Dah fanyeni hvyo viongoz maana duh hatuna fowad simba aisee tukiwategemea fred pamoja jobe hatutoboi aisee
@ZakadjGershon-xo3er7 ай бұрын
Kikubwa zaidi wamsajilitu
@SalmaChamy-tg4bo7 ай бұрын
Viongozi wa simba hawana uwezo wa kumvunjia mkataba mayele. Ni dili kubwa sana
@ahmadsayyeed79107 ай бұрын
Ni upendo tu mana mayele aliishi vizuri na watanzania wote alipendwa aliwapenda pia mm ni shabiki wa simba lakini mayele ni upendo tu❤❤
@TajewuoMoseka7 ай бұрын
Karibu kamanda Simba mayele hoyeeee
@leonardlubala3937 ай бұрын
Yaani kweli simba wana chekesha. Hivi yule Mayele aliyekuwa Yanga na huyu wa sasa ni sawa? Kama ni sawa mbona uwanjani hasikiki kama vile? Viongozi wa Simba wana endeshwa na mambo ya mitandaoni haya pelekeni pesa katika timu yake mnajua na yeye atataka pesa ndefu hałafu mtajua ni nani kaumia.
@Philimonmwachilo7 ай бұрын
Acheni kutudanganya huyu Mwamba ni hela nyingi
@kclpaints29817 ай бұрын
Mara si wapendi Watanzania mara nasijjaliwa na Simba kwa timu hiyo iko wapi? Huyu hapa hajieliwi ni pumbavu tu!!
@lingwamalagila30037 ай бұрын
Yani hakuna shida chukuwa tu
@zeddymourice42497 ай бұрын
Wazee wa sound check
@TifuLatinho7 ай бұрын
Uongo mtupuu
@sultanmbogo8607 ай бұрын
haya kwamwenye akili anajuwa huo sio ujio bali tu ahmed ally hanamaendeleo yasoka ache izo mpira sio taarabu wa shule ya ushogo mayele hajajibu amepewa majibu na ahmed ally anadhani atatumiza nakututowa mchezon bado sana huyo shoga wenu akasome uchawa hamna fyucha kwa mayele
@ramadhanimohamed41907 ай бұрын
Kwan uchaguzi wa simba ni lini
@JemsimgayaJemsimgaya7 ай бұрын
Watoke wot wachezaju
@sangaelly85487 ай бұрын
Ndoshida ya viongozi wetu mashairi mengiiiiii
@neemaneykisanga7 ай бұрын
Msijisahaulishe ya Manzoki viongozi wa simba wanapenda sagurasagura hawapendi kutungua vya kwenye henga
@anithawidambe75437 ай бұрын
TATIZO LA VIONGOZI WA SIMBA NI WAONGO HAWAWEZI NI BAHILI SANA. WANAPENDA BUREBUER TUU.
@MariethaJuliusy6 ай бұрын
Sawa mayele hata kama nimchezaji mzuri sisi kama wanayanga haitupi shida yangu tutaendelea kuwa bora mbele ya simba na virabu vingine
@KassimMaunde7 ай бұрын
Angalia wanavyodanganyana wakati yupo yanga si mlisema ajui kufunga Leo munaanza kujipendekeza kweli makolo ni timu ya siasa hii yote ili kuwandanganya mashabiki wao wanasimba amukeni amuna viongozi apo Muna feli awo viongozi wenu kwanza waongo alafu wezi na wapigaji eti Leo munadanganywa na swala la mayele kwann viongozi wenu wasijifunze kwa viongozi wa yanga
@jumaali92437 ай бұрын
Viongozi huyo ndie straika viongozi fanyeni juu chini mumchukuwe mwenyewe kesha onyesha mapenzi na simba
@Johanesjames-vb7so7 ай бұрын
Ila wana simba wakijipanga wanaweza mleta mbona❤ kalibuni mayelee simba
@SULEIMAN-l8v7 ай бұрын
Sidhani kama Mayele atakuja Tz utopolo wamemtenda sana ataogopa kurudi .lkn llo linweza kutokea 3:10 te
@MayaniPaul6 ай бұрын
Simba mnampenda lakini hamna uwezo wa kumsajili ni maneno tu
@harrychuwa31807 ай бұрын
Hizi takataka Mangungu, Try Again na Kajula wanacheza hizi comedies ili kuendelea kuibia Simba. Mnakumbuka issue ya Manzoki??? Si Mangungu Ali leta kwenye uchaguzi ili kuendelea kuibia Simba!!! Hawa mbwa tuwatoe ofisini kwa mawe. Tusipoadamana kuwafungia geti wasiingie ofisini watakaa miaka 10 na Simba wasahau ubingwa. Wana uwezo mdogo wa kuongoza na ni wezi wakubwa. Wanaleta wachezaji wabovu kwa bei rahisi na wanalipwa 10% ya mshahara wa mchezaji. Tusiende uwanjani!!! Hawa watu hawana uchungu na club.
