No video

"Matumizi ya mtoto nilikuwa natoa, sijui kwa nini Gigy...! MoJ

  Рет қаралды 31,354

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

MoJ ameleta haya baada ya kudaiwa hatoi hela ya matumizi ya mtoto....tazama hapa.

Пікірлер: 151
@aminabakari553
@aminabakari553 6 жыл бұрын
Dah pole sana moj ila mungu yuko pamoja na sisi ila wanawake tuwe makini sana sometimes tunaweza kupendwa tukajitia hamnazo kwaajili ya hela mungu atakujalia utapata hela moj ila hela ndo shida
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 6 жыл бұрын
Jamani wanaume wazuri wanapata wanawake shoti
@mollymelisa2944
@mollymelisa2944 6 жыл бұрын
Fatma Fatma shot wire gigy😷😷
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Mackini, Mo J anatia huruma, pole sana Brother njoo kwangu utojutia, inasikitisha sana kwa yaliyokukuta.
@nasrallynuru1703
@nasrallynuru1703 6 жыл бұрын
acha mambo ya kijinga ww ww ndio nani
@nasrallynuru1703
@nasrallynuru1703 6 жыл бұрын
acha mambo ya kijinga ww ww ndio nani
@saidkaoneka2648
@saidkaoneka2648 6 жыл бұрын
Saumu Hassan 😂😂😂wao my nakupenda sana dada me ni bint
@salmangassu1011
@salmangassu1011 6 жыл бұрын
Naipenda sana sauti yako nakupenda pia japo Kila mtu anamapungufu yake
@emmajulias5688
@emmajulias5688 6 жыл бұрын
Gigi moj anakupenda sana kaeni mzungumze plz
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 6 жыл бұрын
Ila gigy haki sijui ni mwanamke wa aina gani...moo j una moyo wa chuma kwakweli kwenda kuzaa na gigy???
@mariaferick7381
@mariaferick7381 4 жыл бұрын
Ashun Mohd nenda kamsikilize na gigy sio unalopoka tu ,uwajui wanaume wew
@rebeccaasiyo4223
@rebeccaasiyo4223 6 жыл бұрын
Who is telling the truth now??? Giggy akiongea unaona ni kweli kabisa...huyu sasa pia anaongea kama malaika ....its really hard to judge
@queenpinky1923
@queenpinky1923 6 жыл бұрын
Ahahahhahaha
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 6 жыл бұрын
Rebecca Asiyo kwani hujui gigy ni chiz hahahah muongo ule
@magynzioka1122
@magynzioka1122 6 жыл бұрын
Malaika na shetani wana fanana
@rehemamusa3251
@rehemamusa3251 4 жыл бұрын
N
@hyldanicolemathias9236
@hyldanicolemathias9236 6 жыл бұрын
ukifatilia story iz mbil kwa mwelewa lazma ung'amue kitu uyu kaka sio chiz jaman KTU anachoengea kimenyoka tofaut na mwenzake
@samira0616
@samira0616 6 жыл бұрын
Hyldanicole Mathias kabisa gigy ana akili
@sallykanze
@sallykanze 6 жыл бұрын
Hyldanicole Mathias kabisa huyu kaka mm mbona nimemuelewa
@rehemamusa3251
@rehemamusa3251 4 жыл бұрын
Mxhkaj kaeleweka mbn
@furahaisack4486
@furahaisack4486 6 жыл бұрын
Jamooon! Mungu anamuona why anamfanyia hvo huyo mtoto kweli mziwa yake anakamua anampa mtoto, technology nyingine bwan
@mariamkhamisi5575
@mariamkhamisi5575 6 жыл бұрын
jamani hii sauti yake tu yanimaliza
@samira0616
@samira0616 6 жыл бұрын
Mariam Khamisi 😂😂😂😂😂
@kagemulokashumba4166
@kagemulokashumba4166 6 жыл бұрын
haaaaahaaaaaa sauti
@edwinfweni
@edwinfweni 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@christophermartin4572
@christophermartin4572 6 жыл бұрын
Wewe kaka umejichanganya kuzaa na kahaba ambalo halifugiki ila pole sana ndio ujifunze ili kisije kikakurudia tena ktk maisha yako
@pilipili3853
@pilipili3853 6 жыл бұрын
Christopher Martin saiti yako tu inanimaliza moj
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
tobaaaa si yatachacha hayo maziwa
@ftmat2805
