PART2:HATIMAE PROPHET IPM AKUTANA NA SHEHE DR SULLE,AJIBU KWANINI ALITOKA KWENYE UISLAM!KIKAO KIZITO

  Рет қаралды 94,642

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 623
@nurusatinuran2527
@nurusatinuran2527 2 ай бұрын
Maasha Allh❤shekhe sule Allah akuhifadhi
@ayubumasudi8380
@ayubumasudi8380 8 ай бұрын
Maashallah❤ sheikh wetu tumejifunza mengivnakufaidika alieskia kaskia ALLAHakulipe kila lakheiri pia akuhifadhi na sote tunae kufata amiin yarraby
@SumahiyaRamadhani
@SumahiyaRamadhani 3 ай бұрын
Masha allah docta sule
@EmanuelelisaGidion
@EmanuelelisaGidion 2 ай бұрын
Uislamu ndio maaana unapigwa vita maaana umeenyooka hautaki ushenz
@UpendoBarnoth
@UpendoBarnoth Ай бұрын
Acha roho ya udini fahamu kweli ikuweke huru
@AllyDunia-lo8gq
@AllyDunia-lo8gq 8 ай бұрын
Allah akulinde kwa kila kitu. Akupe umli mrefu uzid kutupa Iman wallah your professional wa kiislam❤
@bellasi349
@bellasi349 2 ай бұрын
😂😂😂 siku izi allah anatoa umri wa kuishi😂😂 n'a uyo allah uo umri anautoa wapi ili akupe wewe uishi miaka mingi
@HopeChriss
@HopeChriss 2 ай бұрын
Siyo ilo lipete lake😅😅😅😅
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 8 ай бұрын
Shukran sana shekhe wetu Allah akuzidishie yalo mema ishaallah ❤❤❤❤❤
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 8 ай бұрын
Dr sule mungu akuweke waislam nanavimba sana na wewe
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 4 ай бұрын
Dr Suleiman kazi yake ni kuongoza watu kwa dini ya kweli nasio mambo na ubishi.
@Wi.Music24
@Wi.Music24 2 ай бұрын
Namuona Mchungaji ajae 😂 BWANA YESU ASIFIWE 🙏
@ISSAKIGEZI
@ISSAKIGEZI 2 ай бұрын
Mungu akujalie nawew uje kuwa mnyeyekevu wa moyo kama yesu
@harunaabu3083
@harunaabu3083 8 ай бұрын
Shekhe wangu nakupenda sana kwa ajili ya Allah sulle Doctor sulle Allah akupe umlimlefu sana Shekhe
@TwarirambwamboMbwambo
@TwarirambwamboMbwambo 2 ай бұрын
Shekhe upo vizuri ila sio sana Bado unahitajika kujifunza zaidi elimu ya biblia haipo kirahisi hivyo wasabato kamwe hawajawahi kuwa waprotestant. Hawajawahi kuwa wakatoliki soma kitabu Cha ufunuo na danieli
@AhmediKilingamoyo
@AhmediKilingamoyo 2 ай бұрын
Allaah akuongoze Allaah akupe amaani akupe umrimrefu wenyekheri
@MauNgush
@MauNgush 3 ай бұрын
Mashaallsh mungu akuweke sheh
@salimdiabyonlinetv4873
@salimdiabyonlinetv4873 6 ай бұрын
Unajua kweli Dr Sule ❤, Allah (s.w) Akuhifadhi iko siku Watakuelewa, MAKAFIRI.
@AbasHabimana
@AbasHabimana 5 ай бұрын
Docter Sule namuomba Allah akuifazi
@SelinaNenda
@SelinaNenda 6 ай бұрын
Doctor Sule Leo nime kusikia.Hulicho hongea mengi ni kweli.
@muzzoonlinetv7446
@muzzoonlinetv7446 8 ай бұрын
ALLAH AKUPE UMRI MREFU SHEKH
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 8 ай бұрын
Maashaa Allah.. Dr. Sule tumejifunza mengi kwako ..
@KhajiRashid-lk6fi
@KhajiRashid-lk6fi 8 ай бұрын
Mashaallah mungu azid kkuweka sanaaa
@MustafaMvulla-fv8eh
@MustafaMvulla-fv8eh 4 ай бұрын
Sheikh mungu akusimamie
@HadadHazarah
@HadadHazarah 2 ай бұрын
The doctor.. the best of all... Proffer Suleiman
@mbwanamtops4936
@mbwanamtops4936 3 ай бұрын
Allah akuhifadh na akupe umri mrefu .ameen !
