Mungu akubariki Sana baba yetu gamanywa unatufundisha vyema sana
@happynesspatrick6561 Жыл бұрын
Mungu mwema Sana mungu akubarik san Baba askofu gamanywa mungu akupe miaka mingi apa duniani. AMEN.
@MziguaTR10 ай бұрын
Kiukweli nabalikiwa sasa na semina zako baba askofu, Mungu abaliki huduma hiyo ipate kufika mbaliiii zaidi. Eimee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️👏
@leonardmachumu60812 жыл бұрын
Bwana yesu akubariki mtumwa wa bwana ,unanibariki mno mafundisho yako mungu wambinguni akubariki
@ChristerHaule3 ай бұрын
Tunabarikiwa sn na mafundisho unayo tufundisha Askofu Mungu kukujaza tunatiwa nguvu sn
@Joyce-m2z10 ай бұрын
Shalooom baba askofu unanibaliki sana na ujumbe wakweli mungu akubaliki sana🙏🙏🙏🙏🙏💯
@dr.mbaga-tz2 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa Somo zuri... Nimejifunza vitu kadhaa hapa kama ifwatavyo. 1.Muda wetu uliobaki hapa duniani hauturuhusu tena kupoteza kwa kufanya mapenzi ya Mataifa 2.Tulisha poteza sana muda sana kipindi tukitumikia mapenzi ya Mataifa. 3.Mambo ambayo yanaendelea kupoteza muda wetu uliobaki . -Kuchart chart hovyo kwenye magroup yasiyojenga -kuendelea kufwatana na wapoteza muda. -n.k MUNGU akubariki sana Askofu kwa somo nzuri ...
@ebakuna2 жыл бұрын
Uinuliwe Yesu Mfalme wa wafalme
@gosbertkweyamba58912 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe wa wakati Mungu akubariki Bishop
@alfasaidiofficial58002 жыл бұрын
Asante saaana baba askofu kwa somo zuri
@ignaswilson63592 жыл бұрын
barikiwa sana beshop
@emelineabdul31872 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@filbertmk48072 жыл бұрын
Hallelujah 🙌
@rosemassawe4187 Жыл бұрын
Be blessed
@marietatikson41352 жыл бұрын
Balikiwa sana
@StephanoChalesi-or5ol Жыл бұрын
Tume baki nawatumshi wachache Kama huyu mwisho wamambo yote umekalibia bwana akubariki
@MziguaTR10 ай бұрын
Kiukweli nabalikiwa sasa na semina zako baba askofu, Mungu abaliki huduma hiyo ipate kufika mbaliiii zaidi. Eimee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️👏
@MziguaTR10 ай бұрын
Kiukweli nabalikiwa sasa na semina zako baba askofu, Mungu abaliki huduma hiyo ipate kufika mbaliiii zaidi. Eimee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️👏