MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: YESU AMEKARIBIA KURUDI, KAMA HUJAOKOKA JASHO LITAKUTOKA

  Рет қаралды 83,626

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Жыл бұрын

SEMINA YA NENO LA MUNGU DODOMA MJINI DAY 3. TAR 21 APRIL 2023

Пікірлер: 155
@deucecadico1879
@deucecadico1879 Жыл бұрын
Hii ni injili sahihi kabisa isiyo gushiwa..Mungu akubariki sana.
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 2 ай бұрын
Amina ubarikiwe Mwalimu YESU KRISTO anisaidie Shaloom
@Janeth_Saukiwa
@Janeth_Saukiwa Жыл бұрын
Eeeh Mungu wangu naomba usituache mimi na familia yangu na ndugu zangu wotee na jamaaa Eeeh Mungu wanguuuuu nakuombaaaa Kama ulivyo mpa neema hii Rahabu Mungu wanguuu🙏🏾🙏🏾🙏🏾😭😭😭
@cathelnemeddy7863
@cathelnemeddy7863 Жыл бұрын
My Lord my God Nikumbuke na mim na familia yangu na jamaa zangu wote
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Eeeh Mungu wangu wa Mbinguni Muumba wangu naomba siku hiyo nisibaki, yafaa nini kupata fahari zote za dunia hii na kuukosa ufalme wa Mbinguni, Yesu Kristo siku hiyo jina langu liwepo 🥺😭
@clemencelucas8448
@clemencelucas8448 Жыл бұрын
Amen
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Hatuingii katika ufalme wa mbinguni kwa maombi bali kwa Neno la wakati na Mjumbe wa agano duniani,
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
@@mjumbewaaganoduniani Yohana 16:24 [24]Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu. Hitherto have ye asked nothing in my name: ask, and ye shall receive, that your joy may be full.
@clemencelucas8448
@clemencelucas8448 4 ай бұрын
Amen,Ee Mungu unisaidie,,usiniache
@emanuelnyab9872
@emanuelnyab9872 Жыл бұрын
Jamani inatisha Mungu Baba yangu katika jina la Bwana wetu YESU KRISTO unirehemu nafsi yangu ikutii nayo ipokee uponyaji
@samuelmdota8452
@samuelmdota8452 Жыл бұрын
Eee Mungu Unisamehe mm maovu yangu na udhaifu wangu , unirehemu sawa sawa na fadhili zako. Hili si jambo la kuchekesha hata Kidogo....
@helenakivuyo2126
@helenakivuyo2126 6 ай бұрын
God bless you dad. Bwana Yesu atusaidie tuwe tayari for the rupture.
@danielkanso
@danielkanso Жыл бұрын
Amen mwalimu semina hii siyo bure
@narggdhdv765
@narggdhdv765 Жыл бұрын
Baba ktk kristo Yesu tusaidiee tuokokekikamilifuu.tusijetukakutwa sikuu hiyo hatujatengeneza na ww.turehem kwa damu ya yesu pekee.maana peke yetu hatuweziii.
@lilylekulelilylekule5242
@lilylekulelilylekule5242 Жыл бұрын
Eee bwana unirehemu sawasawa na fadhili zako...unikumbuke mm na familia yangu🙏🙏
@bonifacesally9184
@bonifacesally9184 2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni unirehemu sawasawa na fadhiri zako siyo mm tu Bali na familia yangu.jamaa zangu na watu wa kabila zote Afrika na mabara mengine eeeeh Mungu uturehemu,,,,,,,,,,
@Neema-wy4mh
@Neema-wy4mh 3 ай бұрын
Mungu turehemu. Nautupenafasi sikuu yakunyakuliwa tusiwe wenye kubakii maana ni sawa NA ule mwanga waradi kamaushawahii kuuona.
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 Жыл бұрын
Yesu uchunguzaye mioyo nakuomba uchunguze moyo wangu uone kama ipo njia itakayo nizuia mimi na familia yangu kubaki.
