Nimemiss ujana wangu nikasema leo wacha nijikumbushe, Matonya you are still rocking in 2023, Miss your songs 🎵 Love from Kenya 🇰🇪
@allymnyenye8109 Жыл бұрын
Dah Daima ... Tonya boy hii nyimbo naiskiliza kwa mara ya kwanza Dubai tena jamaa zangu kutoka Nai Kenya wakanambia ako m tz katoa nyimbo kali mno
@keydeemasinga6986 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@engineervictorvudinda5944 Жыл бұрын
If we can rewind back our lives
@AbuuMiraji Жыл бұрын
Never forget
@harrishussein6992 Жыл бұрын
Nipo pamona nww
@rosesesala913110 ай бұрын
Matonya alikuwaga mchumba wa dada angu 😂😂😂😂😂 nimekumbuka mbali uwiiiiii ,2024
@Beracudda9 ай бұрын
This song started playing in my head randomly had to
@fimboonlinetv52827 ай бұрын
ikawaje
@amisamaurid18826 ай бұрын
Au tax bubu anaimbwa humu😂😂😂😂
@Joshua-q8v2gАй бұрын
@@BeracuddaMe too that's why am here
@manndazi149Ай бұрын
Vp walioana au
@christianrobert64688 ай бұрын
Any one in 2024🔥
@AmusedCricketSport-gj1gh5 ай бұрын
😂😂🎉🎉
@katibampya84422 ай бұрын
Nipo
@youngtynna47489 ай бұрын
Anae isikiliza hii ngoma sasa hiv mdaaa huu aichoki sms yangu hiii ita ishi na hii ngoma paka kufa naisiliza mdaa huuu😂😂😂
@FURAHA_NI_HAKI_YAKO9 ай бұрын
2❤24
@vickdimpolesnewshub3 жыл бұрын
Acheni kujifanya hamjamuona Uwoya...The bad gal😂
@loke-sb1ok2 жыл бұрын
kweli
@westcijosh6 ай бұрын
Ila uwoya kapita sehemu nyingi sana
@bajunihilali954 жыл бұрын
Ndio nani anaeicheck hii ngoma Kali sana 2020 June 6
@freddyngabonziza5864 Жыл бұрын
Tunaiona mpak 2023
@EvaDaniel-y2u10 ай бұрын
Eva daniel
@PaulShimba-n7cАй бұрын
Paul mnyaama
@Naynay-007 Жыл бұрын
Still one of the BEST SONGS EVER 2023!!❤
@kevinbii117 Жыл бұрын
nostlagia❤
@dianamuchai4 жыл бұрын
"kumbe Taxi bubu 🚖 mchana namba za njano usiku uweka nyeupe 😊🤔 " hii Quarantäne imenikumbusha dem days of total hustling in mombasani 😃😃
@allymnyenye8109 Жыл бұрын
Much respect Diana
@MtuSafi17 сағат бұрын
mchana anavaa za njano😅😅
@andegwijames36492 жыл бұрын
Fid q killed it. Matonya barrier it. We surely miss bongo flavor.
@Mambo1000yaMama2 күн бұрын
Nakumba mbali sanaaaa , enz hizo temeke nakumbuka rafiki zangu wa zamani daaaaaa , natonya kanipereka mbali sanaaaa
@noelkalinga2 ай бұрын
hii beat sijui alitengeneza nani au MJ kali sana naisikiliza hadi leo 2024
@ngwelesaiwadi8900Ай бұрын
marco chali
@NasraAlly-yx6gt8 ай бұрын
Nakupenda San hji wimb salut fid q
@ellyabwao5107 Жыл бұрын
❤❤from Kenya...back old days " Redio Jambo" 🔥
@edwardkirema51443 жыл бұрын
Matonya used to be the best musician back then what happened with him he went mute
@simonmutuura48312 жыл бұрын
High schools entertainment those days....love every line
@mwanakombokombo66832 жыл бұрын
Kabsaa,I was in form one
@williammbewe5062 жыл бұрын
I can feel it 2022. Fro Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@patrickwanje64338 ай бұрын
Nakumbuka hii siku video wakishoot Nyali bridge Mombasa niliona was going back home from skul❤❤❤
@daudimpoli59137 ай бұрын
Hizi harrier tangia enzi hizo ni gar Kali saiv madgo wanaona magar mapya wakongwe tunaita new model
@patrickandika3676Ай бұрын
I didn't know my childhood would forever be my best moments....such good music. Matonya was talented... They don't make music like these anymore
@deopaskal16684 жыл бұрын
miongon mwa ngoma tamu mnoo ndan ya bongo fleiva
@LiiToks Жыл бұрын
Taxi bubu a legendary vibe from Matonya
