MAISHA HALISI YA KIJANA "VOCHA" NA SKENDO YA KUITWA SHOGA

  Рет қаралды 12,381

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 108
@HanifaHabibo
@HanifaHabibo 3 ай бұрын
Pole kwa changamoto za kuitwa shoga pambana tuu mungu atakulipa
@verynicemonyo8671
@verynicemonyo8671 2 ай бұрын
Napenda sana vichekesho vyako Mungu akubariki ufike mbali
@Mrsanthony-ys4ot
@Mrsanthony-ys4ot 3 ай бұрын
Jamani huyo cyo shoga huo ndo ukwel. Tumesoma nae huyo cyo shoga mtapata dhambi za bureee kumpa mtu shutuma ziczozake
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 3 ай бұрын
Dogo zidi kukaza usiregeze pambana akuna mafanikiyo bila viziwizi,na upinzani,kutukanwa.chapa kazi.eti wananiita shoga,unaparamiwa😂😂😂kwampalange au vipi.pambana dogo unaweza kuna ile clip yako yakutereza nzuri sana unaweza.mafanikio utokeya unapoanza kukata tamaa.joti kashagatukanwa,mama emma,na wengine chapa kazi dogo.
@RachelNathan-yv5zc
@RachelNathan-yv5zc 3 ай бұрын
Kumbe handsome hivi... yani nmependa skin colour yake
@usher_bambi94
@usher_bambi94 3 ай бұрын
Vocha kanenepa bwana😊😊😊😊
@HadiaAme-x5f
@HadiaAme-x5f 3 ай бұрын
Anatia wasiwasi kwa kweli
@SelineChandja
@SelineChandja 3 ай бұрын
Vocha waga unanifuraisha sana kaka mungu akutie nguvu kwel😘🤣🤣
@Kabeya410
@Kabeya410 3 ай бұрын
Hilo jina limetokana na mwigizaji wa Zamani ITV kipindi Mambo hayo. Kulikua na WARIDI, AISHA, SUMBI, NA BOCHA, sasa nadhani hilo VOCHA badala ya BOCHA.
@echikyabu6154
@echikyabu6154 2 ай бұрын
Hata kuwajua hawajui😅😅
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 3 ай бұрын
Sema mm namkubali sana anajituma maashallah
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 3 ай бұрын
Nakupenda saana kaka kumbe ni mpole saana mungu akubariki katika kazi yako ❤❤❤❤ kiukweli nafurah saana na video zako
@Salahatibuhatibu
@Salahatibuhatibu 3 ай бұрын
Nipole sana🎉
@ApethShillah
@ApethShillah 2 ай бұрын
Ohh vocha❤❤
@habibamura5255
@habibamura5255 3 ай бұрын
Uta toka inshallah
@verynicemonyo8671
@verynicemonyo8671 2 ай бұрын
Usijali maneno Yao angalia mbele
@JoycePeter-z6k
@JoycePeter-z6k 3 ай бұрын
Nimecheka sana😅😅😅😅😅 Eti nasoma za wazungu kwasababu sijui kingereza 😅
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 ай бұрын
😅😅ila Denice eti ulienda chuo kupoteza muda
@WardaSuma-fn5sc
@WardaSuma-fn5sc 3 ай бұрын
Ila vocha you make happy 😊😊😊😊😊😊
@directorerikey3291
@directorerikey3291 3 ай бұрын
Vocha inasuguliwa😅
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 2 ай бұрын
Ana sura ya upole kama sio yeye😂😂😂
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 ай бұрын
Ss si anaigiza tu
@JoycePeter-z6k
@JoycePeter-z6k 3 ай бұрын
Huo mwili wangu wenyewe wala siufatiliagi walayiii nafwa kwa kichekooo😂😂😂
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 3 ай бұрын
Waooo nampenda sana hyu kaka jamani 😘😘😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 ай бұрын
Huyu ndo yule anaangukaga tikitoku 😂😂😂
@oman1oman179
@oman1oman179 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂ndio ni yeye huo
@MargaretAgengo-v4f
@MargaretAgengo-v4f 3 ай бұрын
tikitoku ndio nn
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 2 ай бұрын
😂😂😂 ndio yeye we huogopi
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 2 ай бұрын
@@MargaretAgengo-v4f 😂😂😂😂 tikitoku 😂😂😂😂 nakufa mm
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 ай бұрын