@emmanuelsanga7363
@emmanuelsanga7363 Жыл бұрын
Mungu tusaidie maana haitakuwa rahisi siku hiyo maana ishara hatuko tayari kunyakuliwa ona Kama ni mtendaji was neno
@user-ut9zv9lk6t
@user-ut9zv9lk6t 5 ай бұрын
Amina Mungu anipee neema ya kurithi uzima wa milele
@monicakabuta6517
@monicakabuta6517 Жыл бұрын
Mungu nisaidie nisikose na uzao wangu
@katwigabank5297
@katwigabank5297 Жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa ndivyo itakavyokuwa.....Tutengenezeni Mapito ya Bwana....
@gracehelbert5858
@gracehelbert5858 Жыл бұрын
Wanawake tuache vyombo ya uzuri (mapambo ) wapendwa...
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 Жыл бұрын
Hizi sio habari za kuchekesha ni habari za kuomba REHEMA wapendwa tusijihesabie haki
@rebeccayona393
@rebeccayona393 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kuniokoa milele.
@liliansukhe3386
@liliansukhe3386 Жыл бұрын
Ee Yesu unisaidie mimi nisichezee wokovu ulionipa! Twende wote ee Yesu nakuomba!
@olivermwakyonya5683
@olivermwakyonya5683 Жыл бұрын
Nikweli
@degammagamaliel84
@degammagamaliel84 Жыл бұрын
Amen. Mungu atusaidiye sisi tunaona imani katika Kristo Yesu, tumlaki wakati yakuja kwake. Nangoja saana Bwana Yesu, kama zamu angojavyo asubuhi. Mungu nijalize neema niingiye Mbinguni. Hallelujah
@neemakimaro4475
@neemakimaro4475 Жыл бұрын
Shalom.apo Amna chakuchekesha jaman ni huzuni tupu .Yesu afunue Neema yake tu kwetu.
@samwelbundala4335
@samwelbundala4335 Жыл бұрын
Amen sana mtumishi, nimelisikia neno la Mungu, baraka za Mweyezi Mungu zizidi kuwa pamoja nasi ili siku ya mwisho tuwe wote mbinguni
@jescatebuye2287
@jescatebuye2287 Жыл бұрын
Nabarikiwa Sana kupitia huyu mtumishi was Mungu.
@MWAMINIRUGIRUKORWENZEJEAN-LUC
@MWAMINIRUGIRUKORWENZEJEAN-LUC 7 ай бұрын
Eh mungu utupe mwisho muzuri kuliko mwanzo .
@esthermliga4875
@esthermliga4875 Жыл бұрын
Eeeh Yesu naomba utusaidie sana kanisa lako, kuishi maisha ya kukupendeza wewe ili tuweze kuirithi nchi mpya na mbingu mpya!! Amen amen!! Muda huu tulionao ni wa kutengeneza njia zetu kwa ajilibya unyakuo, tuko siku za mwisho, Yesu karibu anarud
@monicakabuta6517
@monicakabuta6517 Жыл бұрын
Yesu achilia neema yako kwa watu wakujue
@kaptolinasulley6769
@kaptolinasulley6769 Жыл бұрын
Ee Mungu baba yetu wa Mbinguni naomba unikumbuke naomba nisikose kuingie mbinguni, naomba unisamehe makosa yangu yote niliyokutendea kwa kujua na kutokujua. Yesu mwana wa Daudi unirehemu, Amin
@pastornadine7475
@pastornadine7475 Жыл бұрын
Ooh Jehovah Mungu wa milele. Utupatiye mwisho mzuri , Siku île tunyakuliwe kwenda mbinguni
@leahestony2723
@leahestony2723 Жыл бұрын
"uwe na uhakika kuna watu watakao taka kujiandikisha mwaka huu kongamano la maombi wengine hatutakuwepo" mungu nisaidie na mimi nijaze imani yako niwe na uhakika na safari yangu ya mbinguni kama mtumishi wako alivyo na uhakika na wewe.
@happymvula
@happymvula Жыл бұрын
Daah!
@gwantwajoseph5564
@gwantwajoseph5564 Жыл бұрын
Mmh Mungu atusaidie
@user-zl3wg1xm2e
@user-zl3wg1xm2e Жыл бұрын
Tukaze mwendo wanawa Mungu.
