MATONYA WA 'VAILETH' AFUNGUKA SAFARI YA MUZIKI WAKE "NILIFUNGA SAFARI KUJA DAR KUREKODI NGOMA"

  Рет қаралды 12,345

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@SadikiSinkala-zi3ln
@SadikiSinkala-zi3ln 10 ай бұрын
Namkubari sana matonya harafu ana upendo sana mungu amupe maisha marefu
@abdultandala6576
@abdultandala6576 10 ай бұрын
Matonya nakukubali sana bro ulinipigiaga magoma mazuri sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
@Mikepapy
@Mikepapy 10 ай бұрын
Nakumbk 2006 ule ushindani kati ya Matonya na Alikiba…baad ya wte kutoa Album….Aisee huu mwaka ulikuw 🔥🔥🔥🔥🔥
@ankalmzito254
@ankalmzito254 10 ай бұрын
Kama umerudi kuuskiliza Vayoleti kwa mara ya pili like hapa...
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 10 ай бұрын
Tonya mbili🔥🔥🔥👍
@tigejuma9865
@tigejuma9865 10 ай бұрын
Dunia mapito jama....that song was hot nd vailet.... nkumbuka apo mamba village...aki perform live...alitupa kofia ya white....ikaanguka mbele angu...but ckuiweza ichukua...fujo moja kwa mbili....😂😂😂
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 10 ай бұрын
Spair tile ndo wimbo wangu Bora kwa Matonya na Ile ya Siamini ndo yapili hafu tax bubu ndo zingine zinafata
@DaboyKinamaboy
@DaboyKinamaboy 10 ай бұрын
First person to comment on this video plz give my flower 🌹🌹
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 10 ай бұрын
Bado vocal ipo sanaaa
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 10 ай бұрын
Matonya vaileti,Anitha na Siamini mpaka Leo zipo kwa playlist yng.
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 10 ай бұрын
Zilipendwa
@emarsonjuma9045
@emarsonjuma9045 10 ай бұрын
Kenya hatualikwi
@wakikuba7
@wakikuba7 10 ай бұрын
Tonya boy❤
@KhalfanSalim-v1x
@KhalfanSalim-v1x 10 ай бұрын
sijui awa watangazaji wanawatoa wap
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 10 ай бұрын
Nilimjuwa matonya 2006
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 10 ай бұрын
Tonya mbili
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 10 ай бұрын
DHARAU ZINGINE BHNA,,,ETI MATONYA WA VAILETI,WE ULISKIA KASAHAULIKA UYO??,,ANA HIT KIBAO,,,,NYIE MAEDITOR WA SASA MTAZEEKA VIBAYA
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 10 ай бұрын
Sio nyimbo!! ni wimbo, nyimbo zikiwa nyingi!!😂😂
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 10 ай бұрын
Uyo bro yuko wapi
@johel882
@johel882 10 ай бұрын
Dah hizi dharau😂 matonya “wa vaileth” utafkir ndo nyimbo pekee iliomtambulisha matonya🤦🏾‍♂️😂
@stanastana3199
@stanastana3199 10 ай бұрын
Ukiwa na chochote kitu ndio kuwa na hela sio au?
@Bernardmedia6
@Bernardmedia6 10 ай бұрын
HUYU jamaa janja janja sana na uchawi😂😂😂😂
@ZakahModise
@ZakahModise 10 ай бұрын
Naona kile kilio changu umekifanyia kazi kuweka kisimu chako sehemu safe ....ivyo ndivyo inavyotakiwa kiraza mmoja wewe
@salimbilali5174
@salimbilali5174 10 ай бұрын
Vocals humalizi
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy 10 ай бұрын
Berry black yuko wapi?
@erickothegreat8353
@erickothegreat8353 10 ай бұрын
HIVI ANITA YUPO WAPI!!
@stanastana3199
@stanastana3199 10 ай бұрын
Yuko nlikutana naye Atlanta Georgia bro,mwaka jana
@Elli_calmson
@Elli_calmson 10 ай бұрын
Really 😂?
@alibulushi-d9j
@alibulushi-d9j 10 ай бұрын
Wewe mchaga unaongeya wewe tu huyo Dem haongey
@husseinfundikira3616
@husseinfundikira3616 10 ай бұрын
Tax bubu
@stanastana3199
@stanastana3199 10 ай бұрын
Ukiwa na chochote kitu ndio kuwa na hela sio au?
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
MZEE YUSUPH ATAMANI ANGETAMBULISHWA 'WCB' KAMA D VOICE
6:05
Wasafi Media
Рет қаралды 7 М.
DUNIA (Ep 39)
23:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 61 М.
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 16 М.
🔴#LIVE:MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM  10/01/2025.
2:31:52
Wasafi Media
Рет қаралды 2,9 М.
GB 64 APAGAWA NA USHINDI WA SIMBA, AHOUA AMEZALIWA KUFUNGA
13:13
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 86 М.
🔴#LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM  10/01/2025.
44:32
Wasafi Media
Рет қаралды 2,1 М.