DIAMOND AWEKEWA KIKAO KIZITO NA MZEE ABDULL , AWEKWA KATI

  Рет қаралды 173,298

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 630
@dorndet6179
@dorndet6179 3 жыл бұрын
Mzee nimekupenda bureeeee!!! Mpeni like ,huyu mzee jirani mzuri!
@shidabundala8984
@shidabundala8984 3 жыл бұрын
Mzee ameongea point kabisa
@emanuelamasawe4097
@emanuelamasawe4097 3 жыл бұрын
Tena sana
@mathiasmihale209
@mathiasmihale209 3 жыл бұрын
@@shidabundala8984 k
@musajosephjoseph3514
@musajosephjoseph3514 3 жыл бұрын
Ni kweli mzee umeongea Kweli. Mondi hawezi maana inasemekana pesa za boss Mama anamchango.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Nimemuelewa sana huyu mzee hakika pigo watalipata
@mwanaidijumanne4146
@mwanaidijumanne4146 3 жыл бұрын
Yani nimekupenda we baba mpaka bac omeongea pont sana ongela ❤️❤️❤️❤️😘
@ferdinandlameck2287
@ferdinandlameck2287 3 жыл бұрын
Kwakweli mimi sio mpenzi sana wa comment but this touched my heart. Nashukuru sana mzee kwa ushauri wako
@Saadah-jm5xs
@Saadah-jm5xs 3 жыл бұрын
Like za kenya zote zije hapa mzee ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏
@hassamaimun9103
@hassamaimun9103 3 жыл бұрын
👍
@gibishinchambi1971
@gibishinchambi1971 3 жыл бұрын
Mzee unatoa ushauri mzuri sana MUNGU akulinde sana safii sana
@diwanisereki56
@diwanisereki56 3 жыл бұрын
Niwachache Sana wazee wa ainahii nakubari Sana huyumzee
@annkabuga1904
@annkabuga1904 3 жыл бұрын
Amen
@mwatelaedward1638
@mwatelaedward1638 3 жыл бұрын
Doo kweli huyu mzee ameongea sawa kabisa
@zainabuwanjala2822
@zainabuwanjala2822 3 жыл бұрын
Baba pole sana,mungu yuko nawe,vya mashetani vinaliwa na shetani
@carolynemohammed518
@carolynemohammed518 3 жыл бұрын
True 😢
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
True true Kwanza mamadangote anataman huyu mzee afe leo au kesho
@saidalguhum1996
@saidalguhum1996 3 жыл бұрын
Mzee maneno yako yabusara sana yataka Nasibu (Daimond) ayasikize kwa makini sana. Thanks alot Mungu akubariki.
@marycianaanthony6385
@marycianaanthony6385 3 жыл бұрын
Mzee umeoongea BIG POINT DAIMOND laana inamnyemelea
@maryjonh311
@maryjonh311 3 жыл бұрын
baraka nyingi zimebebwa na wazaz.mzazi akikasirika kuna mambo ayatakaa sawa
@marycianaanthony6385
@marycianaanthony6385 3 жыл бұрын
@@maryjonh311 hakika
@nancyalusah8822
@nancyalusah8822 3 жыл бұрын
Mzee has spoken....Wisdom and knowledge
@jennypEva
@jennypEva 3 жыл бұрын
You talk truth papa ❤️✊
@SaraSara-gi9he
@SaraSara-gi9he 3 жыл бұрын
Uyu mzee anajua kuongea aki eti alikua muuza mchele ezakua walikua wengi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂✌👌👌👌
@edinakiula6149
@edinakiula6149 3 жыл бұрын
Jamn baba wawatu mpaka huruma inauma sn😭😭😭😭😭
@hildadaniel4892
@hildadaniel4892 3 жыл бұрын
Sana
@AnnKk-sj8ij
@AnnKk-sj8ij 3 жыл бұрын
Baba asante.kwa ushauri wako, mzee Abdul hio mali yake diamond c halali achana nazo mungu akupenda .
@gibishinchambi1971
@gibishinchambi1971 3 жыл бұрын
Mzee nimependa ushauri wako sana nmependa sana
@dismaskanondo5555
@dismaskanondo5555 3 жыл бұрын
Kwangu mimi ningeomba msimtupie mzigo mondi na pia naombeni msije pekenyua saaana yandani, kwani wote hatujui yanyuma bali wanafamilia tu ndo majaji👏👏
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 3 жыл бұрын
Mzee kaongea point
@faisalissac9507
@faisalissac9507 3 жыл бұрын
Hi I am from Uganda I want to tell diamond go and ask your mother very well you have so many father's😂😂
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 жыл бұрын
🤣🤣real
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 3 жыл бұрын
👍
@dsmith7600
@dsmith7600 3 жыл бұрын
nope, he should reconcile and beg for fogiveness from his father..ama angojee lana.
