Neno la Mungu huwa halichoshi. Na daima halichuji hukaa jipya na tamu. Inatamani kuendelea kulisikiliza.Mungu aendelee kukutimia baba kati ya watu wake
@JugoMedia4 жыл бұрын
Mungu ambariki sana mtumishi huyu
@raphaelngoy16802 жыл бұрын
Baba yetu mwalimu wetu wa imani mtanzania
@yohanamakoye10044 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu WEWE ni Alama Moyoni mwangu, na KWETU wakristo wotee, Mwanza tumebaki na Alama YAKO, HAKIKA MUNGU anatenda makubwa NDANI yako
@reginaldkalisti88134 жыл бұрын
Mungu mwema akubariki kwa utume wako.Tunakupenda na kuwaombea daima
@seraphinqorro50394 жыл бұрын
Mha. Baba Askofu Mkuu Asante sana kwa humilia nzuri. Kila tusikiapo sauti yako tunafarijika na kuimarishwa kiimani. Mungu akujalie afya njema.
@obadiasylvester85094 жыл бұрын
Aminaa babaa ubarikiwee saaaana
@prossesiusdeogratias22994 жыл бұрын
Kuitangaza Imani yetu ni jukumu la kila mbatizwa
@barakamhagama55864 жыл бұрын
12:3 Baba, daima wewe ni kitabu cha kusomwa,mfano wa kuigwa.Heri walio wapole & wanyenyekevu wa moyo!
@danielkimario83114 жыл бұрын
Amina Baba Askofu
@justinajulius33834 жыл бұрын
Asante sana baba utume mwema
@benedictorsarya21924 жыл бұрын
Baba homilia nzito sana imetujenga kiroho
@NIUX0074 жыл бұрын
⛪⛪⛪⛪⛪
@justinagabriel54674 жыл бұрын
Amina
@linahsemindu95754 жыл бұрын
najivunia,kuwamkatoliki kweli mavuno ni mengi ila,watenda,kz,ni wachache wapo wakatoliki wenzetu wengi tu wanaona,bora,wacoment mambo y kidunia,kuliko neno ila mungu aliekupa pesa,ukanunua bando lait ungekuwa mgonjwakitandani sidhan kama usingemkumbuka
@yohanamakoye10044 жыл бұрын
Alama katika ukristo na ukatoliki, Kwa Wale tuliomo duniani😋