Mbarikiwa ashitushwa na nguvu kubwa iliyotumika kuzima maandamano ya chadema na wanaoonyesha hisia..

  Рет қаралды 8,718

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@peterbangari4273
@peterbangari4273 Ай бұрын
Mhubili uko sawa na mungu akubaliki kwa kusema ukweli
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn Ай бұрын
Rais Samia Suluhu hassan, Mauji na Utekaji unaoendelea nchini Tanzania 🇹🇿. TUMECHOKA Na TUMEUCHOKA.
@EzekielKandonga
@EzekielKandonga Ай бұрын
Huyu Mama Mimi sijawai Mkubali toka anachukua nafasi ya Uraisi,ni kundi la Walio Muondoa Magufuli wakiongozwa na Msoga,na kwasasa Mungu anawavumbua Matendo yao Taratibu kwasababu ndivyo walivyo😮
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Kazi. Ipo
@PeterJackson-uh2ik
@PeterJackson-uh2ik Ай бұрын
Brother! May God bless you, for what you are doing. Your work is good.. God is seeing what are doing. You are teaching us a lot.
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u Ай бұрын
Ndugu yangu mchungaj kwa ccm hakuna hofu ya mungu ila ipo siku moja Mungu akiamua.
@Steven-y8h5g
@Steven-y8h5g Ай бұрын
Mungu awaumbue hao wauaji
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 Ай бұрын
Chama Cha majizi
@DanielYusuph-071
@DanielYusuph-071 Ай бұрын
Mzee Hilo joho kwenye thumbnail limenkumbusha mbali sana be blessed🙏🙏
@abnermailos8043
@abnermailos8043 Ай бұрын
Mulilo umejisahau nakujiona wewe ni mungu mtu Sawa mzee
@ViolethMlelwa
@ViolethMlelwa Ай бұрын
Kwakweli mungu atusaidie Hilo mtumishi wa mungu apiganie taifa hili
@ObediiLaizar
@ObediiLaizar Ай бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Ай бұрын
Ndoicho mnachokitaka samia na amlijeshi wako unaowaagiza laisi ulivyozuwia maandamano kwanguvu nyingi lakini kufanya kazi kwanguvu hizo ili muwaone wanaotekwa na kuuwawa ccm na selikali yako mtajuta mungu akiamuwa kuazibu
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Ай бұрын
Tushikamane tumuombe mungu atusaidie
@communitytv590
@communitytv590 Ай бұрын
Mungu atatangulia nyayo zako!
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Yan hii nchi tunakoelekea sio kuzuzur kwakwal😢
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
Mungu atusaidie hapatanzania inasikitisha sana nauongozi huu tulionao
@communitytv590
@communitytv590 Ай бұрын
Tunakuombea ,Mungu atakupa Maisha kwa Hali yoyote ile!
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 Ай бұрын
Kinyata aliwahi sema TZ kunamaiti tu
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
Mnatumia nguvunyingi kuhusu chadema kuliko kutumika kulinda laiya
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj Ай бұрын
Waovu wakitawala, wema hawako salama
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 Ай бұрын
Mtumishi now wamejua kwamba kumbe hukuwa unaimba pambio pindi unapaza sauti juu ya mauaji ya wokovu!!!!;;;;;???????
@abnermailos8043
@abnermailos8043 Ай бұрын
Kama bwana aishivyo naamuro damuzao zianze kuvuja sasahivi na rughazao nazivuruga wasielewanetena ktk jina la yesu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
HEKO MTUMISHI WA MUNGU. UBARIKIWE SANA MBARIKIWA. UNATETEA SANA HAKI YA MUNGU
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Ай бұрын
Niishara wanaju Machafu yao mengi yatajulikana😊
@hashimsalum7758
@hashimsalum7758 Ай бұрын
Daah ukweli
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Ай бұрын
Elecovid tumia akili unapofikili chadema wajiteke ebu kuwa na hofu ya mungu ivi unaweza ukamteka mwanao wewe shauli yako yatakutokea kwajina la yesu
@Kachelo96
@Kachelo96 Ай бұрын
Leo nimependa aisee unaujumbe mzito yamkini asie kuerew uyo anatatizo rahakili kbs
@michaelsadick4625
@michaelsadick4625 Ай бұрын
Huwo ndio ukweli hiyo nguvu ingetumika kawakamata watekaji hapo tungeipongeza selekali
@MamaEster-is9hc
@MamaEster-is9hc Ай бұрын
Ccm no wakatili sana ipo siku mungu atalipa kwa dami zinazo mwagika tanzania
@JosephLadisilaus
@JosephLadisilaus Ай бұрын
Jaman na yule kijan mwenzetu wa mbeya.... mbn bado ajapatiman
@habibujamali5746
@habibujamali5746 Ай бұрын
Mjaa rana ww
@UPENDOMLELWA-x2b
@UPENDOMLELWA-x2b Ай бұрын
Wewe wa mungu hongera
@mosesibmshangamshanga7885
@mosesibmshangamshanga7885 Ай бұрын
Naanza kukukubali mbalikiwa ..unaongeaga mengi leo nimekuelewa sasa ..kwa haya ninayoyaona. Mtandaoni.
