Baba naomba Mungu kwa neema aliyokupa na kibali uachilie ata kwa wadogo zako tupo mtumishi tunakuombea utuponya na unatukumbusha tunapoteleza turud haraka hakika wewe ni baraka karbu sana bukoba.
@mtumishiwamungunelson16845 ай бұрын
Uwe na akili mbovu mapepo au majini hila huyu mtumishi ni level ingine Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Uzidi kutunzwa na Nguvu za Mungu songa mbele
@FESTOJAPHET-cw3fl8 ай бұрын
Huuuu wimbo nimeurudia kama mala 8 mzuri sana
@NoellaBilembano7 ай бұрын
Ubarikiwe nikweli mungu akuongezee ujasiri. Mutumishi. Wa. Mungu
@jerusalemsuccess45624 ай бұрын
Nakumbuka miaka ya 1985 nipo darasa la saba Shemeji yangu ananipekeka kanisani Morogoro. Na mwaka 1991 form five ndipo niliamua kumpokea Kristo Yesu. Mwisho wa mwakampya nilitafuta mkesha kanisa lolote niokoke sikupata. Mwisho Yesu akanielekeza Sala ya Toba na kuniokoa. Haleluya
@Janesikweya2 ай бұрын
Nyimbo zako zinanitia nguvu katika hii safari zinasongeza MTU karibu na MUNGU hallelujah ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU aliye hai 🙏
@Pabelu1238 ай бұрын
HAKIKA MBARIKIWA SI MTU WA KAWAIDA, MAHUBIRI YAKE NA NYIMBO ZAKE NI UPONYAJI WA ROHO NA MWILI. Ipo siku nitahamia kwa Mbarikiwa ili niabudu hapo maisha yangu yote.
@Namtumbo8 ай бұрын
Kabisasasa
@UPENDOEKSEL6 ай бұрын
Kalibu
@EmmanuelSimkwai6 ай бұрын
Ongera kwa hilo ila fahamu wakati tulio nao ni mdogo kwani mfalme anakuja kama nyimbo ya baba yangu mbarikiwa inavyo sema fanya uamuzi haraka kaka unachelewa
@yusufulugona34395 ай бұрын
Nyimbo tu zinakupa hamasa za kuendelea mbele,hili ni kamanda la mbinguni
@dicksonmlelwa17628 ай бұрын
Binafsi nampenda sana huyu mchungaji
@Mzalendo01tv8 ай бұрын
Nami nampenda sana
@samsonnwampinga77878 ай бұрын
hata mimi nampenda ajabu
@IsakaHosea-g9g8 ай бұрын
Nampenda sana sana.
@thehenrychАй бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, siku moja Mungu akikupa kibali ukifanikiwa kufika Arusha Mjini, ningependa ukutane na Mtumishi mmoja wa Mungu, Mchungaji, namini itakuwa Baraka sana ya pekee.
@OS-pf6op4 ай бұрын
Asante sana "one of the brightest president Magufuli..✔️
@AlexanderMhema7 ай бұрын
Da! MBONA KAZI za huyu mtumishi ni nzuri Sana hazikinaishi Zina nguvu .tukubali huyu nizaidi ya wachungaj wa kusomea bibilia nizaidi ya wachungaji wakubwa duniani.
@EndrewTomasАй бұрын
Ongera Sana sana
@TigerOfTheHills8 ай бұрын
Huu wimbo upako mwingi sana...
@cristamelahashimu36798 ай бұрын
Hakika
@mlowegb40978 ай бұрын
Amen.... Amen.... Wimbo mzuri
@ugalidona-cs2yn8 ай бұрын
Utake husitake, Upende husipende,Uhamini husihamini, Usikie husisikie, Usikilize husisikilize. ANAKUJA YESU Amina haleluya ANAKUJA YESU Amina haleluya ANAKUJA YESU Amina haleluya.
@PHILIPOSARUNIOLEMBAYE2 ай бұрын
Ukweli nyimbo Zako inaonyesha Mungu alivyo na jinzi atakavyo kuja sinaniinuwa Sana kiroho ❤
@FranciWami8 ай бұрын
Cjui niseme Nini katika huu wimbo asiyebarikiwa na huu wimbo bass c wa uflme wa mungu na anahitaji kuokoka kabisa.aminaa MCH.mwakipesile
@flaviacharles13483 ай бұрын
Hakika Yesu ni Bwana na Yesu yu karibu kurudi! Kila mtu atubu na kuiamini injili. Asante mtumishi kwa kutukumbusha, barikiwa sana. .
@James-i6u5cАй бұрын
Wewe ni lile jitu la kiroho Mungu akubariki sn.
