Si niache tu Usherati nirudie Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏 please Lord deliver my life
@JacksonLokusi3 ай бұрын
He is so good, loving and so merciful to deliver you sister,just give your life to Him,just confess that Jesus Christ is Lord and that he rose from the grave and you shall be saved,I pray that you get born again,I tell I lost my elder brother last mother and what hearts most to the point I cry is that he died without knowing Christ 😭😭
@DoreenOngera-l1x3 ай бұрын
@@JacksonLokusi 🙏🙏🙏🙏🙏
@BillyClintone3 ай бұрын
Is there anyway I can get you and talk to you please 🙏 remember there is nothing impossible before God
@asumwagracemuthoni51892 ай бұрын
You'll be fine... Trust the process... ❤❤
@annenyabuto67812 ай бұрын
Hakuna dhambi asiyoisamehe repent itakuwa Sawa siz
@damarisgesare37677 ай бұрын
Hapo kwa kila kiumbe kiko na uhai .....nasikia kama nimepaa juuu 🎉🎉🎉🎉🎉 Baaasi na tumtukuze bwaaana ❤❤❤❤
@melabonkabila8954Ай бұрын
Mbele mbele mimi nasafiri,(na) na tusirudi nyuma kwenye upotowe Mimi ni mrithi pamoja naye,nikiteswa pamoja naye,kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa si kitu Kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu watoto wake.×2 Kila kiumbe chenye uhai ,basi kimtukuze bwana Aliyoyatenda ni makuu ,pale patakatifu pake Msifuni katika anga la uweza,usiogope paza sauti kwa bwana Mtulie nabii yuasikia, atazidi kuyatenda makuu Kwa kinanda na kinubi nawe upaze,msifuni kwa zeze naazo filimbi Kila mwenye pumzi basi amsifu bwana wetu bwana wa mabwana.×2 Tusimame kwenye njia panda,tukaulize mapito ya zamani I wapi njia ifuatayo mema, kama wazee wa zamani,tusipotoshwe na wajua ukweli, usirudi nyuma anakusubiri Ewe mlinzi wa zayuni piga tarumbeta watu wasikie
@lispernyambarora4114 күн бұрын
Wow,my all time favorite choir you are really inspiring through your songs,glory be God
@edwinogega2678 ай бұрын
Hii ni ile choir napenda....kila kiumbe chenye uhai basi kimsifu bwana...aminaaaaaaaaaaa. nawapenda sana CF
@drrobertkibagendi55568 ай бұрын
I forgot one very important point in this comment section. To remember and thank the composer;Ian Karanja. May God remember him as He did to Mordecai. His passion and dedication to audio composition, recording and arrangement are all God given and must be appreciated in a very special way. How many with me recognize his good work by a click of love or like to this comment??❤❤
@godsfinalwarninggfw64926 ай бұрын
God bless Ian for this beautiful song which is blessing us
@suzenberic55325 ай бұрын
Amen be blessed.
@YvoneNyagaka3 ай бұрын
Good work ian
@CallennyabokenyagakaCallen5 күн бұрын
mbelembele inanipamba kabisa mnasonga poa❤❤❤✋✋
@mashchacha6 ай бұрын
Mbele kwa YESU twasongo kwa huu wimbo napata faraja safarini na ndio maana nazidi kukaza mwendo............... barikiweni sana Wana wa MUNGU
@brianomondi65088 ай бұрын
Amina! Amina! Amina! ❤🙏 Mimi ni mrithi pamoja naye....
@YahayaKicho-n5y20 күн бұрын
Natamani kwaya Kama hivyo na mm niwe naimba mmependeza safi mnatoa injili iliyo Bora mbarikiwe
@minzabuluba10103 ай бұрын
May God bless you guys, mnanitoaga machozi sana ya furaha kila nikisikiliza your songs endeleeni kumtukuza bwana kwa nyimbo hizi za kumsifu bwana @christ followers ministers
@abel_seti8 ай бұрын
Amina. Amina🙏🏾🙏🏾Tusiogope kumsifu Mungu wetu. Kila mwenye pumzi paza sauti kwa Bwana. Bwana Azidi kuwabariki na sauti nzuri na akili bunifu ili mzidi kumtumikia katika huduma hii ya uimbaji.
