Kauli ya Manji kwenye Mkutano Mkuu wa Yanga SC

  Рет қаралды 219,632

Azam TV

Azam TV

3 жыл бұрын

“Mbele ya safari tutajua vipi tushiriki” maneno ya Mwenyekiti wa zamani wa Yanga SC, Yusuph Manji alipozungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Yanga SC #AGM.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 134
@eliudmkumbwa5681
@eliudmkumbwa5681 24 күн бұрын
Tuliorudi apa baada ya kusikia Manji amekufa😢😢
@bwxmedia5465
@bwxmedia5465 3 жыл бұрын
Manji again manji again we love we appreciate and we know God going to bright our future
@mwambamambajr8278
@mwambamambajr8278 3 жыл бұрын
YUSUF MANJI hakika wewe ulikuwa ni moja ya sababu ya mimi kuipenda YOUNG AFRICANS kwa ule ufadhili wako ulitupatia heshima sana daima tutakuheshim na kukuombea mema
@speciallvoice8091
@speciallvoice8091 17 күн бұрын
Mungu akupe kauli thabit Yusufu manj
@modestalois2535
@modestalois2535 3 жыл бұрын
Mnatisha wana YANGA. "YANGA MBELE,NYUMA MWIKO".🙏🙏🙏
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Mungu ibariki YANGA yetu
@footmobonline
@footmobonline 3 жыл бұрын
Amen
@rfanewsroom7989
@rfanewsroom7989 24 күн бұрын
R I P MANJI
@neemaadam9256
@neemaadam9256 3 жыл бұрын
YANGA HOYEEEEE 👏 MANJI HOYEEEEE 💪
@user-uo6nw1gb8b
@user-uo6nw1gb8b 2 ай бұрын
Jamani Manji, Mungu ni mkuu
@official_thedon7
@official_thedon7 3 жыл бұрын
Welcome back boss
@ibrahimkadibo810
@ibrahimkadibo810 3 жыл бұрын
Mikutano kama hii tushaiona sana kwenu na mgeni wenu akiwa ni huyoyo Kikwete na hakuna kitu hakuna jipya hapo
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@lavaboyjonas9706
@lavaboyjonas9706 3 жыл бұрын
Kalibu sana
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 жыл бұрын
💪💪💪💪💪💪💪
@shamilarashidi6519
@shamilarashidi6519 3 жыл бұрын
Jaman manji mwaaaa
@aloycealoyce2150
@aloycealoyce2150 3 жыл бұрын
Sana baba
@scolakayanda7171
@scolakayanda7171 3 жыл бұрын
Boss Kama boss
@abdulijongo1355
@abdulijongo1355 3 жыл бұрын
Yanga Wanaona Watapata Nafuu Kuja Kwa Huyu Muuza Pipi Kumbe Ukwel Bakora zipo Palepale
@harmidizoharmidizo2295
@harmidizoharmidizo2295 3 жыл бұрын
Boss kama boss
@hakimalen712
@hakimalen712 3 жыл бұрын
Hamna Mpya
@khalifakatobo4184
@khalifakatobo4184 3 жыл бұрын
Maurid kitengi ni bongee la mtangazaji salute kwako
@samwelmtasiwa8183
@samwelmtasiwa8183 3 жыл бұрын
Yaan wote wanao bwabwaja ni wa mo na hata hela hawana kula kwenyewe shida halafu wanamsema bilionea MANJI TOKENI MWENDE KWA MOOOOOOH!
@atiqaly6567
@atiqaly6567 3 жыл бұрын
Bilionea gani miwani kioo kimevunjika hana hela ya kutengeza au ?? Si mbora mumpe timu hata muuza kahawa kuliko huyu haman ktu hapo tukikutana july tunawapiga tano mara hii
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Mtu ukiwa na ela basi watu wanakuhusudu ata kama umeiba😂😂
@charesmtavangu5242
@charesmtavangu5242 3 жыл бұрын
Yangaaaaa upande wa pili wanakodoa kodo
@kimmenelus7835
@kimmenelus7835 3 жыл бұрын
MNYONGE MWENYE HAKI YAKE
@vedastusleonard7115
@vedastusleonard7115 3 жыл бұрын
Krb xna mh shimiwa young africans
@Beent323
@Beent323 11 күн бұрын
😢😢😢😢
@eliamrutu947
@eliamrutu947 3 жыл бұрын
Yanga
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 жыл бұрын
Mijambazi yanga na CCM wote majambazi
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 3 жыл бұрын
Naaaam
@mbawalamakomae5094
@mbawalamakomae5094 2 жыл бұрын
boss manji atuwezi kukusahahu ulisadia yanga bila mekele klb yanga tena 2mkumc
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 3 жыл бұрын
Manji karudi😁
@irenejameskijoyee5380
@irenejameskijoyee5380 3 жыл бұрын
Mbona mikia wanateseka sana
@odenlwila8390
@odenlwila8390 3 жыл бұрын
Hana kitu huyo mnajipendekeza kwake komaeni na gsm anaye idalaria timu
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Bongo hakuna matajiri, timu vinara zimefadhiriwa na wageni
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Wageni wamezipata fedha hizo hapa hapa Tanzania kwa wizi.
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 жыл бұрын
kitenge mwanautopolo #SIMBA ITAKUTESA SANA
@ashaathuman1472
@ashaathuman1472 3 жыл бұрын
Yanga timu kubwa
@ediussalvatory22
@ediussalvatory22 3 жыл бұрын
Huyo ndo rais wa yanga
@geliadisinyangwe6893
@geliadisinyangwe6893 3 жыл бұрын
Kwelo tj
@adeliusmulashani9837
@adeliusmulashani9837 3 жыл бұрын
Kwa sasa mwamba hana ela, zimebakia korodani tu
@footmobonline
@footmobonline 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@piusthobias880
@piusthobias880 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@oscarjohn477
@oscarjohn477 3 жыл бұрын
😄😄😄😄...
@peterscharless4710
@peterscharless4710 3 жыл бұрын
Weeee mpaka sasa anakuambia anatumia pesa za babu yake tu za Baba ake bado alizotaguta mwenyewe bado unasemaje hana hela mzeee anaanza na kulipia mashabiki wote elfu stin Kwa buku buku tu ni bei gan iyo
@lewismpangala927
@lewismpangala927 3 жыл бұрын
Masikini chakula chako shida unamponda bilionea
@stephanomagesa2719
@stephanomagesa2719 3 жыл бұрын
Hiv hawa panya wa msimbaz wanakoswaga neno ama nn na mtaseka sana nasubili kuwaona je mtabebwa tena na marefa 2kutane kg
@suleimanalawy8512
@suleimanalawy8512 3 жыл бұрын
Simba kabebwa lini?au ile migarasa yenu inapokosa magoli ndiyo tff inaibeba simba?msimu ukiisha mnatimua wachezaji 12 na zaid na kusajili wapya lundo lkn bado mnasema sinba anabebwa
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Yanga ni timu ya wezi wauza madawa na watu wanaozarau viongozi wa nchi
@chondecannibal6108
@chondecannibal6108 3 жыл бұрын
Imekula kwenu mikia adui wa Yanga hatuko nae tena abebaki mtoto wake nae hana sumu tena. Mlifurahi kukamatwa kwa Manji ndio asharudi sasa.
@mwambietv7614
@mwambietv7614 3 жыл бұрын
Hana jipya
@davidchaula7766
@davidchaula7766 3 жыл бұрын
Kumekucha saivi tushndane
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 3 жыл бұрын
Simba hodii
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 жыл бұрын
Muhuza Madawa ya kulevya Amerudi yanga Mwizi mkubwa wewe
@mohamedkigwehe4025
@mohamedkigwehe4025 3 жыл бұрын
Wamekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
@amanchatila7607
@amanchatila7607 3 жыл бұрын
huyu ni shabiki wa kweli wa yanga kama alivyo mo pale simba lakini kwasasa itamchukua muda mrefu kuwa na pesa zakuchezea mana kuwafurahisha mashabiki wa mpira lazima uwe na pesa zakutosha sasa manji kesi zimemmaliza sana
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 жыл бұрын
Uyo Anategemea Madawa ya kulevya anajuaa akiwanayanga Madawa yakikamatwa na Serikali Anapewa yeye akauze
@leothardngonya2369
@leothardngonya2369 3 жыл бұрын
Vijana wataanza kuvuja mate tena.