​@@MargaretAgengo-v4f😂😂😂😂😂
@ShahidakasirateShehedas
@ShahidakasirateShehedas 3 ай бұрын
Pambana mdogo wangu utatoboa tu
@IslamPeto-fd6wr
@IslamPeto-fd6wr 3 ай бұрын
Ichi kischa uwaga kimbeya,, chapenda kuchochea maneno na maswali yake ya kimbeya m'beya.. Tabia mbaya iyo mtangazaji chawa
@KurthumKhamis
@KurthumKhamis 3 ай бұрын
Anasura nzur mashoga wapo nao mitaan naawaongei wataftaj ndy wanaongea acha na nao wanafk
@MrsDariya-y1j
@MrsDariya-y1j 3 ай бұрын
Kabsa wala co uongo
@GraceBriton
@GraceBriton 3 ай бұрын
Nakupenda bure pole lakini
@issazalala4907
@issazalala4907 3 ай бұрын
Sema dogo jikaze kidogo maana siku elewi 😂
@salmanassor8732
@salmanassor8732 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@HusnaMm-h3v
@HusnaMm-h3v 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😢
@LatifaRajabu-l3n
@LatifaRajabu-l3n 2 ай бұрын
Hahhhhhh denc wew ni mvivu2 yan kazi yakuajiliwa utawez
@HusnerChipeta
@HusnerChipeta 2 ай бұрын
Nakupenda Sana mungu atakujaalia
@Awaasha-cn6bx
@Awaasha-cn6bx 2 ай бұрын
😂😂😂😂yani wewe hayo majibu yako sina mbavu
@AshaMwamba
@AshaMwamba 2 ай бұрын
Ananifuraisha sanaa huyuuu hapo unamuumaaa
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 ай бұрын
😂😂😂sema vocha ile tabia yako ya kujigaragaza kwenye maji machafu so mzuri utaozeza makende 😄😄😄
@paustephano
@paustephano 3 ай бұрын
😂😂nlkua nataman sana nimuone hyu ndugu, tunaomba umlete pungasese
@LeganNtambi
@LeganNtambi 3 ай бұрын
Nampenda Sana huyu kaka jamn huwa unatuchekesha familia nzima❤❤
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 3 ай бұрын
kujifananisha na mwanamke si kazi bali ni ushoga walipatia waliokua sana kukuita hivo😂😂
@lwakainaza
@lwakainaza 3 ай бұрын
Sikweli, wewe unapotoka.
@DaheerK
@DaheerK 2 ай бұрын
Unamvunja nguvu ww nyau tu naachi kuigiza
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 eti kuchunika chunika nachunika ila hasikii uyu itakua mdogo wake koku itakua andondoki yeye😂😂
@IreneMwanaa-zo2wz
@IreneMwanaa-zo2wz 2 ай бұрын
Safi mdogo angu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Napendaga clip za vocha wallah
@Saida-pv5gs
@Saida-pv5gs 3 ай бұрын
Saut ishakuwa inabadilika ila ufanye na kaz ustegemee sanaa t
@RachelRachel-zx6dx
@RachelRachel-zx6dx 3 ай бұрын
Kaka anafurahisha aisee
@ZayNiyonzima
@ZayNiyonzima 2 ай бұрын
😂hb wa maana
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 ай бұрын
Maskini
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 3 ай бұрын
Natamani kukusaidia mdogo wangu . Cjui unapatikanaje
@vocha--og
@vocha--og 3 ай бұрын
Niko hapa boss
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 3 ай бұрын
Weka no yako mdogo wangu ntakutafuta
@vocha--og
@vocha--og 3 ай бұрын
Niko hapa
@RithaOmari-np8je
@RithaOmari-np8je 3 ай бұрын
Pungasese naye 😢
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 3 ай бұрын
Maumivu utayapata uzeen
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws 3 ай бұрын
Nakupendaka sana vocha mwenye kuhanguka❤❤❤❤
@WardaSuma-fn5sc
@WardaSuma-fn5sc 3 ай бұрын
Mwenye kuhanguka
@KhadijaMohammed-jq8pz
@KhadijaMohammed-jq8pz 3 ай бұрын
Kumbe ki handsome 😂
@AMINATASIDE
@AMINATASIDE 2 ай бұрын
Makorokoro mengi,,nikaona mmmh nitapasuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SifaSanchging
@SifaSanchging 3 ай бұрын
Vocha ana myaka ngapi ????