@judithgodfrey65038 ай бұрын
Taka usitake Yesu yuaja mpendwa. Barikiwa kaka Mbarikiwa na team nzima🙏
Barikiwa sana sanaaaa tena sana Mbarikiwa baba Mungu azidi kuiponya hali yako na mkeo mpone kabisa mzidi kulitangaza neno lake mtumishi Mungu akuweke kwaajl yetu baba mbarikiwa
@JoshuaGabriel-f7v5 ай бұрын
Hakika mtumishi uimbaji wako unanibaliki sana mungu akubaliki saana naitwa Joshua gabrieri kutoka mkoa wadodoma
@josykogei76478 ай бұрын
Machozi inanitirika Mimi tu sijui ni wangapi watamwona MUNGU aliye hai katika kizazi hiki
@BarakaMali-d4s7 ай бұрын
Tafakari misingi ya maisha yako ukiona unashuudiwa uko vizuri ingia kazini kuwaambia na wengine mapenzi ya mungu ndoo tutapona sio kuliatu unatengeneza wewe ukimaliza unawatengeneza na wengine warumi 8;16 amina
@niyibigiraesperence77726 ай бұрын
Ni kweli
@machumumalugu40585 ай бұрын
Amina@@BarakaMali-d4s
@BujwigaMao6 ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa mung
@mosesjohnswilla99262 ай бұрын
Mbarikiwa ni muimbaji mzuri aliyekaririshwa hadithi za wazungu.....
@PHILIPOSARUNIOLEMBAYE2 ай бұрын
U 9:52 kweli nyimbo Zako inaonyesha Mungu alivyo na jinzi atakavyo kuja sinaniinuwa Sana kiroho ❤
@JuneJune-xf4pc7 ай бұрын
Baba Mungu akuweke miaka mingi pamoja naunayo pitia ila Mungu yupo nawe
@barikimtukula16197 ай бұрын
Ubarikiwe baba kazi zako zimevuviwa
@felcRaphael8 ай бұрын
Umenikumbusha ,,dhambi inaua dhambii ,tune yake
@christiankaguo43118 ай бұрын
Bwana atakuja pamoja nawe
@christiankaguo43118 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@margarethsaramaki39667 ай бұрын
Amen Amen 🙏🏼🙏🏼🇹🇿🇹🇿🇫🇮🇫🇮
@PelesiMethod7 ай бұрын
Amen Asante kwakutukumbusha haudaiwi kwakila atakae sikia wimbo huu in🙏🏻🙏🏻
@JaneBuluba6 ай бұрын
Amen,Amen, Alleluya Kweli kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri yakwamba YESU NI BWANA
@joycemapunda99156 ай бұрын
Asante maombi ni dawa ubarikiwe mtumishi
@FrankMwampashi-om9ww7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@AngelLucas-o9j7 ай бұрын
Baba mungu akupe kibali chakuishi miaka mia unatuponya mwengi
@purymumykarisa88638 ай бұрын
Wow that's wonderful
@nuswemwakasala86878 ай бұрын
Amen alellujah,,, BABA mtumishi ludi kwenye hizi mambo,, Yani tukisikilizaga haya mambo hata tushida tunakimbia,,
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp8 ай бұрын
siku zote msema kweli kuchukiwa nakupingwa ila kweli itabaki kweli milele.hata katika ngazi ya familia mkikaa vikao vya familia ukiwa unakosoa wengine kwa kuonya katika yaliyo mabaya kwakesema ukweli wa ubaya huwa itachukuwa,ila kuonyana na kufundishana sio dhambi.Mtu wa Mungu fanya kazi ya Mungu iko siku utalipwa na Mungu na wengi ikosiki watakukumbuka nakuelewa mafundisho yako
@eliaschipanda20068 ай бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu. Uko na Mungu. Kamwe hawatakuweza. Songa mbele ili umtangulie shetani.Amina sana
@PaskaliCharles-pz8ds7 ай бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana baba mungu aendelee kukuinua
@jacksonlucas93228 ай бұрын
Goood ubarikiwe Mbarikiwa una kipaji Cha kuimba
@edenfamilymelody8 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi ni faraja tunapoana uko na furaha, maana watesi siku zote wanatamani uendelee kuumia na furaha zaidi pale wanapoona ukionyesha hali ya kuumia. Inatia sana moyo tunapoana unamsifu Mungu kwa furaha
@DanielNanai-p9nАй бұрын
God bless 🙏🙏 you
@FayChalamila7 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana abariki familia yako na vitu vyako vyote mungu azidi kukuimarisha afya njema oooooh Jesus bariki mtumishi huyu
@gracelossy197 ай бұрын
Aminaaaa, ubarikiwe songa mbele usiache kusema kweli ya Mungu
@nuswemwakasala86878 ай бұрын
Hahaaaaaaa Baba mtumishi hatuoni kweli eti vimbunga vina majina, Mungu tusaidie tuzijue nyakati
@mwlvincentmwakisyala8 ай бұрын
Wimbo mzuri sana huu nimeupenda
@EsterNdalu7 ай бұрын