@ebenezernnko8251
@ebenezernnko8251 8 ай бұрын
Safi sana mm mkiristu lkn nimekuelewa sana
@yunusabeid74
@yunusabeid74 8 ай бұрын
Hongera sana ndugu
@danielmatemu9698
@danielmatemu9698 8 ай бұрын
Umeelewa nn? YESU ALISEMA hivi ÷÷ ASIYE NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUTUPA JIWE÷÷ Unadhani Yesu alimaanisha nini???
@assadmajaliwa2524
@assadmajaliwa2524 3 ай бұрын
​@@danielmatemu9698 Ko yy alikuwa ana dhambi ndio maan hakumgusa Au sheria alishusha akijua nani anaefaaa kuitekeleza?
@amransaid6018
@amransaid6018 3 ай бұрын
Tunakukaribisha ktk uwislamu😊
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 2 ай бұрын
Hakuna Mkristo Duniani Anayejifunza Biblia Kwa Mwislam
@MaryamAbubakar-c2d
@MaryamAbubakar-c2d 8 ай бұрын
Asante kwa kutuelimisha
@ramadhangerezamdoe6401
@ramadhangerezamdoe6401 25 күн бұрын
Mashallah doctor unaeleza kwa utaratibu hakika tunakuelewa sana Allah akulinde inshallah
@uwesumuhammadi6292
@uwesumuhammadi6292 2 ай бұрын
Inakua ni mara chache sana kupata vitu adimu kama hivi ndani ya muongo mmoja allah tutunzie shekhe wetu wapo wachache sana !!
@NelsonBaraka-eo3bs
@NelsonBaraka-eo3bs 2 ай бұрын
Kwan shekh anaongea kuhusu nin , Kwan yesu alikuja na dini Gani, yaan alitaja dini ipi ndio sahihi??? Kwa nin shekh asihimize katika Imani na kuaminisha waislam katika njia ya mtume Muhammad,, na kazi ya pastor iwe kuhimiza njia ya kristo yesu( mpakwa mafuta
@faisalshaban3948
@faisalshaban3948 2 ай бұрын
Dr. Sule yupo vizuri amenyooka kujibu maswali, Allah amlipe
@IbrahimRaphael-n7v
@IbrahimRaphael-n7v 10 күн бұрын
Wewe nawe huyu ana maswali gani sasa hapa aje nimponde nondo hapa mtu mwenyewe huyu anauyeuliza maswali anakuna kichwa
@SuperkarimBenzema-o1h
@SuperkarimBenzema-o1h Ай бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye manufaa na uufaeee uislam.jazaakallah kheir
@MaryamHAMISI-ei9fq
@MaryamHAMISI-ei9fq 8 ай бұрын
❤❤ mashallah mashallah ❤alhamdull lah mafunzomazuli Allah akulinde insha'Allah
@hafifayusuph3781
@hafifayusuph3781 2 ай бұрын
Takbiiiir... Allahu akbar mashekh wamesoma bwana
@RashidKilagwa
@RashidKilagwa 2 ай бұрын
Maashallah mungu akulinde dhidi ya fitna za makafir
@YusufBigger
@YusufBigger 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@Leo-xc1nh
@Leo-xc1nh 8 ай бұрын
Mashallah sure ni mwarimu kbx
@NassibUkasha
@NassibUkasha 3 ай бұрын
Allah awalinde masheikh wote awape afya NGUVU insha'Allah panapo majaliwa yake MOLA kujeni Kenya, kilifi inapatikana eneo la mkoa wa pwani
@HerriThabiti-qd5rr
@HerriThabiti-qd5rr 8 ай бұрын
Kweli uongo wawakristo sasa umefika mwisho
@UbdeBillows
@UbdeBillows 8 ай бұрын
MUNGU AWAUONGOZE MANDUGU WAKRISTO WAJUWE DINI YA HAKI NA UKWELI INSHALLAH
@faza4023
@faza4023 8 ай бұрын
Haki kuua?😅 fungua macho
@mwinyihamisi3369
@mwinyihamisi3369 3 ай бұрын
JAZAKALLAH khaira
@HassaniRuhomwa
@HassaniRuhomwa Ай бұрын
Allah akulipe yaliomema shekh wangu
@mubaarakhassani5746
@mubaarakhassani5746 3 ай бұрын
JazakaLLAHU HAIRA
@rahema1992