@FlosamFlozieАй бұрын
Hapa mzee anaeza pata bwana ama wamebookiwa wote😁🤸🎉
@KwambokaPriska-ws7vo8 ай бұрын
I can't get enough of this song be blessed guys ❤Nani amependa uniform kama Mimi
@FloraPiniel-s4q2 күн бұрын
Amiinaa
@Kerubosandragekene8 ай бұрын
Wow kazi nzuri wana followers .....nakupenda debby sana ❤❤❤❤
@tychicusogoti88692 ай бұрын
Kerubo nakufuata
@PeninahBosireАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@loiceruto46908 ай бұрын
Cool music Nice dressing code Tusonge mbele tusirudi nyuma 🙏 let's praise God for He has been good for us and He gave us life through His only son. Amen.
@christinemoraa-n7bАй бұрын
Wacha niskize hii song Saa hii ndo Ile kitu ya Shetty... Yaani shetani initoke
@CalmAutumnTrees-xl2zk8 ай бұрын
Seriously blessed,Ian,jemoh,lamoh ,jully,,my family members God bless you dears,😢😢😢😢
@LillyKemmy-k8o3 ай бұрын
Tusimame kwenye njia panda tukaulize mapito ya zamani niwapi njia ifuatayo mema kama wazee .... the song is such a blessing nimetoka tiktok 😊❤
@owallajunior8 ай бұрын
Wimbo mtamu aisee 🎉❤🔥🔥
@kingsstudioz2548 ай бұрын
WELCOME TO KINGS STUDIOZ LTD, WE BELIEVE IN THE BEST.
@direngtevin56598 ай бұрын
Home of beautiful ❤️ lenses
@kingjoash5078 ай бұрын
🙏
@Christine0458 ай бұрын
❤❤❤
@direngtevin56598 ай бұрын
@@Christine045 ❤️❤️🌹🌹
@Kerubosandragekene8 ай бұрын
Kazi nzuri joash ❤❤
@BrendaMisati8 ай бұрын
Better late than never,, mbarikiwe nyote ❤❤
@AlbertKirera-c8z8 ай бұрын
Good song indeed proud of this choir keep it up always
@homlando95688 ай бұрын
Wau so amazing and the clear video from kings studio it's wau
@ontirijustine38998 ай бұрын
Wonderful song lyrics, God bless you for these sweet melodies. It's really a big blessing on this Sabbath.
@Deekesh2668 ай бұрын
Amen sauti zinapendeza❤❤
@CallenMwebi8 ай бұрын
Eish😭😭😭the way I feel when listening this 🎉 indeed God is great , I listen every morning while I'm at work and on the way 😢
@AlexAkayoo-rv2nlАй бұрын
Mungu ni mwema siku zote, May His name be glorified
@FelixOchieng-k2s20 сағат бұрын
Mimi pia❤❤❤❤
@princevickyke8 ай бұрын
Amen🙏🙏 am blessed so much IK studio good work🙏🙏💫
@NgoyNgoy-d6zАй бұрын
C'est très bon vraiment que le seigneur vous bénisse abondamment ❤❤
@FelixOmari-wx3le8 ай бұрын
Jaza jaza...Moto ni moto
@direngtevin56598 ай бұрын
Acha sasa nipime suti ...naimba saiti ya nne....CF to the world 🌎 may God bless you... ushering the Sabbath instyle
@sir-idy45808 ай бұрын
Eish, 🔥🔥🔥🔥🔥 on repeat mode Beatrose I see you😂
@AgnesKemunto-k8b2 ай бұрын
Yhsnk
@obirigeoffrey86204 ай бұрын
King studios always the best never disappoint,Christ Followers my favorite Lamo,Ian I c u
@BrianHamilton-t9lАй бұрын
Really love the song keep shinning
@joshuamageka58185 ай бұрын
KINGS STUDIOS NAWATAMBUA YOU MEAN BUSINESS, KAZI YENU SAFI Sana
@DavidOmari-x5s3 күн бұрын
Mbere twasonga❤❤❤
@estherabiner36788 ай бұрын
Vocals ❤ Lyrics ❤ Video ❤ Uniform ❤