@ftmat2805 6 жыл бұрын
Ggy mshirikina sana
@nattinatti6308
@nattinatti6308 6 жыл бұрын
Al Burj sanaaaaa
@gracengonde676
@gracengonde676 6 жыл бұрын
Al Burj maneno kuntu
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 6 жыл бұрын
Saaana tu
@33-synchronized
@33-synchronized 6 жыл бұрын
Tengeneza movie bro utauza kichiz story tam AF unajua kujielezea
@latifawangu9172
@latifawangu9172 6 жыл бұрын
Ildephonce Kisasi we chizi ujue yaani umeshaona fursa
@33-synchronized
@33-synchronized 6 жыл бұрын
Sasa ugomv tayar ishatokea next fursa hamna cha maana tena
@saidkaoneka2648
@saidkaoneka2648 6 жыл бұрын
Kweli sauti yako iko nice brother Gigy mahela kichefuchefu tu
@rehemamusa3251
@rehemamusa3251 4 жыл бұрын
Daah mwanaume nd anajua malez ya mtt kuliko mwanmke w gigy kwl azmo jmn
@doreenvero3567
@doreenvero3567 6 жыл бұрын
moo j njoo kenya
@winieadam4903
@winieadam4903 6 жыл бұрын
ulikosa mwanamke wakuzaa nae...... pole sana ....ila jitahidi tu kutafuta solution ya mtoto ...maana mama kichaa
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 6 жыл бұрын
Tena ana kichaa cha kutosha tuu
@blandinamrope3860
@blandinamrope3860 6 жыл бұрын
Mo j wewe tulia utapata mwanamke ambaye anakupenda kwa dhati coz G alikuwa hakupendi ingekuwa anakupenda angekusikiliza unachomuelekeza,alafu chengine akumbuke kwamba pesa zinatafutwa kinachotakiwa ni mapenzi ya dhati,alafu katika maisha sio kila siku utakuwa na pesa kuna muda mtu unakwama,na chengine anakuacha wewe unayempa elfu 5000 anaenda kwa mtu mwenye pesa anajua huyo mwenyepesa kazioatajepataje,chengine kuwa makini na mtoto wako coz yy ndio kila kitu, muombe sana mungu atakusaidia atakupa faraja utayasahau yote coz changamoto nisehemu ya maisha na unapopitia changamoto mbele kunamafanikio so neema yako inakuja ipo njiani.
@lucyemmanuel5164
@lucyemmanuel5164 6 жыл бұрын
inashangaza sana kuona mwanaume anajua kulea zaidi ya mwanamke,vitu muhimu anavijua kama feni si nzuri kwa mtoto ila mama anaona poa tu,kudhulula na mtoto hata arobaini bado,mie nimekuelewa sana moo
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Kaka unasauti nzr uyu gigy hajielewi achana nae
@samira0616
@samira0616 6 жыл бұрын
Asia Zuberi 😂😂😂😂
@marcomwaimu3979
@marcomwaimu3979 6 жыл бұрын
hahaaaa
@edwinfweni
@edwinfweni 6 жыл бұрын
Sifa zimeiva😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@edwinfweni
@edwinfweni 6 жыл бұрын
Mekuona kwa Millard ad huku😂😂😂😂😂😂😂😂 #we ndo next ...I guess# jux kiddin
@sistersade9039
@sistersade9039 6 жыл бұрын
Sasa gigy waona ulivochafua bahari? Wewe umesema sana Na moj ajitetea, Mwisho maisha yako yatembea mtandaoni. Haijakua na haja kusema mambo yako ya ndani hadi ile. Ebu kuwa, Wacha tabia za kitoto hizo. Ulishamjua hana Hela kutoka mwanzo, Sasa nini kumfedhehesha hadharani namna hii?
@edwinfweni
@edwinfweni 6 жыл бұрын
Usijaribu kuoa #team kudanga...(sijataja jina)🙈🙈🙈🙈
@getrudamatoto1979
@getrudamatoto1979 6 жыл бұрын
Gigy tulia ulee mtoto hata miezi mitatu bado unazurura nae utamuua wallah
@faithakoth7396
@faithakoth7396 6 жыл бұрын
Ndoa mtihani jamani
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 6 жыл бұрын
Faith Akoth .
@samira0616
@samira0616 6 жыл бұрын
Faith Akoth ww awajaoana awa
@josephsanduli.5216
@josephsanduli.5216 6 жыл бұрын
gigy kahaba tu huyo ukitaka kufatilia matatizo yake angalia alivyokuwa anamtukana yule mjumbe!!