@augustuss4503
@augustuss4503 3 жыл бұрын
@@dsmith7600 baba mlezi ni muhimu sana, but they say karma is a bitch, , what goes around comes around.
@beatricemdoe2850
@beatricemdoe2850 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@naimafaiz5274
@naimafaiz5274 3 жыл бұрын
Atapata shida Dimond malipo ni hapa duniyani from kenya 🇰🇪
@verrynicemushi2563
@verrynicemushi2563 3 жыл бұрын
Hapo mashehe wakae wawasaidie hii familia ina shida sana, kiburi cha fedha
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Ma Sheikhs hawaezi kuwakalisha chini maana ao wako mmambo ya dunia tu Ni kufuru tupu
@fatmas7338
@fatmas7338 3 жыл бұрын
Hili tatizo mashekh washalimaliza yaliyobaki ni mzozo tu alishasema kua daimond ni.mtoto wa nje ya ndoa kwaio hana baba si nyange wala abduli huyu sio mtoto.wao mtoto ni sanura hiyo ni Kia dini yetu ya kiislam
@ramadhanimbulu6716
@ramadhanimbulu6716 3 жыл бұрын
@@fatmas7338 kwani huyo diamond ni yesu hadi asiwe na baba..?
@yusuphmdadike8758
@yusuphmdadike8758 3 жыл бұрын
Masheikh wazungumzie zinaa? Huyo mzee ajao anagombea mtoto
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
@@yusuphmdadike8758 hagombaniii mtoto anagombaniya heshmaa yake ikiwa mama mtu hakusema hadhari yasingekuwa yote na fadhiii za mtu aliyekuleya pia zinaheshimika
@Mindsetting4success
@Mindsetting4success 3 жыл бұрын
Now I understand why Diamond has a lot of children with different moms, like mother like son.
@emanuelamasawe4097
@emanuelamasawe4097 3 жыл бұрын
Hahahahah
@rashidbiyengo4238
@rashidbiyengo4238 3 жыл бұрын
A b
@rashidbiyengo4238
@rashidbiyengo4238 3 жыл бұрын
Sabokilaivu
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Pesa za mashaliti hawezi kumsaidia huyo mzeeaki mpa msaada atapoteza pesa zote ataflisika😭😭😭
@henriettenkuba7078
@henriettenkuba7078 3 жыл бұрын
Hata kufa anaweza akafa
@revocatussebastian5698
@revocatussebastian5698 3 жыл бұрын
Kweliiii
@everinemasoka6327
@everinemasoka6327 3 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana. Mama Diamond anajizaraulisha sana tena sana na anakosesha mtoto wake heshima.
@mwanashazingas6684
@mwanashazingas6684 3 жыл бұрын
Huyu mzeee ni 🔥🔥🔥🔥🔥Noma na nusu
@zachaamaster3798
@zachaamaster3798 3 жыл бұрын
#mzee noom uyo sijapata kuona
@sultanaswaleh8892
@sultanaswaleh8892 3 жыл бұрын
PONGEZI sanaaa ! Mzee umeongea point !💯👋👋👋🇰🇪.. kwe yako mama alikuwa hakutulia . Waswahili walisema...mpigwa na wengi hajuwi anae muumuza.mama ana mpitosha
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 3 жыл бұрын
From 🇧🇮 Saudia iyo kweli baba yangu
@erickjuma1902
@erickjuma1902 3 жыл бұрын
Kweli Mzee umeongea vizuri sana, diamond njoo mwombe baba yako msaamaha,
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Daimondi kamdhalilisha mama yake jinsi alivyo Malaya alivyowapanga wanaume hiyo aibu inabaki Kwa Nani pia yeye daimondi karithi Tabia ya huyo mama je na km huyo mama siyo mama yake hosipitali wanabadilishaga watoto makabila mengine bwana pole daimondi hekima hukupewa kabisaaa
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 3 жыл бұрын
Yani mzee wangu umeongea. Km wazee 100 hivo 👏👏👏tena km sio huyo. Baba mlezi vile wenyewe wanasema angekuwa wp mm nlikuwa namheshim kaka nasb lkn now... Ziiii😏😏
@albertmwakipesile4727
@albertmwakipesile4727 3 жыл бұрын
Tuliwaambia diamond anatumia nyota ya mzee wake yeye hajui na akibibisha aendelee kumzarau tutamsahau kama Mr nice atakua na hela ila umaarufu hautakuwepo
@shadia2305
@shadia2305 3 жыл бұрын
Diamond! Even if isn’t you father is the man was always there for you until you make you are life. If you don’t have something you hide for! Why you don’t want to talk with this man even if his you’re worst enemy. The truth it will come out one day. This isn’t normal. From 🇬🇧
@esthermwaniki7938
@esthermwaniki7938 3 жыл бұрын
Nimekwama hapo kwa kizungu chako 😳
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 3 жыл бұрын
Baba umeongea ukweli kabisaaa nimekupenda sana Mwenyezi Mungu akubariki
@paidenasra4548
@paidenasra4548 3 жыл бұрын
Diamond platnumz ni freemasonry, so akimsaidia uyo mze atapotea.
@henriettenkuba7078
@henriettenkuba7078 3 жыл бұрын
True
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 3 жыл бұрын
Nami limenijia wazo kama hili,maybe ni moja ya masharti wasimsaidie Mzee Abdul,kwa mana haieleweki hii issue yao,Dai anasaidia maskini kibao ashindwe vp kumcheki budake,loh! huu mtihani
@sandejumachipossi2830
@sandejumachipossi2830 3 жыл бұрын
me nakubar
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Kabisa Dee
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 3 жыл бұрын
Ohooo Mimi naona unahitahi therapy wew watu wanahusltle unasema freemanson
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 3 жыл бұрын
Uwondo ukweli mzee jilani ameuwongea 💕👌🏾
@ezraamasawe6423
@ezraamasawe6423 3 жыл бұрын
Uyu mzee jiran sana flashi 3 daimond ajielew
@davidlyanga7713
@davidlyanga7713 3 жыл бұрын
Duuu!!mzee nimekuvulia kofia
@paschaliaanyona9701
@paschaliaanyona9701 3 жыл бұрын
Nimekupenda bure kwa mzee mwenzangu
@mwanaidathuman78
@mwanaidathuman78 3 жыл бұрын
Mama malaya tuuuu
@hemedmussamohamed309
@hemedmussamohamed309 3 жыл бұрын
@@mwanaidathuman78 dimond bado hayajamkuta yakimkuta ndipo ataijua dunia pesa ni zakupita tu akumbuke alikula ugali wa mzee abdul na mzee amekwisha muachia mungu kazi kwake.
@azizasadi5407
@azizasadi5407 3 жыл бұрын
Pôle sana Mzee Abdul, Kaza moyo baba najuwa unahekima sana n'a ukae kimya atafuzwa na dunia Modi. Hile kukukana naona nimasharti ya nguvu za giza zile zenye zinamfanya vile. Mungu atakulipa babaa. Courage
@shamsatambwe9417
@shamsatambwe9417 3 жыл бұрын
Ni kweli mzeee unasema point nzuri sana
@Fredw6
@Fredw6 3 жыл бұрын
Huyu mzee amenigusa moyoni kwahuu ushauri wake mzuri mzee wangu mungu akupe maisha marefu uzidi kuwashauri wote 🙏🙏🙏🙏🙏
@mauajames4670
@mauajames4670 3 жыл бұрын
Duh! Mzee wewe ni hataree nimekuelewa sana na una busara sana Mungu akupe maisha marefu
@harunalitupile4949
@harunalitupile4949 3 жыл бұрын
Wazee wete wangekua kama uyu MZEE maisha yangekua poa sana
@ladymuna4945
@ladymuna4945 3 жыл бұрын
Jirani ww nimekupenda bureeee.