@awesasaladi5948
@awesasaladi5948 3 жыл бұрын
Is back mwamba
@nasorospati3075
@nasorospati3075 3 жыл бұрын
Safii
@mcnzengwa8577
@mcnzengwa8577 3 жыл бұрын
Wivu tu
@aronchiwanga3377
@aronchiwanga3377 3 жыл бұрын
Achen wivu kwan manji kulud nyiinawakela au inawaumaee
@mohammedgulamali8849
@mohammedgulamali8849 3 жыл бұрын
Wana yanga huyu hana kitu. Muna poteza wakati wenu kupigeya makofi huyu Hawezi kufurukuta mbele ya MO.
@njikuhr1875
@njikuhr1875 3 жыл бұрын
Mo anamwogopa sana uyo
@zaminalimehdi8970
@zaminalimehdi8970 2 жыл бұрын
Mo alikuwepo wakati manji yupo na yanga. Sasa amuogope Mo ya nini?
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Maulid chaumbeya kitenge
@faridithomas4859
@faridithomas4859 3 жыл бұрын
Kaka manji amerudi kutuuzia unga tupike ugali tule tushibe kisha tukabane uswahilini
@magechuwa804
@magechuwa804 3 жыл бұрын
Ahahahaaaa simba mikia mwakereka nini leteni na wenu
@staralive9260
@staralive9260 3 жыл бұрын
Paka akitoka, Panya ujitawala na pia nimejua huu ni utawala wa Manyani. Alimsaidia Kikwete kupata urais na ikaonekana Manji hawezi kutolewa hadi wamuue MAGUFULI, na Sasa Kikwete amemtoa Manji kwa nguvu na kumuondolea mashitaka. Nataka kusema hapa. MAKONDA ASIPOANGALIA VIZURI MANJI ATAMUUA. Nimetabili
@joyelia5356
@joyelia5356 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@ridhiwaniswaleh7878
@ridhiwaniswaleh7878 3 жыл бұрын
Hata magufuli ameua sana tu na yeye ndie aliyetaka kumuua tundulisu muuaji akiuwawa safi tu wacha maisha yaendelee.
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 жыл бұрын
Manje kashindwa kuishi uingereza c mchezo Sheria ngumu na akuna Madiri Ata timu ya Watoto Uingereza Awazikupewa kutokana Anauwezo Sasa karudi kwenye kiwanja cha Madili Sasa atakua bilionea WATANZANIA watamwita bilionea kwa pessa Zaowenyewe Kutokana Wamelala
@parambili1382
@parambili1382 3 жыл бұрын
Amekuja kuuza madawa kule sheria kali angeuzia madaw wapi
@msokotwane6991
@msokotwane6991 3 жыл бұрын
Mbona hakutiwa hatiani. Madawa anamuuzia nani? Acheni wivu. Yeye si msimamizi wa mirathi.
@lewismpangala927
@lewismpangala927 3 жыл бұрын
Wewe hata kula kwa shida unamponda mtu ambaye bilionea
@magembesittaa2327
@magembesittaa2327 3 жыл бұрын
Kaz wivu bogas ww kauze na ww madaw
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 жыл бұрын
@@lewismpangala927 bilionea gani? Kashindwa kuishi Uingereza sheria ngumu badawa ya kulevya Ayauziki Amerudi kwenye kiwanja cha Madili pessa zinuwenyewe hapo hapo Mnamwita bilionea bado tumelala ulaya so mchezo Maisha Magumu Mwingine Mlopokaji yupo Kenya Ananusa Anasikilizia
@mdimimdimi4282
@mdimimdimi4282 3 жыл бұрын
Hana Hela xaiv huyo.kabaki mapumbu tuu
@rehemaamry4585
@rehemaamry4585 3 жыл бұрын
Mtanyoooka tu....maana yule aliyemsababishia maumivu na mateso huyu boss manji yuko banch na mama atawanyoosha tu.
