Bado nyimbo hii inamaana kubwa Na Naipenda Zaidi Na Zaidi...
@iddijuma36505 жыл бұрын
Zama zile when Babu was babu...mfadhila wangu wanikumbusha nyumbani
@aliabdallah84562 жыл бұрын
Maulid unajua kuimba vizuri sana Mungu akupe afya njema ila kuna baadhi ya nyimbo nyingi na nzuri azifunguki kwenye KZbin je tufanyeje ili ipige naomba unifahamishe mimi nipo Tanga Tanzania
@athumanchuma26943 жыл бұрын
Wanikumbusha mbali sana kaka japokua nimdogo lkn napenda sana nyonda watu wa tanga tunakutakia kila la kheri
@mwanamwinyibmwakinalo40943 жыл бұрын
Nyimbo za babu haziishi utamu❤❤❤
@baazzamd45 жыл бұрын
Mmmmhhh mmmmhhh naam jomba. Likoni hadi ukunda. Kisauni; hadi bamburi. jomba wakati huo hautarudi tena miaka ya 80 na 90. Amani tupu na utulivu wa hali ya juu.. tutabaki na kumbukumbu. Ahsanta jomba umeturudisha nyumbani.
@SSs-tb9yo5 жыл бұрын
Baazza Md weacha tu usiseme
@winnsletndusya30974 жыл бұрын
Kabsaa.
@abk11273 жыл бұрын
Hupita zama wala hazirudi tena
@muddymdigo51642 жыл бұрын
Nakuskiliza vzr maulid shikaadabu Hadi daresalam kinondoni