@azizayusuph6255
@azizayusuph6255 3 жыл бұрын
Kikushangze we ndio ulibeba mimba
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Jran km jiran🤣🤣🤣🤣🤣
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kwan huyu mzee anakaa wapi
@saladaniel9274
@saladaniel9274 3 жыл бұрын
Umalaya mbayaaa jamanii 😂😂
@wambokangombeyapi7790
@wambokangombeyapi7790 3 жыл бұрын
Hongera jilani umezungumza busara sana
@chiababie6694
@chiababie6694 3 жыл бұрын
Yaani umlee mtoto ukitarajia mema kutoka kwake mwishowe malipo ni haya Mungu tupe nguvu zaidi ya kustahimili yajayo baadae ya malezi
@lukasmabula3494
@lukasmabula3494 3 жыл бұрын
Aseee mzee umetisha sana ety kunaumli baba yako anakuwa mtani wako big up sana
@seifmmaka5961
@seifmmaka5961 3 жыл бұрын
Sandra sio mama mzazi wa daimond kuna mama inasemekana ndio mama mzazi wa daimond amefanana na daimond sanaaa sanaaa
@singilamoki4152
@singilamoki4152 3 жыл бұрын
Waaaaa makumbwa mbona anakaa wapi ama ni kichaa pengine
@thelionwomen4970
@thelionwomen4970 3 жыл бұрын
Baba kajuwa machauri kweli Mama diamond na yeye peke daimond wanajuwa walipo ingia kwa kweli baba uyu kazema neno ya kweli ata baba mlezi ananeno juu ya maisha yako.
@maimunaabdalla7146
@maimunaabdalla7146 3 жыл бұрын
Mwambie huyo boya asojielewa wenzake wakificha haibu za mama zao za nyuma,yeye atusifia mamake alivyokua kifangio cha waume,jamvi la wageni haibu pia hana mtoto wa kiume boya kabisa.🇰🇪
@lucykatimakamu8672
@lucykatimakamu8672 3 жыл бұрын
Ukiangalia vizuri in kweli Mond wanafanana na Nyange
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 жыл бұрын
@@lucykatimakamu8672 sana tena
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Kuma hyoo
@carolynemohammed518
@carolynemohammed518 3 жыл бұрын
Kifangio😂😂😂😂😂🤸‍♀️🤸‍♀️
@papaambouf5325
@papaambouf5325 3 жыл бұрын
Kweli diamond angeenda yy na mama yake wayamalize haya kwa huyu mzee
@nadnash7681
@nadnash7681 3 жыл бұрын
Mzee.nimefurahi.sana.mungu.akubariki
@elizabethswai9670
@elizabethswai9670 3 жыл бұрын
Mzee Abdul umesha kataliwa,ni vyema ukajikubali na Ku move on,maisha ni haya haya
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 3 жыл бұрын
Ukiwa mzazi utaelewa uchungu....wacha kua mkundu
@beverlykadenge2095
@beverlykadenge2095 3 жыл бұрын
@@ELISSKGTV Mwambie, this is not a joking matter
@ummyummy478
@ummyummy478 3 жыл бұрын
Baba mlezi ana weza kua baba hata akashinda huyu baba mzazi. Ila watu wanakosa kuelewa hayo, nimependa sana ushauri wako mungu akulinde uwe mzee bora kwa Familia yako
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Very true kuna mzee ubarikiwe.
@zeramohamed9672
@zeramohamed9672 3 жыл бұрын
Namzee Abdul mama daimond alikuwa malaya
@mkingaboy550
@mkingaboy550 3 жыл бұрын
Wakina mama mnapiga vitunguu sokon😂😂✋asante jirani
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Daimond ulitakiwa usingejibu chochote
@witnesmwafute5448
@witnesmwafute5448 3 жыл бұрын
Hongra baba umeongey pointi
@farish2899
@farish2899 3 жыл бұрын
Mama Diamond ni malaya period na Diamond pia mi malaya tuu. He will pay
@zayutv132
@zayutv132 3 жыл бұрын
Nasibu kaa vizuri skiliza maneno ya huyu mzee yanatosha kuwa Kinga ya usalama wa maisha yako
@nurudinehamimu5658
@nurudinehamimu5658 3 жыл бұрын
Sanaaa mzeee mond anazingua.
@anastasiakilonzi9569
@anastasiakilonzi9569 3 жыл бұрын
Kabisa mzee pia mm nimzazi kaa mama dagote bt watoto wako pamoja na Baba yako
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 3 жыл бұрын
Mama Diamond mchawi wa mtoto wake hamtakii mema.
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 жыл бұрын
Kabisa frimanson
@anjunurdin2392
@anjunurdin2392 3 жыл бұрын
Huyu mzee ata akitoa radhi kwa diamond haiwezi kumpata diamomd .angekua amemuowa mama diamond ingempata..na kama mimi mama diamnd nakufungulia mashtaka litakalomkuta mwanangu nakujua wewe maana naona umemkalia sana.kisa kuambiwa sio wako? Jamani angekua Hana kitu angemtaka?
