D voice nakubal Piga mashine lulu diva Usisahau Kumwagia ndani
@othinielkamyola36972 ай бұрын
❤❤❤DOGO SO OPEN NAMKUBARI SANA DOGO HALEMBI SHOWSHOW
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k2 ай бұрын
Leo ndo nimeamin ukiwa na pesa wanawake wanajileta wenyewe maan kwa ubri uliyonao na ubri wa lulu aviendani kabisa ila anagalia maokoto bc, subiri na mm nikipata nitoe zangu sehemu ya kumi kanisani ila kwa mapenz hapana kwa kweli
@agogomgagagigigogo2 ай бұрын
Mmmh,huyu mtotoo au mtu mzima,daah kinajibu kwa hekima na busara kuliko mijitu mizima 😢😢😢
@MFARIJITHEGREAT2 ай бұрын
Dada changamka mbona umepooza sana jamani dida
@enemtatuka58632 ай бұрын
Kipindi kinqmruhus hivooo
@FatmaRashid-p3iАй бұрын
Lulu diva nae anatembea na kila mwaume wa wasafi😢
@SifaEmma2 ай бұрын
Harmonize Mzee Popo anaroga interview za D Voice ili D Voice asimzidi views youtube😭😢😢😢😢
@Onepiecefamily-v1c2 ай бұрын
Ww pepo umetumwa eeeee
@Drimboy2552 ай бұрын
Wametuzulumu dakika😅😅
@tatuaamuuinyi96332 ай бұрын
Yakwenu du!! Yawenzenu midomo juu.tangazeni na mambo ya pididi
@tatuaamuuinyi96332 ай бұрын
Yani kutoka kwa mbarouku khani hadi kwa D voisi.mbali sana
@iranangole70072 ай бұрын
Ukiona mpenz wako anashika cm yko uyo akupend na amutochelewa kuachana
@EliudiJastini2 ай бұрын
Ndo mnavodanganyana ivo nyie ndohuwa hamdumu kwenye mausiano kwasababu ya ujuaji na ubishi ndomaana mauaji hayaishi ya mausiano uaminifu umepotea ndomaana hamjiamini kutumia simu za wapenzi wenu namengi ya kuandika ila nimeandika kifupi
@aishaomar96212 ай бұрын
Huyu ndio alichukuwa nafasi ya marehemu Dida 😢 amepona nyieee anahoji kmbe polisi😂