MUNGU kila siku tunakuomba tupe hatua mpya ya imani, katika kila hatua Ya kiwango kingine tupitapo cha kuelekea kuutafuta uso wako eee Bwana Mwokozi wetu. Amina. ❤
@StephanAlphonceАй бұрын
Songa mbele bint, umejitoa sadaka Mwili wako kwa ajili ya Bwana. Hongera mch umeweka wazi hukutaka kuficha
@HelbethMlelwaАй бұрын
Mimi binafsi niliishia kumwombea kwa Mungu amshike kwasababu najua safari ya kuwa na maamuzi makubwa ina kelele nyingi za kuambiwa rudi nyuma au hautaweza. Songa mbele Mtumishi Sifa, hao waliosubiri baya au upate gumu ni kwasababu hawapendi kuwaona watu wakiwa na maono au ndoto za kufikia makubwa.
@ugalidona-cs2ynАй бұрын
❤ NaaaM ❤ .
@Upendo6045Ай бұрын
@sifa wayesu nibola ubaki hivyo kwasababu kwenyendoa hakunajipya wala chamahana zaini niuchafu umeja kwenyendoa simama kwamoyowako wote Mtumikie MUNGU aliekuumba amen amen
@abidandastanmaliyatabu13739 күн бұрын
😂wewe mbona hukumtumikia Mungu wakati bado hujaolewa? Acha kumpotosha mwenzako unadhani yalivyokushinda wewe na wengine yanawashinda? Muache aamua yeye anavyotaka
@Upendo60459 күн бұрын
@ Wewe wasema
@WilsonMahene6 күн бұрын
Mchungaji nakuheshim sana na nakupenda ila hukupaswa kutaja udhaifu wa matiti yake hadharani hata kama yeye mwenyewe huwa anajisema. Mengine yote sina neno. Huhitaji kunijibu. Maungo yake usiyaseme. Hapo tu ndo panashida
@B-S-S-PАй бұрын
Haaaaaaa!Haaaaaaaa!Hekima ya Mungu haichunguziki!Nilishakataa kata kata kuwa Sifa hajazini na Roho wa Mungu hakosei japo ni kazi kupambanua sauti ya usiloliona na usilolijua!Sifa alitumika kama Petro kutufundisha wengi,mwisho Petro ndo nguzo ya imani.
@karenyunus989Ай бұрын
Najua Sifa ana vipaji vingi na Royal kwako na familia yako. Alisimama nawe ktk machungu yote tuliona. Heshimuni basi mchango wake katika jamii yenu ya Kikosi kazi. Wambie wakina Modesta na Mlelwa waonyeshe heshima kwa ndugu yao huyo. Natamani kuandika zaidi lakini niishie hapo. Nashauri Mchungaji kwa upendo.
@WTC492Ай бұрын
Kweli Hawa jamaa wapo vizuri. Lakini pia naona wanahitaji kujifunza kupitia comment zetu.
Ni kweli baba tunakushukuru sana.hata mm nilikuwa ninasali lakini nilikuwa ni mzinzi lakini sasa ivi nimeacha kupitia wewe.baba endelea tu kutukagua sm zetu.ameni.
@emmanuelbarua5784Ай бұрын
Pole sana
@WTC492Ай бұрын
@@emmanuelbarua5784 Kwa hiyo ukiwa unasafiri ukichukua simu ni kujizini pole sana 😂😂😂
@WTC492Ай бұрын
Jifunze kijitawala mpaka unyang'anywe simu we ni kiboko.
@ugalidona-cs2ynАй бұрын
Mtawala ni Mmoja 'HAKI' .
@suziemichael4338Ай бұрын
Sasa kwanini asiolewe jamani
@ABELLAKAZINJAАй бұрын
Ananibariki sana sifa
@johndavidi2582Ай бұрын
Hakuna dawa ya dhambi isipokuwa toba ya kweli MUNGU HAANGALII KUJITETEA KWAKE ANAHITAJI TOBA BADO SIFA NI SHUJAA ENDELEA MBELE
@charleskuyeko4400Ай бұрын
Heri kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa.
