MBELE YA KIKWETE, MANJI AFUNGUKA "NIMERUDI NYUMBANI, MOYO WANGU NIMEUACHA JANGWANI"

  Рет қаралды 28,139

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mwenyekiti wa zamani na Mwanachama wa Klabu ya Yanga, Yusuph Manji ni miongoni mwa waliofika katika Ukumbi wa DYCCC, Dar es salaam leo kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka 202.

Пікірлер: 100
@fadhiliamiri4779
@fadhiliamiri4779 3 жыл бұрын
Mimi ndio kwa kwanza ku comment hapa weka like yako hapa 😂😂😂
@geofmedia1877
@geofmedia1877 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@kingkiba6348
@kingkiba6348 3 жыл бұрын
Boss
@sweetberthacharles6960
@sweetberthacharles6960 3 жыл бұрын
Karibu Boss wetu nyumbani
@elianifaaluka4790
@elianifaaluka4790 3 жыл бұрын
Yanga oyoooooooo
@happyshayo372
@happyshayo372 3 жыл бұрын
Welcome Sir MANJI 🤑🤑🤑🤑😜😜😝😝😘😘😘😍🙌🙌🙌
@venancephilbert9397
@venancephilbert9397 3 жыл бұрын
Tusishangilie sana ....kwann ilikuwa ilivokuwa ipo kwa bongo za wachache. God bless🇹🇿
@paulmafuru9464
@paulmafuru9464 3 жыл бұрын
Karibu sana tuwakomeshe mikia fc
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Pole ivi mkia unakalia mbele au nyuma?
@geofmedia1877
@geofmedia1877 3 жыл бұрын
Karibuuu
@oscarkasalile8442
@oscarkasalile8442 3 жыл бұрын
Karibu boss wetu tumeteswa sana na simba,
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Masikini boss wako unamuonea huruma. Huyo ndiyo kakupa umasikini mpaka unamuita boss. Pole sana. Simba alikuwa anakuokowa wewe. Huyo ni mwizi mkubwa amuka
@erickevarist8738
@erickevarist8738 3 жыл бұрын
Wa 2 mm Amin manji jeshi kubwa Rudi nyumban kumenoga
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 жыл бұрын
Ilibidi watu wakimbie walipozaliwa do!!! Tawala zingine mtihani ilikuwa mavisasi tu
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 3 жыл бұрын
HUYU HAKUZALIWA TANZANIA , BALI NI SECOND CLASS CITIZEN!!
@tashone7884
@tashone7884 3 жыл бұрын
Huyu second citizens wapi kuna madaraja hayo uraia. Kama wanayo Haki ya kupiga na kupigiwa Kura na kuwa viongozi kuanzia mabolozi Hadi mawaziri Ndani Amir Jamal,Salim Ahmed Salim,Zakhia Mehji,Mohamed dewj etc rangi zetu siyo sababu hizo chuki zako Tu ulilishwa matango Pori.
@emmanuelsimon545
@emmanuelsimon545 3 жыл бұрын
Kama huna la kuandika kaa kimyaa acha ushabiki wa kijinga mm yanga lakn kwenye masuala ya nchi hayana ukirabu
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Acha hizo
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 3 жыл бұрын
ACHENI MAMBO YA USHABIKI HAPA YASIYOKUWA NA MACHO WALA MIGUU. MIM NILIKUWA NAMFAHAMISHA HUYO ANAYEDAI KWAMBA AMEZALIWA TANZANIA! AU NI ILE MIHEMKO YA KICHAMA??
@leothardngonya2369
@leothardngonya2369 3 жыл бұрын
Nyumbaniiiii!!!!! Ulikimbia nini? Rudi hukohuko.
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 3 жыл бұрын
Ndio karudi
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 3 жыл бұрын
Mikia wewe
@johnmalambo1738
@johnmalambo1738 3 жыл бұрын
Uhuru mwingine nimaumivu sasa nahao wezi wanatoka wapi lakini mzee alishatufumbua macho tunaona msifikiri hatuoni tunaona
@adammakoye9332
@adammakoye9332 3 жыл бұрын
Mo sasa huko ana.......