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
bas huyo mtoto atapata shida maana mama mwenye kichaa
@salmangassu1011
@salmangassu1011 6 жыл бұрын
Salma Othman kabisa baba ndio anahuruma na mtotoalie enda leba hana habari gigi tulia jifuze kwahata kwa wenzio
@user-pn7er7ej2i
@user-pn7er7ej2i 6 жыл бұрын
Wewe kk ukofresh huyu dada malaya fanyayako kaka malaya ha fugiki
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 6 жыл бұрын
Pole sana kaka ndoa ni kuvumilian 2
@joselendena2448
@joselendena2448 6 жыл бұрын
yuleee kahabaaa mo.j hajui. kua mtu akizaa unatakiwa utulie nyumbani....ana tamaaa sanaaaa baadh yawanawake nima k. sana hawajuagi kua..shida wala nini ,wao wanapenda tu .mda wowote uwe. nazoo pumbavuu zenu...ndio mana_sisi wanaume.. tukisha ona jitu lina taaama tunajitaid ili. utiwe eee usepeh....tabia mbayaa kwanini tusi vumiline.....mdawowo...una mpigia mtu hesabu tofauty ..nakipato chake mamayeeee. k. nyieee
@selestineosoo5045
@selestineosoo5045 6 жыл бұрын
Moj, please njoo kenya utapata mke mzuri..
@yasmeenyusuf1265
@yasmeenyusuf1265 6 жыл бұрын
selestine osoo kwani huko Kenya hakuna wanaume wa kuwaowa hadi umuombe mo J aje Kenya aowe?
@merryn4891
@merryn4891 6 жыл бұрын
+yasmeen Yusuf ha ha haaaaa helo nalo neno
@merryn4891
@merryn4891 6 жыл бұрын
+yasmeen Yusuf ha ha haaaaa helo nalo neno
@yasmeenyusuf1265
@yasmeenyusuf1265 6 жыл бұрын
Meresiana Were nashangaa hawa wakenya kutwa kujifanya wao ni bora kuliko watanzania.. Mxxxyyuuu.
@merryn4891
@merryn4891 6 жыл бұрын
+yasmeen Yusuf hawan lolote kila mtu na bahati yake wanaweza kujiona wanaheshim kumbe hakuna
@user-pn7er7ej2i
@user-pn7er7ej2i 6 жыл бұрын
Wewe badokijana fanyayako achananae
@gee01online95
@gee01online95 6 жыл бұрын
pole sana mo j
@reginajuma1740
@reginajuma1740 6 жыл бұрын
This guy is so sweet!
@estherauma9740
@estherauma9740 6 жыл бұрын
Waaaaaaaaaah pole kaka
@salmaraju4175
@salmaraju4175 6 жыл бұрын
Angalia maisha ya mtt that's all
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 6 жыл бұрын
Mtamlaumu bure huyu giggy wenu tatizo ni mazingira aliyokulia na kusema ukweli kama yeye mwenyewe hataweza kujitathimini na kubadilika itakua ndio maisha yake milele.
@shakirshakir9100
@shakirshakir9100 6 жыл бұрын
so kwli hat km ni dw za kienyj kwnn bba asimushka mtot so kwli
@tatunaally1510
@tatunaally1510 6 жыл бұрын
Kaka anaonekana kalia sana pole
@niyomwana7366
@niyomwana7366 6 жыл бұрын
Pole sana mo j
@ackeypatrick7661
@ackeypatrick7661 6 жыл бұрын
naomba nimshauri dada giggy maana uyoo mtt bado mdogo sana anatakiwa uangalizi wa halii ya juu mtt hatakiwi kutikisika kichwa coz atakuja kuwa na utindio wa ubongo na maziwa anatakiwa kumnyonyeha mwenyew asikamuee maziwa ajaribu kupata MTU wa kumpa ushauri au kumuelekeza jinsi ya kulea na Kama alikuwa bado hajamaliza mambo yake asingezaa
@nashonshimba3614
@nashonshimba3614 6 жыл бұрын
wanawake mnashida sana ya kuolewa maana kila comment za madem naona wanataka kuolewa na mo j au mnajua ni mo yule wa simba
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 6 жыл бұрын
Movie iliyo tafsiriwa Kwa kiswahili karibu Kwenye Akaunti yangu Mambo Ni 🔥🔥🔥
@rubnagadafi8367
@rubnagadafi8367 6 жыл бұрын
