BWANA HARUSI AGUNDUA BIBI HARUSI ANA WATOTO, NDOA IMEVUNJWA, AGOMA KUOA

  Рет қаралды 29,397

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 594
@canisiusibrahim9856
@canisiusibrahim9856 28 күн бұрын
Hongera bro kwa maumuzi ya busara ni bora kuvunja UCHUMBA kuliko kuvunja NDOA
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 28 күн бұрын
Ulijuaje?
@jacklinedonat5240
@jacklinedonat5240 28 күн бұрын
Kuna kitu Mungu kamuepushia huyu dada,japo makosa kwa huyu dada yapo ni kweli.huyu mwamba ni mkali so mwanamke atakae olewa nae ajipange.
@danielpeter8085
@danielpeter8085 27 күн бұрын
Jidanganyee...we kuweza
@FarajaKassim-dw2kh
@FarajaKassim-dw2kh 27 күн бұрын
Wangapi wanaolewa na watt kosa la huyo dada ni kweli n kutosema kweli ila watt sio kioingamizi cha ndoa n kwamba huyo baba sio muoaji na anaonekana ana roho mbaya huwez jua kweli Mungu kamuhepusha na mangapi
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 26 күн бұрын
La hovyoooo jinga tuuu
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 22 күн бұрын
We kuweza
@mcgabby
@mcgabby 2 күн бұрын
We acha siasaaa limtu una Kaa nalo mwaka na halisemi kama linawatoto wakati linaona kabisa mwanaume ana process zote za kuoa huo ni umalaya sio mkee hapo, Hata mwanaume akificha kama Hana mtoto then ndani ya ndoa akuletee mtoto ni hishara mbayaa sana ya umalaya tuuu​@@FarajaKassim-dw2kh
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 28 күн бұрын
Namlaumu mwanamke kwa kutokuwa wazi Mpumbavu
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 28 күн бұрын
SAWA KABISA
@paullameck-r5j
@paullameck-r5j 27 күн бұрын
yote ni sawa tu hata angesema ukwel asingeolewa
@JudithLusonzo
@JudithLusonzo 27 күн бұрын
Janaume choyo hili yaani kama ilikuwa tule robo itabidi tule nusu una hata haya muache mrembo wa watu Mungu atampa mume sahihi .na mdogo wetu nawe uwe mkweli ukipata mwingine mwambie ukweli tu❤
@AishaNikule
@AishaNikule 26 күн бұрын
😂😂😂 Ety janaume choyo kwakwel
@ndondiafrika249
@ndondiafrika249 25 күн бұрын
janajike lililo liongo
@estermathias8354
@estermathias8354 20 күн бұрын
​@ndondiafrika249 janaume choyo😂😂😂
@mcgabby
@mcgabby 2 күн бұрын
Mwamba siyo mchoyo acheni wenge hata matajiri hawagawi pesaaa, hayaa mlisha ona wapi familia ikitaka kula inatembea kwenye nyumba ya wasio jiweza ili wale ote..? Hapo shida ni usiri wa mwanamke kwanini afiche Watoto..? Haya Inge kua Kwa upande wa mwanaume haitakiwi kuficha Watoto wazazi ni wazazi tu labda Mmoja afee Sasa ndoa Gani Hiyo ya wanaume wawili😢
@estermathias8354
@estermathias8354 2 күн бұрын
@@mcgabby ni lichoyo si lisemesema lenyewe.😃😃choyo ni choyo tu
@aishamrisho6860
@aishamrisho6860 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 nimejua kucheka haswaaa eti siwezi kule watoto wa mwenzangu nitanunua unga mwingi
@estermathias8354
@estermathias8354 20 күн бұрын
😂😂😂mchoyo huyo
@yohanakateko
@yohanakateko 27 күн бұрын
Kaka shida unga kaka kumbe
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 28 күн бұрын
Tatizo analo mwanamke hapo
@veronicamoringe2210
@veronicamoringe2210 27 күн бұрын
Umepoteza Baraka za Mungu kupitia hao watoto,
@OliverNtiruhungwa
@OliverNtiruhungwa 27 күн бұрын
Anaweza kuoa ambae Hana mtoto na asipate mtoto kamwe
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 26 күн бұрын
Hakuna kitu km hicho kwani ni watoto wake?
