... ila ni kawaida yake Matonya kutoa nyimbo nzuri...
@leahelijah35364 жыл бұрын
I love this song sana,I wish he can come to perform live in kenya
@okeriwilson88248 жыл бұрын
here comes the legend! so happy the guy is back...hit after hit! hope you guys you remember 'sugua benchi'
@jackykasambula71588 жыл бұрын
Broo big up so Tanzania ya sasa ni nomaa kwa kila kitu,viwanda,good musicss together
@TumainiFadhili-ns4ul Жыл бұрын
My favourable song till 2023
@nohatredbutlove57868 жыл бұрын
sina la kuongea kwa kweli. The legend
@sebastianmusira78698 жыл бұрын
The Legend is back..... make a way.... haters stay away....its a time for good music from good people.....Tonyaaaaaa
@brendahnamitati68188 жыл бұрын
Sebastian Musira I agree. haters stay aside
@dianaahdarlingkenya76168 жыл бұрын
Sebastian Musira hatters gonna die
@mwemsifrancis41578 жыл бұрын
Sebastian Musira legend kweli huyu mchizi
@mansaproduct19828 жыл бұрын
Sebastian Musira This man(matonya) has never disappointed me.
@helenainyas93827 жыл бұрын
matonya
@abassmunga98228 жыл бұрын
tonya mbili kazi nzuri much love frm mombasa county 001
@brendahnamitati68188 жыл бұрын
Time for old good music! it's time for the best big love from big fans
@erastosolomon45548 жыл бұрын
Du!!! big up sana Tonya Boy naona umerudi kwenye game kamanda yani ni bonge la hiiiiiiiiits!!!
@mabubakitambi16125 жыл бұрын
Daaaaah matonya umenigusa ,,umeimbaa kilichonikutaaaaaa daaaaah!!!!! Munguu nisamehee mm
@byamungujackson458 ай бұрын
Ngoma kali haishi utamu❤❤ matonya
@alamryalamry56728 жыл бұрын
Welcome back KIDUME nakuaminia sana Tonya.
@josephleonard41196 жыл бұрын
Hongela sana kwa Wimbo huu br ni wimbo wa kipekee japo inasikitisha ila nimoja ya elimu endelea kuumiza kichwa br nafas yako yakipekee
@juniormadini1248 жыл бұрын
Hongera mkali wangu kwa ngoma kali hii imepenya iko mitaa haiko jela
@dottopasikali92708 жыл бұрын
matonya iyo nyimbo zuri sana tena ina tia machungu upo vizuri
@bakarisalehe39345 жыл бұрын
Hii ngoma ni nailewa sana Tonya time mtt tanga tanzania
@eunnyjanes14408 жыл бұрын
Moto wa wimbo.... kip burning Matonya
@HakimAli-dv5zv6 жыл бұрын
nimeielewa hii ngoma tonya mbili..ujumbe mzuri huu
@JerryMdoe-k6t Жыл бұрын
Uhakikaaa jamaa alikaa kitako goma akalisuka likaaukika❤❤❤pia na biti ikambeba vilivyo Sasa akipita na sauti❤
@roydechissano76667 жыл бұрын
hii nyimbo nikiboko hongera matonya sichok kuiskiliza mie naipenda hadi syo poah hakijaeleweka
@nkwabimasanja34744 жыл бұрын
Hatr xanaa
@ABDALLAHMNGU8 ай бұрын
Daah pole Sana Najua Maumivu yake Mke Akikutoka Nipengo Kubwa Sana Hata Uwe Napesa kiasi gani pengolake litakuepo tuu
@DeMustii2 жыл бұрын
Braza tuache utani na kazi Muda mwingi upo kimya lakini hii ngoma ulipiga kazi one of my favorites song#HAKIJAELEWEKA
@montanaprime8 жыл бұрын
Wow!aisee Mungu ibariki bongo fleva, wabariki na wasanii wake wote. what a time to be Tanzanian. sweet melodies every where. Africa watch out. Our musicians are coming very fast.
@emeranceabedi25034 жыл бұрын
I still watching 👀this song 🎵over and over 😳🥱🥱who is here with me 🤗🤗2020
@Bst2547 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako Matonya...Mfalme amerudi!!!
