Рет қаралды 2,387
BBC News Swahili
Hassan ameishi na ugonjwa wa figo bila matibabu, hata hivyo mamalaka za jimbo la Wajir kaskazini mwa Kenya zimezindua huduma maalum, kuwasaidia wagonjwa kama Hassan na kunusuru maisha yao.