@veronicamoringe2210
@veronicamoringe2210 26 күн бұрын
@@RenatusMatungwa-o7c Hawa Watoto Mnaowalalamikia japo siwafahamu , subirini hapo mbele Mungu atakavyowajalia Maisha Mazuri tena ndo mmewatengenezea mazingira mazuri kwa Mungu , na hakika watakuwa watu nguvu Sana, Sasa Subirini watoto wa Jamaa , kila goti litapigwa ilimradi amemkataa huyo binti kwa kisingizio cha watoto , Ataufurahia ulimwengu labda kama kuna kitu kingine. Alafu pia mwanaume kama unataka kweli kuwa na familia hebu oweni tuu mapema huoni huyu kaka amechelewa sana , pengine ndo hivyo huwa anachagua sana.
@MatswelopeleMphela
@MatswelopeleMphela 26 күн бұрын
Kabisa kabisa
@fidundadelaboss-bs8xx
@fidundadelaboss-bs8xx 7 күн бұрын
Kwaiyo anapoteza Baraka za maisha kwa sababu ya watoto wa mtu mwingine?hao watoto hawatoi Baraka zozote asee
@CikeTanzania
@CikeTanzania 28 күн бұрын
Unasamehe tuu maisha yaendelee kuna wanaume wagumu sana kusamehe ila wakikosea wao sasa.😢😢😢
@lidyamhova8528
@lidyamhova8528 27 күн бұрын
Wanawake tuache uongo Ukweli unamfanya mtu awe huru tena huru kwelikweli Acha avune alichokipanda, kaka uko sahihi ni maamuzi mazuri uchumba sio ndoa .
@salmaabdallah9598
@salmaabdallah9598 28 күн бұрын
Kwaiyo sisi ambao tumesha zaa tusahau kuusu kuolewa au kwasababu km umesha sema utaki mwenye mtoto maana yake ata angekwambia Bado asinge olewa vile vile Dah mungu atusaidie ambao tumesha zaa bila kujalisha tulizaa tukiwa wap kwenye ndoa au nje ya ndoa mungu atutie nguvu ....ila we kaka mungu anakuona km mungu anasamehe wewe ni nani ushindwe kusamehe ...Aya bwana mungu atakupa asie kua na watoto 👏
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 28 күн бұрын
Hapana ni kuwa muwazi tangu mwanzo tu
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 28 күн бұрын
Nka kwann uzae na uyo nikuoe mim? Mim nawez oa mwenye mtt lkn awe mjane
@chikujuma18
@chikujuma18 28 күн бұрын
Haya wewe ulie sema unaweza kuona alie na watoto lakin mjane sema tuu inshallah
@NafsahRajah
@NafsahRajah 28 күн бұрын
wapo wanaume wameowa wanawake wenye watoto na bado wanaendelea kuowa ila ukweli umuweka mtu huru kuwa proud na mwanao au wanao usiwafiche akikutongoza chakwanza mwambie unamtoto
@annamulungu2876
@annamulungu2876 28 күн бұрын
Ukweli ndo tatizo kubwa!!
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 28 күн бұрын
Mwanamke ukianza kudanganya uongo mkubwa km huo, wew ni hatari sana. Ndio maana mwanaume yoyote lazima aogope, na km kaweza kudanganya hilo huwezi jua kashakudanganya mangapi
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 26 күн бұрын
Pole mwanamke mwenzetu pia pole kaka yetu dada umekosea ktokusema ukweli ukweli umuweka mtu wazi
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 12 күн бұрын
Tena sana amemkosea
@agnesdeogratius7018
@agnesdeogratius7018 28 күн бұрын
Mweny watoto na mtoa mimba nani bora nyooooooo eti mtumishi wamungu ovyoooo
@jcobnyamweya8464
@jcobnyamweya8464 26 күн бұрын
Tatizo ni mwenye kuoa anataka kuanza kufunga mabao yake fresh mbona alazimishwe kubeba mabao ya wengine
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 28 күн бұрын
sema kaka anaonekana ana roho mbaya na mbinafsi pia ni bora hata mlivyoachana mapema 😂😂😂😂😂
@festokemibala5832
@festokemibala5832 27 күн бұрын
Isikukute isikie kwa wenzako!
