2023 nipo Kula lyrics iyo 👇 Najua nishachelewa Kama kupenda umeshawahiwa Nahisi kama ngekewa Hadithi nzuri nasimuliwa Kweli Maanani kaumba dunia kwa uwezo wa pekee Nakupa marks asilimia mia baada wifey wewe Kwani, lini, honey utakuja niamini? Ya kwamba kidole kimoja hakiwezi vunja chawa hasirani Pini ukinilia mi utanipa kovu kubwa maishani Kwani Tonya mi tayari kuwa hata kwa spare tairi Tafadhali Lati niamini Nenda kwanza kafikiri Tonya boy mi ni tayari kuwa hata spare tairi Bumsara bumsara ise (eeh) Hata maua hunyauka (eeh) Tafadhali Lati nitunze (eeh) Ipo siku ntakayofaa (eeh) Bumsara bumsara ise (eeh) Hata maua hunyauka (eeh) Tafadhali Lati nitunze (eeh) Ipo siku ntakayofaa (eeh) Kila ndege hutua kwenye mti aupendao Hata kama una miba na majani kibao Nishatota nugu tafadhali nikubali mwenzio Hata kama una mchumba sitoweka vikwazo Ayaa, hata mimi nakupenda kwenye hii sayari Ayaa, na tabia za watu Lati huwezi tabiri Unaweza tendwa na uliye nae Nikaziba pengo juu yake yeye, Lati niamini Tafadhali Lati niamini Nenda kwanza kafikiri Tonya boy mi ni tayari kuwa hata spare tairi Bumsara bumsara ise (eeh) Hata maua hunyauka (eeh) Tafadhali Lati nitunze (eeh) Ipo siku ntakayofaa (eeh) Bumsara bumsara ise (eeh) Hata maua hunyauka (eeh) Tafadhali Lati nitunze (eeh) Ipo siku ntakayofaa (eeh) Kila kukicha mi naona jii Hata mwenzangu hueleweki Na jibu langu hunipi Nitafanyanini sasa wangu Lati Kila kukicha mi naona jii (eeh) Hata mwenzangu hueleweki (eeh) Na jibu langu hunipi (eeh) Nitafanyanini sasa wangu Lati (eeh) Tafadhali Lati niamini Nenda kwanza kafikiri Tonya boy mi ni tayari kuwa hata spare tairi Bumsara bumsara ise (eeh) Hata maua hunyauka (eeh) Tafadhali Lati nitunze (eeh) Ipo siku ntakayofaa (eeh) Bumsara bumsara ise (eeh) Hata maua hunyauka (eeh) Tafadhali Lati nitunze (eeh) Ipo siku ntakayofaa (eeh)
@rebeccabee3874Ай бұрын
Tungo Kali sanaàa hii
@chusseboywcb28089 ай бұрын
Nilikua naipenda hii nyimbo Tonya kipindi hicho ulikua umenishika ndio Kwanza nilikua nanza kujua mapenzi🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@antonettengali177510 ай бұрын
Still here❤ 2024
@rashyrushes86669 ай бұрын
Still hot till now🔥🔥
@Boaz229 ай бұрын
Umetisha sana❤
@MustaphaJumaa-jy7po9 ай бұрын
❤
@VictorMligo-t9c9 ай бұрын
Tonya mbili😂
@FaustaP2709 ай бұрын
Yupo pamoja
@richtv984710 ай бұрын
Kama upo 2024 gonga like hapa
@MariyimJumanin17 күн бұрын
❤
@emmanuelrichard6771Ай бұрын
Tuliotumia mistali ya matonya kuwapata mabinti n wengi kama unakupaliana na mm gonga like👍
@kingmtetezi66708 ай бұрын
2024 still here good music never die forever🔥🔥
@ayanmilitiatmk1463 жыл бұрын
Nilitumia mistari ya hii nyimbo, kumtongoza Msichanaa, akanikubalia🤣🤣🤣. Na alipo sikia huu wimbo Akanibwaga😭😭😭. Ila Wimbo uko juu. Big up bro TONYA💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏼
@godybully27082 жыл бұрын
Ahahah
@ishipalemypasco25672 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hamisaadamu8099 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@zatchardzknestor Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@jilesjames7830 Жыл бұрын
😄
@DeusMsira9 ай бұрын
Back when music was real. It's 2024 but the song still brings out the vibe.
@mahambamujengwa80599 ай бұрын
Surely
@MaryWuantet6 ай бұрын
Sure...hizo ngoma are real ...