@karenyunus989Ай бұрын
Nakuomba mchungaji mshauri Modesta yale mahojiano aliyomfanyia Sifa na kurusha ayafute. Ni kutweza utu wa Sifa. Sifa ana wazazi, ndugu na jamaa. Tunaguswa sana mchungaji. Nawasalisha.
@Mbarikiwa_MwakipesileАй бұрын
Neno lipi linalotweza utu wa Sifa ambalo humu hatujaliongelea.
@karenyunus989Ай бұрын
Kutweza utu wa Sifa: -kuongelea maumbile yake ambayo yaliadhirika na ugonjwa uliompata . Hata kama hasingekuwa ameadhirika na ugonjwa. Ana haki ya faragha yake ambayo inatambuliwa kwenye katiba ya nchi pia. - Matendo aliyofanya kinyume na kanuni za kanisa lenu(labda) ni mambo ya ndani. Hukupaswa kutangazia dunia. Kanisa lenu ni familia lindeni faragha za waumini. Mnapitia mitihani mingi. Onyaneni kwa upendo. Mnahitajiana sana ktk kulijenga kanisa lenu. Kumbuka hukuwepo na waumini waliendelea kushikamana. Natoa ushauri tu kwa upendo.
@karenyunus989Ай бұрын
Kutweza utu wa mtu ni kama; Kuongelea maumbile ya mtu yanayohifadhiwa kwa nguo zake Kuongelea kwa uwazi kuhusu mambo ambayo jamii uyaona ni faragha kama Modesta alivyomhoji Sifa na kutuma kwenye dunia. Hivi baada ya MAONYO hayo kanisani mnadhani kanisa halijaadhirika kweli?.
@WTC492Ай бұрын
Ni kweli wanajituma sana kumtumikia Mungu lakini wasisahau utu wao.
@EdwardMwasyamulaАй бұрын
Mimi naona upo SAHIHI baba maana unatuwazia MEMA siku zote ili tuwe na UTU
@ugalidona-cs2ynАй бұрын
NaaaM ❤.
@Elizabeth-mw2ofАй бұрын
Kama hutaki tucoment kwa nini ulimuanika duniani kwa aliyotenda? Ulituletea mwenyewe uwanjani, Kama ni mwanao wa karibu ungemuonya private tusingejua. Sasa unalalamika tusimushauri kuolewa. Amekiri mwenyewe apatwa na tamaa za ki mapenzi, sasa atajifanya towashi hadi lini? Kilichomfanya haya yatokee ni tamaa hiyo hiyo, sasa unavyosema tusimshauri kuolewa je hiyo tamaa mnaiondoa ndani yake? Kujifanya kuna mwisho, umri unaenda mark my words. Ipo siku utaukumbuka huu wakati unaoupoteza kwenye utowashi😂
@Mbarikiwa_MwakipesileАй бұрын
Kwani aliyesema usicomment nani? Lakini je kweli unayeandika comment ya aina hii waweza wewe kuolewa na ukakaa kwenye ndoa? Ikiwa wewe yanakushinda ni kwa nini mwingine umtake aingie ambako wewe hukuwezi?
@Elizabeth-mw2ofАй бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Kwa hiyo Mimi yamenishinda ya ndoa 😂? Mimi niko kwenye ndoa nina miaka kumi na mbili. Ndio maana namshauri mdogo wangu aolewe kutokona jinsi alivyojieleza bado tamaa za kuhitaji mapenzi anazo ila anajitahidi kujizuia ili awe towashi.nanukuu “ anajifanya towashi “
@Mbarikiwa_MwakipesileАй бұрын
@@Elizabeth-mw2ofkama ndoa ya mtu aliyeandika comment ya aina hii haina misuko suko ya kuvunjika basi maajabu. Rudi soma comment yako tena utaiona nia yako na ubaya wa moyo wako ambao hauwezi kumudu masharti ya ndoa.