@RehemaKilangwa
@RehemaKilangwa 27 күн бұрын
Huyu pepo tu hapan mume hapo
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 27 күн бұрын
@@RehemaKilangwa kwakweliiii
@estermathias8354
@estermathias8354 20 күн бұрын
Eti badala ya nusu ya unga nanunua kilo😂😂😂😂 roho mbaya
@Tinnah-c6v
@Tinnah-c6v 28 күн бұрын
Janaume lenyew baya minywele tu,huna lolote ni uchoyo tu umemtawala,
@goddamwakimi5889
@goddamwakimi5889 27 күн бұрын
Kafie mbele huko malaya nyie
@RehemaKilangwa
@RehemaKilangwa 27 күн бұрын
Hahahaha nichek tu
@BeatusNgereza
@BeatusNgereza 27 күн бұрын
Nawewe uko hivohivo
@brysonasante5806
@brysonasante5806 27 күн бұрын
Mwenzangu libaya kweli halafu linajishaua
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 26 күн бұрын
Kwanini unazalishwa hovyo ?mnatumika nyinyi
@pendoyohana2399
@pendoyohana2399 27 күн бұрын
Roho mbaya tu watoto ni baraka.
@faridamuniss6465
@faridamuniss6465 26 күн бұрын
Kwani jmn aliambiwa atalea hao watoto uchoyo wa wazi kabisa hakumpenda dada wawatu na minywele yake kama brash ujampenda usituchoshe bwanawe
@hawasaid7151
@hawasaid7151 25 күн бұрын
​@@faridamuniss6465Alafu ni m'binafsi
@violethNamz
@violethNamz 27 күн бұрын
Pongezi sana bro, tafuta ambae Ana mtoto. Nimependa mamzi yako ❤❤❤❤❤❤❤❤.
@NioneNyondo
@NioneNyondo 9 күн бұрын
Nakupongeza Sana kaka......maamuzi yakishujaa ......
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 27 күн бұрын
Kumbe uchoyo ndio shida 😢😢 pole kaka ila watoto ni baraka
@GetrudaNyalusy
@GetrudaNyalusy 27 күн бұрын
Huyu uchoyo tu hakuna kingine maana kama mungu amemsaidia hata wagen ingekuwa shida kuja nyumban
@MwanakomboAbasi-j1r
@MwanakomboAbasi-j1r 28 күн бұрын
Wallahi dunia imekosa utu katika dunia hujui nani atakufaa sisi sote ndugu mtoto wa mwanaadamu mwenzako mawe ni wako humjui atakufaa wako wala wa mwenzako tuacheni ubinafsi na choyo rizki Allah ndio anatoa mkizidi kwenye nyumba na Allah anazidisha rizki pana kila mja ana rizki yake
@thehajjzantourssafaricampa8756
@thehajjzantourssafaricampa8756 28 күн бұрын
Walio zaa hawachani mama sisi kama kaweza kumdanganya kwamba Hana mtoto , basi anaweza kurudi kwa bwana alie zaa nae wanawake hawana ukweli ( ndio mana dini yetu yakislamu imesema tuiyogope duni pia tuwaogope na wanakwe
@festokemibala5832
@festokemibala5832 27 күн бұрын
Tatizo kuongopewa tangu awali kwamba jimbo halijawahi kugombewa
@HasnaSawaid
@HasnaSawaid 27 күн бұрын
@@thehajjzantourssafaricampa8756 kwedauko namanyele malefu wewe myenyewe umezekaa
@HasnaSawaid
@HasnaSawaid 27 күн бұрын
Kwazaugemtesa wewe simuaji rombayatu
@abdallahkiliaki3744
@abdallahkiliaki3744 26 күн бұрын
Kabla ya huyo mtoto kukufaa, ni lazima umgharamie kwanza kw miaka 20 hadi 25 ili ajitegemee. Ni mzigo mkubw sana huo. Ww ungeubeba?