@barickprogrammer8 жыл бұрын
huwaga haukosei tonya mbili....bonge la ngoma...yaaan sichoki kuisikiliza ....kila mda
@RizzikMsingiri7 ай бұрын
Huu wimbo siku unatoka ndio siku hiyo naachwa na mke akaondoka na kuniachia watoto wawili ni wadogo akaamua kwenda kuanza maisha mengine nililia sana nilihisi huu wimbo kaniimbia mimi
@فيصلالبادي-ح1غ3 ай бұрын
Pole Sanaa watoto watakua Kwa uwezo wa Allah muache aende tu haikua lidhiki Yako
@vandozdez77935 жыл бұрын
Ino ngoma imekita sana kaka hongera
@gisilalikomba39808 жыл бұрын
Tonya hapa full hisia kama ulivyoniteka kwa vailethi,Anita na Hakijaeleweka best song watakaopinga ni walewale wanaokataa usoni moyoni wanasema "duh ngoma kali",bigup bro
@salimmadua52648 жыл бұрын
Tonya hii ngoma kwel umechafua ili wafue, kwel mbaba umetisha yani sichoki kuisikiliza nyimbo hii daaah!
@seducerkapero73068 жыл бұрын
salim yani tonya kama ukiwa na machozi ya reja reja anaweza akakuliza dakika sifuri anasauti furani ambayo nadiriki kusema ni ya kipekee tanzania nzima arafu zile background vocals tonya zile anazi master ile kinoma we msilize vizuri ni kama vile ANALIA na si KUIMBA tena na hasa mwishoni mwishoni mwa nyimbo noma sana amakweli WASAFI(WCB)wanakazi safari hii ahahaha maana kweli kachafua...sipo mimi likianza bifu...mi nimesema tu
@elizabethfredy27355 жыл бұрын
daaaaah!! naielewa sana hi nyimbo,big up matonya
@swalloonpoint23068 жыл бұрын
Bonge la ngoma bro na chupa fulani hivi la kibabe in short hujawahi kosea. big yourself #tonyambili #tonyatime
@johnachieng32825 жыл бұрын
kudos matonya you rock me with your educating songs God bless you
@vianneysospeter22358 жыл бұрын
Kwel round hii mmejpanga kila mtu anatoa kitu kizur kaz nzur tonya mbili
@mayasajuma35768 жыл бұрын
daaah hengera sana kwa wimbo mzur bro matonya
@lilboy57984 жыл бұрын
Kaka vipi upotanzania,nakupendaka
@gereadmaluna74834 жыл бұрын
nimekubal hii song💯💯
@kaijageosward47314 жыл бұрын
Iko vzr
@PAKSENZIMBAMBA17 күн бұрын
Atali sana Tonya alitulia kwenye hii ngoma
@edwingwesso1295 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 Kama mnanilenga
@hansiempire50935 жыл бұрын
Alwayz unajua cheki utunzi toka zaman ni fire
@daruuwahay35785 жыл бұрын
kazi Kali sana Tonya boy pamoja sana we mkali ile mbaya
@officialpinchez86314 жыл бұрын
ii ngoma bao inabamba hadi leo outer 254
@jarufamiri55975 жыл бұрын
Now u r the best always matonya ...well came back
@abubakarmwadin30617 жыл бұрын
si mchezo hii ngoma matonya hongera kwa hii ngomaa umegusaa ndipoo si mchezo nakukubali sanaa
@rahmaninoh74347 жыл бұрын
yaan nyimbo ni kaleeeh sanaaaaah bro big up kwako
@donaldouma72252 жыл бұрын
Love from Kenya matonya good music 🎶 🎵 👌
@abdallahomary23485 жыл бұрын
Pamoja sana tonya
@davidchilumo62468 ай бұрын
Hii ngoma Ata mm imenigusa sana😢😢
@zarinabegandani328 жыл бұрын
woooh matonya napenda nyimbo zako sanaaaa am happy umerudi😍😍😍
@mathamichael32944 жыл бұрын
Sana
@josboy53845 жыл бұрын
Nimekuja kumwangali gigy money tn 2020 ya mwezi 1 tarehe 10
@gabrielmshana25124 жыл бұрын
Na barakha da prince ujamuona
@mathamichael32944 жыл бұрын
Yuki vzur
@peteog33365 жыл бұрын
Old Sheriff back in town.One of my Top 5 Bongo artists.