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 3 ай бұрын
Sema unavyoongea mmmmh
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 2 ай бұрын
😀😀😀😀 huyu vocha mm kabsa nlienda kupoteza muda 😀😀😀😀😀😀😂😂😂😂
@DaheerK
@DaheerK 2 ай бұрын
Anasemwa diamond ana kila kitu itakuwa ww usisikilize watu kaka chapa kazi usijali
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Ila Vocha kama sio wewe khaaaa!!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mayajuma6742
@mayajuma6742 3 ай бұрын
Tunazo alhamdulillah
@shekhanahdy3241
@shekhanahdy3241 3 ай бұрын
Watanzania tunapenda sana kudhaniana vibaya loh! Baadhi ya dhana haraam
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 2 ай бұрын
Denis ww ni mvivu kweli nimekuona 😂😂😂😂
@roqayaro9439
@roqayaro9439 3 ай бұрын
Nakupenda wewe mtangazaji unatangaza vzr ka yule mdada k mziwanda
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 nlikua sjamgundua kama nivocha
@Adamumwambiji
@Adamumwambiji 3 ай бұрын
Huyu kunasababu iliofanya aitwe Shoga kwani katepetaaa!
@MariaMagele
@MariaMagele 3 ай бұрын
Ety kupoteza mda chuo😂😂😂
@AlexisKinobinobi
@AlexisKinobinobi 3 ай бұрын
Mbengo tv tukitaka mawasiliano na nyinyi tunawapata aje? Tunaomba namba zenu tunawahjtaji saana kuongea na ntinyi yaani mitandao yote huwa inatoa namba za mawasiliano kwanini mbengo tv hamtowi namba??
@mbengotv
@mbengotv 3 ай бұрын
+255712334444
@ReginaKaizirege-sd3hn
@ReginaKaizirege-sd3hn 2 ай бұрын
Pambana mdg wangu Maisha magumu
@tanzaniawomenyouthempowerm267
@tanzaniawomenyouthempowerm267 3 ай бұрын
Mbona mpole Sana jaman..kweli sanaa iko damuni
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu 3 ай бұрын
Maskini mwenyewe kumbe mpole tuu
@BelladonaTz
@BelladonaTz 3 ай бұрын
Nimecheka mie😅😅😅😅😅
@NasraAllyrashid
@NasraAllyrashid 3 ай бұрын
Vocha nakupenda bure😂
@HadiaAme-x5f
@HadiaAme-x5f 3 ай бұрын
Lkn mbona semasema yake km anafanana namauzinde mhh
@salmanassor8732
@salmanassor8732 3 ай бұрын
Jamanii 😂😂😂😂
@MariamAhmadaMwikalo
@MariamAhmadaMwikalo 3 ай бұрын
😂
@TediFwoma
@TediFwoma 2 ай бұрын
😂❤
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 ай бұрын
Jmn napendaga Sana vituko vyake huyu kaka ukimuona tofauti na anavyoigiza 😂😂
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 2 ай бұрын
😂😂😂.mimi mpk siamin
@saadanaufal-pe2zn
@saadanaufal-pe2zn 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nakukubali sana
@Msaniitz
@Msaniitz 3 ай бұрын
😂😂😂😂 kwani nacheka nn?
@ThriaAbdullah
@ThriaAbdullah 3 ай бұрын
Pambana utatoboa
@LoperwizzyNickboy-bk7tv
@LoperwizzyNickboy-bk7tv 3 ай бұрын
Unacheka umetekenywa na upepo😅
@JeraldMwakilongo
@JeraldMwakilongo 3 ай бұрын
Nakubali🎉
@صابرهعلي-ك1د
@صابرهعلي-ك1د 3 ай бұрын
Nilipo muona tu nimecheka jamn😅😅
@sagengejackson3623
@sagengejackson3623 3 ай бұрын
Dogo mbona kama mlenda hv , sema choko hawezi jisemea , dogo kaza lakini
@nickbrown8350
@nickbrown8350 3 ай бұрын
😢😢😢
@Alinekwizerimana-sg1th
@Alinekwizerimana-sg1th 3 ай бұрын
😂😂😂
@ThriaAbdullah
@ThriaAbdullah 3 ай бұрын
👍
@FatmaSaleh-sj6yt
@FatmaSaleh-sj6yt 3 ай бұрын
Hilo choko halitaki tochi
@salmanassor8732
@salmanassor8732 3 ай бұрын
Jamanii 😢
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 3 ай бұрын
shoga kwl hil
@MrsDariya-y1j
@MrsDariya-y1j 3 ай бұрын
Co kwel unauhakika gani msipende kumhukumu MTU pasipo ushahid
@paustephano
@paustephano 3 ай бұрын
Tunaomba umuhoj punga la mapunga dangote😂😂
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 30 МЛН
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,8 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 107 МЛН
Mauzinde Apata Mume Ulaya Baada ya kukatwa Masikio.
4:22
MTORO MEDIA
Рет қаралды 12 М.
Finally Got My Mother Her Dream Gift On Her Birthday🥺❤️ ||So Emotional 🥺😭
26:27
DA ZUU, MASANTULA, ZUNDE,  Ndani Ya kitimtim Full
1:37:51
JIGA Films
Рет қаралды 88 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 30 МЛН