MAUAJI MWANZA: MAMA, WATOTO WAKODI MAJAMBAZI WAMUUWA BABA WA FAMILIA

  Рет қаралды 10,645

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

MAUAJI MWANZA: MAMA, WATOTO WAKODI MAJAMBAZI WAMUUWA BABA WA FAMILIA

Пікірлер: 29
@abubakarsalanga2497
@abubakarsalanga2497 Жыл бұрын
"Hakika wake zenu na watoto wenu na mali ni mtihani kwenu "Qurani...
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@josephkulija293
@josephkulija293 Жыл бұрын
Kama hizi hbr ni za kweli hakika dunia imekwisha, binadamu wamegeuka kuwa hatari zaidi ya wanyama wa porini. Watu wamemsingizia shetani mpaka wamechoka. Hakika Mungu wanastahili adhabu. Mungu tufundishe kuyashinda haya kwani kwa sasa ni rahisi kuishi na Simba ndani ya nyumba kuliko binadamu.
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
duuuh watu wamekuwa na roho mbaya yani mama alikuwa anafurahi mtt wake kuiba mali za watu na za baba ake akaona amuuwe mumewe tena kushirikisha na watt ss uko jera wapelekwe wote wakaishi raha na mustarehe ndo walikuwa wanataka ona hao watt wadogo watakaa nani
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Subuhanallah wakanyongwe tu mm Mimi naitaka tarifa ya mtoto mchanga yupo wapi mbona bb wa mtoto hajampata
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
MAMA WALIOWENGI NDY WANAOHARIBU WATOTO WAO. WANAWASAIDIA WANAPOFANYA MAKOSA. BABA ANAWEZA KUWA ANAREKEBISHA TABIA ZA WATOTO NA MAMA ANASIMAMIA. BABA ATAKUWA HANA SAUTI. WAMAMA JAMANI. TUNAHARIBU FAMILIA. HAO WASHEZI SANA WAKAMATWE NA WANYONGWE WAFE KABISA.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Kabisaa ndiyo unakuta wababa wengi hawana sauti ndani ya nyumba
@adammj6258
@adammj6258 Жыл бұрын
Halafu kuna makundi makubwa ya watu kila weekend wanajifanya wanaabudu tena kwa bidii sana lakin inaonekana hata hawajui wanachofanya
@Olaiserriomunyak1059
@Olaiserriomunyak1059 Жыл бұрын
Kwa mtizamo wangu, huyu mtoto mkubwa (mtuhumiwa) ni wale watoto wa kuletwa. (Sio wa marehem) 😭
@MwanaAlly-ij2ro
@MwanaAlly-ij2ro 4 ай бұрын
Subhana llaah kuzaa si kupata
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Жыл бұрын
Kwa kweli hii family n mbaya kama Ina uwezo wa kushirikiana na kuua baba Yao hata huyo mama wanaweza kuua! Baba anakataa tabia mbaya mama anaua baba hakika hyo damu itawalaaan na vizaz vyao vyote!! Watakuwa wanauana hvyo hvyo wajinga wapumbavu mungu asiwasamee ikiwezekana wanyongwe had kufa! Mana wakihukumiwa maisha wanaweza kutoka kwa msamaha!
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Ndo maana familia nyingi hasa zenye mali kdg hazina baba.. familia ndo adui yake wa kwanza.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Inaweza kuwa aiseee😭😭😭😭
@irenesilayo1073
@irenesilayo1073 Жыл бұрын
Haw watt wakiume na mama zao ni shida
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
RPC KAGERA KAPEWA RUSHWA ILI.ASITOE TAARIFAVYA MTOTO.MCHANGA AMBAUE ALIKAMATIWA DODOMA. WAZIRI FATILIA HIYOMHABARI YA KAGERA
@claudia1500
@claudia1500 Жыл бұрын
Mmhhh
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 Жыл бұрын
@@claudia1500 mtoto mchanga kivipi kaka?
@julianmadosh2951
@julianmadosh2951 Жыл бұрын
wanawake jmn mna nn mkikuza watoto mbona mnakuwa mbogo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Dah ndiyo wamkate kichwa jmn😭😭😭😭😭😨😨😨
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Жыл бұрын
Dunia hii kweli daaaah!
@claudia1500
@claudia1500 Жыл бұрын
Haya wanaume kuweni makini na mijanamke mnayooa! Ndo hivyo yanaambukiza roho mbaya hadi kwa watoto! This is bad!
@johnyusuph3221
@johnyusuph3221 Жыл бұрын
Wanawake siku zote wanakuaga na shida
@hermanmsafirisamu9554
@hermanmsafirisamu9554 Жыл бұрын
hii ni mbaya sana huyo mama na watoto wawekwe hadharani ikiwezekana wapigwe hadi kufa
@pendomsety3736
@pendomsety3736 Жыл бұрын
Hatar sana
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
Police mbafanya kazi ngumu sana na Nzuri sana jee adhabu gani hawa watuhumiwa hupewa
@norahnyamko8598
@norahnyamko8598 Жыл бұрын
Damu ni nzito kuliko maji.....
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
Adhabu zao mbona huwa hatutangaziwi kama nao wanakatwa vichwa au
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 Жыл бұрын
duh
@EK-kp2np
@EK-kp2np Жыл бұрын
RPC, yule kachanga vipi, tunapewa tetesi kuwa umepokea rushwa ili usiachie mtoto, kweli au hapana? Kachanga yuko wapi? Baba yake anamtafuta.
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН