HUYU NDIE ANITA WA MATONYA, MAISHA YAKE YA SASA, ALIVYO FUKUZWA NYUMBANI

  Рет қаралды 40,247

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 111
@MajidAlrawahi-p3k
@MajidAlrawahi-p3k 6 күн бұрын
Waooo zuenaas jmn uranikumbukaaa kwel mm saudaa kidimaa wa mungur wew kwenu mongoromaa naomb nitfutee kipenz❤
@alimwadima254
@alimwadima254 5 күн бұрын
Old is gold...wakati huo hakunaga Body za Kichina...Anita alikuwa na Mzigo c mchezo Full kuipamba video ya Tonya🎉
@arafaally2895
@arafaally2895 2 күн бұрын
Huyu ujana ulimpeleka mbio sasaiv akili ndio imekuja
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 5 күн бұрын
Achana na hao wanaxwivu. Go on, Anita, it is never late. Mungu hupanga route ya kufanikiwa.
@JackKanyigo
@JackKanyigo 5 күн бұрын
Mm naskia Anitha alikuwa anatoka Matonya lkn baadae akawa anatoka na pedeshee mmoja akamsaliti Tonya,akaimbiwa wimbo wa spare tyre
@ShukranSaidi
@ShukranSaidi 6 күн бұрын
Elfu 50 yazamani ndo laki Tano ya sasa ebu kuwa na Shukra. Kwanza
@shamimulazaro9518
@shamimulazaro9518 2 күн бұрын
Kweli
@nancyg8664
@nancyg8664 3 күн бұрын
aisee amekuwa mtu mzima balaa
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 2 күн бұрын
Kwani ye roboti hadi asikue
@nancyg8664
@nancyg8664 2 күн бұрын
@@estherminnahboaz6956 we unamuonaje, robot au binadamu?
@nancyg8664
@nancyg8664 2 күн бұрын
@@estherminnahboaz6956 we unamuonaje, ni robot au binadamu?
@fadhiliibrahim9702
@fadhiliibrahim9702 Күн бұрын
Hongera wewe uliebaki vilevile hukui
@nancyg8664
@nancyg8664 Күн бұрын
@@fadhiliibrahim9702 asante hongera pia kwa kiherehere cha kureply comment isiyokuhusu
@DxbYae
@DxbYae 3 күн бұрын
Pole kwa mapito
@Halimamurushid
@Halimamurushid 2 күн бұрын
Ameishakuwa mshangazi😅😅
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 күн бұрын
Wewe bakia mdada wa miaka 7usionhezeke umri wala umbile lisibadlike bi dada
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 күн бұрын
Walinambia nikuache ww ila mimi niishi mwenyewe mbuz gita walipiga we ndo wa maishanii aniita aniita wangu lelelilee tuishi pamojaaa na sukuma sukuma ili ck ziendee urud nyumban tuishi pamojaa enz hairud bhana hongera dada kwa kuwa hai mpk leo wanaosema umezeeka / mshangaz wajue kabisa uzee ni baraka
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz Күн бұрын
Weweeee😂😂😂😂😂
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Күн бұрын
@@NuruJuma-zv3yz 😁😁
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g Күн бұрын
Jamaniii muwe mnatulete vitu Kama hivii kitambo jamani Hadi rahaa
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl Күн бұрын
Cutie sana❤❤❤
@edgercyprian964
@edgercyprian964 3 күн бұрын
Mbona huyu dada analia .. anaonekana anamachungu moyoni
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 2 күн бұрын
Kazeeka kwa mapombe
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 күн бұрын
🙄🙄🙄🙄kuzeka vipi umri tu unavyongozeka mwili unabadilika
@ThomasBenedicto
@ThomasBenedicto Күн бұрын
We umejaje
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz Күн бұрын
Ogopa Mungu wewe, unakunywaga naye?
