Ndaro, Steve Mweusi walivyoondoka na kijiji chao - Uzinduzi CHEKA Plus TV

  Рет қаралды 313,985

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

UZINDIZI WA @chekaplustv CH 414: Huyu hapa @ndaro__ aliyeamua kuondoka na mbavu za watu usiku kwenye uzinduzi wa chaneli mpya ya Cheka Plus TV inayopatikana kwenye #AzamTV pekee kwa kifurushi cha shilingi 17,000/= tu mwezi au 6,000/= kwa wiki.
Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108 @utvtz
#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus

Пікірлер: 106
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 4 ай бұрын
Hongereni sana Steve na Ndaro mko vizuri sana
@Urahyobra-xg7qn
@Urahyobra-xg7qn 4 ай бұрын
Hiyo ajiieni mc trick ❤❤❤ Kenya to the world 🌍🌎🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪#yobramgenge
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts 4 ай бұрын
Wako chini hawa
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts 4 ай бұрын
Wako chini hawa hii ni money laundering 😅
@ISAACLEVIS
@ISAACLEVIS 4 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu
@OneRigovic
@OneRigovic 2 ай бұрын
pamoja na steve no stress
@Abdulaziz-tb1gd
@Abdulaziz-tb1gd 2 ай бұрын
Konde boy ndani nae kwenye mjengo
@Denisemuyerekana
@Denisemuyerekana 4 ай бұрын
Vraiment nibien sana stive nakukumbali sana
@bullychandy6509
@bullychandy6509 4 ай бұрын
KUBWA SANA HII, AZAM KWA WOTE
@JAYLABELS
@JAYLABELS 4 ай бұрын
😢SOUND PRODUCTION MBOVUUUU
@MunezeroDivine-i7j
@MunezeroDivine-i7j 2 ай бұрын
Kweli ndaro ww
@KitweraCommedien
@KitweraCommedien 3 ай бұрын
Jmbo ndugu naomba namba Yako ya WhatsApp, mimi ni wmana comedia toka inchini Congo🇨🇩🇨🇩
@DushimimanaBenjamin-t4v
@DushimimanaBenjamin-t4v 2 ай бұрын
Jambo
@Dogocat-r1h
@Dogocat-r1h 12 күн бұрын
Aucyo
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 4 ай бұрын
Azam tv on top 🔥🔥🔥
@JninjaH2R
@JninjaH2R 4 ай бұрын
Alitisha said said
@barakakusa7606
@barakakusa7606 4 ай бұрын
Leonardo tu ndy anajua kuchekesha kuliko
@richmages1372
@richmages1372 4 ай бұрын
Eliud unamuach wap
@AbisaiChanya
@AbisaiChanya 4 ай бұрын
Kuna MC eliudi ww
@eggysulle7988
@eggysulle7988 4 ай бұрын
Upo saaii
@BarakaMaduhu-b5r
@BarakaMaduhu-b5r 4 ай бұрын
Hassani
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 3 ай бұрын
Mmmmh mtie mtu moyoo bhnaaa
@JuniorProsperswai-fy8eb
@JuniorProsperswai-fy8eb 4 ай бұрын
From kajiado 🇰🇪🇰🇪
@ojazi321
@ojazi321 4 ай бұрын
Bado kwa Stand Up Comedy TZ mko chini sanaaa
@silashemed4849
@silashemed4849 4 ай бұрын
wapo,
@uwizeyimanapatrick6201
@uwizeyimanapatrick6201 3 ай бұрын
Tena saana
@rehemaothuman3764
@rehemaothuman3764 4 ай бұрын
Nimependa ya ally kamwe mdomo uo usinifukuzie mteja wangu
@yoshuapaul8300
@yoshuapaul8300 4 ай бұрын
Yeees
@tanacksheyo7380
@tanacksheyo7380 4 ай бұрын
Leooo umetumika ukongweeee
@tyxeladoemerry
@tyxeladoemerry 3 ай бұрын
tuna kupenda saana hapa kwetu drc 🇨🇩🇨🇩 {l'ado 🇨🇩}
@alexkivuyo3576
@alexkivuyo3576 4 ай бұрын
Nakubali chal wangu
@AmiryShine
@AmiryShine 4 ай бұрын
Ndaroo na stevee n wakaliii
@prosrm1172
@prosrm1172 4 ай бұрын
Tunaomba mtuwekee na ile ya Chad Talent
@zakayotarangeimollel
@zakayotarangeimollel Ай бұрын
Steve ume Tisha maan
@maliqdapainkiller8203
@maliqdapainkiller8203 4 ай бұрын
Ndaro najiuliza hao watu wanacheka nini
@narrosmohammed169
@narrosmohammed169 4 ай бұрын
Comedy sio sehemu yako usifoce kufanana Na pia usichukizwe na kinachowapa faraja wengine.