@rahema1992 8 ай бұрын
Amesema anayetaka kuweka mjadala nae amfuate sasa longolongo za nn mara tapeli mara miongo weka makala nae uone kama hujakimbia mwenyewe tusomen tuacheni ubishi
@Yasssin-zp6im
@Yasssin-zp6im 8 ай бұрын
Ndg yang huyo ipm ukristo kaingia jana tu sisi tushaanxa kuhubir neno la mungu ndacha kazaliwa kwenye ukristo na kasoma lkn kwa dk sulle kagonga mwamba atakua huyo ipm
@NajimaJuma
@NajimaJuma 5 ай бұрын
Mbioo nyingi Sanaa 😂😂😂😂
@MariamFred
@MariamFred 2 ай бұрын
Mungu akujalie umr mrefu inshaallah
@MwafaliDello
@MwafaliDello 2 ай бұрын
Mashaalaaa
@AbdulhamidBawazir
@AbdulhamidBawazir 12 күн бұрын
Kaka Sule usimkere IPM kwani atawaleta wengi kwenye Uislamu, anaitagaza QURAAN na kumsifu MTUME MOHAMAD hili wewe na udokta wako hujaweza kufanya kwahivyo tulia,njoo Masjid utufundise mambo mengi hatujasikia na hatujui. Wacha kujigamba huko n'nje. ILMU BAHAR
@mkutaruissa3611
@mkutaruissa3611 2 ай бұрын
Mashallah elimu kubwa hii allah atudumishe kwenye dini ya haki
@kassimMbarushimana
@kassimMbarushimana 3 ай бұрын
Fact
@lifezest6274
@lifezest6274 8 ай бұрын
DR SULLE inabidi akutanishwe na OMARY MNYESHANI. Ndio level yake kwa elimu za dini hizi mbili.
@ukwelinauwazi2713
@ukwelinauwazi2713 21 күн бұрын
Mimi naomba mjadala na Shekhe Dr. Dule.
@IbrahimRaphael-n7v
@IbrahimRaphael-n7v 10 күн бұрын
Hata mimi nataka mjadala na huyu jamaa tena nataka sana nasisitiza nataka sana
@bakarimbonde1544
@bakarimbonde1544 2 ай бұрын
Mdgo mdgo watakubali tuu kwa uwezo wa Allah kupitia kwa mtume wetu Muhammed S W
@jombilozoo
@jombilozoo 3 ай бұрын
Kila mtu ana haki ya kusikilizwa 😅. Hii nchi ya katiba na sheria.
@engisack9610
@engisack9610 8 ай бұрын
Hata sisi hatujawa Wakristo by chance but tumekua Wakristo by Choice
@abdulwahabkhamis1033
@abdulwahabkhamis1033 4 күн бұрын
Nakubal shekhe
@RamadhaniHassani-c2z
@RamadhaniHassani-c2z 2 ай бұрын
Allah akupe nguvu na unti mrefu
@SarahSudi-jx6pr
@SarahSudi-jx6pr 2 ай бұрын
Allah Akbar alhamdulillah kwakunifany muislam ya Rabby
@UbdeBillows
@UbdeBillows 8 ай бұрын
DR SULE U'R IN A MILLION MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UWAPE ULEMI YA HAKI NA UKWELI
@MethodchijaYahaya
@MethodchijaYahaya 14 күн бұрын
Yesu kuukausha mti, haimanishi hakujua msimu wake. Alijua sana tu, Ila alikua anatoa fundisho kwa wanafunzi wake. Pia hakuna hekalu limejengwa na majini kitabu cha nyakat hakuna majin yaliotajwa wala historia yake haisemi majin yamejenga hekalu
@MwanaJumaali-q8n
@MwanaJumaali-q8n 8 ай бұрын
Mashaallah
@Jeanjuma-y2o
@Jeanjuma-y2o 12 күн бұрын
Dr sule Asante ni mekuskiya na ninaelewa sasa japokuwa Mimi siyo meislamu nivixuri kuskiya pande zote 2 nilipomsilikiza ipm nilikuwa na maamuzi mengine saa hii na namaliza kuskiya ufafanuzi wako nimepata faida
@tchidfreeman8838
@tchidfreeman8838 Ай бұрын
Angejibu ayo maswali ya yesu kama kweli anajua. Hajui ndo maana hakujibu. Nyinyi ni waafrika rudini kwa mababu zenu acheni kupigania dini za warabu na wazungu.
