Bonge La Nyau Feat Ali Kiba - Uaminifu Video (Swahili Music)
Пікірлер: 878
@ankalmzito254 Жыл бұрын
nadhani mwaka huu 2024 kuna wenye bado twaskiza hii ngoma 🇰🇪...sema ndio
@zaudatmakula3454 Жыл бұрын
Mimi hapa
@mwanamvuasuleyman4671 Жыл бұрын
Mm nausklza 2023
@mwanabibijuma8703 Жыл бұрын
Ndiyo my
@ankalmzito254 Жыл бұрын
@@mwanamvuasuleyman4671 nitafute kwa namba zangu....
@peterkanyotu2564 Жыл бұрын
2023
@JumaMohd-fc7ju5 ай бұрын
2024 njoo hapa na like ya uaminifu🎉
@christianmenas952810 күн бұрын
Huu ngoma haichuji. Nasikiliza leo tar 24.6.2024. kama tuko pamoko gonga like hapa
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd5 ай бұрын
Tar 1-2-2024." Haueleweki Kama mvua za Dar" Kama umesikia huu mstari gonga like
@JoshuaGodifreyJoshua2 ай бұрын
Tareh 23. 4. 2024 Gonga like hapa
@halimaabdallah956710 ай бұрын
Nimekuja kusikia corus tam from king😍..kama umekubali weka like
@amoslutgel69812 ай бұрын
Tupo apa 2024 kama mpo twende sawa,👊👊
@NalaxxyMusicАй бұрын
Nmerudi ku like hizi coment kama.ww bodo unakumbuka hii song please gonga like yako hapa 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯
@kwilasajunior53672 ай бұрын
King kiba kaua sana hum voice over 💥💥💥💥💥
@SwahiliAmbasador954Ай бұрын
Mimi nimekuja baada ya kuona post Facebook lakini ukweli King kiba atabaki midomoni mwa wasanii wengi sana 😍😍❤️❤🎉 umebarikiwa mchizi wa bongo table hoho ali k for real
@drsmartdanial37354 жыл бұрын
Wanao enjoy sauti ya,king hapa mu 2020,hit a like
@erickymecky9639Ай бұрын
Tuliokuja kwa ajili ya tumeona Facebook 2024 tujuane
@superhemed75909 ай бұрын
2023 and it's still one of the undisputed chorus most made by King Kiba
@mutegisilas55484 ай бұрын
Fh3iorr9tói🎉
@chrispinusyengo46535 ай бұрын
2024 and still it's one of the undisputed chorus made by Ali Kiba King Kiba 👑
@princeboniphace43127 жыл бұрын
sema hii chorus Alikiba aliumiza vibaya mnooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@salimmohd82796 жыл бұрын
koras nomaaa
@jamesmayunga58024 жыл бұрын
kabisa
@nasrjuma23604 жыл бұрын
Exactly
@adolfteveli88924 жыл бұрын
Hatr🔥
@abduljuma21473 жыл бұрын
🔥
@user-be2vf8lx4f4 ай бұрын
2024 bado hii ngoma ally kiba ananikosha
@issakatety35354 жыл бұрын
2020 bado natizama hii ngoma🔥🔥🔥
@anthonymsofemsofe96463 жыл бұрын
2020 kama bdo upo gonga like
@SimukokoBrightonАй бұрын
Nani yupo hpa 2024 gonga like hapa plz
@petermusa168329 күн бұрын
Noma Sanaa Ngoma Kal san
@constantinnicoiconoppa58711 ай бұрын
Tuko 2023 ila bado nasikiliza wimbo huu 😂❤. Wenzangu mikono juu
@Abdulqafar268 ай бұрын
Who else is listening to this masterpiece by legend Ali Kiba. 5th November 2023.
@user-pp7qe4dw3p Жыл бұрын
Mwaka unatoka huu wimbo nimwaka nimepewa talaka ,dah hii nyimbo ilikuwa ikiniliwaza japo ulikuwa unaniliza sanaaa,,ime baki nikiusikia nayakumbuka mapito,nyimbo yangu ya kihistory kabusa
@user-ti8gr2jd8i9 ай бұрын
Alisa umeachika
@msechuemanuel8475 жыл бұрын
Team kiba oyeeee
@user-eh7of4vq6j11 ай бұрын
Ngoma kali mpaka sasa
@willymtnmsafi88756 жыл бұрын
Ali kiba akiwa ,bongo music haiwezi potea
@tanzania36726 жыл бұрын
Willy MTN wewe ndio ufe kabisa
@willymtnmsafi88756 жыл бұрын
Tan Zania mbona?