MOVIE ILIYO TAFSIRIWA KWA KISWAHILI ngoja ni subscribe bas
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 6 жыл бұрын
Rubna Gadafi WhatsApp unaweza Kunipata Kwa number Hii 0655712955
@rubnagadafi8367
@rubnagadafi8367 6 жыл бұрын
MOVIE ILIYO TAFSIRIWA KWA KISWAHILI ooh nilijua uko na channel KZbin
@ablahasa1233
@ablahasa1233 6 жыл бұрын
Mo J nimemuelewa story yake km yupo sahihi ivi
@christinahenry405
@christinahenry405 6 жыл бұрын
Jamaniiiii huyu gigy Ana mdudu washa kichwani, yaaaaan hiyo saut tu yake tu msamaha toshaa, yaaaaan unavyoongea unaonyesha kbsaa una uchungu kutoka rohoni kbsaaa ila wew kaka kwa gigy ulienda haraka,
@sesiliachungu1118
@sesiliachungu1118 6 жыл бұрын
uko sahihi kaka nimefulahi kwakuwa unajua haki ya mtoto nini
@onelove2927
@onelove2927 6 жыл бұрын
mwanamke unatakiwa umpe mahaba sio mangumi
@augostinermercy1542
@augostinermercy1542 6 жыл бұрын
Watanzania mlikosea mungu wapi?#254
@oneonone6628
@oneonone6628 6 жыл бұрын
Augostiner Mercy uchawi ndio wako nayo mingi😂😂😂 gigy na hamissa wanatumianga uchawi kuvuta wanaume then ina backfire
@augostinermercy1542
@augostinermercy1542 6 жыл бұрын
+Maggie Ngumi sio wao tu dear wako wengne wengi tu,tuseme wanawake wa tz utumia uchawi kwa wanaume and to make the matter worse this country is full of crap dear,they need education jamani,, don't forget #254 is my country.
@sanifarashid13
@sanifarashid13 6 жыл бұрын
we mwanaume nakushauli tuliza kichwa usipanc japo sio rahs Fanya kama umefundwa we piga kimya
@marynyabenda9647
@marynyabenda9647 6 жыл бұрын
yesu wangu weeeeee, yaani anamkamlia maziwa mtoto!!!!! yaani uyo so mwanamke jamaniiiii duuuuuuuuuuu
@mariamkhamisi5575
@mariamkhamisi5575 6 жыл бұрын
masikini mtoto mdogo hakuna cha moto lazima afunikwe vizuri
@gracemasawe6994
@gracemasawe6994 6 жыл бұрын
Napenda sauti yako
@rosechami649
@rosechami649 6 жыл бұрын
yani nyie mtaua ako katoto walahi
@samira0616
@samira0616 6 жыл бұрын
Rose Chami kabisa
@emmajulias5688
@emmajulias5688 6 жыл бұрын
Mlee mtoto wenu
@milly5556
@milly5556 6 жыл бұрын
Omg help this baby aki
@giftimelda4811
@giftimelda4811 6 жыл бұрын
Ha ha ha Eti Mtoto kawa mwekundu anajisikia joto unawasha feni
@kefulenizucianati3986
@kefulenizucianati3986 6 жыл бұрын
kefulen sadick pole mojei Lea mwanao achahasira
@khadijajuma9962
@khadijajuma9962 6 жыл бұрын
lakini gigy kwanini asinge kula uzazi kwa mama yake ata miez 3 tu
@reginakibona9052
@reginakibona9052 6 жыл бұрын
Gg nawewe mwanaume gani.
@josephinekanaiza2945
@josephinekanaiza2945 6 жыл бұрын
Eeeeeh haya ni magumu jamani
@ikkyeggal5657
@ikkyeggal5657 6 жыл бұрын
mbona anahangaika hivyo? hiyo mikono vp, dalili ya mtu muongo🤣
@lucykibona8584
@lucykibona8584 6 жыл бұрын
Nimecheka japo hayafurahishi eti mtoto mwekundu atakuwa anajisikia joto 😀😀😀
@aminaluttu8339
@aminaluttu8339 6 жыл бұрын
nilichokigundua gigy akili yake haiko sawa katoto atakaua maskin maji ya barid fen mmh shughuli
@veronicahwaithuki2999
@veronicahwaithuki2999 6 жыл бұрын
Kuja unioe moj
@julianamoses8004
@julianamoses8004 6 жыл бұрын
Jamani mkaka anatia hutuma
@florencemwikalimuthusimuth2442
@florencemwikalimuthusimuth2442 6 жыл бұрын
Young man,u care a lot about ur button that ur kid..