@edwardjohn-ku2lw
@edwardjohn-ku2lw Жыл бұрын
Hiyo siku Mungu wangu usiniache... 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BonvikaneMwiteJeanclaude
@BonvikaneMwiteJeanclaude 3 ай бұрын
Mungu tunalo tumaini lakunyakuliwa
@fadhilimrope5134
@fadhilimrope5134 Жыл бұрын
Nami naomba Bwana Yesu atakapokuja nami niendenae mbinguni
@carenhilary8067
@carenhilary8067 Жыл бұрын
Ooh Bwana YESU KRISTO nikumbuke Mimi na uzao wangu na mama yangu na uzao wake
@JahnMandah
@JahnMandah 3 ай бұрын
Naomba siku hio yisinipite BWANA MUNGU❤
@jhstationery3036
@jhstationery3036 Жыл бұрын
Naomba mungu siku hiyo Nami niwemo katika unyakuo huo
@arubalydia224
@arubalydia224 Жыл бұрын
Abeeee... Yesu Wangu nisaidie nami niwe miongoni mwa watakaonyakuliwa😢254
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Hatari ,naogopa Mimi🙇 Yesu nirehemu
@erickasenga2594
@erickasenga2594 Жыл бұрын
Amen baba. Tunabarikiwa sana kupitia wewe
@kawilimlimuka8005
@kawilimlimuka8005 Жыл бұрын
Bwana Yesu tunaomba Neema ya wakovu kwa watu wote.
@vedastogwido5311
@vedastogwido5311 Жыл бұрын
Ameeen amen amen MUNGU akubariki mwalim
@user-pr4nz5lj9s
@user-pr4nz5lj9s Жыл бұрын
Be blessed my always teacher
@user-nt7hb5sr6h
@user-nt7hb5sr6h Жыл бұрын
Amina
@deboralusekelo2654
@deboralusekelo2654 Жыл бұрын
Eee Mungu naomba unisamehe kwa yote niliyoyatenda ktk dunia hii,ninatubu mimi ni mkosaji, naomba siku hiyo nami niwe mmoja wa.watakaotwaliwa,amen.
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын
Da Debora sawa kabisa Pia fuatilia yale maagizo ya Bwana Yesu aliyomwambia Nikodemu Yohana 3: 3 - 6..Zaliwa mara ya pili. Amen...
@franklema2008
@franklema2008 Жыл бұрын
Ahsante! Tafadhali post clips nyingine hii siku ilikuwa na jumbe nzito
@happymilangasi5904
@happymilangasi5904 Жыл бұрын
Imepistiwa Frank ni semina siku ya 3 Dodoma 21/04. Angalia utaipata full barikiwa sana
@jhstationery3036
@jhstationery3036 Жыл бұрын
Naomba mungu nizidi kukutukuza siku zote za maisha yangu nikitangaza ukuu wako amina
@reubentumakamwe1560
@reubentumakamwe1560 Жыл бұрын
Mungu naomb NAMI niwe mmojawapo kati ya utakaowanyakua
@balta631
@balta631 Жыл бұрын
Tubarikiwe sana
@jamesmsafiri3436
@jamesmsafiri3436 11 ай бұрын
Amen
@carolineawadhy5504
@carolineawadhy5504 Жыл бұрын
Eh Mungu unihurumie na mimi siku ukirudi 🙌
@casfetamcohas4847
@casfetamcohas4847 Жыл бұрын
HAKIKA WEWE NI SAUTI YA MTU ALIAYE NYIKANI
@elleng5227
@elleng5227 Жыл бұрын
My God my Lord
@daudlusaganya5324
@daudlusaganya5324 Жыл бұрын
Bwana Yesu nisaidie nisiwe wa kukataliwa yes nisiachwe
@lornamwaluko7176
@lornamwaluko7176 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w Жыл бұрын
Hizi ndizo habari njema
@user-mf5ww2gj6b
@user-mf5ww2gj6b Жыл бұрын
Eeh mungu iyo siku namimije kwako mungu wangu
@user-wt8tj9xo8f