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Ай бұрын
Walianza kwa lisu leo niwana inchi wa chadema kesho mutatumaliza mtahamia kwenye chama chenu ichoicho cha ccm subilieni
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Magufuli uko wapi?ingawa kweli unisamee sijakupaga kura yangu,mungu akupe raha ya milele huko ulipo usiache kurudi ata kwa njia ya neno kama hili
@meshack3910
@meshack3910 Ай бұрын
Kweli umejitoa kutumika na kwa liwalo na liwe
@PolycapySilayo-g9w
@PolycapySilayo-g9w Ай бұрын
🙏
@IbrahimMwangonji
@IbrahimMwangonji Ай бұрын
❤❤❤❤
@BarakaSimon-xy9mp
@BarakaSimon-xy9mp Ай бұрын
Tufe tu bwana Tanzania hatuna umoja
@sturmiusbs
@sturmiusbs Ай бұрын
Hoja za kutafakari
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Ай бұрын
Mama muondoe mafwele asichafue Serikali ilio jengwa kwa gharama ya watu wazalendo walio pigania nchiyao kwa moyo ote.
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n Ай бұрын
Duu! waswahili wanasema "wali wa msibani ni mtamu ikiwa haujafiwa wewe" kweli samia angepotelewa na mume au mtoto hatua za kudhibiti haya mambo zingekuwa ni hizi???mbona JPM hakuwa hivi??. Mungu umebaki wewe.
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
inaonekana wao ndiyo wauwaji
@BarakaSimon-xy9mp
@BarakaSimon-xy9mp Ай бұрын
Serikali ndio wauwaji usiangaike mtumishi
@RizikiVincent
@RizikiVincent Ай бұрын
Kila inchi inayoiusika kuuwa kiongozi asie na hatia inchi hiyo inaingia gasia kubwa
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Rest in peace VIVA jpm 😢😢
@BraviusBenedicto
@BraviusBenedicto Ай бұрын
Ccm jipenge
@laurentngussa1735
@laurentngussa1735 Ай бұрын
Baba yote uliyoyanena nyuma yanaendelea kutimia, maana wangekusikiliza mashauri mengi uliyoyatoa kwa nia njema na kwa moyo wa upendo yasingetokea haya. Kadri siku zinavyosonga mbele wataendelea kutambua thamani yako katika nchi ya Tanzania na dunia.
@RoseKipimo
@RoseKipimo Ай бұрын
waovu wakitawala wenye haki uumia
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Ай бұрын
maghufuli
@Elecovid
@Elecovid Ай бұрын
Jamaa ubiri injili jamaa yangu chadema wanatekana wenyewe.sio serikali
@LucasMaiko-g1w
@LucasMaiko-g1w Ай бұрын
Mawaso hayo,hayana mashiko,kama Cdm,wanatekana,polisi wako wapi?hiyo SI,kweli.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Ай бұрын
Si wakamatwe kama mnawajua ili muepushe vifo hivi?
@yailoelieza7904
@yailoelieza7904 Ай бұрын
Kuna watu hawajielew hata kidogo
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn Ай бұрын
Kijana wa ovyo.
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 Ай бұрын
Magufuli ndie aliyeanzisha utekaji na mauaji.
@LucasMaiko-g1w
@LucasMaiko-g1w Ай бұрын
SI kweli,kama angekuwa anayafanya yeye,asingetengua uongozi wa Viongozi wake.
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
Magufuli alifanya mauwajipi kwakuwa alikemea lakini kunavitu alivyo fanya kuhusu utekaji nabazi yamauwaji ila siyo kama haya yaadhalani pia kwahalakahalaka
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn Ай бұрын
Uongozi wa Rais Samia Suluhu hassan, Watu wanalia na kuteseka katika Maeneo Yao ya nchini Mwao. NGORONGORO wanalia na kuteseka katika ARDHI Yao.
NCHIMBI AIBUKA NA HII WALIOENGULIWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
5:49
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 79 МЛН
Triple kill😹
00:18
GG Animation
Рет қаралды 18 МЛН
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU , 12 NOVEMBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,7 М.
Kumbe Rose ni mkali kwenye maeneo haya? Mke wa Mbarikiwa sasa aliwasha
6:31
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 34
Mch Mbarikiwa Mwakipesile katika ibada ya jumatatu,11/11/2024
1:36:11
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 428
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Haya maneno hawa watu watapona kweli kwa nchi yetu hii?
15:57
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 726
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 79 МЛН