@joseboy-vp7tc7 ай бұрын
❤❤❤❤
@kombohamis24817 ай бұрын
Viongozi hawa ni mabingwa wa kupiga picha.walipiga picha na mbui twite .mwisho wakaishia kulia.wakapiga na manzoki wakaishia kusajili sawadogo.leo wanapiga picha na Madeley sijui watasajili nani
@LilianJosephat-z5q6 ай бұрын
Kalibu simba
@ThobiasKifaru6 ай бұрын
Mayele noma
@agatoniAgatoni5 ай бұрын
Simba wanazingua
@azamsp0rtshd2kiangi36 ай бұрын
Wanayanga tunamsubiri tumuone mayele wa yanga atabaki kama heshima yake ilivo hiyo wasimba tutamuoma Asante.
@MsojaBoy-lx9wy5 ай бұрын
Acheni ujinga mayere hawezi kuja simba
@IbrahimEmmanuel-xp8up5 ай бұрын
Kiribu simba
@MvuoniJuma7 ай бұрын
Viongozi wapumbavu
@zeddymourice42497 ай бұрын
Wenzenu wanasonga mbele nyie bado mnaendeleza bla bla zenu mtaishia hivyohivyo.
@MbwanaMhina6 ай бұрын
Viongozi wa simba tunaumia sisi wapenzi na mashabiki sajirin
@AdolfuMsophe7 ай бұрын
Uyu mwamba akisajiliwa na mnyama wa2watalia jamani Ila yanga waache wivu😢😮😅🎉😂🖐️✋✋🤚👌🙏🤳
@MichaelIbrahimu6 ай бұрын
kama kweli mnabadilisha mechi tutafurahi ila benchi la ssc wamekua ni waongo sana mlituambiaga mwnzok ssc yukwaapi leo mnadanganya mayele anakuja kwakweli tunauzunika mzimu huu ila hatuna lakufanya maana ssc tunaipenda moyoni benchika waangalie wanaokula hella ya mo Bure wafuzwe wote na wachezaji wenzembe
@futurelove-zn4cw7 ай бұрын
Mnazingua t wapuuzi wa kubwa watu wanafanya usajili nyinyi bado mnacheza
@KatoAbibu4 ай бұрын
Ankuja au ndomaneno. Yamitandaoni. Msijemkatu retea wachezaji wabovu
@ElishaAllymlula6 ай бұрын
Acheni kutupanga,,
@rosemwanazyungu11754 ай бұрын
Wanafanya mpila nikama siasa sio vizuli manzoki mulitufanyia hivihivi mambo Gani hayo munatufanyia wanasimba jamani
@linusielisha19706 ай бұрын
🤔🤔🤔🤔
@KassimMaunde7 ай бұрын
Apo akuna viongozi kazi Yao kupiga picha hivyohivyo Sasa lengo muwatambie yanga au Sasa wenzenu yanga washaama uko muliko ushawai kuona kiongozi yeyote anapiga picha na mchezaji alafu wakamkosa apo ndio tofauti kati ya viongozi wa mpira na siasa yanga Wana watu wa mpira na sio propaganda kama wa Simba shauli yenu mutabaki apoapo
@Philimonmwachilo7 ай бұрын
proper nyingi wanatufanya watoto
@jumaali92437 ай бұрын
Viongozi wanafanya comedy
@KidaliKipande7 ай бұрын
les
@TwalibuUbwa4 ай бұрын
Akuna ki2 apo ata mumlete nani sisi ayo kwetu matapishi tu ngoja tuje tuone
@TwalibuUbwa4 ай бұрын
Isije kuwa kama saidooo mtacheka mleteni mje muone makuku mbuzi nyie