@mahijamasukuzi9246
@mahijamasukuzi9246 6 жыл бұрын
Gigy nae hajatulia
@starnewstvtv1126
@starnewstvtv1126 6 жыл бұрын
Maisha ya ndoa yataka moyo
@natamasawe318
@natamasawe318 6 жыл бұрын
Mtoto anatakiwa kunyonyeshwa maneno mengi hayana maana mtoto kwanza mengine baadaye
@hildaromani8241
@hildaromani8241 6 жыл бұрын
Am single
@chidybwax8080
@chidybwax8080 6 жыл бұрын
Film
@reginakibona9052
@reginakibona9052 6 жыл бұрын
hunaakiri mubwa mukubwa wewe huwezi kumuasha mwanamuke arare shini unajuwa ushugu wewe kafie bere huko husimuribie marego mutoto watuu
@pretty6641
@pretty6641 6 жыл бұрын
Mo J njoo +254 nakungoja usiwe na shaka am damn serious just want your heart not money, mengine badae mwenyezi mungu atatujalia
@shakirshakir9100
@shakirshakir9100 6 жыл бұрын
anaongp mazw yatalla du
@bebrisnathanie1560
@bebrisnathanie1560 6 жыл бұрын
Muhimu atafutwe na mama yake gigy
@shakirshakir9100
@shakirshakir9100 6 жыл бұрын
ila kka pol sn
@manaalbaba
@manaalbaba 6 жыл бұрын
Uyu mchaga lazma
@tukaemchata8091
@tukaemchata8091 6 жыл бұрын
Muhdpidour hashim muhehe pure
@mathazakayo288
@mathazakayo288 6 жыл бұрын
nakupenda bule mo j
@aitamakere2849
@aitamakere2849 6 жыл бұрын
mtajibeba pumbavu zenu
@ftmat2805
@ftmat2805 6 жыл бұрын
Kila kitu mwayamwaya
@asinahhussen4377
@asinahhussen4377 6 жыл бұрын
poleeee ndo lyfe iyoo now achana na maneno focus na lyfe yko tyu broo
@nakirutimanasesile470
@nakirutimanasesile470 6 жыл бұрын
ggy siomuzim
@sasherbaiby7277
@sasherbaiby7277 6 жыл бұрын
Pole umeingia Choo chakike kaka uyo si mwanamke wakuoa
@tdddfdt6226
@tdddfdt6226 6 жыл бұрын
Moj-waonekana-mwoga-shida-nnini-au-wewe-wadanganya-unavyoonekana-wewe-mwongo-kabisa-
@datimtalika8035
@datimtalika8035 6 жыл бұрын
Uyo moj muongo tu malaya mbwa uyo
@shabanndabari5958
@shabanndabari5958 6 жыл бұрын
Rose Mtalika mmmh
@user-xw7qw2sg8p
@user-xw7qw2sg8p 6 жыл бұрын
Mo j me nakuelewa
@vanesamlay1907
@vanesamlay1907 6 жыл бұрын
alikulala mmmh
@saidkaoneka2648
@saidkaoneka2648 6 жыл бұрын
Rose Mtalika una uhakika gani?
@gloriamazoko2803
@gloriamazoko2803 6 жыл бұрын
inaonekana unamjua vizuri
@jamilasadam4235
@jamilasadam4235 6 жыл бұрын
Hv kwnn akiongea mkono anawek pembn mwa pua 🤨uongo tu kwendraaa
@happysindani6708
@happysindani6708 6 жыл бұрын
Jamila Jamila kila mtu na style yake katika uongeaji,,,hata ww unapoongea mbele ya kadamnasi huwa kuna namna unafanya ili kutafta confidence so no perfect under the sun.👌
@jamilasadam4235
@jamilasadam4235 6 жыл бұрын
Happy Sindani 😂😂😂😂😂lol kazidi mooo jejoooo
@mariamkhamisi5575
@mariamkhamisi5575 6 жыл бұрын
pole kaka ulipambana ci haba huyo gigy anaonekana tu mkora
@shakirshakir9100
@shakirshakir9100 6 жыл бұрын
ila kka pol sn
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 36 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,4 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 10 МЛН
Mwanaume Akiomba Andazi Anapewa By Mariam Migomba | Kitchen Party Online
5:14
Kitchen Party Online
Рет қаралды 4,5 М.
IRENE UWOYA AZUA GUMZO BAADA YA KUMJIBU MAMA HUYU INSTAGRAM
3:33
TREATING MY HUSBAND LIKE A KING 🙈 IS HE BLUSHING 😂😍
33:16
Wapendwa Muziki
Рет қаралды 13 М.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 36 МЛН