@mercyokinyi47823 ай бұрын
2. Million views God above all i love this guys
@GivenBbuku8 ай бұрын
Am being blessed with this choir from zambia
@harononduso76318 ай бұрын
Eagerly waiting this ,,,,since nilisikia ,,very nice song,,mbarikiwe wasanii sana
@EznaMoraa-c1o6 ай бұрын
Nice song🙏🙏 ,me ni mridhi naye🎉🎉
@naomiomwamba26326 ай бұрын
Amen Amen barikiwa sana nice song am blessed
@moffinemorangi94272 ай бұрын
Baraka tele for that amazing song, dressing nayo ni dope❤
@clovismbayo87877 ай бұрын
Ndiyo ndiyo kilakiumbe kimusifu bwana mubarikiwe sana n'a baba Mungu 🎉🎉🎉❤
@LentyVal8 ай бұрын
Amen,I'm here for Enock❤ It's a Banga 🎤🎤🎤
@GloireZihindula-l7uАй бұрын
Mbele tusonge kweli mubarikiwe sana
@jamesthomas574515 күн бұрын
Jemo karanja keep it up bro nawaona KAZI ya mungu lazima iendele UK tunawasikiza
@ReaganOkeyo-r4n5 күн бұрын
Keep up napenda hii nyimbo
@josephngunjiri27118 ай бұрын
Amen, very nice song. Continue with the same spirit. God bless.
@Annogechi1234 ай бұрын
It’s now 3 months since you released this song I took my time for this I want to take a moment to express how deeply your song has blessed my heart. 🥹🙏🏻The message of hope, love, and faith woven into your music has truly touched my spirit🌹🙏🏻. It’s evident that God’s hand is upon your ministry, and through your voices, many lives are being uplifted.🎤🎤💝 Thank you for allowing God to use your talents for His glory, and to Ian Karancha, for the excellent production work that has brought this masterpiece to life. May the Lord continue to bless and expand your ministry, touching more hearts and leading more souls to Christ. Be blessed always, and may you never grow weary in doing good (Galatians 6:9).
@iankarancha58226 күн бұрын
Ameen Ameen
@patrickmchami790417 күн бұрын
Wimbo huu huwa unanibariki sana na sichoki kuusikiliza mubarikiwe sana❤
@joyceobwocha59618 ай бұрын
Happy Sabbath, God bless you, indeed let us worship God
@tinahtee8 ай бұрын
This one hits differently 🔥🔥🔥 keep going my favorites❤❤❤🤲
@AronAdam-e2m3 ай бұрын
kisii mbele ❤🎉na lazima tuendeze njiri
@isaacmoses5498 ай бұрын
Amen. Blessed piece of good music...Spiritual and uplifting. Kudos CF
@harononduso76318 ай бұрын
Aaamen,,, nice song wakuu continue with the same spirit
@cytinahkerubo74438 ай бұрын
Blessings blessings ❤ Message ❤ Audio💯 Video 💯
@mkmedia30067 ай бұрын
Amen 🙏...kazi nzuri siku zote 🙏
@catherinemorris14925 ай бұрын
Nice song waoooooo my glory is on the way
@ZaddockKogo-f7cАй бұрын
Nice song
@hesbonmosero57138 ай бұрын
Amen! May God bless each and every effort combined towards this kind of preaching.l’m blessed 🙏🏾
@hesbonmogire8 ай бұрын
This is agreat piece of song keep it up christ followers
@EsromMkurubiJrАй бұрын
Tunabarikiwa sana Amen tuzidi kumtumikia Mungu kwa Nyimbo
@edel001tv8 ай бұрын
Hatariii ❤❤❤❤
@helgatongi19578 ай бұрын
Amen. One of my favorite ❤❤ @ Tina and team good song.