Mungu yu pamoja na mtumishi na katika hayo yote wewe ni mshindi
@isayamwashibanda58197 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu naloli amasiku ghamalikee
@miliamdaniel90467 ай бұрын
Amina mtumishi. Wimbo umenigusa sanaa
@MusaMwinyimvua2 ай бұрын
Wewe mugu kakubari kipaji akushushie barkatere
@ElizabethKisinga-k4v7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU akutie nguvu maana umetumwa kama mjumbe wa kristo kuja kuonya mabaya na ili tuweze kutenda mema jina la BWANA liwe nawe siku zote za uhai wako mtumishi
@GossesMwambene-eg8lo8 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@IsakaHosea-g9g8 ай бұрын
Hakika huu Wimbo unautukufu wa bwana,amen amen amen.❤❤❤❤❤
@EmmaKija7 ай бұрын
Hakika wimbo mzuri sana unaleta amani na utulivu kiroho
@adamsonkyando-l4i8 ай бұрын
Mungu tusaidie mwenye dhambi akiambiwa dhambi yake anachukia anataman akuue wakati unamupenda Unataka arekebishe,Ili apone,mi natamani nikifanya vibaya Mtumishi wa Mungu hata angenibiga makofi siwezi kuchukia ndipo nitampenda zaidi kuliko mitumishi Ambayo inachukuliana na Uovu.hii Mimi siipendi wanadamu hizi ni siku za Mwisho,unapo tenda uovu umedhalilisha jina la Yesu ukionywa wengine wajifunze wewe unakimbia mahakamani hii ni ajabu sana !!! Ukiharibu hadharani inatakiwa ukemewe hadharan Ili usihalalishe ule ubaya ulio Fanya
@BeatriceJohn-j1w2 ай бұрын
Asante yesu kwaushindi
@doricemrema21777 ай бұрын
Amina Amina,,,njoo BWANA YESU KRISTO
@EmmanuelMikael-in1ej8 ай бұрын
Wimbo mzuri
@wonderkapichira69298 ай бұрын
Amen it's powerful massage pastor keep it up more than, we are living in end of the days, may almighty father blesse you man of God l blessed. Mungu akubaliki amen.
@emmanuelMbembela-oy7pi8 ай бұрын
Daaaaaah jamani mungu anavyombo vyake Dunia kama shetan alivyo
@JoyceFungo-c8k8 ай бұрын
Ameena nimebarikiwa sana Mtumishi.
@LeusiAnton-l6n6 ай бұрын
God bless you more and more
@TusaKiblaga-vp9jg7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Amen Aleluya Aleluya nabarikiwa sana
@mariachengula51668 ай бұрын
Kweli Yesu anakuja .barikiwa sana Kwa wimbo wakujiandaaa
@BittaPaul-v8q8 ай бұрын
Waovu wakiutazama wimbo huu wanaogopa sanaaaaa wanatetemeka, ila mioyo Yao kubadilika ni migumuuuu!!!!!
@daudluswema-mx3ok24 күн бұрын
wachungaji kama hawa watata na wanamisimamo ya kimungu nawakubali sana mfano mbarikiwa,magembe hizi machine achana nazo kabisa,hii ni injili isioghoshiwa.
@pacomezouzoua91758 ай бұрын
Mungu mwema akubariki mtumishi wa mungu
@happymvula7 ай бұрын
Mungu atusaidie kujiandaa
@mussajanke8 ай бұрын
Neema ni nyingi sana
@MoosaMd-h6b8 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu wetu juu mbinguni amen hallelujah
@edwardchange14077 ай бұрын
May God bless you abundantly and protect you, plus your family.
@Kasa.c8 ай бұрын
Thank you for the song . I'm blessed.
@Kasa.c8 ай бұрын
There is something great God has put in his life. How I wish he stops criticizing people and situations. Vita hivyo ni vya mungu mwenyewe.
@pris_jimsband8 ай бұрын
Amina kubwa
@NuruMbwile8 ай бұрын
Baba we sema kweli utakapoishia atakuwa Mungu ameamua penda sana nyie
@HajiRashid-j5x7 ай бұрын
Nimekusoma sana baba
@Leonard-jl8gt5 ай бұрын
Wewe ni kiungo cha Mungu duniani hakuna wa kukuzuia songa mbele ktk haki na kweli utashinda zab 25
@NicholausNjumbo15 күн бұрын
KATIKA ENEO HILI UNANIBARIKI SANA MTU WA MUNGU. NATAMANI HUKU UFANYE ZAIDI MAANA NAONA KUNA KITU NDANI YAKO KATIKA UIMBAJI.
@zawadimpayo38398 ай бұрын
Wimbo mzuri sana ubarikiwe mtumishi wamungu
@MenasehLiula7 ай бұрын
God bless you mbalikiwa
@JentoMmary-et7py8 ай бұрын
Hakika nais kumuona Mungu kwa ujumbe huuu .......wakujikinai nmewaona ukengeufu
@b.i.gnotorious79477 ай бұрын
🎉
@olivemwamengonakilimombeya69518 ай бұрын
KESI YENYEWE BAADA YA WIMBO HUU IMEISHAAA❤
@Maxpaul-oi8pw8 ай бұрын
Wimbo huu ni neema kutoka kwa mungu ni kwa vile sisi binadamu tumekuwa wagumu kupokea neema hii