Рет қаралды 1,624,751
Jana Mikocheni Makumbusho jijini hapa katika eneo maalum la kuchoma maiti, mwili wa aliyekuwa kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji ‘Andy Chande’ (89) aliyefariki dunia, Aprili 7, mwaka huu jijini Nairobi Kenya, mwili wake unachomwa moto mpaka kubaki majivu.