@drrobertkibagendi55568 ай бұрын
To God be the glory now and forever Amen. Let every creature with the breath of life praise God
@kevinVokeKE8 ай бұрын
Baaasiii ...Kali ii ❤🎶🎧🔥🔥🔥🔥
@monicankirote9313Ай бұрын
Thanks for nourishing my soul with beautiful melodies,, what a message ❤❤
@CynthiaAkeyo-wu8po7 ай бұрын
Good song indeed mbele mbele
@LucyGechy8 ай бұрын
Wow 🥰🥰nice song 💫 am blessed 🙏❤️
@rodgerayuka86848 ай бұрын
Anytime anyday CF rocks. Masterpiece 💥
@NeemaJames-s5l22 күн бұрын
Nawapenda mnoo jmniiii ❤
@ChelangatEsther-gp6jrАй бұрын
Si Mungu afunguwe familia ya kwetu wamjue haki🙏🏽🙏🏽kila kiumbe chenye uhai basi kimtukuze Bwana 🔥🔥I rebuke the spirit of drunkenness in our family🙏🏽🙏🏽
@enoshnyanena7 ай бұрын
Sirudi nyuma pia brethren ❤🙏
@marynyaboke-gu1vn5 ай бұрын
Aminaaaaaaaaaaaaa🎉🎉🎉 kila kiumbe chenye uhai🎉🎉🎉❤
@PhinterOtieno4 ай бұрын
hapo kwa kila kiumbe chenye uhai basi kimtumtukuze bwana,aliyoyatenda ni makuu 💯🙏 you're the best
@M_Okioi8 ай бұрын
On repeat mode! beats power!
@ElizabethNyabuto-by3uy3 ай бұрын
One thing I like about you is that you do it confidently yaani giving it your all.God bless
@PeterKwamesa8 ай бұрын
ameen ameen...i can pay to listen to this song again and again
@jamesmoses63218 ай бұрын
Kwatable😂
@margretkenari-bl5pf6 ай бұрын
Good song my favourite choirs always naipenda sanaaa yani nikisikiliza nyimbo zao nasikia nimefika heaven🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ConsolathaDaitus7 ай бұрын
wimbo mzuri sana hauchoshi,mbarikiwe sana❤❤
@Mystoryscripted18 ай бұрын
Blessings wonderful song 🎵 can't get tired listening ❤❤❤❤❤❤
@getrudepastory52985 ай бұрын
On repeat mode❤.God bless you watoto wa Mungu😊
@darqiusisaboke10592 ай бұрын
Wow just wow, utumishi ni wetu utkufu ni wake
@WendyAchieng-n7eАй бұрын
Mbele mbele tunasafiri hakuna kurudi nyuma Kwa kuwa Jabali yu nasi 🙏🙏🙏 wimbo mtamu hakika
@RuthEric-hp5ii7 ай бұрын
Nice song ,I listen to this daily ,good work Christ followers,may God bless you 🙏🙏🙏
@DelyneMakel8 ай бұрын
Amazing 😍
@sandrakerry82498 ай бұрын
Please like my comment, so every time I will be coming back to listen to this wonderful song 🎵 💕 🎶 🙏 🙏 🙏 🙌
@shadrackcohen25722 ай бұрын
Amen
@IrineOchola-b7bАй бұрын
🎉🎉😂😊p
@hesbonsangaka26964 ай бұрын
This song really pierces my heart weeh naipenda sanaaaa❤❤❤
@mildredmaisiba19483 ай бұрын
Leo nafungua Sabato na hii❤❤❤❤❤❤
@lilianosoro73008 ай бұрын
Aaaaaaaaah❤️❤️❤️❤️i knew this one was to be a nice song indeed.....lets praise God
@MonicaMativo-z1m3 күн бұрын
I can't get enough of sda songs 😊❤..they are just amazing.
@EmmanuelMboje-v2q2 ай бұрын
Wow that's good thanks for your message. Mungu azidi kuwabariki na awape ufahamu zaidi kwa ajili ya kazi yake nzuri iliyotukuka ameen!!