@stellamiyombe6117
@stellamiyombe6117 26 күн бұрын
Jitu lenyewe libayaaaa
@BalbinaKitambi
@BalbinaKitambi 28 күн бұрын
Hili n libomu tu lina roho mbaya litakutesa mbona ni lizee sana lina tabia na li D. Mwanaume ni yule wa katavi tuuuu basi.
@agnesdeogratius7018
@agnesdeogratius7018 28 күн бұрын
Ahahhaah mbona katav
@Virgo-l1s
@Virgo-l1s 27 күн бұрын
Kweli mwanaume Wetu yupo katavi
@agnesdeogratius7018
@agnesdeogratius7018 27 күн бұрын
Niyupi uyo?
@Zainab-qg6xv
@Zainab-qg6xv 27 күн бұрын
Halafu linaonekana ni li mwalimu la shule ya msingi
@mujwasteven
@mujwasteven 27 күн бұрын
Muacheni msimpangie
@user-sc7ev1wh9u
@user-sc7ev1wh9u 8 күн бұрын
BgP broo
@coolruler6820
@coolruler6820 25 күн бұрын
Sahihi kabisa,,,hakuna baraka za kulea watoto wa mwenzako, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, pia linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo,,,,ila jamaa pia na wewe unazingua, unashindwaje kumgundua mwanamke aliyezaa, tena watoto wawili? Maana mwanamke aliyezaa ukimuangalia kifuani na tumboni hajifichi.
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 24 күн бұрын
Nakataa Nina watoto 3 matiti yangu yamesimama na Yana buja ndan tumbon langu halina michiriz Wala Nini!
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 24 күн бұрын
Nakataa Nina watoto 3 matiti yangu yamesimama na Yana buja ndan tumbon langu halina michiriz Wala Nini!
@estermathias8354
@estermathias8354 21 күн бұрын
Usisema hakuna baraka kulea mtoto wa mwingine hahaha nakupa pole.mimi mme wangu alivyomkubali mwanangu mpaka sasa maisha sio ya kutembea kwa miguu .na mtoto imebidi amsomeshe hadi shule za privet.endelea kukalili na roho yako mbaya.huyo baba na utu uzima huo yy Hana watoto?
@ElizabethKiula-v7r
@ElizabethKiula-v7r 19 күн бұрын
𝚆𝚎𝚠𝚎 𝚗𝚊𝚠𝚎 𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚕𝚎 𝚠𝚊𝚕𝚎
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 28 күн бұрын
Hongera kaka ulifanya la maana kabisa.Siyo lazima kuomuoa mtu mwenye watoto kwa sababu kuna wajibu mkubwa.Ila kama mmekubaliana sawa tu.Kama hamjakubaliana kaka huna makosa ni sawa kabisa.Ulilofanya ninakuunga mkono japo m mwanamke🎉🎉
@AdaMapondela
@AdaMapondela 27 күн бұрын
Na wanaume wenye watoto mbona wanaoa,huo ni ubinafsi
@Mwamba-hc1jy
@Mwamba-hc1jy 27 күн бұрын
Unajifananisha na mwanaume???pole sana
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 24 күн бұрын
​@@AdaMapondelaIla Kwa makubaliano
@annagesura8375
@annagesura8375 27 күн бұрын
ovyooooooo eti simtaki mke mwenye watoto
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k 25 күн бұрын
Ovyo vipi ndo ataki mke mwenye watoto alaaa kwani mtu haruhusiwi kuchagua,?
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 28 күн бұрын
Tatizo limeanzia kwa mwanamke uwongo uwongo uwongo namkumbuke mwanamke akizaa na mwanaume mwngine huwa kiporo upashwa moto
@JenJen-zl6dk
@JenJen-zl6dk 28 күн бұрын
Ila nyie mkiwa na watoto mnataka tukubali mmmh
@zainabzain3434
@zainabzain3434 27 күн бұрын
Sio kweli nakama wapo ila sio. Mpk akiolewq
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k 25 күн бұрын
Kabisaaaaaaa kwanini akusema ukweli
@rehemambilinyi9452
@rehemambilinyi9452 26 күн бұрын
Mwandishi unajua sana kuuliza maswali
@patelokoh5828
@patelokoh5828 28 күн бұрын
Mmmmmh si angemweka wazi kwanza. ... Pole sana dadangu .. juuu Kuna Siri zingine hasifichik...
@paullluhanyapaullluhanya2446
@paullluhanyapaullluhanya2446 28 күн бұрын
Mwanamke ni msenge k kabisa
@zubedamwinazi413
@zubedamwinazi413 25 күн бұрын
Unaroho mbaya sana mchoyo sana
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 10 күн бұрын
Wanawake waache mambo ya uongo na utapeli. Mwanamke anayeficha watoto unategemea nini akiingia kwenye ndoa? Huyu jamaa inabidi awe Rais wa wanaume Tanzania,anajitambua sana.
@jacksonmkuye7739
@jacksonmkuye7739 7 күн бұрын
Na mwanamke aliyemficha je? Kw nn hakua muwazi
@franktibwita228
@franktibwita228 9 күн бұрын
Uko sahihi bro
@christerlymakala791
@christerlymakala791 27 күн бұрын
SAFI SANA BRO😂😂😂😂😂
@RayMyonga
@RayMyonga 26 күн бұрын
Million moja. Ni hela boss Acha udhaifu
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 10 күн бұрын
Kwa hiyo millioni siyo nyingi? Unayo mfukoni hapo?
@vailethpauloPaulo
@vailethpauloPaulo 28 күн бұрын
Na mungu atakurudisha uko uko kama ulipangiwa kuwa na mwanamke mwenye mtoto utapata
@vailethpauloPaulo
@vailethpauloPaulo 28 күн бұрын
🎉hapo umekosea kuwa mtu akiwa na watoto,,,kuna watu awajazAaa na wanarudian
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 28 күн бұрын
WEWE NDIYE UMEKOSEA.KIJANA YUKO SAHIHI
@edgarelikana7204
@edgarelikana7204 28 күн бұрын
Watoto ni baraka kwenye familia, haupaswi kunena kwa kinywa chako hukutaka mwanamke mwenye mtoto, unaweza kuoa asiyekuwanao watt na msizae hata mmoja, lkn huyo mwenye watoto wakawa faraja ktk ndoa yako, ila binti pia changamoto hakuwa muwazi tu😢😢😢😢
@RehemaKilangwa
@RehemaKilangwa 27 күн бұрын
Na pengne lioe mwanamke Ambae hata kuja kuwa na uwezo wa kuzaa mungu anakuona
@OliverNtiruhungwa
@OliverNtiruhungwa 27 күн бұрын
Anaweza akanyimwa watoto maishani mm wake halafu akatafuta mchawi wake Nani kumbe alipiga teke baraka kupitia watoto wasiokua na hatia
@joycesarakikya4211
@joycesarakikya4211 26 күн бұрын
@@OliverNtiruhungwa ni kweli kabisa, ajue na mdomo unaumba, Mungu ni wetu sote!
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 28 күн бұрын
Akina Mama tuwe wa Kweli Uongo mbaya sana, nivema ukasema Ukweli yeye Mwanaume aamue kusuka au kunyoa.
