@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Asante Allah atakulipa kwa hili leo napika pishi hili😘😘😘
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
@@najmanassor5991 Ameen kwa sote dear
@bestplayer26232 жыл бұрын
Masha Allah
@haifzasumra766511 ай бұрын
Masha Allah very nice 👍 ❤ and can we have in English Translation thanks
@monalisawm4 жыл бұрын
Amazing hongera one of the best recipe ya mbaazi asante sana.
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Karibu sana
@khansaaammar72174 жыл бұрын
Maa shaAllah so yummy..
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Thank you
@dorcasadongo4381Ай бұрын
Mombasa si hami....😂😂
@nafhrb81823 жыл бұрын
Waooo nice
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Thank you
@hafswatwahir94762 жыл бұрын
Wow so yummy umesalimiwa na majaga halima 😘😘
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 жыл бұрын
Waaleikum musalam na karibu sana 🥰
@gracekuria63332 жыл бұрын
Thanks for sharing 👍
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 жыл бұрын
Most welcome dear
@najlaskitchen15724 жыл бұрын
Ma sha Allah 😋😋
@terryskitchen3375 жыл бұрын
Jamani na venye nimezitamani, ungeniita tuje tule, ningekuja na zile chapati zangu aki😅 Looks so appetizing 😋😋😋
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
🤣🤣🤣kweli kabisa but usijali next time😋
@mohamedmohd83735 жыл бұрын
Nami ningekuja na mahamri na chai yangu ..🤣🤣🤣mrs🇰🇪🇰🇪
@christineatieno38485 ай бұрын
Asante 😊
@salmafaraj65444 жыл бұрын
Wow na mahamri hapo heee😋😋
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Wajulia 😋
@parmenamungatana51425 жыл бұрын
Inavutia sanaa😋😋😋😋
@Moudgram2 жыл бұрын
Asante sana
@HusseinHAbdi Жыл бұрын
Masha-Allah❤❤❤
@tropisterblessed92683 жыл бұрын
Hongera
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 жыл бұрын
Shukran sana
@paulinawoiso76853 жыл бұрын
Nice
@amishawatif82224 жыл бұрын
Hongera habbty uko sawa kabisa mashallah
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Shukran sana
@aidaabdul46335 жыл бұрын
Waooo umenikumbushaa tangaaaa
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
🤣🤣🤣home sweet home
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mate yanindodoka da mashaallah i love your food god bless you 💟🇸🇦
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Ameen Rabbin Alamin....Shukran sana habibty 😘
@herculesthepower15444 жыл бұрын
Looks good 👍
@SuzzieActress4 жыл бұрын
Very nice! I will try tonight. I already made mahamri 💖💖💖
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Sounds good 👍 all the best dear.
@TheKirabo3 жыл бұрын
Made this today. Yummiest. Thank you.
@ugolicious58355 жыл бұрын
Delicious and healthy recipe. Big 👍& red bell on. Let's stay connected my new friend. Be inspired!!!
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Thank you so much my dear,oooh yes will stay connected no worries👍
@gladyskangethe95064 жыл бұрын
Lovely
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Thank you
@مريوماحمد-ق2ص2 жыл бұрын
جميل جدا بس ايش مبازي هذا
@dianaalexin21514 жыл бұрын
Very nice and yummy
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Thank you
@sofialion49255 жыл бұрын
Mashaallah
@edinamassawe49143 жыл бұрын
Asante, happy new year 😍
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Karibu sana, happy 2021😊
@ElizabethAtieno-rl4kj Жыл бұрын
👌👌
@khadijabadawy83didaa855 жыл бұрын
Yummy yummy namahamndi
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Kabisa tena 😋
@khimjibhudia12254 жыл бұрын
Lovly looking yummy Thank you,,
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Most welcome dear, and thanks for your support too.
@zahramauba48215 жыл бұрын
Waw asante dada
@rozzywanjala4645 жыл бұрын
Soooo yammy
@noorsidik9782 Жыл бұрын
👌👍
@gastrogubi61444 жыл бұрын
Da khadija mi huja kutizama mapishi yako ikisha nakumbuka kisauni nyumbani,hongera sana.
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Shukran sana.
@gastrogubi61444 жыл бұрын
Sorry halima.not khadija...
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
@@gastrogubi6144 🤣🤣🤣 Yes
@gastrogubi61444 жыл бұрын
Mie mariam gubi sijui wanikumbuka?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
@@gastrogubi6144 Yes kabisa tena. Follow me on instagram
@kijowaruhiu1294 Жыл бұрын
How long do u boil and how much heat?