@Elizabeth-mw2ofАй бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile 😮😮😮kwa hiyo Kama zina misuko suko watu wasiolewe na kuoa? au unashaurije mtumishi 🤣 unamtetea mtu ambaye ana waka tamaa. Siku akirudia Tena aliyoyafanya utaniambia nini?😂 kwa hiyo unachukua nafasi ya mwili wa Sifa kuu- control usiwake tamaa😂😂 Ila ujue tu usingemtangaza na kumnyang’anya simu, Sifa alikuwa anaenda kuzini according to her speech she’s very easy to go back . Yalitokea hayo Sababu alishindwa kuucontrol mwili kwa maelezo yake hali ilikuwa inaelekea kubaya. Sasa mtetee tu . Atakuaibisha na utashindwa kumuweka Tena hadharani😂stay blessed
@ugalidona-cs2ynАй бұрын
Kwa MUNGU kuna Amani.
@WTC492Ай бұрын
Mchungaji huyo Binti hakikisha unamuendeleza kimaisha. Mjengee nyumba na mpe mradi wa kufanya. Ni mtoto wako huyo.
@sifawayesu7079Ай бұрын
Mtu wa Mungu sijui unataka jibu la namna gani!!! Mbona komenti yako umeirudia mara kadhaa Pamoja na kukujibu bado swali ni hili tu???
@WTC492Ай бұрын
SOMA HII MPAKA MWISHO Nataka Mch aone comment yangu Wewe si ndugu yangu lakini amini nakueleza japo wewe unajiona 100% correct Mimi Kuna sehemu naona hauko sawa Unapoanika mambo Yako hadharani uwe tayari kupokea maoni ya watu. Unapokuwa umeokoka usije kujidanganya kuwa huna kitu cha kujifunza kutoka kwa watu wengine Humu kwenye mtandao japo wote sio walokole Kuna mambo wanayafahamu kukuzidi hasa maswala ya maisha ya Kila siku. Hivyo unaweza jifunza toka kwao. Kuna watu hawajaokoka lakini kutokana na uzoefu wa maisha wanaweza kukushauri na ukafanikiwa. Wewe utawalisha vya rohoni Lakini wao wanaweza kukusaidia kuelewa vya maisha ya Kila siku Soma Luke 16:1-8 [1]And he said also unto his disciples, There was a certain rich man, which had a steward; and the same was accused unto him that he had wasted his goods. Tena, aliwaambia wanafunzi wake, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyekuwa na wakili wake; huyu alishitakiwa kwake kuwa anatapanya mali zake. [2]And he called him, and said unto him, How is it that I hear this of thee? give an account of thy stewardship; for thou mayest be no longer steward. Akamwita, akamwambia, Ni habari gani hii ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya uwakili wako, kwa kuwa huwezi kuwa wakili tena. [3]Then the steward said within himself, What shall I do? for my lord taketh away from me the stewardship: I cannot dig; to beg I am ashamed. Yule wakili akasema moyoni mwake, Nifanyeje? Maana, bwana wangu ananiondolea uwakili. Kulima, siwezi; kuomba, naona haya. [4]I am resolved what to do, that, when I am put out of the stewardship, they may receive me into their houses. Najua nitakalotenda, ili nitakapotolewa katika uwakili, wanikaribishe nyumbani mwao. [5]So he called every one of his lord's debtors unto him, and said unto the first, How much owest thou unto my lord? Akawaita wadeni wa bwana wake, kila mmoja; akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu? [6]And he said, An hundred measures of oil. And he said unto him, Take thy bill, and sit down quickly, and write fifty. Akasema, Vipimo mia vya mafuta. Akamwambia, Twaa hati yako, keti upesi, andika hamsini. [7]Then said he to another, And how much owest thou? And he said, An hundred measures of wheat. And he said unto him, Take thy bill, and write fourscore. Kisha akamwambia mwingine, Na wewe wawiwani? Akasema, Makanda mia ya ngano. Akamwambia, Twaa hati yako, andika themanini. [8]And the lord commended the unjust steward, because he had done wisely: for the children of this world are in their generation wiser than the children of light. Yule bwana akamsifu wakili dhalimu kwa vile alivyotenda kwa busara; kwa kuwa wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru. Binadamu wote duniani ndivyo tulivyo wanakupenda na ukuwa wa maana unapokuwa unawaingizia faida. Siku ukishindwa kuwaingizia faida kamwe hawatakupenda Maisha Yako binafsi ndio kitu cha maana zaidi kuliko unachopambana kukionyesha mtandaoni Muombe Mungu akusaidie uweze kuishi maisha Yako binafsi Sifa unapenda Sifa kama jina lako. .@@sifawayesu7079