@user-wt8tj9xo8f 9 ай бұрын
Neno haliji bure sherti litimize ahadi za bwana 🎉
@alicemalombo6813
@alicemalombo6813 Жыл бұрын
My dream is to see my creator 🌟🙏🙏
@barakakabungo3102
@barakakabungo3102 Жыл бұрын
Ahsante kwa ujumbe
@Dmsiris5
@Dmsiris5 Жыл бұрын
Oh God help us to be on first flight🙌
@masindemagee9603
@masindemagee9603 Жыл бұрын
Kwa ishara ya mashariki siku si nyingi yesu anarudi jiandaeni
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 Жыл бұрын
Nikisikia hizi habari za unyakuo huwa natetemeka sana, Roho Mtakatifu niongoze na niwe tayari
@sayunimnyone-gy1pu
@sayunimnyone-gy1pu Жыл бұрын
Mungu anisaidie nisiachwe 🙏🙏🙏🙏
@josephraphael4154
@josephraphael4154 Жыл бұрын
Amen 🙏🕊️ mwalimu
@stephenlembo8986
@stephenlembo8986 Жыл бұрын
Cha muhimu wapendwa ni kuokoka na kuacha dhambi ili tuione mbingu
@EmanuelJoshua-wo4rs
@EmanuelJoshua-wo4rs 23 күн бұрын
Amen 🙏
@ElisanteKalalu
@ElisanteKalalu Жыл бұрын
Amina mwalimu 🙏🙏🙏
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 Жыл бұрын
Oh My God help me
@miliammiliammaumba7655
@miliammiliammaumba7655 Жыл бұрын
Mungu atuokoe
@emmanuelsanga7363
@emmanuelsanga7363 Жыл бұрын
Maneno haya amini na kweli asikiae na afahamu
@danielkanso
@danielkanso Жыл бұрын
Daaa kumbe siyo ndefu
@sabratally7688
@sabratally7688 Жыл бұрын
Ee mungu tusaidie Mimi na family yangu 😭😭😭
@aswilekibona9861
@aswilekibona9861 Жыл бұрын
Ww ni mtumish wa MUNGU
@lydiavegula7641
@lydiavegula7641 Жыл бұрын
Yesu Yesu Yesu hii inatisha
@user-dt8oq2on6q
@user-dt8oq2on6q Жыл бұрын
❤❤❤amina baba
@dynesdaud564
@dynesdaud564 4 ай бұрын
Ameeen 🙏
@PascalJohn-it1xp
@PascalJohn-it1xp 6 ай бұрын
Yani mahubili kama hayo huwa mtu ambaye ana roho mtakatifu siyo wakuchekeshaa Bali uchungu unakupata Sasa kama wanafurahiya hivo inaumizaa sana kwa sababu jambo lakubaki ni mateso kwa Wasomi WA bibilia mtanielewa lakini umati huwo huna huzuni jamani mungu atusaidie!!!!!!
@petermalema5702
@petermalema5702 4 ай бұрын
YESU YU KARIBU KUJA
@jenifersosthenes2128
@jenifersosthenes2128 Жыл бұрын
My God my lord
@emmanuelsanga7363
@emmanuelsanga7363 Жыл бұрын
Wala sio utani ni kweli kabisa jambo hili litatokea hivi punde tugeuke tumludie Mungu
@edwinedward6404
@edwinedward6404 Жыл бұрын
Amen ,🙏🙏🙏🙏
@mohammadajad5491
@mohammadajad5491 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@eliahmathias2209
@eliahmathias2209 Жыл бұрын
Ole wangu Mimi Kwa siku Ile ijapo ghafla 😭
@ananiabaraka4067
@ananiabaraka4067 Жыл бұрын
YESU nikumbuke tena😭😭😭
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 Жыл бұрын
Emen 🙏🏽 🙏🏽
@Nsajibjsnsdreamerztz
@Nsajibjsnsdreamerztz Жыл бұрын
Amen baba
@anjelinambaga6378
@anjelinambaga6378 Жыл бұрын
Amina sana nimebarikiwa naomba Na mm siku hiyo niwe mmoja wapo
@user-en4cy2fn4j
@user-en4cy2fn4j 8 ай бұрын
Siku ile tutaimba na BWANA.