@AllyIbrahim-ql6ms
@AllyIbrahim-ql6ms 8 ай бұрын
Yan nipo na note ayo maandiko maana kuna group zang za uislam na ukristo so napelek moto😂😂
@bellasi349
@bellasi349 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AbdullahHassan-e7d
@AbdullahHassan-e7d 2 ай бұрын
Kaka naomba uniunge kwenye Hilo group
@SudyKamonongo
@SudyKamonongo 2 ай бұрын
Naomba uniunge kwenye group
@romanshirima5883
@romanshirima5883 2 ай бұрын
😂😂😂
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 10 күн бұрын
Unashambulia kwa kasi? 😅😅😅
@abdallahyusuph8715
@abdallahyusuph8715 2 ай бұрын
Big up doctor sulle
@AshaAshim-gy6jm
@AshaAshim-gy6jm 8 ай бұрын
Mollah wetu akupe umri mlefu xhekh wetu, sulle,,
@jesusislord9190
@jesusislord9190 8 ай бұрын
Alie andika jitieni Nila yangu ni yohana yohana kasema YESU alisurubiwa kipofu akimuongoza mwingine watapotea haya Muhammad hajui atakalofanywa walawafuasi wake
@Naw89
@Naw89 8 ай бұрын
Ushindani tu Someni kitabu chenu vizur mtaangamia kwa ujinga Mtu katahiriwa na bado awe mwana wa Mungu au awe Mungu hata akili ya kuzaliwa pia hamtumii
@AminaJuma-r4v
@AminaJuma-r4v 8 ай бұрын
Mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah mashaa 🎉🎉🎉🎉🎉 Shekh sule uko vizur
@huseniyahya9121
@huseniyahya9121 8 ай бұрын
Tatizo mna somewa kutoa sadaka 2 bible niyenu lkn hamyasomi na hamuulizi maswali wachungaji wenu ndo maana hamuelewi 4:23
@jesusislord9190
@jesusislord9190 8 ай бұрын
@@huseniyahya9121 wewe biblia huijui unasubiri wakina sule wakusomee ndio ukatafute palipo andikwa Jiyieni Nila yangu jifunzeni kwangu haya tupe mafundisho ya YESU kwenye uislam tupe mafundisho nje ya Muhammad kwenye uislam
@SalehSaleh-uf2og
@SalehSaleh-uf2og 8 ай бұрын
YOHANA kasema ktk aya gan?,tujulishe tuelimike.
@FurahaMwanyaluke
@FurahaMwanyaluke 2 ай бұрын
masha allah
@AbdalahMpingi
@AbdalahMpingi 2 ай бұрын
Takbir
@YusraKondo
@YusraKondo 2 ай бұрын
Tunajivunia waisla kuwa na doctor sulle mazinge na kishk na wengine mungu awape umli mlefu wa kusambaza dini akuna anae waweza allha atuongoe wote
@SalimuMabadi
@SalimuMabadi 18 күн бұрын
Nime kuerewa sana mkuu wangu
@Havijawajaha
@Havijawajaha 8 ай бұрын
Allah akulipe she he wetu tunajifunza mengi ishaallah
@musalumbi8490
@musalumbi8490 2 ай бұрын
Hapa safi sana Dr. Sule
@SaidiNyenje-r4t
@SaidiNyenje-r4t 2 ай бұрын
MWENYE MASIKIO AMESIKIA inatosha sheikh mungu akulipe kwa hii elimu unayotupatia,
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 2 ай бұрын
Huyu sule ni muhuni tu sio shehe
@JamaRamadhan
@JamaRamadhan Күн бұрын
Sio waebrania 3:1 ni waebrania 5:7 usitaje taje aya ukadhani wasikiao ni maamuma "
@DavidSimonGaspar-v7z
@DavidSimonGaspar-v7z Күн бұрын
Nyie mnashindwa kua waelewatu ukiristo hauna shida wala uisiramu hauna shida ira watu ndio WENYE shida kama hamuamini mtu yoyote mfia dini aachane na dini yani awe mtu ambaye hana dini awe ana muamini mungutu tuone kama hataiona pepo Kwa najua amrikuu mungu ariyofundi wapa binadamu ni upendotu ukiwa na upendo kwakira mtu yoyote bira kubishana lazima utaiona pepotu
@AssumaniKibiriti
@AssumaniKibiriti 8 ай бұрын
Nyie wa kristo acheni ubishi semeni myaka 29 yesu alikuwa wapi ao alikuwa anafanya nini toweni majibu