@Abby_Shawn_KE24 күн бұрын
Huu wimbo MEDIA zingeupa promo ungefanya vzuri ni mkali sana huyu jamaa
@EriyaRichard10 күн бұрын
Ni kweli tena zipo nyingi Sana humu KZbin natamani ndiyo zinge pigwa saizi mtaani
@Abby_Shawn_KE10 күн бұрын
@EriyaRichard mashoga na wasagaji waliopo kwenye MEDIA wanasapoti wenzao wa vyama vya kufanya mapenzi jinsia sawa ibada za shetani tu, mfano mie hapa kenya wamenipiga chini kisa kukataa vyama vyao ukioata muda nisikilize nimefanya na AM RECORDS pamoja na BARAKA THE PRINCE
@lawidaleche96629 ай бұрын
Huyu jamaa ni bonge moja la legend..pure good music mpaka leo
@labankidake82332 ай бұрын
Hii Ngoma yafaa iwe na views atleast 10,000,000 views east Africa tulimwangusha Tonya .... awesome song ever
@fridahmakandi3996 Жыл бұрын
One of the best songs from Matonya...still love this song 2023
@georginachakwony5194 Жыл бұрын
I love listening this song
@bernardmugoh4443 Жыл бұрын
Love this song❤
@bonimanyama36149 ай бұрын
Sitll here too 2024❤
@umarrashird50092 жыл бұрын
Huyu jamaa ana talent kubwa sana
@nockfaithoflion27 күн бұрын
Wanaosikiliza hii ngoma mpaka 2025 gonga like
@tycoonmutter28303 жыл бұрын
We need to support this guy to come back 🤒
@AmanJr-bd7qx Жыл бұрын
Muda wake tayari umekwisha ni muda wa vizazi vingine
@Shilasaitoti Жыл бұрын
Jamani wabongo tu much love from kenya❤❤
@OphiryNtirnigaАй бұрын
Nikiwa kijana mdogo 2010 leo najikuta nakumbuka neno spair tail
@radojembe7347 Жыл бұрын
Who is still listening this boom Good music never die big Tonya time
@socialdemocrat00159 ай бұрын
Promoter tonyaa big up man we enjoyed your muzik man ....
@evansjuma6555 Жыл бұрын
Back in 2010 when Kenyan music was on top in East Africa big up Matonya come back Matonya we miss you alot
@yusufmwero7016 Жыл бұрын
This is Tanzanian music though
@mumokimanthi3421 Жыл бұрын
Matonya sio mkenya ni mtanzania!
@justuswangila7604 Жыл бұрын
Where is matonya we are missing him in the music industry
@Its_jozeeeh Жыл бұрын
@@mumokimanthi3421😅
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Who lied you matonya is a Kenyan 😂
@KeffaKibaara6 ай бұрын
Still love the song..June 2024❤
@chandeyusufu95702 ай бұрын
Wenye mziiki wao wamerudi tena watoto kaeni pembeni
@jescaflorensi628Ай бұрын
Umeona eee
@chandeyusufu9570Ай бұрын
@@jescaflorensi628 nimeona ndio maana nasema wenye mziki wao wamerejea
@kysredy64983 жыл бұрын
Umepotelea wapi matonya jaman 😭😭😭
@alhimnamussasaid3619Ай бұрын
Hivi matonya kwa sasa haimbi tena 😢
@saidmwabora28826 ай бұрын
maisha yapo mbio sana wallai..i remember these days wallai..wish we GO back there much love and a peace world❤❤
@nuswaibashabani24943 жыл бұрын
MATONYA umepotelea wapi jamani like
@TitusSarkai-hg5uk5 ай бұрын
Tungu nikiwa darasa la pili hadi mi mtu mzima .great one ❤❤❤
@mathiasshayo63482 жыл бұрын
Bongo movie na bongo flavour kwa pamoja kipindi hicho
@TsholoRama2 ай бұрын
One luv from 🇿🇦
@zaqiamhando85713 жыл бұрын
Nakumbuka hii nymbo nlkuwa nipo darasa la tano jmn still watching 2021
@tynahchitamu86759 ай бұрын
2024 yamoto
@BassamAssad-f8d5 ай бұрын
Ukitaja wasanii wenye kipaji kikubwa tanzania, huwezi kumuacha tonya mbili
@evajuma7936Ай бұрын
Nakubali mistari iliyo enda shule mwamba
@bish_daddiyao3 жыл бұрын
2021 nawakilisha Hapa 🇰🇪♥️🙌🏾💥♥️🇰🇪♥️🇸🇦Mziki Unaoishi Rudi Tena Mjini Matonya.. Vocalister
@DiwaniMwafongo7 ай бұрын
Jamaa alikuwa mwimbaji....Matonya mtoto wa Ta......