@feisalcde79795 ай бұрын
Ukisikiliza aina hii ya nyimbo lazima kafeeling ka mambo ya zamani kaje
@samsonkusupa6809Ай бұрын
Kuna watu wanajua kuzitendea haki charactor zao hongera mrembo
@rashidtsanuo7713Ай бұрын
Tena nishamuhusudu nae ganigandaganda mithili ya mdudu kupe. Legends never forgotten
@saidiphily49644 жыл бұрын
Nyimbo ina funzo inaerimisha thanks tonya 2 kwa kufanya kaz nzuri
@martinkarega421911 ай бұрын
Dem days..2024 bado goma hatari
@dannyorina9126 Жыл бұрын
June hapa,still naskiza Taxi bubu. Nikiwa mdogo used to listen to Matonya songs
@lizzydiy45902 жыл бұрын
MATONYA❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ i love you so much 🥰🥰🥰🥰
@aidanmmari62089 күн бұрын
One of the best of bongo flavours
@viviannuhu46333 жыл бұрын
2021 tujuane please 😍😍
@MekyArosto-os5gt9 ай бұрын
Tonya Time big up brother huu wimbo inanikumbusha mbali sana
@anthonykamaukuria2 жыл бұрын
I had this song in bongo mix and I had to search for the song..thanks matonya
@Coast-u7z25 күн бұрын
WAngap 2meona KAZ 742J😂 kimberley ngoma ilifanyiwa video apa apa 254❤❤
@MadeMahodaa3 ай бұрын
Jaman kabadilika sana kimwili Ila usiombe aimbe kidogo daa voko ileile TONYA ✌️
@blacklion36722 жыл бұрын
Beat safi, ngoma safi, fid q nahisi alituonjesha tu. Video kali mombasa kenya. ...namba za njano usiku weka nyeupe.. hatari .. May 24 2022 gonga kama umeiona
@e.propertynetafricaltd1368Ай бұрын
Uwoya huyooo 🙌🏽🙌🏽😂
@sichengaotto69533 жыл бұрын
One of Tonya hits dat still rocks
@CoachHafidh Жыл бұрын
Sh*et....i remember this video happening @ nyali bridge mombasa😢. Nostalgia🔥❤️❤️
@abuonassib8516 Жыл бұрын
Yeah hii video ili shootiwa apo nyali , Mombasa
@Kidotii3 жыл бұрын
Matonya naomba urudi Kwenye game! 2021
@rahimally38984 ай бұрын
Ujuee fid q alipewa kipandee kifupii sanaa
@chaulachaulaya52592 жыл бұрын
Tulioisikiliza 2022 tukutane hapa
@elihurumajeremiah2932Ай бұрын
ila matonya na fid huwa mna click sana aisee
@hassanbillow6161 Жыл бұрын
I use to listen to this song way back in 2008 when I was form 3 and here iam in 2023.
@rajaissa5686 Жыл бұрын
Hiii ngoma ilifanya ni kahoà
@AlfredNkukwe14 күн бұрын
Sio poaaa itadum sana
@sylvanosalumu58405 ай бұрын
Matonya is among the greatest living Legends of🇹🇿
@abelmkiba543 Жыл бұрын
Nimeanza nayo j.3 ya leo 00:20 bonge la dude🔥🔥🔥
@ZawadiHaonga-b2w7 күн бұрын
Ngoma nimeielewa sana hii
@popekariuki50413 жыл бұрын
Pure talent...'when music was music2021 still listening '
@edisonjefwa52912 жыл бұрын
Hit songs will stay forever ❤️
@yusuphally69398 ай бұрын
2024 🎉 tax bubu
@bornartistictoday7020 Жыл бұрын
Nshapatana na taxi bubu nshaipata haswa MAANA yake kikweli nomaaaa Sana siiidaaaa majengo 254 ulinifunza kuishi kijeshi
@AshaHilali-gh4oe2 ай бұрын
Kweli kabisa still hitting 2009-now😊😊
@musatainada635 Жыл бұрын
2023 still rocking ,this music is real,am trapped
@athmanrama28553 жыл бұрын
ii video nikm waliishut nyali bridge Mombasa
@RajabuAbdi-rs7spАй бұрын
Salutii sna matonya
@PrincessMerry-ps3zi10 ай бұрын
2024 nimekumbuka hili dude😊
@qunjantv3 жыл бұрын
One of the song that like to listern every day
@jossnick8093 Жыл бұрын
2023 udaktari wa heshima anapewa babu Tale vinaachwa hiv vichwa.. Dahhhh
@furahalewa47837 ай бұрын
2024 we still in❤❤❤❤❤❤from kenya
@fatuu33972 ай бұрын
Nani yupo 2024🔥
@Sage-o4q Жыл бұрын
This life was 2007....2010. Yaaan hapo galapo ilala nilikua mwalimu mkuu.