@DashuKondo
@DashuKondo 26 күн бұрын
Mimi pia uwa sisemi ukweli mana nibola ndoa
@HezronPedias
@HezronPedias 26 күн бұрын
Tatizo siyo wenye watoto wasiolewe kwanini afiche aulizwe unamtoto aseme Sina huo niutaperi
@tumainiwilla5783
@tumainiwilla5783 28 күн бұрын
Haikua bahati yako dada huwezi jua Mungu kakuepushia nn kaza moyo lea wanao na mshukuru Mungu pia Ila na huyu mwamba bwana eti bajeti ya kununua unga nusu kilo jamn
@user-pj3lh8vz5k
@user-pj3lh8vz5k 23 күн бұрын
kila kitu na kheri yake mungu anajua kheri kwake mwanamke hujui mbele kuna nini utapata mwengine riziki atoaye ni mwenyezi mungu c wewe baba
@user-kk4ri8xw4u
@user-kk4ri8xw4u 28 күн бұрын
Ukipenda boga penda na uwa lake kwan we ukija na mtoto wa nje sitalea jmn
@mujwasteven
@mujwasteven 27 күн бұрын
Angemwambia mapema ili ampende ivyoivyo sio kumficha
@FloraGermans
@FloraGermans 19 күн бұрын
Mungu atakulaani utakosa watoto ujuewe haya
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k 25 күн бұрын
Kakangu umeongea 👍 kwanini hakusemaaaaaa
@vailethpauloPaulo
@vailethpauloPaulo 28 күн бұрын
Lakini mm huyu dada nimemuelewa tusimuhukumu kabisa huyu baba siyi baba
@BesterBrigt
@BesterBrigt 28 күн бұрын
Kanyoe nywele hzoooooo alaa
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 28 күн бұрын
😂😂😂
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 26 күн бұрын
Hahahaaaa😅
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 12 күн бұрын
Uyo Mwanamke alimuona mtumzima mgojea nimsimwambie ukweli kumbe amejiaribia
@cathe-wr7gb
@cathe-wr7gb 23 күн бұрын
Hivi ndoa ni muhimu sana jamani peleka watoto kwa baba yao uolewe basi 🤣🤣🤣msituchoshe
@user-jb5ye7cf8s
@user-jb5ye7cf8s 10 күн бұрын
UKWELI NI MZURI.SANA,UKIFAHAMU KWELI ITAKUWEKA HURU,UONGO NI WA SHETAN,DADA ANGEMWABIA UKWELI ILI KAKA AAMUE MWENYEWE,
@taqiyyamwijage3324
@taqiyyamwijage3324 27 күн бұрын
Bigapp sana kaka
@HappyAnangisye-pf9ze
@HappyAnangisye-pf9ze 28 күн бұрын
We ni mbinafsiii na mchoyo 😅
@danielsamwel3628
@danielsamwel3628 14 күн бұрын
Mi naona yupo SAWA kama una watoto kwanini usiweke wazi kwa mwenzio Na ingekuwa vyema kama angesema mwenyewe binti kuliko kuambiwa na watu wengine
@Blessedboi8019
@Blessedboi8019 28 күн бұрын
Huyu bwana Hatawahi ona mboni ya mtoto.
@EsterLazaro-u8c
@EsterLazaro-u8c 27 күн бұрын
Hakika
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 26 күн бұрын
Kwahiyo ww unapenda uongo?
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 28 күн бұрын
Hta km angekwambia kuwa ana watoto bdo usingekubal boya ww,mbona nyie tunakuta matoto na tunalea,roho mbya tu😢
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 7 күн бұрын
Nikweli mwambaa ulifanya lamaana sana mwanamke mwenye watoto akakufichaa nishidaaaaa sanaaa mwiziii waabadayee ata mm ilinikutaa kama aliamua kukuficha atakuwa mwiziii pesa inatafutwaaa
@mawlodafarida
@mawlodafarida 28 күн бұрын
Yuu kka smuowaji
@davidjackson3506
@davidjackson3506 26 күн бұрын
Anaonekana mchoyo asingeweza kulea watt
@agnesivalentinodingoagnesi3877
@agnesivalentinodingoagnesi3877 27 күн бұрын
Bwana harusi hichoni choyo kwasuragani basi nyoooo nipishegemi😂😂😂😂
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 28 күн бұрын
Manywele tuu anaonekana wa hovyoooo😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@MatundaModesta
@MatundaModesta 27 күн бұрын
Mi sijakupenda hata ungekuja kwangu ningekupeleka saloon
@azizasoli
@azizasoli 28 күн бұрын
Ila nae kajitakia kwann alimficha?
