Niko Mushi wa Kaziba sielewe luga lakini mziki unanipenya moyo kabisa. Musonge mbele ndugu zangu❣️
@dela788953 жыл бұрын
Mubarikiwe sana wana wa Mungu katika huduma zenu zote awa fungulie baraka tele Mungu baba.
@bitishoyaya22814 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana. Mungu awabariki sana sana❤️❤️❤️
@masifaentertainment4 жыл бұрын
Bitisho Yaya amen
@kanangwa3 жыл бұрын
One of the best song of this group.
@dela788953 жыл бұрын
Soliste bwana wahulù tùshika na manunga . ifecha asúnga tata. Mwakúle bana ba úmbe ú aci angene manga.
@rizikikahindo86373 жыл бұрын
Nawapenda bureeeee mubarikiwe Sana kwaku nibariki Mungu awe nanyi siku zote za maisha yenu
@emmanelamuri15654 жыл бұрын
kutoka washington state olympia, kwa kweli ndugu nzanguni tuko pamoja nahongereni sana kwa nyimbo za enjili
@byaombeswedy16744 жыл бұрын
Amen Amen, Mungu awabariki sana kwa nyimbo za manukato mnazo tubariki nazo
@masifaentertainment4 жыл бұрын
byaombe swedy amen 🙏🏻 kweli
@Agnes5404 жыл бұрын
Ameeeeeeena, nimebarikiwa sana. Nyimbo zote ni moto 🔥 usiozimika ongereni sana wapendwa, mungu awabariki kwa kazi nzuri mnazofanya. @Christmas choir 🔥🔥🙏👌🙏💖💖💖💖💖🎉🙏