@ziadasaidi8215 жыл бұрын
Naic
@riswandg.ngawing16655 жыл бұрын
Santamaki talaso
@princenewton4 жыл бұрын
Alikiba could have just done this song alone.Alikiba angeufanya huuu wimbo pekee yake like kama unakubaliana na Mimi🔥🤸 KENYA 🇰🇪
@JeremiahOkoth Жыл бұрын
No. The rap is top notch!
@franklinemeyo650511 ай бұрын
BONGE LA NYAU DID A GREAT JOB 👍 😊
@musty20253 жыл бұрын
Kingkiba golden voice 🔥🔥🔥
@blackhe_art2070 Жыл бұрын
Alikiba's voice was the best😍😍lots of love from Kenya
@purpledivaeTV Жыл бұрын
❤️🤞
@zacharysato38048 ай бұрын
I'm still watching this when Bongo was flavour
@user-sg6yu2ih3n5 ай бұрын
Ngoma ilikuw Kali mno
@bachirncadebachir70995 жыл бұрын
Kiba kiba kiba we noma, 2019 ngoma bado inahiti From Mozambique
@nassoromasoud55974 жыл бұрын
mambo
@isaachosea15702 жыл бұрын
Bonge la paka yaani dah kipindi inatoka hii ngoma nipo machakos kenya
@omargustavoomargustavo60563 жыл бұрын
Who's here 2021 much love from 🇰🇪 a king will always be a king.... big cat you're so underrated man🔥🔥
@fareed_092 жыл бұрын
Am here
@gloriakazungu40822 жыл бұрын
Here2021,Nov,10th
@jewajua832 Жыл бұрын
I'm here 2022...
@user-ls1es8sd1s3 ай бұрын
Ni Bonge Ra ngomaaaa👏👏
@issadon2093 ай бұрын
Ili goma litaishi miaka mingi sana❤❤❤❤
@mpundempunde172210 ай бұрын
Kiba hakika uliamua kumbariki huyu mtoto korasi ya kwenda haito tokea tena
@SwahiliAmbasador95411 ай бұрын
Nimekuja kumuona king kiba 2023
@dorahpaulin80122 жыл бұрын
King is favourites of all tanzanian and afrian pple worldwide talented kingkiba!🇻🇳🇿🇼🇺🇾
@user-ji7sy2wi7b2 ай бұрын
Hii ngoma ili nivuruga sana kipindi kile ❤❤❤❤
@sashazuberyzubery78046 жыл бұрын
Jomon huu wimbo naupendg mpk bs💕😘
@nasserprince19915 жыл бұрын
duuuu hiii ,mpaka 2018 haijaisha utamu # Mungu akipenda ntavuka nao mwaka 2019
@aminaabdala96725 жыл бұрын
Ros muwando
@user-nl7gq2wq2f5 ай бұрын
Kiba for life 2024 14th january on a sunday am still here
@user-ti8gr2jd8i9 ай бұрын
Hii nyimbo mm napendekeza iwenyimbo yataifa yataifa mawili Tanzania Kenya ilibamba sana 2014
@michaelmisana650Ай бұрын
Nice sana tu kitambo lakin bado inabamba ❤❤
@nemesselestin50062 жыл бұрын
Tuacheni unafiki jamani alikiba fundi tena Zaidi yafundi yani
@officialmrdeo81164 жыл бұрын
Huyu Bonge LA nyau hatakaa atoe ngoma Kali tena kama hii 🏃🏃🏃
@realscholarships-bolde.234427 күн бұрын
"We don't search for old songs" "We search for gold memories"🎶🎶 2024 Everlasting masterpiece🎉❤
@nasibndaro62812 жыл бұрын
chocolate flavour yaani ww umenishinda tabia😃😃😃 it was lit bck n de dayss n still uptodate
@sanaipeiletungaisanahletun28015 жыл бұрын
Nani anaangalia mwaka huu 2019💪💪💪💪
@amanimatonya7905 жыл бұрын
Mambos vp
@gilbertbusuku74455 жыл бұрын
Niko 2019
@chidyjustin29555 жыл бұрын
2019
@somoechicccopa34984 жыл бұрын
Mimi ap
@mariamismail71114 жыл бұрын
2020 nyimbo naipenda hii
@naseeriddi43462 жыл бұрын
No one like KING KIBA, 2022 bado naenjoy mauwez ya KING
@saufaith Жыл бұрын
This is my favorite songs 😢I love it 😍❤️ 2023🎉
@baj4559 Жыл бұрын
Point 👈 zetu.