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 28 күн бұрын
Umeona eeh
@CadeauZabibu
@CadeauZabibu 27 күн бұрын
We do umefanya kuowa
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 28 күн бұрын
Umri huo hutaki mwanamke mwenye watoto Sura mbovu hasa
@aminielimushi8709
@aminielimushi8709 28 күн бұрын
Ukichagua usafiri wa uma kungali mchana ujue jioni utapanda Lori,,,,wewe umechelewa kuoa lkn utapanda la usiku Tena halina taa,,bwana afro vp mbona kama muda unasonga,?
@hamisimahenge5807
@hamisimahenge5807 9 күн бұрын
"NAITWA BABA FULANI" 😂😂😂😂, Guys Nchi ngumu hii. Tukubaliane, Dada alifanya makosa kutomwambia ukweli jamaa, kama angekuwa mkweli mambo yasingefika huku😊😊😊
@TwitikeMwakyonde
@TwitikeMwakyonde 12 күн бұрын
Ulaaniwe,
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 28 күн бұрын
JAMANI KWA WAUNGWANA IKIWA MLIYAJUA HAYO MKAFICHA MREJESHEENI MAHARI ZAKE TU. WEWW HUJAKATAA ILA MUNGU AMEKUFUNULIA YA SIRINI.
@user-si8tr8ei5y
@user-si8tr8ei5y 27 күн бұрын
Wewe Kaka una roho mbaya Sana huwezi kuzungumza hivyo na ujue riziki anaetoa Allah
@AvelinaStephano
@AvelinaStephano 28 күн бұрын
Kwanza ww baba nilichoyo
@vailethpauloPaulo
@vailethpauloPaulo 28 күн бұрын
Wewe kaka wewe muogope mungu wako dunia hii 😢😢😢ni kweli kakosea ila upaswe kuongea kauli hizo😊
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 26 күн бұрын
Kweli haijawahi kuwa Tamu
@RaheliClementi
@RaheliClementi 24 күн бұрын
Kwanza hufai wekaka ata hukua unapndeza kua mme Wake nibola t umemuacha mungu kamuepusha mmh
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 10 күн бұрын
Watanzania sijui mkoje huyu bwana yuko sahihi100%kabisaa hivo kuliko kumuoa akamuua sibora amesema ukweli?au haue watoto mimi naona yuko sahihi msichana kwanini hakusema ukweli, nimchunaji basi
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 28 күн бұрын
Wee jikatae tu umetumia mwaka mzima
@GloryJohn-o7s
@GloryJohn-o7s 25 күн бұрын
❤ ukweli umuweka mtu huru jaman
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo 27 күн бұрын
upo saw brow
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og 22 күн бұрын
Huyu baba namuelewa anshuku ataruduana na mumeye mweny watoto
@loner_wolf
@loner_wolf 27 күн бұрын
Bro hukuwa na sababu yenye afya ya kuoa . Yaan hukutaka kuoa kwa nia ya kuoa muoaji . Maana sio kwa uoga huo wa maisha .
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 25 күн бұрын
Mmmmm!!! Nayo ndo uchoyo au? Apo kwa unga umenimaliza.
@christinakomba689
@christinakomba689 27 күн бұрын
Wewe mchoyo bana
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 26 күн бұрын
Okosawa mzee baba
@JustinKahindi-f4l
@JustinKahindi-f4l 26 күн бұрын
Hongera bro kwa uamuzi wako huyo mwanamuke ni mwizi kama muda wote alikuficha mpaka ikafikia mahali mpaka wewe mwenyewe ukajua bila yeye kukwambia wachana nae
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 27 күн бұрын
Huyo sio mume
@omanoman2044
@omanoman2044 27 күн бұрын
Imekula kwako mahar hayarud hata kidog
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 28 күн бұрын
Uwazi ktk maandalizi ya ndoa ni jambo muhimu sana,mtu ajue ukweli wako wote kisha aamue mwenyewe siyo kumficha ni mbaya sana
@AngelineSaidi
@AngelineSaidi 27 күн бұрын
Hongera kaka umechukua mHamuzi mazuri huyo mwanamke nimiani mama muongo namchawi niwatu wKuchomwa ila kaka mimi kwangulue kwa binadamu mchungu ukimpata mwanamke Asie zaa usisubutu kumwacha hata akukosee kiasigani mvumilie mana ikimuacha hataolea
@user-xk5we1iz6c
@user-xk5we1iz6c 27 күн бұрын
Majukumu sioo...wee ongopaa.ulifanya poa ndugu wacha akule jeuri yake
@CostantineBahakaso
@CostantineBahakaso 27 күн бұрын
Uko sawa
@rehemambila4342
@rehemambila4342 24 күн бұрын
Nashangaa watu wanasema bhana harusi kakosea ,hiv unajiandaa na harusi, alfu uckie mchumba wako alikuficha kwamba ana watoto weeee kuwezaaaaa!atanificha vingap..
