ALLAH amjalie mazinge maisha maref na afya njema sheikh mazinge maashallah huwa anahuzuria misiba mingii mno jmn ALLAH amjalie ndg yetu pembe kauli thabati amjalie pepo yake inshaAllah
@MariamMarusuАй бұрын
Allahumma Ameen
@Contentislamic123Ай бұрын
Allahuma ameen
@RahmaIddi-s2sАй бұрын
Subhana Allah 😭😭 maneno ni mazito na yenye mazingatio Yarrab 🤲 tujaaliye tuwe waja wema Yarrab 🤲
@hamisishabani8864Ай бұрын
Ameen rabillaAllah-miin 🤲🏽
@RahmaIddi-s2sАй бұрын
Shukuran ahsant kipenz cha Allah... ustadh mazinge tunakupenda kwa ajili ya Allah 🤲
@hamisishabani8864Ай бұрын
Ameen 🤲🏽
@AthumaniJongo-j5dАй бұрын
Allah akupe umli mlefu shekhe mazinge
@hamisishabani8864Ай бұрын
Ameen 🤲🏽
@MwanaidiMwenjeАй бұрын
Ahsante shekih kwa mafunsisho na Allah alujaalie umri mrefu na mwisho mwema Insha Allah🙏.
@rizspecial4669Ай бұрын
Huyu shekh ni hazina kubwa sana kwenye taifa letu ila hatujui tu siku akiondoka ndo tutamsema sana kwa mema✍️
@FernandesPaul-v4uАй бұрын
Kweli brother hata yeye anapenda kusema hivo
@uwimana6533Ай бұрын
Kabisa 😢
@hamisiomari6181Ай бұрын
Tena ni mali kweli kweli wala sio utani
@ahz6907Ай бұрын
Umenena vyema❤
@hamisaramadhan-ft9miАй бұрын
Ni kweli kabisa
@fidelthomas2155Ай бұрын
sawa mungu si tumelipokea ijapo kua inauma amelijenga sana taifa kwa nafasi yake, alituchekesha sana pembe alifanya kua na falaja penye mawazo
@JasmineMohamed-d3oАй бұрын
Allah amridhie ila shekh mazinge tunakupenda sana kwa ajil ya ALLAH tunamuomba mungu azidi kukupa umri mrefu tuzid kufaidika na elimu yako inshaallah kila la kheri likufike na ukingwe na zote shar
@ummykilongoАй бұрын
Inalilahi wainalilahi rajighun akika sote njia ni moja mazinge Allah akuongeze mpaka mwisho wa umauti wako kauli dhabiti
@Kuminamoja1995Ай бұрын
Masha'allah sheikh mazinge 😢😢
@chikujuma18Ай бұрын
😢😢😢 Inalilah wainalilah rajighun polen wanafamilia pamoja na jamaa zake mola ampe khauli thabiti ndugu yetu mbele yake nyuma yetu
@HusseinChai-n4gАй бұрын
Mzee mazinge ahsanteh sana mungu akupe heri
@SifranLoveАй бұрын
Jamani naombeni anayejua iyo Aya ipo sura gani na ni aya ya ngapi inshaallah
@amoursalum8266Ай бұрын
ipi kasoma nyingi apo
@IbraFareedАй бұрын
إِنَّ لِلْمُتَّقِينَ مَفَازًا (٣١) [An-Naba’: 31] * 31. Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu Kaisoma 0:35 إِنَّ فِي خَلْقِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَاخْتِلَافِ اللَّيْلِ وَالنَّهَارِ لَآيَاتٍ لِّأُولِي الْأَلْبَابِ (١٩٠) [Âl-`Imrân: 190] * 190. Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili. Akasoma 1:55
@hamzafishten9560Ай бұрын
Allah akupe urmi mrefu
@Aisha-qx7kzАй бұрын
Allah ailaze mahala pema peponi
@MauAgentАй бұрын
Kila misiba ya watu mashauuri huyu mzee anakuwa yupo kwa mawaidhaaaa
@AsiaJumanne-r3pАй бұрын
Tukae na kufikiri juu ya kifo kwani mda wowote ila muda na wakat siri yake mungu allah atupe mwisho mwema duniani na. akhera
@MariamMarusuАй бұрын
Allahumma Ameen 😭
@setiseti5281Ай бұрын
Amina yaaraab
@hamidaissa476920 күн бұрын
Innalillah wainnaillah ranjiun
@user-to6up4hg2wАй бұрын
Hata mi nampeda sheikh ❤❤ may Allah protect him may Allah forgive us all amin ❤
@hussenihamisi286229 күн бұрын
Mazinge bora ungetafsiri2 kuliko kusoma aya unakosea sana hadi aibu
@ZainaBu-zs6wcАй бұрын
Alla atujalie mwisho mwema
@RamadhaniMabeeАй бұрын
Sisisote niwaja wa mwenyezi mungu nakwake tutarejea
Shekh mazinge soma kwanza dini yako badoo kabisaaa hata mwanafinzi wa mtwawasitwa humpati kabisa
@abdulsakibuАй бұрын
Ni bora hicho kidogo alichonacho kakitumia kufikisha ujumbe na akalipwa ujira na Allah kuliko ww unayesimanga na kubeza alichofanya, kila mmoja wetu ana nafasi yake ktk dini shekhe
@nangololoalli8479Ай бұрын
Nashukuru Tu kupata mawaidha lakini heading na kilichopo ni tofauti kabisa
@amossanga601Ай бұрын
RIP Pembe
@FURAHAYETU157Ай бұрын
🙏
@sheysarahnjeno5207Ай бұрын
Pumzika kwa Aman pembe,,
@SalumHamudАй бұрын
Polen san
@MwailemboАй бұрын
moto
@RajabuAbdi-rs7spАй бұрын
😂😂😂😂😂
@hamadKhamis-p6kАй бұрын
Musimamishe sala kusoma Quran kumuombea Allah mambo mbali mbali kwani mukifa ndivo vitu vitakavowasaidia baada ya umaut musiwe bize San kwenye Ekta zenu