@stevkaliona41072 ай бұрын
Hii Ngoma mwaka 2008 Niko form 4 mpk nione ndio nisome au nilale ❤😂gonga like km ww mwaka huo ulikuwa unaisikia
@ZulekhaAmar-fy4pmАй бұрын
Wewe muhenga kama mimi nilikua nipo Form 1 mwaka huo
@stevkaliona4107Ай бұрын
@ZulekhaAmar-fy4pm 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@daudisalum9574 Жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana Hawa ndo walikua wasanii bhana
@VictorMligo-t9c9 ай бұрын
Tonya mbili 2024 😂
@OmarRaoul-g8v11 ай бұрын
Bujumbura 🇧🇮❤inakumbisha mbali
@Shieldmabationline6 ай бұрын
Bonge la ngoma hii mi Bado nasikiliza mbk leo
@kevinohola12053 ай бұрын
Dem dayz❤
@harrishussein6992 Жыл бұрын
Naisikiliza leo trh 25/10/2023 inanikumbusha mbali sana
@mohamedjuma479411 күн бұрын
Hii ngoma fire sana
@LILINNNKO2 ай бұрын
Ujana wa enzi ulikuw mtraamuu
@slyvanucharlespaul2 ай бұрын
MBONA HIOZ NGOMA ZA JUMBE HUWA HAZIPENDELEI CHEZWA REDION AU WATANGAZAJ TV & REDIO NAO WAMESHAKUWA WA DIDY!! SIKU NYING HATUJUI
@aminaathuman491910 ай бұрын
daah...nimekumbuka mbali leo...nilikuwa namuona sana mombasa kwa chief kiumbe..
@jacksonmarro60093 жыл бұрын
MARCO CHALI ALITENGENEZA BEATS💥💥💥💥💥💥
@polishedbyfrank120Ай бұрын
Good old days.. music was music
@Geenlife254 Жыл бұрын
Marco chali beats 🔥🔥
@sultanmswahilitv48642 жыл бұрын
I remember having the cd of this song the yr 2009
@bensonmerooficial Жыл бұрын
Tonya come back again u were too 🔥🔥🔥 big up.
@herbertbathlomeo4650 Жыл бұрын
Nakumbuka vitu vingi enzi za kutoka kwa wimbo huu
@MugabePaulo9 ай бұрын
Sio wewe tu miziki long time a go
@oliverkelvins21083 ай бұрын
Nimemiss Sana my classmates harun na geophrey Paul wote wa bongo.tulisomea pesoda complex academy Migori,nakumbuka wakiimba huu nyimbo wakati wa SoMo la kiswahili na madam Eliver
@mgogobeleko14119 ай бұрын
Matonya I miss you so my brother ludi tonya please 🙏 2024
@makangeofficialmediatz67153 жыл бұрын
Mchana za njano,usiku nyeupe😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
@Salviiboy9 ай бұрын
Yaaan u ndio mziki aiseee,kila kitu kizuri
@charlesmayuki19963 жыл бұрын
2021 still hot 🔥🔥🔥🔥
@teamallyracing17803 жыл бұрын
Tupo
@mohammedmkapanda36013 жыл бұрын
🤣🤣🤣 noumaa
@erickmweta82153 жыл бұрын
Sanaaa
@eunicejohn55203 жыл бұрын
Hatar
@rygeemabdul7044 Жыл бұрын
Class eigh tbt. Still my favourite 🎉
@ericksonssungu9420Ай бұрын
My all time oldskul favorite 😊😊
@truppdizz73303 жыл бұрын
2021 still available now 🔥🔥🔥🔥🔥
@teamallyracing17803 жыл бұрын
Tupo
@johnmwangi24357 жыл бұрын
this jam i can get enough of it 💯 ✔. n TBT lakini naipenda sana #matonyabili
@hassanabdulrahman73323 жыл бұрын
Still around till now 2021 hits song will stay forever
@Poncian-e3c16 күн бұрын
Noma sana
@anickgao61393 жыл бұрын
2021 am here... nice collaboration
@shokajr97143 жыл бұрын
Kama imetoka mwaka huu. 2021
@DeusMsira Жыл бұрын
Nimekaa nikakumbuka hizi masterclass. Still sounds good mpaka sasa
@radojembe73473 жыл бұрын
Still in 2021 its banger pure bongoflevaa
@mathajemx40123 жыл бұрын
Jeshi la akiba makongolosi
@raysulesh85894 жыл бұрын
2020 November and the hit is 🔥🔥🔥
@eltongeraldАй бұрын
Viewing this on 20th October 2024🔥
@DD-oy2ps2 жыл бұрын
2022 bado hii track ni fire, wangapi wananipa like
@sameerabdallah2112 Жыл бұрын
Bila huu wimbo hakuna mtu angemjua Irene uwoya
@mcblessings05779 ай бұрын
Sio kweli. Uwoya alikua ashatoka long time hapo alikua katika batch ya kina Sepenga wana run jiji. At last kidogo ungesema movie ya Oprah ndio imempa jina Uwoya sio hii song