@WTC492Ай бұрын
Nataka Mchungaji aone kwa nia njema tu Maisha Yako halisi /binafsi ni kitu cha maana kuliko hicho unachopambana kukionyesha mtandaoni Mtegemea cha ndugu hufa masikini Dunia nzima hata kanisani binadamu ndivyo tulivyo Watakupenda sana endapo una manufaa kwao Nje ya hapo upendo hupungua... Tulia mikononi mwa Mungu akupe hekima... Usifanye mambo kwa mihemuko pasipo akili Si maanishi umdharau Mchungaji wako Hapo ulipo ni mahali sahihi Mch. wako ninamkubali sana Lakini fikiria maisha yako nje ya kikosi kazi kwa lengo ya kuyaboresha Sasa na baadae. Luke 16:1-8 [1]And he said also unto his disciples, There was a certain rich man, which had a steward; and the same was accused unto him that he had wasted his goods. Tena, aliwaambia wanafunzi wake, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyekuwa na wakili wake; huyu alishitakiwa kwake kuwa anatapanya mali zake. [2]And he called him, and said unto him, How is it that I hear this of thee? give an account of thy stewardship; for thou mayest be no longer steward. Akamwita, akamwambia, Ni habari gani hii ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya uwakili wako, kwa kuwa huwezi kuwa wakili tena. [3]Then the steward said within himself, What shall I do? for my lord taketh away from me the stewardship: I cannot dig; to beg I am ashamed. Yule wakili akasema moyoni mwake, Nifanyeje? Maana, bwana wangu ananiondolea uwakili. Kulima, siwezi; kuomba, naona haya. [4]I am resolved what to do, that, when I am put out of the stewardship, they may receive me into their houses. Najua nitakalotenda, ili nitakapotolewa katika uwakili, wanikaribishe nyumbani mwao. [5]So he called every one of his lord's debtors unto him, and said unto the first, How much owest thou unto my lord? Akawaita wadeni wa bwana wake, kila mmoja; akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu? [6]And he said, An hundred measures of oil. And he said unto him, Take thy bill, and sit down quickly, and write fifty. Akasema, Vipimo mia vya mafuta. Akamwambia, Twaa hati yako, keti upesi, andika hamsini. [7]Then said he to another, And how much owest thou? And he said, An hundred measures of wheat. And he said unto him, Take thy bill, and write fourscore. Kisha akamwambia mwingine, Na wewe wawiwani? Akasema, Makanda mia ya ngano. Akamwambia, Twaa hati yako, andika themanini. [8]And the lord commended the unjust steward, because he had done wisely: for the children of this world are in their generation wiser than the children of light. Yule bwana akamsifu wakili dhalimu kwa vile alivyotenda kwa busara; kwa kuwa wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru.
@WTC492Ай бұрын
@@HerodMpole Nimeandika hivyo hasa Mchungaji wake aone, sababu makanisa yetu mengi hasa haya ambayo yanaibuka au yanajitafuta hayana mifumo imara ya kuwakumbuka/ kuwatunza watu waliowahi kujitoa kwa ajili yao Huyu Binti mi ninavyomuona japo kasimama kwenye Wokovu Lakini kimaisha hasa ninamaanisha uwezo wa kujitegemea hajajipata. Kama nakosea naomba anisamehe ila asilimia nyingi inaonekana hivyo.
@WTC492Ай бұрын
@@HerodMpole Pia utakuta baadhi ya makanisa Mchungaji mwenyewe bado anajitafuta huduma haijasimama pia kimaisha bado mahitaji ya Kila Siku anapambana kukumbuka wewe muumini saa inahutaji awe amekomaa sana kiroho na kifikra