@allysinge7096
@allysinge7096 5 күн бұрын
HAKA KADADA KATANGAZAJI KAMECHANGAMKA SANA MPAKA RAHA, NA ANAMBANANISHA SANA ANITA KWA MASWALI
@WilliamSumuni
@WilliamSumuni 3 күн бұрын
Ivi sio frida amani au
@nancyg8664
@nancyg8664 3 күн бұрын
​@@WilliamSumuni😂😂😂😂😂uwiii
@KingaluSalumu-yv2vu
@KingaluSalumu-yv2vu 3 күн бұрын
Elene wewe nakupenda kutoka congo wewe mumbeya sana kuzidi kupara vevo
@christinamabula416
@christinamabula416 Күн бұрын
Anita alikuwa mzr jmn
@rosedominick-k2h
@rosedominick-k2h 4 күн бұрын
Mnavituko sasa ni miaka zaidi ya kumi na leo ndio mnamuoji mtu au mmekosa vya kufanya yaani mnamuoji mtu uzeeni ahaaaaa😂😂😂😂😂
@dynachriss5126
@dynachriss5126 2 күн бұрын
Acha wivu ulitaka uhojiwe wew muuza genge au😂
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 11 сағат бұрын
Punguza makasiriko
@IsaiahAkala
@IsaiahAkala 6 күн бұрын
Welcome to Kenya ❤️🧡💕
@omanoman2044
@omanoman2044 5 күн бұрын
Sai hap ulopo ni mkirsto am unaingea wisilam gan duuh polen
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 5 күн бұрын
mtoto ni mipango ya mungu fanya subra dada
@godriverkabelela3272
@godriverkabelela3272 5 күн бұрын
Anita mzuri
@magdalinekenneth7238
@magdalinekenneth7238 6 күн бұрын
Hyo wa nnje inaweza kua alikua na mzungu huko mbn hakuwahi enda nae
@zenamtembezi4921
@zenamtembezi4921 Күн бұрын
Njoo uchukue dawa yauzazi unywe uzae
@RamadhanMbwana-o1j
@RamadhanMbwana-o1j 5 сағат бұрын
Wee pambana na maisha yako na wapuuze wasema ovyo, uko vizuri sana kaza Buti utafanikiwa . Inshallah...
@richardrobert9480
@richardrobert9480 4 күн бұрын
Uje nikuoe mm
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 күн бұрын
Anita❤
@aminahaji7453
@aminahaji7453 5 күн бұрын
Anita ulipendeza sana na vibutu tunakupenda na kukuombea Mungu akuongoe
@DavidDavidmaleko
@DavidDavidmaleko 2 күн бұрын
Mm namfaham uyo nilikuaga boyfriend wake
@ProsperUlungi-p3t
@ProsperUlungi-p3t 2 күн бұрын
😂😂 boy friend au girlfriend
@EverlyneSpaete
@EverlyneSpaete 5 күн бұрын
usijangere jangere...TBT...
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba 4 күн бұрын
ANITA NAKUKUMBUKA KONDOAAAA ❤😅
@FRANKNCHEYE-wk8cz
@FRANKNCHEYE-wk8cz 6 күн бұрын
Hatari na nusu aiseee
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 6 күн бұрын
Wanaume wa nje mapoyoyo tu .
@Jamalybella
@Jamalybella 6 күн бұрын
Dada zuwena kondoa sehem gan
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 6 күн бұрын
Ashakua mshangaz
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 5 күн бұрын
Sio kiasi hicho, and she is still very beautiful.
@zulfajuma8394
@zulfajuma8394 5 күн бұрын
Kwani ww hutakua limujomba kila mtu ana muda wake
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 5 күн бұрын
@@zulfajuma8394 mm mwenyew ni limjomba
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 күн бұрын
Ni baraka maana ni miaka mingi je aliozaliwa nao wako mpk sasa baadhi wameshakufa
@ankalmzito254
@ankalmzito254 2 күн бұрын
Watoto wa 2000 mkalaele 😂
@salimumwanyenza9010
@salimumwanyenza9010 3 күн бұрын
Huyu dada anafaa kuungana na Ahmed Ally kuwa msemaji wa Simba.
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 2 күн бұрын
😂😂😂
@joycekalago532
@joycekalago532 5 күн бұрын
Anataka kufanana na zamaradi mketema
@haulatysam4461
@haulatysam4461 11 сағат бұрын
Mimi mwenyewe nilitaka niseme ivo kwakweli
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto 5 күн бұрын
Ya huyu Anita alikuwa anaishi mwananyamala mm nilikuwa namuonaga Sana A na mwananyamala kisiwani
@saidomar4218
@saidomar4218 5 күн бұрын
Miaka ya 2000 alikuwa alifikia kwetu kariakoo akitokea Kondoa, tuliishinae mtaa wa gogo nyumba namba 8 na mama yake mkubwa( jina nalihifadhi) ambae alikuwa anafanyakazi kwenye Club ya wazee pale Fire, mm nimeishinae nyumba moja kariakoo,,mpaka mama yake mzazi namjua,,,baada ya nyumba yetu kufanyiwa ukarabati yeye na mama yake mkubwa wakaamia Mwananyamala,,,mambo ni mengi,,hapo kwenye story mambo mengi kawalisha watu matango pori😮..
@nancyg8664
@nancyg8664 3 күн бұрын
​@@saidomar4218😂tunashukuru kwa ufafanuzi wako ila hapo kwenye matango pori ungetuelezea wewe kwa undani maana Inaonesha wamjua vizuri
@daslamonline4665
@daslamonline4665 2 күн бұрын
Kwa kopa
@NjuuHussein
@NjuuHussein 6 күн бұрын
Duh
@Rennyanselim
@Rennyanselim 5 күн бұрын
Mungu atakutia nguvu pole Anitha
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 5 күн бұрын
KUMEANZA KUCHANGAMKAAAA
@MagrethChorogo-n9h
@MagrethChorogo-n9h 2 күн бұрын
Alikuwa na miaka 16 inamaana alikuwa asomi
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 2 күн бұрын
Kasema alikua kidato chakwanza.
@Warda-o7e
@Warda-o7e 3 күн бұрын
Mbona kazeeka
@molenicharles9107
@molenicharles9107 6 күн бұрын
HAKUFANYA VZR...MAANA NI MUDA MUAFAKA WAHUYO MSHANGAZI KAJA..ANGEENDELEA KUKUKANYA...MTOTO WA KAKAKE
@perusjumanne3450
@perusjumanne3450 2 күн бұрын
Kwaiyo unamiaka 28😂pole kwa matatizo yamekuzeesha sana
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 2 күн бұрын
Sio kweli. atakua na 33. mm nna 28 kipindi hcho nlikua 11 ,,
@Zahara-or3cf
@Zahara-or3cf 5 күн бұрын
Majibu kama muongo
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 5 күн бұрын
Asee yaani unawaza kama mimi
@OmanSaniwo
@OmanSaniwo 4 күн бұрын
Dada mwandishi nasema ivi kama hakuishi tabata nichizike mimi, wallah naapa naswali mimi siwezi kumsingizia swala zang inakuwa haina maan. Mwandish nakwambia ivi kama unaitaji kwnda kuona alipokuw anishi niambie nikuelekeze na ukawaoji watu wa apo. Sina sababu ya kudangany ili iweje sasa nakuusu miaka ni yauongo na hakuwa anasoma jamaan Wallah naapa. Alisema ana miaka kati ya 30 mpak 35 namuuliza je analingan namimi kwasababu kipind icho mimi nilikuwa shule yamsing yeye alikuwa mkubwa sana wangu naalikuwa mke wamtu jamaan
@OmanSaniwo
@OmanSaniwo 4 күн бұрын
Nikweli da ziwena ila unakera unavyo zungumza uongo kwanini usizungumze ukweli tu wa maisha yako alafu nikwambie kitu ukweli humuweka mtu huru ata unapoojiwa namtu mwingine unakuwa hur ujitafuni tafuni. Kwanini ukatae ujaish tabata na mi nimekujulia tabata chang'ombe nyumbn kwet nawewe ndiye ulikuwa mpangaji wetu wakwanza kuingia pale nyumbn nanimejuaje we ni mrangi? Na unaitwa zuwena? Ndugu mtangazaji mi cpo tz kwa sasa ningekuwepo ningekupeleka nyumbn ukawaoji wenyej wapale ama nikuelekeze. Yani mazungumzo yake meng niyauongo jamaan nikusingizie ili nipate nini mimi? Nauwez ukawa na uwo umli ulio utaja pale mwanzo sio kweli mi kwa sasa nina miak 32 unatak niambia tunalingana? Umesha kuwa mtu mzima sasa utaki kujikubali khaa uzee aukimbiliki ata ukisema unamia 20 ila utaumbuka tu.
@loner_wolf
@loner_wolf 4 күн бұрын
​@@OmanSaniwokwahiyo kama kakataa inamaana gani wewe kuforce ? Unafilana nini mzee , tafuta kazi utakufa bila maajabu pimbi wewe ....unamjua inakusaidia nini sasa ? Au nawewe unataka interview kwamba unamjua ?
@loner_wolf
@loner_wolf 4 күн бұрын
Yaani kama ni demu basi UNA WIVU WA KUFA KBSA ....ILA KAMA NI MWANAUME NA SIO SHOGA , UTAKUWA JOBLESS ......maana nawaza inakuuma nini 😂😂😂
@maridhiaabdallah630
@maridhiaabdallah630 4 күн бұрын
Hayakuhusu fanya yako we mwenyewe muongo usiingilie maisha ya mtu hata kama unajua kausha ndio ujanadume
@OmanSaniwo
@OmanSaniwo 3 күн бұрын
Kama kufilana tunafilana nawewe khaa unajizima data leo 😂😂😂​@@loner_wolf
@AthumanMhina-wf9rw
@AthumanMhina-wf9rw 6 күн бұрын
Umri hauna brek
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
Eti waislam tunajifunga ushungi. Hapo kakukataza nani kujiifadhi. Umejiachia hivyo iliiweje. Intakillah
@alimwadima254
@alimwadima254 5 күн бұрын
Anaonyesha hair style😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
@@alimwadima254 🤣🤣🤣
@alimwadima254
@alimwadima254 5 күн бұрын
@@HanifaOman-oo4pl 🤣🤣🤣...Eeeh Bana weee
@Lucy_ikupa
@Lucy_ikupa 2 күн бұрын
16 ulikuwa mdogo sana masikini
@Jamalybella
@Jamalybella 6 күн бұрын
Wakwaza leo nipe like zenu
@AminaMalusa
@AminaMalusa 6 күн бұрын
WA KWANZA KUFANYAJE
@MaryTomito
@MaryTomito 3 күн бұрын
Alikuwa kapanga sinza kwa mwaibula pia alikuwa na grosari
@barneymunuo5659
@barneymunuo5659 Күн бұрын
Hata mm nishawahi kunjwa nae bia pale kwa mwaibula kwenye grocery yake enzi hizo 2009
@barneymunuo5659
@barneymunuo5659 Күн бұрын
Ila ni mtu poa sana hanaga maringo
@BabyCappuccinoBabyCappuccino
@BabyCappuccinoBabyCappuccino 6 күн бұрын
Kumekucha tena mtu kashahojiwa na media moja tushajua kilichotokea basi apo kila media itaenda kumuhoji na maswali ni yale yale mnasema wasanii wanaiga mizik nanyie mnaiga maswali😂😂😂😂 looh
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 6 күн бұрын
Ndo changamoto ya waandishi wasikuizi sio wabunifu ni ushamba TU maswali yaleyale mpaka yanachosha
@kiwandachamuziki5289
@kiwandachamuziki5289 3 күн бұрын
😀😀😀
@BabyCappuccinoBabyCappuccino
@BabyCappuccinoBabyCappuccino 2 күн бұрын
Kweli kabisaa apo ukisikiliza maswali yote alio uliza mwenzie ndo anayouliza yeye waandishi walio ishia la pili B 😂😂😂
@matiyastizzo9141
@matiyastizzo9141 Күн бұрын
Zuwena jamani nilisoma naye chuo cha urembo makumbusho kwa madam Dora kitambo sana
@ShukranSaidi
@ShukranSaidi 6 күн бұрын
Mbona kazeeka
@edithandunguru3405
@edithandunguru3405 6 күн бұрын
Mimi hizi kauli huwa zinanishangaza sana. Hivi huwa mnategemea mtu abaki hivyo hivyo miaka nenda-rudii? Au ninyi mko vile vile kama mlivyokuwa miaka hiyo?
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 6 күн бұрын
Miaka inasogea ulitegemea aweje? Kuna binadamu asiyezeeka?
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 6 күн бұрын
​@@edithandunguru3405umeonae? Watu bhana
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 5 күн бұрын
Yeye labda bado ananyonyo maziwa ya mama yake mpaka Sasa Kwa sababu angekua ameacha kunyonyo hasingekua na akili za kushangaa mtu hakizeeka
@Userog254
@Userog254 5 күн бұрын
Mbona ww haupo tumboni mwa mama yako
@saidnasibu5803
@saidnasibu5803 17 сағат бұрын
Ushungi mwanzo mwisho na hapo alipo yupo kichwa wazi
Matonya featuring Lady Jaydee - Anita (Official Music Video)
5:31
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 53 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 69 МЛН
JUA KALI LEO ALHAMISI 26-9-2024 | FULL VIDEO HD
22:54
Mr. Zahir
Рет қаралды 6 М.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Topten Tv
Рет қаралды 368 М.
GB 64 AWAKA WALITUMWA KUMUUMIZA ATEBA, SIMBA HAZUILIKI KWENYE MAWINDO
16:13