@rashidisabodo6955
@rashidisabodo6955 3 жыл бұрын
unalala nae
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
kaja kuzichuma tena ndi mjuwe ni mfisad huyo na nimuuza madawa kaenda kwao karud kadhoofika hakuna wakuwauzia unga huko idha kuwafisadia karud kuja kuchuma tena ila samia nalile bichwa lake lile mungu atamuona wacha wezi awape fursa
@parambili1382
@parambili1382 3 жыл бұрын
@@aishaalbalushaishabalush8291 mother anazinguwa sanaa uyu kaja kuuwa vijan mtaani n vibaka watakuwa wengi kisa madaw
@parambili1382
@parambili1382 3 жыл бұрын
@@rehemaamry4585 anategemea madaw ya kulevya now yupo n kengele tu han ela uyo labda aanze kazi yake ya madawa tena😂😂😂😂
@aloyceenhardnombo7604
@aloyceenhardnombo7604 3 жыл бұрын
Huyu mwamba sio mtanzania et
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Huyu ni partner wa Kikwete. Hawa ndiyo walioitafuna Tanzania na kuiacha mifupa mitupu. Viongozi wa CCM oneni aibu. Mipango muliyoifanya kurudisha mafisadi mumewadharau Watanzania na kuwaona ninwajinga. Asanteni sana. Watanzania sio wajinga wanajuwa kinachoendelea. Hayati Magufuli alitufunguwa macho sisi sio masikini ila uongozi mbaya tuliokuwa nao kwa miaka mingi. Wizi utaanza upya na kutakuwa hakuna wakuweza kucontrol. Hayati Magufuli alipigana mpaka akapoteza maisha yake, CCM imemugeuka kweupe muchana.
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 3 жыл бұрын
ndio uvumilie imeshakuwa hivyo
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 3 жыл бұрын
tulia dawa ikuingie
@newtonchamkongo6822
@newtonchamkongo6822 3 жыл бұрын
Miaka mitano ya hasara kwa Mwenda zake.
@haroubmahfoudh7818
@haroubmahfoudh7818 3 жыл бұрын
Tunakuomba uende mahakamani ukilalamika humu sisi hatutoweza kukusaidia chochote ndugu
@juliethjosephkavishe1872
@juliethjosephkavishe1872 3 жыл бұрын
Zakwako ultoa Bei gan, kwendaa
@dgt6303
@dgt6303 3 жыл бұрын
Mara ooh sisi wananchi tunaendesha timu wenyew. Oooh simba ameolewa na MO haya sasa Mume wenu kaja. Mnyimeni timu muendelee kutembeza bakuli 😆
@festovenas502
@festovenas502 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 1,9 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
MKUTANO MKUU YANGA | Jezi mpya Yanga SC zishatua nchini
5:32
Highlights | Simba SC 0-1 Yanga SC  | VPL 03/07/2021
27:41
Azam TV
Рет қаралды 1,6 МЛН
"Yusuph Manji akitoka Hospitali aje, tunamuhitaji UHAMIAJI"
7:51
Millard Ayo
Рет қаралды 105 М.
MAHAKAMANI: "Moyo wa Yusuf Manji una vyuma" - Shahidi
2:08
Millard Ayo
Рет қаралды 73 М.
Yusuf Manji 'wa Yanga', afariki dunia
0:56
Azam TV
Рет қаралды 20 М.
Kocha Simba amshangaza kiungo Awesu Awesu
3:22
Azam TV
Рет қаралды 48 М.
❌🔴🟡 WHO DID WIN!? | SPEED CHALLENGE💨
0:13
ag_soccer team
Рет қаралды 165 МЛН
Испания - Англия - 2:1 | UEFA EURO 2024 | Финал | Шолу | Обзор
10:44
QAZSPORT TV / ҚАЗСПОРТ TV
Рет қаралды 3,5 МЛН
When You Get Injured in The Final🤯🔥
0:19
Best Football Shorts
Рет қаралды 18 МЛН