@carolinemacharia45 Жыл бұрын
Nice cooking 🥰waeza tumia ile coconut cream ?
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 ай бұрын
@@carolinemacharia45 Yes
@aishaali54943 жыл бұрын
👌👌👌👌👌
@mokajudy66793 жыл бұрын
👍😋😋
@a.8565 жыл бұрын
Thx😋
@sarahneema3376 Жыл бұрын
Halo farwat nauliza mbaazi ni nusu au kilo?na iliki unaisaga?
@vanniah14 жыл бұрын
Me napenda sana vile wewe hu explain sababu za kufanya every step 😁Asante sana
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Shukran na karibu sana😘
@derickouma45114 жыл бұрын
Shukran
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Karibu sana
@safiaothman10983 жыл бұрын
Pia ukiweka carrot na Hoho ni nzuri sana
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 жыл бұрын
Shukran sana nitajaribu.
@chayogasperi97834 жыл бұрын
Mie na hilo tui bubu natia humohumo , nakaanga na samaki , na wali wa nazi , mama yanguuuu hatariii .
@mercyakoth5110 Жыл бұрын
Mbona tui yako ni nzito sana ama
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Sababu nazi yangu ni nzuri.
@sarahneema33764 жыл бұрын
Nilipika zangu zikawa poa,ila tuwi langu LA juu,halikuwa zito vyenye inatakikana,shida ni nn?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Nazi yako ilikua kidogo
@fridahmaingi60253 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 nazi gani unayotumia ?
@afrolanka Жыл бұрын
Mbaazi zitwaje kizungu nataka kununua supermarket but sijui jina
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Pigeons beans
@janewangu22793 жыл бұрын
What will happen ukikaanga kitunguu
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Nothing happen
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
Sasa ukila hilo tui sinanuka ubichi. Ungelipika hilo tui likawa zito kisha unangojea mbaazi zipoe ndio unalimwagia mbaazi zinakuwa zinashikana kwetu tanga tunaita mbaazi za kukata au mahalage ya kukata au yakutosa😘
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Yani ww na macho yako umeona hilo tui halikupikwa sio?
@sierabravo8483 жыл бұрын
Mbazi ukisha maliza kuzichemsha hua waziosha ama?
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Hapana, ukiziiosha utatoa vitamins.
@jeniffermasha25402 жыл бұрын
Mate kanidondoka Mie jamani
@fatumaahmed1335 жыл бұрын
Sina la kusema ila nakuombea dua. Kisha nauliza if u can show us how to do it with powdered coconut. Especially kuipika iwe tui nzito. Cjui kama unenielewa?
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Unakoroga hiyo Coconut powder na maji kama ni 4 tbs na maji one cup hiyo itakua niyakueka juu then unaichemsha kidogo tu. Ama ita depend na ile size wataka
@hawamuhidini25724 жыл бұрын
cjapenda kabisa sivo zinavopikwa
@mwajumbetajiri37715 жыл бұрын
Mbaazi ziko shuthu sana
@IbrahimAbdulreheman2 ай бұрын
Huku nilipo hamna pigeon peas naweza tumia black eyed peas
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 ай бұрын
@@IbrahimAbdulreheman Yes, you can
@ekasasimba71062 жыл бұрын
Hiyo thin coconut milk waiongeza MAJI au huwA mwainunua pia kama iyo thick...mapishi halwa
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Waiongeza maji
@shahidamohammed2863 Жыл бұрын
Mbona hukutuonyesha jinsi ya kuchemsha tui
@mahdsan4871 Жыл бұрын
Yaaa
@Audrey-ec9tr5 жыл бұрын
Jamani stage ya kuchemsha tui zito hatujaona
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Yah samahani sana, camera ilikua posed bahati mbaya. Lakini kuchemsha tui ni dakika mbili tu
@@ismailmapunda4304 Zinakuwa laini vizuri katika kuiva kwake
@batul683 жыл бұрын
Tui zito limepikwa vipi
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 жыл бұрын
Unachemsha tu kwa dakika 2
@queenbizo28994 жыл бұрын
Samahani... Inasemekana ukichemsha mbaazi zikishaiva kabla ya kuziunga, unatakiwa uzisuze na maji alafu unamwaga ndio uziunge sababu zinakua kakasi hio n kweli? Nani lazima kufanya hvyo?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Hapana sio kweli. Hapo itakuwa umetoa vitamins zote sasa, japo najuwa kuna wale hufanya hivyo hata kwa maharagwe pia.