@MariamRashid-sm5zw
@MariamRashid-sm5zw 26 күн бұрын
kweli baba angesema ukweli tu
@MaryannAlivitsa
@MaryannAlivitsa 27 күн бұрын
Ila huyu kaka anaonekana kuwa na roho mbaya ila pia dada alikosea kumdanganya angesema ukweli na ndugu kumbuka hawa unadharau ju ya kuzaa wengine tulizaa na wanaume ambao hawako tayari kujukumika ndiyo maana tukatengana 😢😢😢 kumbuka kuna wale wamemalizia uzao wao kwenye choo ili wabakie mabinti wenye hawana watoto ila ni mama za marehemu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 28 күн бұрын
Huyo dada ni hatari sana .Uongo kibao😮
@jcobnyamweya8464
@jcobnyamweya8464 26 күн бұрын
Ukweli ni jambo la muhimu sana
@isakahissa4130
@isakahissa4130 24 күн бұрын
Maigizo imagine tukio la harus lmeisha Lkn bibi harusi kavalia shera siku ya interview Kukuza media kupitia sanaa zisizo na uhalisia Then unataka jamii ipende media yenu Kwa kupitia uongo or mimi najpunguza mamae
@atupakisyemapuli8637
@atupakisyemapuli8637 27 күн бұрын
Upo sahihi sana kaka na umeongea kwa busara
@husseinkibona3277
@husseinkibona3277 16 күн бұрын
Mwanamke mshukuru Mungu amekuepusha na huyu mwanaume mbabaishaji anayejifanya ni mchumi sana wakati umri wake mwenyewe umeenda. asubiri apate malaika
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 28 күн бұрын
Huyu kaka yuko sahihi, lazima ujiulize kwann kanificha!
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 27 күн бұрын
Bwana mwenyewe sura ngumu😂
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 28 күн бұрын
Uongo kwenye mahusiano makubwa ya ndoa tena kwa kuficha watoto hapana kwakweli mwanamke mwenzangu umechemka. Kwanza unawezaje kumpenda mtoto wa mtu kuliko mtoto wako? Lia mpaka uzimie unasitahili hayo kabisa
@veronicamarandu
@veronicamarandu 27 күн бұрын
Hana akili ukweli ni kila kitu by Naike
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 28 күн бұрын
Hongera sana mwanamke ambaye amezaa ni screpa chuma chakavu ni shetani kasoro mkia acha nae we real man
@debbymwaka4048
@debbymwaka4048 28 күн бұрын
😂😂😂😂
@JenJen-zl6dk
@JenJen-zl6dk 28 күн бұрын
Mmh so vizr ivo nyie mbona tunawakubali na watoto wenu😢
@HawaaMkubwa
@HawaaMkubwa 28 күн бұрын
Punguza maneno makali kwani alizaa na mbwa uyo alomzalisha pia alikuwa mume kosa lake huyo mwanamke nikutokuwa mkweli
@sophiamduma5671
@sophiamduma5671 26 күн бұрын
Dahh minenoo kuntuuu
@innocenttalentedperson9552
@innocenttalentedperson9552 27 күн бұрын
Cheche mtungi
BIBI HARUSI AVAMIWA UKUMBINI, NDOA YAVUNJWA, KUMBE NI MKE WA MTU
12:04
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 65 МЛН