@neemaremus4924
@neemaremus4924 3 жыл бұрын
Mhaho
@bsmonline8482
@bsmonline8482 3 жыл бұрын
😂
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 жыл бұрын
Magufuli shikamooo 😆
@jorampeter6131
@jorampeter6131 3 жыл бұрын
Jamn mhujumu uchumi huy amerud? Na viongoz mpo? Nan alietuloga watz?? Kufkia uchumi wa kat haikuwa rahis,,njia mojawapo ilkuwa kuwaondoa mafisad wote walionyonya nchi yetu,,wakwepa kodi,,lkn leo wameanza kujazana,,,wanyonge zetu changamoto ni wapi zitasikika?Eee Magufuli tutakukumbuka daima,Rest in peace
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Unauhakika kama nimuujumu uxhumi acha ushetwani sio kila jambo unaloambiwa unaliweka akilini
@azerageorge6647
@azerageorge6647 3 жыл бұрын
@@aishaarusha894 Really???kati ya huyo manji na mwendazake nani shetwani au hayawani???Acheni kuropoka msiyoyajua nyie majuha
@sweetberthacharles6960
@sweetberthacharles6960 3 жыл бұрын
Alihujumu uchumi waukoo wenu?
@vitalismakyaohamnakitu1714
@vitalismakyaohamnakitu1714 3 жыл бұрын
Mbumbumbu ni wengi
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
@@azerageorge6647 juha ni bibiyako mzaa babuyako sikuzote sheitwani hataki sheitwani mweziwe asemwe kama kafanya hovyo
@nipolive..2745
@nipolive..2745 3 жыл бұрын
Wapambanisheni manji na mo
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Wamewateka Watanzania kupitia mpira. Wanatuibia huku akiri zetu zote ziko kwenye mpira. Nani kishaona timu ya mpira ya wahindi. Funguweni macho mpira ni kama dawa ya kulevya na wahindi wengi wanajuwa. Shika timu ya mpira, kisha mushike Rais basi tenda zote kikapuni. Kwa Hayati Magufuli walishindwa kuingia Ikulu kupitia mpira.
@byabatotv3283
@byabatotv3283 3 жыл бұрын
Wapi Bashite😂😂
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Nchi ya majizi wauza madawa wazee wa kukoromea viongozi
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 3 жыл бұрын
Mikia wewe
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Wizi
@justinefelis8772
@justinefelis8772 3 жыл бұрын
G s m alikuja kwa m bwe bwe lakin waapi.
@mapafutv
@mapafutv 3 жыл бұрын
Sema jamaa mbona km ndondocha hiv au madawa yake yale 😂😂😂😂😂
@samwelmubusi4512
@samwelmubusi4512 3 жыл бұрын
Kurudi karudi je anamkwanja ?
@bsmonline8482
@bsmonline8482 3 жыл бұрын
Huyo unafikiri ana njaa, hahahah mbona hujajiuliza set kasema anatoa bil 25 anazitoa wapi. Watu wana mipunga we na mimi ndio hatuna. Na huyo anatoa hela kweli ujue hanaga masihara ujue.
@jamesngonyan1670
@jamesngonyan1670 3 жыл бұрын
Tunajua mnamuogopa tulien shidah iko pale pale
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 3 жыл бұрын
Wewe kwa akili zako unafikiri aliondoka kifala?
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 3 жыл бұрын
Niukichaa tuunaoshangiliwahapo
@idarsaideidarmuamede8245
@idarsaideidarmuamede8245 3 жыл бұрын
utopolo
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
DicTeTa ALivuLuGA saNA inch ALikuWa msheNZi ALikuWa nYaNi LisiLopeNDa maeNdeLeo yA watu .
@jorampeter6131
@jorampeter6131 3 жыл бұрын
Sina uhakika kama wee ulmalza hat dars la 7,kila mkoa Magu aliugusa kwa maendleo bla kubagua vyama,barabar,umeme,mashule,mahospital,,,na yote aliwafukuza wote ambao walkuwa hawalp kodi,,walpa kod walpata fulsa ya kufany biashar,,na mpaka Tanzania tukafkia uchumi wa kati,,,upooo,,kam hauelew kisa mpira ambao nikiwa na shida na dawa haunisaidii chochote,,nan alietuloga watanzania?