@denisharris2889
@denisharris2889 8 ай бұрын
Nawe ujiulize kwanza maisha ya Yesu yako wapi ndanj ya quran? Ila Bibilia imesema. Na mbona ukubwa Kurani ni Robo ya Bibilia nzima? Kipi mmeandika kuhusu maisha ya mitume waliopita?. Toa boriti ndipo utoe kibanzi.. Ukweli ni huu..Kwa taarifa yako, Mungu wa quran sio Mungu wa Bibilia. Vivohivyo isa wa quran sio Yesu wa bibilia. Kwa habari ya miaka 29 ya Yesu.. Bibilia inasema... Yohana 20:30-31 Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki. Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake. John 21:25 Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 8 ай бұрын
Watoe majibu😅
@denisharris2889
@denisharris2889 8 ай бұрын
Quran imekuja miaka 700 AD. Imekubaliana na Bibilia na mikutano ya kanisa ilioandikwa miaka 300s AD. Kwamba ni kitabu cha Mungu kwa wakristo. Yeye porojo zake anatolea wapi? Kitu pekee qurani inasisitiza kukataa ni kua Utatu mtakatifu wenye kumjumuisha Baba, Yesu na Bikira Maria. Na ndio aina ya utatu ambao wakristo wa konstatino hawaufahamu hadi hii leo. Bibilia inataja utatu wa Baba, Mwana na Roho mtakatifu, Unataka majibu gani tena, kama sio common sense?Tafakari.
@profesakiongozi3930
@profesakiongozi3930 2 ай бұрын
Hujajibu swali​@@denisharris2889
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 8 ай бұрын
Ajikwezae hushushwa
@swalehsalim5576
@swalehsalim5576 8 ай бұрын
Kwenda zako Sule mchawi una Pete za majini uislamu wenyewe uchawi tu ‼️😃😃😃
@SwahibuAthuman-yv2mn
@SwahibuAthuman-yv2mn 5 ай бұрын
Jibu hoja
@HamidharunaMapunda
@HamidharunaMapunda 2 ай бұрын
Umelaaniwa wewe kama wewe sio mwanga umejuaje sheikh ni mchawi
@ashrafally144
@ashrafally144 2 ай бұрын
Uzuri n kua hilo jambo la kua Waislam n wachawi ameshalijibu,,
@angle3600
@angle3600 8 ай бұрын
Mimi ni muislam ila Alhamdhulilah nishamuona Yesu kwa ndoto,na nilipomuona kwa haki ya Mwenyezi Mungu niliona baraka ambazo sikuzitarajia nilikua napitia kipindi kigumu sana ila aliponitokea kwa njozi Alhamdhulilah❤❤❤
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 8 ай бұрын
Wewe ukitoka nje Ya UISLAM Umekula khasala
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 8 ай бұрын
Kwel kbsa maan na yey ni nabii na kumuota nabii bas una daraj laki mbel ya mungu mitume na manabii hawaj kwa watu wa hovyohovyo​@@abubakarmwasumilwe7070
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 8 ай бұрын
Mshukur mungu kumuota mtume wa mungu au nabii sio rahis mungu anakupenda na usione kumuota yes ndio uend kweny ukristo itakuwa ufinyu wa akili kwa yesu ni nabii wa mungu tu ni sawa na mtu aseme amemuota mtume ni daraj kubwa sana
@angle3600
@angle3600 8 ай бұрын
@@MiishHassan-qm1et siezi rudi ukristo kwa sababu yeye nimtume na ametajwa kwa dini zote ila Alhamdhulilah,kumuona kwake kuliniletea baraka,japo kuna mama mmoja muislamu nilipomuaditia nimemuona yesu alinijibu sio yesu nishetani,but chakushangaza mbona niliona neema kubwa ambayo sikuitarajia,na nilikua napitia magumu kiasi cha kuchanganyikiwa,ila mimi ninaamini kweli Isa ni mtume wa Mungu
@maulidmakame3997
@maulidmakame3997 8 ай бұрын
😂
@NursinKabora
@NursinKabora 17 күн бұрын
Hawasomi mm nashaur anaempinga Sulley aombe mechi tu.
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 4 ай бұрын
@miltonmsamba285
@miltonmsamba285 3 ай бұрын
Inawezekana shekhe haujasoma vitabu vizuri au unajisahaulisha tu bt jiulize uislamu ulianza lini?ni baada Yesu kufa na miaka mingi kupita ndio kur an ikashushwa kupitia mtume thn ukumbuke ukristo ulianza baada ya Yesu tena ni wanafunzi wa Yesu ndio walioutangaza ndio maana tunaitwa wakristo means wafuasi wa Kristo ambae ni Yesu..
@williamlugwisha420
@williamlugwisha420 4 ай бұрын
❤ 18:39 18:41 18:41
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 8 ай бұрын
Sasaivi dini zote biashara mungu ndio anajuwa nani mkwe nani muongo kwanza sisi waislmu ndio tatizo
@chalodavid4537
@chalodavid4537 3 ай бұрын
Mathayo 15:13.
@AbdiBanda-p9z
@AbdiBanda-p9z Ай бұрын
❤❤
@allyhalfani1592
@allyhalfani1592 Ай бұрын
Kwani doctor sulle katoka wapi? He is giant!
@allychunda
@allychunda 2 ай бұрын
Majibu bila kupepesa maneno ni dalili ya ukweli
@MbwanaBakari-gz9dp
@MbwanaBakari-gz9dp 3 ай бұрын
Kweli doctor
@kingjames-v4r
@kingjames-v4r 2 ай бұрын
Nikweli
@DotoFulgence
@DotoFulgence 3 ай бұрын
Uyu sule ayupo sahii muhamadi akwenda mbinguni anasema niendapo sipajui na sijui nitafanywa nn
@uwesumuhammadi6292
@uwesumuhammadi6292 2 ай бұрын
Shekhe uko vzr kwenda mbele na hoja ukakumbuka kurud nyuma ni ngumu sana ukifanya masihara unaweza ukasahau ulipoanzia !!
@CollinceFrances
@CollinceFrances 6 ай бұрын
Yesu ariwambia wanafunzi wake wasitoke Yerusarem mpaka hatakapowajiria Roho Mtakatifu na Roho Mtakatifu aripowajiria ndipo kanisa lilipoanza
@assadmajaliwa2524
@assadmajaliwa2524 3 ай бұрын
Waliotoka Nan alianzisha kanisah sas kati ya hao 12?
@samrysamry9812
@samrysamry9812 8 ай бұрын
Ukweli unaumaa jmn tatizo wakristo hawasomi bibilia wangesoma bibilia wange ujua ukweli tatizo hawasomi kasomeni acheni ushabiki
@denisharris2889
@denisharris2889 8 ай бұрын
Mnateseka mkiamini mungu wa Quran ni Mungu wa Bibilia. Mungu wa wakristo hatamtambui Mohammad wala nabii Isa wala allah. Msifosi tufanane...
@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim 8 ай бұрын
​@@denisharris2889someni biblia nyie biblia sio kitabu cha mungu ni mkusanyiko wa vitabu walio kusanya Paulo na wenzie yesu alikuwa ni Israel ndio mnatakiwa kwenda Israel mtafute vitabu alivyoacha yesu kama nyinyi wasema kweli
@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim 8 ай бұрын
​@@denisharris2889karibu katika uislam uislam raha
@YOUSUFHUGUGU
@YOUSUFHUGUGU 8 ай бұрын
​@@denisharris2889hatuna haja Wala hatuitaji tufanane na makafiri mliopotea elimu hamna kazi yenu kusomewa t bibilia someni bibilia nyie matahira
@hafifayusuph3781
@hafifayusuph3781 2 ай бұрын
Salute to you doctor Sule,may Allah subhana wataala protect and provide for you
@engisack9610
@engisack9610 8 ай бұрын
Yaaani hata kama unaongozwa na dola ya kiisilamu ndio uchinjwe? Mungu gani anaruhusu mtu kumuua mtu mwingine kisa karitadi? Ni wakristo wangapi wameuwa na waisilamu huko uarabuni na kwingineko kote kwa sababu wao ni wakristo? Dini gani inaadhabu za kidikteta? Bibilia inasema Mungu ndio huua na kuweka hai kwanini umuue mwenzako kwasababu ya dini? Kwahiyo dola zao watu wakiritadi wanakatwa shingo" je hao waisilamu hawatembei katika dola za wakristo na huko hawana msikitini yao huko waonakatwa vichwa na nani kwa sababu ya kueneza uislamu wao?
@FrancisNjogu-u3o
@FrancisNjogu-u3o 2 ай бұрын
I can die for christianity
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 8 ай бұрын
Soma Maadiko 📖 yote kama wewe ni Mkweli Yohana 3:36 Asiye Mwamini Mwana wa MUNGU hana Uzima wa Milele..... Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu Aliupenda Ulimwengu hata Akamtoa Mwanawe wa pekee (Yesu kristo) ili kila Amwaminiye Asipote bali awe na Uzima wa Milele.
@pilotclassic4468
@pilotclassic4468 8 ай бұрын
Sisi waislam tunamuamini, Alhamdulillah hatutapotea. Lkn wao wanaomzidishia sifa za uungu ndio waliopotea
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 8 ай бұрын
@@pilotclassic4468 wafilipi 2:5-8 📖
@rahema1992
@rahema1992 8 ай бұрын
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na kitu chochote uctupatishe madhambi hapa
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 8 ай бұрын
@@rahema1992 Baki hapo tu ukisena Mungu hazai Kwa maana Unafananisha Mungu na Mwanadamu, Mungu Anaza Kwa NENO 📖 Ukimwamini Mwana wa MUNGU (YESU) Tu Umezaliwa Upya.
@salumobed5980
@salumobed5980 8 ай бұрын
Bora wewe umekiribkuwa Yesi ni mwana wa mungu
@RashidKilagwa
@RashidKilagwa 2 ай бұрын
😮
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 3 ай бұрын
Sheikh naam ALLAH amekujalia elim hii ila kwenye swala la majini uliteleza ALLAH atusamehe sote na utulizie
@SaidiMbezi
@SaidiMbezi 2 ай бұрын
Waitishe mdahalo na IPM
@mjumbe360
@mjumbe360 2 ай бұрын
IPM hajafikifia kuchallange Dr Sule
@miltonadam6901
@miltonadam6901 2 ай бұрын
Imeandikwa msifanye jambo lolote kwa mashindanilo. Ndomana huwez kuona mkristo anayeingozwa na Roho kwenda kushindana. Kwasababu neno lilikuja kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na Roho Mtakatifu hawez kujipinga. Jambo lolote lenye mashindano lina hasara nyingi kuliko kuujenga ufalme wa Mungu. Yesu hakufanya jambo lolote pasipokuongozwa na Roho. Tukimfata Yesu lazima tuzungatie hilo neno. Hivyo anayosema Shegh ni sahihi kwa mtazamo wa kibinadamu lakini Bwana wetu Yesu akristo hakutuambia tufate ya Dunia bali tumfate Yesu kama Yesu alivyomfata Baba. Baada ya Yesu kuondoka alimuomba Baba atuagizie Roho Mtakatifu ambaye atatuongoza mpaka mwisho. Roho ni neno Roho hawezi jipinga. Ndomana huwez kukuta Mkristo anayeingozwa na Roho kwenye mashindano ya Biblia mdaharo n.k vilishapingwa ktk maandiko Matakatifu.
@IdrissajumaLihonge
@IdrissajumaLihonge 3 ай бұрын
Shehe baraka zaallah ziwe pamoja nawe
@IdrisaIsihaka
@IdrisaIsihaka 2 ай бұрын
Najivunia sana uwepo wako Dr sure
@kingjames-v4r
@kingjames-v4r 2 ай бұрын
Kw3li dr
@SamuelEdmundOguda
@SamuelEdmundOguda 12 күн бұрын
We ni mbishi tu😅😂
@SashaAlly-e2w
@SashaAlly-e2w 2 ай бұрын
Mimi ninakuelewa,Dr sule yani miaka kadhaa hapo mbele watayakumbuka hayo
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 224 М.
FAHAMU KUHUSU MAJINI YANAYOWEZA KUKUPA PESA NA UTAJIRI DR SULLE
21:12