@mathewstanley40638 жыл бұрын
aiseee😁😁😁😁😁saivi miaka 6 halafu vews 500 duhhh 😁😁😁😁😁
@JumaSela-y6s2 ай бұрын
Juma sela 2024
@daresadany19625 ай бұрын
Mi Tena 2024
@monkoasia73457 жыл бұрын
Hii nyimbo imeimbwa sana ila wanabania
@expert58984 жыл бұрын
Upo sahihi sana
@wilsonmurage12 ай бұрын
Hii ngoma iliweza
@EuniceRaphael-y1j3 ай бұрын
Zilipedwa ni nymbo tam San namkumbaka rafiki yangu alitongozewa na huu wimbo jamaa alikubali kuwA sper taili
@peninnahmwalili8518 Жыл бұрын
A real tbt.... Spare tairi.. still listening to this in July 2023
@bellingtonekimanzi75043 жыл бұрын
These songs remains the only bongo flavor with real contents
@vascomartin11039 ай бұрын
Tupo wote 2024
@Goodluck-g8i6 ай бұрын
Lifanyiwe mix hili dude
@DAINO-A2 ай бұрын
Dahh ST MARY'S MANG'ULA HIGH SCHOOL IYO 2009 tunaenda tour bagamoyo,oya kwenye coaster hili goma ndo linapigwa sio poaaaaaa babu
@peaceboyke4 жыл бұрын
2020who is still watching
@safiyahkaiji57044 ай бұрын
Those days no Facebook what's up so called twitter .Skype..#organic only hooo times can pass.
@migoshimself320410 ай бұрын
One off my favorite 2024❤🇧🇮
@herbertbathlomeo465013 күн бұрын
Ila kiukweli song za long zilikuwa poa sana
@godfreyodari9954 Жыл бұрын
hizi ndo zilikuwa ngoma,,siyo upuzi mabao tunaskiza siku hizi
@EriyaRichard10 күн бұрын
Auntie Ezekiel ❤❤❤❤
@josiahkimani17 Жыл бұрын
The best song from this guy
@masikaharon4103 Жыл бұрын
always u be a legend in music industry that upcoming artists should learn from 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@Thepathfinder104 ай бұрын
😭😭😭😭😭This song kweli time flies
@ANTONITzofficai9 ай бұрын
Umepedeza🎉🎉
@fraciahwanja6902 жыл бұрын
Damn I remember this song growing up, now I can relate to the lyrics in 2022
@emandinka10037 ай бұрын
My favorite from you Matonya❤❤❤❤
@JamesJoseph-bm8ix6 ай бұрын
OLD IS GOLD 2024 still sound like new melodic 🔥🔥🔥
@kiplangatkevin353227 күн бұрын
Huyu bwana aliingia wapi?
@MadeMahodaa3 ай бұрын
Yupo madale king of mbili
@mumbampundu7902 Жыл бұрын
great music from matonya 👏👏👏
@JustinKochecha-kl4mt10 ай бұрын
We don't look for old songs we looks for childhood memories..
@kwangahudispensary72389 ай бұрын
This song ,l firstly listened and look on Tv of the parents of one girl who didn't accept me that l was loving her,,2009
@alexdougly828 ай бұрын
Words ever 🙌
@rosesesala913110 ай бұрын
2024❤❤❤❤🎉🎉
@StanleyMwaniki-ew1wz Жыл бұрын
My favourite song since back den
@MwitaMasangia6 ай бұрын
Uwezi amini kipindi hicho nilipata dem kwakutumia mstari wa spea tairi nikafanikiwa
@rebeccanankya30517 жыл бұрын
nice , fit for human consumptin. keep it up
@juliusabubakar22032 жыл бұрын
Yeah 😂,yes bana I agree with you 💪💯
@JeanMalilo7 ай бұрын
if you know this song 😂😂😂 na Bado upo single 😀 chukua jiko leo leo
@cobrajohns82193 жыл бұрын
Legendary music 🎶
@josephmbula74012 жыл бұрын
Till now I respect this song
@husseinchudu14302 ай бұрын
Here in 2024 Tonya legend
@TitusTingide Жыл бұрын
Motonya 4 1000years ❤
@PRISKAAZIZKII5 ай бұрын
Tonya ❤❤❤❤❤
@filskischannel97373 жыл бұрын
Mpoki🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...aiseee 2021 still hitting this song🔥🔥🔥✔️
@WeshWesh-mg3sf3 ай бұрын
Gonga apa kama upo augst 2024
@westcijosh Жыл бұрын
Bongo had big artists man i don't understand what happened
@richardedward92602 жыл бұрын
Tar 09/09/2022 Nyimbo tam sana hii sichok kusikilza Tonya tunakumiss mafance wako
@barakawatu92262 жыл бұрын
Hit song brand 2009 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@morriceopiyo220310 ай бұрын
Im Kenyans but i love bongo music a lot Kwanza hi ❤