@robygang3990
@robygang3990 3 жыл бұрын
@@anjunurdin2392 Mzee Abdul hajamkalia Diamond.... Mzazi ni mzazi hata kma hajamuoa mamake ila aliish nae, atakwenda mshtak amemfanyaje ama wap umesikia Mzee Abdul akisema amemlani Zaid ya kumuombea dua, na ye akienda shtak wamemdanganya siku zote na kutumia Jina Lake kumbe si babake....... Heshma ni kitu kidogo lkn kina thaman Sana iwe ni kw mzazi wako au si mzazi wako alimradi yuaeza kukuzaa
@salamafulu2185
@salamafulu2185 3 жыл бұрын
@@anjunurdin2392 Kwan umefikilia kwa Makin Jambo uliloongea au umeropoka tu
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
@@robygang3990 ikiwa mamayake amenyamaza yote hayo yasingekuwa si kila jambo kuleya dharau kwa huyu mzeee tusimtowe hukumu
@lizelizabeth6467
@lizelizabeth6467 2 жыл бұрын
Wise man powerful words
@jafarimrisho1989
@jafarimrisho1989 3 жыл бұрын
Nakupenda mzee wangu umenena kiume
@aminamohammed5288
@aminamohammed5288 3 жыл бұрын
Hongera mzere
@aishamaimuna1366
@aishamaimuna1366 3 жыл бұрын
Mzee pole sana lakini naomba ukae kimya maana diamondi kashamaliza asema mamake hadanganyi baba waachie maisha yao mungu ndo wa muhimu iskuyie presha
@ramadhaniibrahimu8322
@ramadhaniibrahimu8322 3 жыл бұрын
Kweli kabisa mzee uko sawa kiujumla mama mondi anamporomosha mondi kwa jamii
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 3 жыл бұрын
Mzee unabusara sana tatizo sio daimond ni mama dangoti anamwendesha sio vizuri hata kama ni baba mlezi ila kakulea jamani nyange mwanzo alikuwa wapi sio halali msaidie mzee abudulu kakulea mpaka mahali ulipo fikia daimond nyange unaweza ukawapokea sawa. Ila usitemee sahani ulipolia chakula mungu yupo daimond sikiliza maneno ya wazee .mama yako anakupeleka pabaya usiongee kwenye mitandao umemuumiza mzee jamani 🙏🙏🙏
@nurudinehamimu5658
@nurudinehamimu5658 3 жыл бұрын
Mzee umetoa point zamana wanangu kama mekubari ushauli wa huyuu mzee kamamimi gonga like.
@ukhtisanura1656
@ukhtisanura1656 3 жыл бұрын
Asante mzee wangu umeongea point aliependa na kuona mzee kaongeaa point km mm pas agonge like hapa
@azizasadi5407
@azizasadi5407 3 жыл бұрын
Naona uyu mzee anaongea vizuri sana mungu akubariki mzee
@azizasadi5407
@azizasadi5407 3 жыл бұрын
Uzidi kumtiya guvu Mzee Abdul usimuachili Kweli babaaa hendelea kumtiya moyo usiache.
@batatukatotolabikay5296
@batatukatotolabikay5296 3 жыл бұрын
Walayi huyu baba wetu mwenyezi mungu akulinde na amupe maisha marefu. Hata Mimi nakubali ushauri wako baba. Sisi wote wanaume. Diamond, mtoto wa akili anasikiya mu Fuji. Na kinywa kya mzee kinanuka hila hakisemi uwongo.
@sultanaswaleh8892
@sultanaswaleh8892 3 жыл бұрын
Loo !! Mzee umeongea kweli kabisa !👋👋👋👋👋
@fauziamsumari8657
@fauziamsumari8657 3 жыл бұрын
Baba upo vizuri mondi anatuumiza mashabiki zake asisikilize maneno ya mama mama ake anampotosha
@rahemaiddi7344
@rahemaiddi7344 3 жыл бұрын
Diamond umeshambeba mzee abdulla mgongoni xaxa mtafute nyange akutue here mungu akusamehe daa
@walterstetero3547
@walterstetero3547 3 жыл бұрын
Like zote from Burundi kwako mzee
@sistersade9039
@sistersade9039 3 жыл бұрын
Maneno mazuri sana, Inshaalah Diamond atasikiza ujumbe huu!
@saharasheekh5073
@saharasheekh5073 3 жыл бұрын
Exactly haya tunapita tu tunaasha kila kitu dunia mapito yasitudanganye😭😭
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 жыл бұрын
Menu salami hizi Sanura mama wa Naseeb Abdul. Mganga anayemtumia anampelekesha kubaya. Sote tunajuwa Sanura ni mshirikina. Anaabudu waganga.
@honeysweet2404
@honeysweet2404 3 жыл бұрын
Husbiallahu wanaimal wakike yani mungu atalipa InshaaAllah
@chedajuma8165
@chedajuma8165 3 жыл бұрын
Jamani
@lupakisyomwangosi1581
@lupakisyomwangosi1581 3 жыл бұрын
Daah Mzee km ana masikio atasikia
@dayanapaul8678
@dayanapaul8678 3 жыл бұрын
Kweli baba angu MUNGU mwenyewe anasamehe 👏
@catewakesho6411
@catewakesho6411 3 жыл бұрын
Huyu mzee haki nimempenda bure
@yohanamabula7088
@yohanamabula7088 3 жыл бұрын
Uko sawa mama ndyo ana matatizo
@sylviekamirogosa7367
@sylviekamirogosa7367 3 жыл бұрын
Mungu akubariki baba yangu
@kudrawanjara4350
@kudrawanjara4350 3 жыл бұрын
Mzee huko vizuri sana ushauli wako ni mzuri sana.
@afanamb4504
@afanamb4504 3 жыл бұрын
huyu mzee ana ushauri mzuri sana
@zainabomar7191
@zainabomar7191 3 жыл бұрын
Kabisaa mzee wangu
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 жыл бұрын
Duh huyu mzee kachana ukweli mtupu ila wachaneni na hiyo familia jmn mzee abdul aishi maisha yake kwan huyo damondi ni mungu?? yajayo yanasikitisha😌😌😌
@josengumbi4029
@josengumbi4029 3 жыл бұрын
Nimeamini uzee dawa.
@halimaraju6960
@halimaraju6960 3 жыл бұрын
Piga kelele kwa mzee wa kagera umeongea pweti sana nimekupenda buleeeee nasibu lana inamshusha kidogo kidogo bila yy kujua mungu hanamalipo hatakama baba mlezi hanaaki yake
@mary5162
@mary5162 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mungu akuripe baba muzuri🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@rahelwambura2246
@rahelwambura2246 3 жыл бұрын
Mzee hongera kweli kbs mond hakutakiwa kuendeleza hv kwenye midia angeweza kuyaweka chumbani kama alivyosema mwanzo halafu kama alihisi mama yake kazalilishwa kama anavyosema angetafuta jinsi B ya kuzungumza na jamii na kufunika kombe mwanaharamu apite lkn anataka kukuza mambo naye anaanza kutukanwa na kujishusha adhi yake kwa ajili ya wazazi wake
@minazsaid2470
@minazsaid2470 3 жыл бұрын
Dah! Mpka huruma haya mambo yalikua yaishie kwenye vifua vyao wasituletee hazarani
@happysam251
@happysam251 3 жыл бұрын
Baba pole sanaa familia ya dangote ni freemason wote na wako chini ya masharti kwa saizi...lakini haya yote niya dunia na kila mtu atarudi mavumbini alikotoka😭😭😭😭😭
@malengamsombwa364
@malengamsombwa364 3 жыл бұрын
umeongea vizuri mzee
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Mzee mshabiki ana hekima sana
@sadokigaston3550
@sadokigaston3550 3 жыл бұрын
Diamond alivyo msenge..alisema kua.anamsaidia mzee abdul.....wakati..kila sku anagawa gari kwa ma fala wenzie......mzee abdul hajawah mnunulia hata suti ya kwenda kanisani
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 жыл бұрын
Kwanimsaada mpaka Apewe gari
@tunsumeakimu7184
@tunsumeakimu7184 3 жыл бұрын
Sasa wewe shangwe unatetea Nini?au na wewe ndo ulivyomfanyia baba yako
@naomilapatrona6943
@naomilapatrona6943 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 imeleta uzuni sana , Diamond geuka nyuma place 🙏
@mangulaoresta839
@mangulaoresta839 3 жыл бұрын
Umeongea vzr xn mzee
@masschisaluni420
@masschisaluni420 3 жыл бұрын
Mzee BIG up sanaaa
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 жыл бұрын
Huyu mzee anaongea mazima, busara nyingi
@raudhamahmoud9538
@raudhamahmoud9538 3 жыл бұрын
Diamond nenda kamuombe Mzee mmalize tofaut
@neemaponera2037
@neemaponera2037 3 жыл бұрын
Diamond Dunia siyo yetu hii, tunapita tu, kiburi cha uzima ni tatizo
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3,1 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 4,2 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3,1 МЛН