@sululuzungu95872 жыл бұрын
Hi ngoma karee ujue matonya sa unafer wp mwanangu daah😭😭
@andrewdastan83358 жыл бұрын
Matoya! You did it in a brilliant way! The song is so sensational with strong massage. Keep it up brother and if is there any one who did as Matonya sang is time to say sorry to God though is paining when you discover you lost the treasure for trash!
@saidiabdi79947 жыл бұрын
Andrew Dastan
@bdraanaldusre94135 жыл бұрын
Good work Tonya _ kuja Kenya 🇰🇪 bxi twakusapoti xna duh! Umenikumbusha mbali braza Tonya
@annamwala29325 жыл бұрын
Hongera matonya hujawah kuniagusha unastahili tuzo
@afuyaarnold11698 жыл бұрын
Some VAILETI LOVE from Kenya .. Good music
@gracewendy25527 жыл бұрын
What a nice message Tonya congratulate
@consolataakwabi73218 жыл бұрын
woooow. .welkam back matonya..cool song man
@irenekanana7638 жыл бұрын
Wooou nyc song Tonya keep it up
@JaledJaydee Жыл бұрын
I love this song of matonys❤❤❤❤
@joshlikings74375 жыл бұрын
I don't understand 100% wat he saying but love the beat, vib. Much love from Uganda.
@denismchiwa99024 жыл бұрын
He didn't care abt his gal frnd bt his gal love until zat gal die an recognised his mistak to her gal
@franklinekorir3839 Жыл бұрын
Story kidogo matendo matendo mingi kwa huyu kaka, big up.
@lagbtechnology64698 жыл бұрын
#Brother very touching song, hakuna namna sasa lazima urudi katika nafasi yako ya juu.. keep it up bro.
@lilimaizamnyama32784 жыл бұрын
Najukubali kinoma
@kawathegreat33454 жыл бұрын
Very touching song pick up Mato... From Bungoma kenya
@eunnyjanes14408 жыл бұрын
Plz the Lyrics za hakijaeleweka Welcome back Matonya
@anombi7 ай бұрын
My favorite song.... All the way from Nairobi, Kenya
@chiyughajr.99688 жыл бұрын
Tonyaaaa,, you are back for real my man.. this is what we were waiting for a while. best flavor.... @
@nackplankton16695 ай бұрын
Mziki mzur nawatu hamtaki kuskiliza daaah
@zuberinyarotso49038 жыл бұрын
Much love from Kenya.........TONYATIME
@sameeradam84698 жыл бұрын
tonya time yooo.... Uko vzur 2likumixx xna Daaah bora Umerd
@happylinje29778 жыл бұрын
kwel thaman ya ktu unaifaham pale ktakapo kutoka.nyimbo mzur sana ina ujumbe mzur.
@mwanaishambili2418 жыл бұрын
Nilikumicc tonya kama umerundi kwa game ntafurai xna kazi zury kipe thamani ulicho nacho ujumbe umefika tu
@EliyacostantinoPius8 жыл бұрын
Wooooh.matonya yule karudiiii fireeee
@payasstudios928 жыл бұрын
Ujio mkali babangu, tonga Homa ya Jiji, Sugua Benchi afu sasa hii, nakutii mkubwangu
@erick4realy4197 жыл бұрын
Tisha Sana mwanangu tonya
@nasramsami34106 жыл бұрын
big up legendary ngoma Kali
@bozenwaziri94778 жыл бұрын
Nice song tonyaaa.....very passionate
@shabansalum1628 жыл бұрын
nimejikuta nairudia tuu hii video shikamoo matonya welcome buck
@frankokomba52618 жыл бұрын
mkongwe kazini..good job blo
@KIGETU0018 жыл бұрын
Hahaa tonyaa kweli umewezaaa.....tutachafua hadi wafue#UkoJuuTonyaa