@omarymneka2 ай бұрын
Big up Sana Kwa jiwe lakudumu❤❤
@sephissa30042 жыл бұрын
Moja ya Choras bora sana kutokea tz unyama flan hivi wa Kariakoo 2022 hado kali kwangu
@reginawitacha79215 жыл бұрын
Kiba wewe kiboko baba chorus unaua utadhan wimbo ni wako
@nyorobimayunga6803 жыл бұрын
Saf san
@mahirali8590Ай бұрын
🤗🤗🤗Uaminifu umeniponza
@bushbernardfarius115111 ай бұрын
2023 adi mwisho
@user-mj4qg4bp2k11 ай бұрын
2023 lakini bado ngoma ya Moto🔥
@emyjames4419 ай бұрын
kabisa
@amaniomballa18552 жыл бұрын
Alikiba msiwe mnamfananisha na paka yoyote Yule bongo kwenye mziki..
@dianamutale12592 жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo tofautu na zile nyegenyegezi,mala akiinama akiinuka waa,pumbafu zenu, mnaimba matusi,,2021
@missmwayway47042 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@lanafelix86492 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanashamwalim-dx6wb10 ай бұрын
😂😂😂😂🤸
@warrensantana15703 жыл бұрын
Alikiba Chorus Kali Sanaaa nimependa hadi natamani ningezaliwa Tanzania alafu niwe mwanamuziki wallahi
@stubijosh7231 Жыл бұрын
Kali sana hii
@abdisalim7052 жыл бұрын
Daaaaaa kiba kiba Cora atariii kk
@karimuhasani16525 жыл бұрын
like kama unaucheck huu wimbo mwaka 2019 ni😡🔥
@husseinjafar57514 жыл бұрын
Yohana chuga sikuiz umekua karm
@roseegaly52514 жыл бұрын
2020
@braytonimani13494 жыл бұрын
🤣🤣 alafu king kiba Africa miusc number one kwenye hii Ngoma umeua kama team kiba like
@rashidimfinanga12233 жыл бұрын
Lilikuwa bonge moja la song hasa hilo ch9rus la kiba
@jaquelinemunish31832 жыл бұрын
Nani kaja hapa kusingiza baada ya live ya roma?🥱
@berryxmsani69526 жыл бұрын
Mimi hapa nakipenda sana kuona kibao hiki 2018 kitaishi akilini kuwa kitamu zaidi.Nawakilisha 254
@twaibumajidu66935 жыл бұрын
Mambo vp
@pendombogo3975 жыл бұрын
2018
@mammymammy2416 жыл бұрын
Jamani kiba sautiii hivi Amina si anapata raha jamani sauti pekee inapagawisha
@pendombogo3975 жыл бұрын
hahaha
@ramadhanally48665 жыл бұрын
Mammy Mammy wao
@rajabumusahasani75045 жыл бұрын
Mammy Mammy +255677287219.
@nomad77075 жыл бұрын
haha..hii ni bangi sasa
@thisisshalirogasia37284 жыл бұрын
This song has always spoke volume to me....Alikiba huna mpinzani nakukubali forever your number one fun 😍God bless
@justusmutinda8146 Жыл бұрын
True king
@ahammedmahruki87082 жыл бұрын
Hii ngoma ingetoka kipindi hiki ingekuwa kubwa kuliko
@omarmatuta77093 жыл бұрын
Wadgo zngu wa Kitaani Kkoo p1 sn nawasoma 2021 South Africa 🇿🇦 🌍
@user-tk7cd6sy9o4 ай бұрын
Tupoooo sanaaa 1 TZ🇹🇿
@mercynelima42413 жыл бұрын
This song was supposed to be a hit,,,,the lyrics 💯✔️ everything is just perfect sijui mbona watz na wakenya hamkufanya huu wimbo ukatembea.
@jenipherlusekelo92122 жыл бұрын
Hii nyimb aina at views m1 watu awazijui nyimbo
@ramadhankhamisali14186 жыл бұрын
uaminifu....yaani ni bonge ya ngoma aise yenye ujumbe wenye kugusa maisha ya vijana ktk mapenzi...
@robertlomayani37466 жыл бұрын
love sana
@saidikarisa12505 жыл бұрын
i miss this kind of bongo flavor,ever fresh,ever entertaining and refreshing 2019
@fredrickphilomena86133 жыл бұрын
Kwenye hii nyimbo napenda sehemu mbili mwanzo anapoanza bab junior na mwisho anapomaliza tena bob junior 🔥🔥🔥
@fatmajuma52333 жыл бұрын
Kiba ni mfano wakuigwa huwa akoxei
@karashilibochomc20384 жыл бұрын
2020,Feb,17..... 12:08 a.m night! "Kwa mafungu Kama vile dagaa!