@EvordyMarawith-rj1ln
@EvordyMarawith-rj1ln Жыл бұрын
Ameen
@rosenakikoti3031
@rosenakikoti3031 Жыл бұрын
Tusaidia Bwana
@edwardjohn-ku2lw
@edwardjohn-ku2lw Жыл бұрын
Oooh my Lord
@macklinabenedicto4627
@macklinabenedicto4627 Жыл бұрын
Ameni
@joycefesto1429
@joycefesto1429 Жыл бұрын
Ameeeen
@janemlelwa8618
@janemlelwa8618 Жыл бұрын
wengine wanafurahi badala ya kutafakari je YESU atakaporudi utakuwa wapi wakati huo wa unyakuo si wakati wa kucheka ni kutubu na kumlilia MUNGU mwisho wa kila mwenye mwili.umekaribia yanayotendeka haya ulimwenguni ni dhahiri kuwa mwisho u karibu
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Жыл бұрын
Siku hiyo itakuwa ni heka heka kubwa MUNGU atusaidie siku hiyo tuwe na yesu yaani tumeokoka
@Eyecuemedia1
@Eyecuemedia1 Жыл бұрын
Ukiona umati mkubwa unacheka ujue kwamba hawana uchungu na watakaobaki na inawezekana watayakumbuka haya maneno na wao pamoja na waliowacheka. Biblia inatuambia Mungu hafurahii kifo cha waouvu (Ez. 33:11) kwa hivyo inkuaje mimi nifurahie? Mungu aturehemu. Bwana Harusi yuko mlangoni na sisi tumebaki kuchukua mahubiri haya kama ni burudani badala ya sehemu ya kuwa kwenye hali ya toba na maombi. Kweli wengi huitwa lakini wachache huchaguliwa.
@bernarderadi4410
@bernarderadi4410 Жыл бұрын
Namimi nilipokua natazama haya mahubiri nilitarajia kuona watu wakiwa ktk mkao wa tafakari lkn wanaonekana kushangilia kana kwamba wote wapo sawa
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 Жыл бұрын
Yaaanii waalaa hawaguswi!
@kawilimlimuka8005
@kawilimlimuka8005 Жыл бұрын
Tuwaombee tu 😢😢
@carolineawadhy5504
@carolineawadhy5504 Жыл бұрын
Jamani msiwahukumu, wengi tu hawako hapo wamecheka, Cha muhimu ni kuutunza wokovu na huku tukiendelea kuhubiri injili
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mi mwenyewe nilishangaa mahubiri Kama haya Ni ya kucheka wengi wangeacha viti vyao na kukaa ktk Hali yatoba wapo kimwili Sana
@happymvula
@happymvula Жыл бұрын
Hao wanaofurahia siwaelewi, nimeckia huzuni sana, Mungu anisaidie kufua mavazi yangu Bado sifai kwa ajili ya siku ya BWANA.
@happymvula
@happymvula Жыл бұрын
Hii siku inatisha!
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mi mwenyewe nilishangaa maneno mazito Kama haya wanacheka dah
@FedaKisunga-xk4nv
@FedaKisunga-xk4nv Жыл бұрын
Yesu nisaidie nisije nikabaki siku hiyo
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w Жыл бұрын
Baba usiniache
@deboramussa8981
@deboramussa8981 Жыл бұрын
Mh inatisha
@brunomassae6233
@brunomassae6233 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu anaongea mambo ya kutisha na ya siri sana yanayofanya uwe macho usiku lakini duuh watu hatuelewi why?
@user-fh6et8hb4u
@user-fh6et8hb4u 8 ай бұрын
Siku zile ita kuwa ni kiliyo naku saga meno
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: MUNGU HATANYAMAZA KIMYA ANAPOONA SADAKA YAKO ILIYOBEBA FAMILIA YENU.
11:00
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 44 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE, SEMINA YA NENO LA MUNGU ARUSHA
39:27
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 316 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
7:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 211 М.
MUDA WA KUFANYA  MAOMBI YA SHABAHA - KUHANI MUSA
24:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 23 М.
Pastor Tony Kapola kama kuna kitu hukielewi omba
2:05
Mwalimu Philemon Mbemba
Рет қаралды 13 М.
UCHUMI HAUKO KWENYE VITU, UCHUMI UKO KWENYE NYAKATI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
11:06
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 59 М.
3. AMRI YA KUZUIA KUNUNUA AU KUUZA
1:28:30
Godfrey Machota
Рет қаралды 8 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: TAMBUA HALISI NA FEKI
5:12
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 43 М.
UAMKAPO ASUBUHI FANYA HIVI .
6:17
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 182 М.
KANISA NA KURUDI KWA YESU (UNYAKUO)
1:13:39
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 16 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: WAKATI WOWOTE UNAPOHITAJI MSAADA MRUHUSU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE.
13:05
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 224 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU JUU YA MAONO YA HUDUMA.
2:20:42
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 49 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН