Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@user-nh5hi7wr4g4 жыл бұрын
Natamani ue rafiki yangu ustadh mazinge na mungu ajalie tuonane inshaallah. Niko swiss
@kutailadifi28544 жыл бұрын
Masheikh fanyeni Kaz ya Allah, Allah atakulipen in sha Allah
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@kimoyochemokos69084 жыл бұрын
Hakika uisilamu ndio dini ya haki mbele ya Allah. Majadiliano hayo, yanatuhekimisha zaidi ya ile tuliyokuwa tunajua! Baraka ya Allah iwe nanyi aamin
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@ahmednoor95464 жыл бұрын
Mashaallah mola awalipe kheri na wape ujasiri kwa kazi mnayofanya
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@happyarooun60374 жыл бұрын
Allah awahifadhi ndugu zetu
@abuusufian65064 жыл бұрын
Mazinge jr wa Kenya 🇰🇪 karib tena Tanzania 🇹🇿
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Shukran
@islamicnewschannel25513 жыл бұрын
Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.
@jasminmohamed61454 жыл бұрын
MashaAllah Shukran Jazakallahu kheir
@aishamusa9414 жыл бұрын
Ma sha Allah mwenyezi mungu awalipe kheri kwa kazi zenu in sha Allah na awajaalie Jannah
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@hafsaali79764 жыл бұрын
""Mashaallah mashekh wetu,Hao washaanza kufundishwa uislamu umo makanisani mwao.. tangu lini wakristo waka sujudu.
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Hakika
@ritanget91744 жыл бұрын
Sisi hatusujudu hiyo yenu ya kupiga kipaji cha uso kwenye ardhi
@hafsaali79764 жыл бұрын
@@ritanget9174 ndio ilio fanywa na yesu yakupiga kipaji chini na moses..sasa twawashanga nyinyi iyo ibada yenu yaklelele na kuva miniskati mbele ya mchungaji.
@abdiazizmohammed65054 жыл бұрын
Mashallah Ustad Suleiman mazinge
@lioncoin4 жыл бұрын
Shetani ( IBILISI ) ama MUOVU atahukumu wafuasi WAKE na BIBLIA NA sio QUORAHAN wakati wa hukumu mbele ya mwenyenzi mungu "Yahweh" "Jehovah" (( I AM THAT I AM )) ili tuingie ufalme wa mwenzi mungu , tutubu thambi zetu na tumkumbali yesu kristo na mwisho TUBATIZWE NA MAJI MENGI KAMA YESU KRISTO,, mbila hii hakuna kuingia ufalme wa mwenyenzi mungu Yahweh
@rahmitermohaz98044 жыл бұрын
Besides May Allah reward what you're doing for spreading Islam all over the entire county in Kenya... Amiin
@mwanaishamlima20474 жыл бұрын
Mashallah Mungu kazi nzuri
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Amin
@myoutubecom-gg7sb4 жыл бұрын
MashaAllah
@jamilaomariomari83284 жыл бұрын
Allahu Akbar..mashaAllah my name sake 😃👏.karibu katika wislamu.
@jumahyusuf55244 жыл бұрын
MaAshllh....
@mwanamwinyibmwakinalo40944 жыл бұрын
Allah awape umri na awalipe kila la kheri masheikh wetu , nawapenda buree
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@musanike30792 жыл бұрын
Hongera
@husnaodhiambo68484 жыл бұрын
Mashallah
@shenjamamzingi79504 жыл бұрын
"ALLAHU AKBARU"...ALLAH ATUWEZESHE SOOTE KWAAJILI YA KUFANYA KAZI YAKE,INSHAALLAH"
@stylestheentertainer33884 жыл бұрын
Good job Sheik Mazinge
@UMMYYFATMA Жыл бұрын
MASHAALLAH 🙏
@zaby-n-mamashasha66714 жыл бұрын
Mungu awajaliy kheri kwa rehma zake ,yn tunawapend kwa ajili ya Allah
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@musitemusite43164 жыл бұрын
Maashaallah
@yoryskills49934 жыл бұрын
Keep it up shekh mazinge
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
👌
@mifungaanyesi35474 жыл бұрын
Mashallah masheilh
@rahmitermohaz98044 жыл бұрын
I would like to see in Nairobi Eastleigh again Inshaa Allah
@ramazecha28773 жыл бұрын
Uislamu ndio dini ya haki mbele ya mungu
@adambakari37974 жыл бұрын
Mashallah kazi nzuri mashekh wetu, yani wakijua kiswahili vizuri wataweza kuelewa bibilia, na vizuri munawafunza kiswahili pia
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Naam
@mdmalik84844 жыл бұрын
Mashaallah
@hassanambarakmbarak87594 жыл бұрын
Safisana mazinge hatukuoni banaaa
@mwaitaali68164 жыл бұрын
Masha Allah Mey God bless you all
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@maherzain6153 жыл бұрын
Hahaha MashaAllah huyu hata amemshinda mazinge mzee huyu kichwa kibaya makanisa yote ulimwenguni yako kichwani na waloyaanzisha na mwaka yaloanzishwa
@jangombeboys45364 жыл бұрын
MR
@ahlanwasahlan3734 жыл бұрын
Maa Sha Allah
@mangeraalbert79824 жыл бұрын
Bismillahi,
@jumakalukule53124 жыл бұрын
Mashehe kazinzuli m /mungu atawalipa kwakuwaelimisha madhehebu mengine
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@athumankitsanze85124 жыл бұрын
Allah atuongoze sote inshallah,
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@prettyaysha78924 жыл бұрын
Sheikh pia Hawa waarabu wanaswali faradh, sunna zote na dhuha lakini wengi hawana mark na Hua wanasema mm nna mark ju siko mweupe
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
Hao ambao hawana mark nisababu hawagongeshi kwa nguvu chini wanafanya kupapasa
Uongo wenu utajulikana tu ndangaya wenye hawajui lakini kiama kinakuja tuambie vile miti inasijundu kama huu sio unafiki na uongo
@ernestdaud22064 жыл бұрын
Yani nyinyi waongo wakubwa eti ufunuo wa Yohana 9 aya ya 1 eti mwenye anasujudu anapata alama kwenye paji ya uso,uongo mtupu fundisheni ukweli acha uongo.
@ritanget91744 жыл бұрын
Wachana na hawa waislamu hawajui lolote ukifwata mafundisho yao utapotea bibilia yataka uisome ukiwa uko na akili tena uwe na Roho wa mungu hao wamejaa jazba
@thebibleandthebibleonly86024 жыл бұрын
Hakika umenena waongo tena wanafiki
@rudathekaka6994 жыл бұрын
Asalam alaykum, napenda kuwakumbusha ndugu zangu usomeni vizuri uislam na sio kutukana pa si na elimu ya maarifa. Kwa hakika dini ya haki mbele ya Allah ni uislam
Acha uchizi pumbavu ww ukisujudu lazima utoke alama kama athali yaku sujudu kafili ww nenda zako uko tusha chukua mfuasi wenu waki sheytwani sasa amisha kua mwisilamu ana mtumikia mungu inshaallah allah amu ongoze ww baki na ukafili wako waku mwabudu mwanadamu alo kunya kama ww
@Kazubassyathyvry894 жыл бұрын
Allah awalipe kila la kheli
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@nasserm.nasser50874 жыл бұрын
Subhanallah Mitume (amani ziwe juu yao) wanatajwa wakisumsujudia mola wao ktk biblia. Masjid maana yake ni sehemu ya kusujudu na ndio waislamu wanaenda huko kusujudu Mwanadamu anakuwa karibu sana na mola wake ktk kusujudu. Njema iliyoje waislamu kujaaliwa kumsujudia mola wao zaidi ya mara 17 kwa siku
@alhaddajmohammed47684 жыл бұрын
Wamisionary (Wa mpango mkakati/Wafuasi wa Shetani) wametumia/wanatumia ujanja kuwapoteza ndugu zetu wa damu (Wakristo) wamewatungia na kuwaletea madhehebu tele kwa kivuli cha aukrusto.
@ritanget91744 жыл бұрын
Waislamu pia wako mathehebu mengi ama wafikiri hatujui na wala thehebu halikupeleki mbinguni ujue hivyo
@kutailadifi28544 жыл бұрын
@@ritanget9174 UISILAMU Uko 1 tu, hakuna tofaut
@ritanget91744 жыл бұрын
Yesu hakupiga magoti usidanganye Yesu alilala kifudifudi kulala na tumbo lakini hakupiga magoti
@abdur-rahmanmuhammad28984 жыл бұрын
😀😁😁😁 Rudi shule ukasome kiswahili vizuri
@muslihmohd94204 жыл бұрын
Aya haisemi alilala bali alianguka kufudifudi hata nchi akasujudu.
@@muslihmohd9420 kwa hivyo mshaelewa Yesu hakupiga magoti kama nyinyi waislamu
@muslihmohd94204 жыл бұрын
We vp nani alisema kusujudu ni kulala na tumbo,mswahili wa wapi wewe
@ritanget91744 жыл бұрын
Hiyo ni alama ya shetani hiyo iko kwa kipaji cha uso
@kutailadifi28544 жыл бұрын
Ulimshuudia shetani akiziweka hizo alama ktk vipaji vya waislam?? WW Mungu anakuona
@masala80994 жыл бұрын
Rita elimu huna matako ww
@ritanget91744 жыл бұрын
@@masala8099 nyinyi mlizaliwa kwenye matusi sisi wakristo huwa hatutukani tukana kabisa lakini ujue kwa mungu hufika kama hauko kwa Yesu Muhammad ni motoni utaenda pole sana
@ritanget91744 жыл бұрын
@@kutailadifi2854 wewe njoo kwa Yesu anakupenda utoke huko kwa shetani na Muhammad wake
@kutailadifi28544 жыл бұрын
@@ritanget9174 kwa yesu ni wapi? WW unajua aliko kwa Ss huyo YESU , somaga bibilia yenu ujue yesu ninani hasa na anamahusiano gani na kipenzi chetu cha Allah MTUME Muhammad , soma bibilia utajua shetani makao yake yako wapi,😆😆😆kanisaniiiiii Ndiko kunakiti chaenz cha shetani ,🤔🤔🤔mnano
@muliamadi8594 жыл бұрын
Jamani Ismail gitahu apatikani?
@myself41284 жыл бұрын
Nyinyi Endeleeni kuwaongopea watu Kwa Mungu wenu Wa kiarabu lakini siku inakuja ambayo mtajutia nafsi mlizozipoteza,Mbinguni wataingia wacha Mungu tu sio watu walioshika dini Bali watu walioishi kwa kumpendeza Mungu, Dini ya kweli ni kuacha maovu na Guarentee ya uzima wa milele ni Kristo tu hakuna Isa wala mohammad wala mussa,
@alexkijomoko71354 жыл бұрын
Ngoja siku ya kiama utajua Yesu ni nani
@abdur-rahmanmuhammad28984 жыл бұрын
Yesu Kristo alikuwa Dini gani
@najmamakame98814 жыл бұрын
Hahaha ila wewe yesu sio muafrica ujue...alikuwa myahud nakushangaa sana unachukia warabu 😂😂😂we ni mwehu kabisaa....namuomba Allah akuongoze la sivyo tutakutana siku ya hukum in sha Allah ukilia na kusaga meno
@ahmednoor95464 жыл бұрын
Wacha wivu hakuna mungu wa waarabu wala wa afrika aliekuumba ndie aliumba warabu.tafuta ukweli ukowapi
@kutailadifi28544 жыл бұрын
Msikie na huyu kafir anae Sema sie tumamfata Mungu wetu mwarabu hv ninyi Paulo aliwaachia laana Eee, Ss haijawah kudhibitisha Mungu Ni kabila gani, au ukoo gan msipende kutoa kashfa Kama hiz Jmn
@gharibislam15864 жыл бұрын
Mashallah
@alhajjaliomar27593 жыл бұрын
Mashaallah
@shenjamamzingi79504 жыл бұрын
"ALLAHU AKBARU"...ALLAH ATUWEZESHE SOOTE KWAAJILI YA KUFANYA KAZI YAKE,INSHAALLAH"