@azerageorge6647
@azerageorge6647 3 жыл бұрын
@@jorampeter6131 huyo kijana ni mpumbavu kbs,hajaenda hata darasa moja hana adabu.Angekuwa kasoma angalia hata handwritting yk ndo maana hajui anachosema.hebu kama anamzazi amweleze hayo maneno kama atamuunga mkono.Hao kinamanji wanawaibia kila uchao ila mambumbu kama hilo haliwezi jua.
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Kiazi wewe
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Mushenzi ni wewe unayeandika kama kuku. Hujielewi wezi wakubwa nyinyi. Munataka kuitafuna Tanzania oneni aibu. Kama sio Hayati Magufuli tusingekuwa na nchi mjinga wewe.
@azerageorge6647
@azerageorge6647 3 жыл бұрын
@@gracegrace6200 asante sana rafiki.kwa kumwambie huyo hayawani@amos moses.Huyo shule haijui sababu ya hao wezi wao wanaowatetea
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
LIMANJI mdomo kama amfibia
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Karibu manji yule kichwa ngumu kaondoka sasa nchi huru
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 жыл бұрын
Wasema 🤣🤣🤣
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Nchi ya wezi
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
@@robertmgore3653 mwizi gani tena
@azerageorge6647
@azerageorge6647 3 жыл бұрын
@@aishaarusha894 c kama wewe na ukoo wako wote mmezoe vya kunyonga vya kuchinja hamuwezi
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
@@azerageorge6647 kumbuka wewe ukoo wako uko kwenye khasara mungu hatawaonelia huruma siku ya kiama nari itawahusu maibilisi nyinyi
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Kwani takukuru wanasemaje kuhusu manji😂😂😂😂
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Hakuna chochote hapo. Huyu ni business partner wa Kikwete. Mpira ni kuwapumbaza watanzania. Hawa wanasaidiwa kuitafuna nchi na viongozi wetu. Sisi sio masikini. Kwa nini Manji awe tajiri? Ni tenda za udanganyifu. Fedha zilizomutajirisha Manji ni fedha za Watanzania
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 3 жыл бұрын
@@gracegrace6200 kuwa na wewe business partner na mama samia,mijizi imejaa Tanzania kibao mnamuona manji?
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
@@luganomwaisumo1938 mpira ni kama ulevi. Wahindi wanajuwa kutuchezea kwa ujinga wetu. Unaona akiri zako zote kwenye mpira. Mwenzio kakushika pabaya. Akiri zako zote ziko kwenye mpira yeye hana intrest ya mpira. Umeisha chotwa akiri mbumbu unatowa majibu ya kijinga.
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 3 жыл бұрын
@@gracegrace6200 yaani wewe una ushaidi gani kwa hizo tuhuma zako?na ata kweli mbona mijizi ipo mingi ata serikalini
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
@@luganomwaisumo1938 Kwanini Manji alikimbia? Manji Ni baadhi ya wawekezaji tulioambiwa wamekimbia. Manji akifanya biashara na viongozi wa juu. Wewe huwezi kuona pengine ni mpenzi wa mpira. Mpaka uwe na akiri ndiyo ujuwe muchezo unaochezwa hapa. Tanzania ni nchi moja muhindi anaingia bila fedha within few months anakuwa billionaires. Viongozi wetu ni lahisi kuwanunuwa. Wewe shika timu ya mpira kisha shika Rais uchumi wote utaaushika. Angalia na macho yako ni wahindi tu ndiyo wamekimbilia kushika timu za mpira. Soka sio intrest yao. Watanzania wanapenda sana mpira. Ukiishika timu ya mpira umeishika nchi. Kwa Hayati Magufuli walikwama.
Kauli ya Manji kwenye Mkutano Mkuu wa Yanga SC
1:40
Azam TV
Рет қаралды 219 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 70 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 34 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 45 МЛН
Azam TV - Mapokezi ya Manji baada ya kuachiwa huru
2:21
Azam TV
Рет қаралды 10 М.
MTOTO wa KIKWETE ATINGA MSIBANI kwa MEMBE
1:48
Global TV Online
Рет қаралды 45 М.
🔴LIVE: KILIO, SIMANZI NA MAJONZI MAZISHI YA ALLY MOHAMMED KIBAO
Chadema Media TV
Рет қаралды 1,6 М.