@mussakarata6650
@mussakarata6650 4 ай бұрын
​@@narrosmohammed169jibu zuri sana ndugu♥️
@paulopau-ln4tt
@paulopau-ln4tt 4 ай бұрын
Kwani lazima wewe ucheke
@jamesmsaki4371
@jamesmsaki4371 4 ай бұрын
Ww ulitak wachek nn
@eliyajosephkituye931
@eliyajosephkituye931 4 ай бұрын
Ucheke mikopo uachie nani broo
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 4 ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲
@marcoemanuel6892
@marcoemanuel6892 4 ай бұрын
@Kelvinihuncho
@Kelvinihuncho 3 ай бұрын
Noma san🎉
@festomfuse
@festomfuse 3 ай бұрын
Wajua.sana🔥🔥🔥🔥🔥
@MichaelJoseph-q7j
@MichaelJoseph-q7j 3 ай бұрын
Good🎉🎉
@deeher-tp1fn
@deeher-tp1fn 4 ай бұрын
Jamani hivi mnamuona poshy anavompiga kijicho mwana fa hapo......???? kheeee
@FatmaAlmas-r9s
@FatmaAlmas-r9s 4 ай бұрын
Kumbe na ww umeona hapo amna Mwanamke Bali anajali maslah
@mozuu1260
@mozuu1260 4 ай бұрын
Nashukuru nimepata wambea wenzangu😂
@Lilcfanstv9
@Lilcfanstv9 4 ай бұрын
Hahaa
@luciemarley5292
@luciemarley5292 Ай бұрын
Tumeona 😅😅
@SuzyFkajjsis
@SuzyFkajjsis 6 күн бұрын
Tumeonaaaa
@AdrawThoya
@AdrawThoya 2 ай бұрын
Might
@WillsonGwath
@WillsonGwath 3 күн бұрын
Mambo yako moto
@ElishaNdisa-c9d
@ElishaNdisa-c9d 3 ай бұрын
Nawakubar sana
@kilinakoshengelo2944
@kilinakoshengelo2944 4 ай бұрын
Steve ni balaa
@NiyoLucas
@NiyoLucas 4 ай бұрын
💥💥💥💥💥💥
@DannyPhillip-bj2bl
@DannyPhillip-bj2bl 4 ай бұрын
Aziz ki anaelewa kweli
@JasmineBrown-sq3wz
@JasmineBrown-sq3wz 3 ай бұрын
😂😂😂😂 nakuku bari sana brooooooooo unavityuuu
@T-MaxPalukuKabuyaya
@T-MaxPalukuKabuyaya 3 ай бұрын
❤❤❤🇨🇩
@moudys
@moudys 4 ай бұрын
Kamtambulisha mwanae
@bonniventuresylivester3133
@bonniventuresylivester3133 4 ай бұрын
😂😂😂 Steve kwamba huyo baba ni mbwa
@AbdallahKizwezwe
@AbdallahKizwezwe 4 ай бұрын
Aziz umekuja Hadi uku😅😅😅
@AbdallahKizwezwe
@AbdallahKizwezwe 4 ай бұрын
@IssaSalmin
@IssaSalmin 4 ай бұрын
Wabebesha kombe 😂😂😂😂😂😂😂 Stephanie Aziz ki
@FurahaPeter-iz7ef
@FurahaPeter-iz7ef 4 ай бұрын
Ila nlchogundua watu weny Hela wepec kucheka😂
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 4 ай бұрын
Hill wotee oyeeeee
@norobo205
@norobo205 Ай бұрын
Kwan kiingilio shngap nije kutoa stress nicheke waifu ananivuruga?
@GodfreyMeshacklyimo-ox5gc
@GodfreyMeshacklyimo-ox5gc 28 күн бұрын
15000 vip 30000
@SINKOLONGOISAAC-kz5jk
@SINKOLONGOISAAC-kz5jk 4 ай бұрын
Pamojasana ndalo nasitivu
@JamesPatrick-w8g
@JamesPatrick-w8g Ай бұрын
Nimeiona,imebamba
@FrancoisElesambo
@FrancoisElesambo 4 ай бұрын
Unayuwa
@mcnyoka
@mcnyoka 3 ай бұрын
Eti yule baba ni mbwaaa
@OnlyJesushasMylife
@OnlyJesushasMylife 4 ай бұрын
Pia nashangaa wanacheka nn
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 4 ай бұрын
harmonize mke huna anampiga mwana FA jicho 😂😂😂😂
@mwambietv7614
@mwambietv7614 4 ай бұрын
Nyie miamba
@petermloka7608
@petermloka7608 3 ай бұрын
Inabid na tunda awe comedy 😅
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 4 ай бұрын
Jicho la Posh Mmh
@Gallo_Decoration
@Gallo_Decoration 4 ай бұрын
😂😂😂 meniuwa mbav aiseh
@ngoshaog1255
@ngoshaog1255 4 ай бұрын
😂😂😂
@sassboy9360
@sassboy9360 4 ай бұрын
Steve kauwa
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 4 ай бұрын
Poshi ach kumuanglia mh FA😂🙌
@bestalex4010
@bestalex4010 4 ай бұрын
Nilikua naitafuta hii comment 😂😂
@Gentanyisenior254
@Gentanyisenior254 4 ай бұрын
Kuogaa
@JohnShirima-re4hw
@JohnShirima-re4hw 4 ай бұрын
Stev simpingi
@ElizabethKeneth
@ElizabethKeneth 4 ай бұрын
hhh😂
@OthumankibabiKocho
@OthumankibabiKocho 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 3 ай бұрын
Ndaro huwa simkubali, hachekeshi
@bennyframa4505
@bennyframa4505 3 ай бұрын
Anajua sana , ufundi wa ndaro upo kwenye ku freestyle ( kuchekesha papo kwa hapo) na hao ndo macomedian wazuri. Leonardo ana material nyingi za kuandaa. Ila ndaro ni hapohapo anakuaaa
@athumanhusen6008
@athumanhusen6008 4 ай бұрын
Hamna kitu huyu jamaa
@shadracknyese3307
@shadracknyese3307 4 ай бұрын
ulienacho sasa hicho kitu ukowap
@jamesmsaki4371
@jamesmsaki4371 4 ай бұрын
Fany ww tukuone
@ConsolataMedard
@ConsolataMedard 4 ай бұрын
​@@shadracknyese3307😂😂😂😂😂 bola umemjibu
@mgimbaboniphace
@mgimbaboniphace 4 ай бұрын
Umekuja na mastress yako ya kupiga vizinga unategemea ucheke
@francepaul7711
@francepaul7711 4 ай бұрын
😂😂😂😂
Ndaro na Leonardo Waoneshana Ubabe Jukwaani, Ona hapa nani mkali?
21:33
WAUZA MAZIWA NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA
14:50
Ndaro Tz
Рет қаралды 677 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 25 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 15 МЛН
SHOW NZIMA YA NDARO CHEKA TU
7:16
Ndaro Tz
Рет қаралды 420 М.
TxDullah alivyonogesha uzinduzi wa Cheka Plus TV
5:51
Azam TV
Рет қаралды 129 М.
STEVE MWEUSI TAILA JAMANI ONA ALICHOKIFANYA
11:32
MBAVUMBILI FAMILY
Рет қаралды 361 М.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 311 М.
VITUKO VYA STEVE MWEUSI NA NDARO MPYAA LEO
8:48
Mweusi Family
Рет қаралды 747 М.
SENGA NA PEMBE KWENYE CHEKA TU
12:19
Cheka tu
Рет қаралды 1,2 МЛН
NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA
18:43
Ndaro Tz
Рет қаралды 353 М.