TAUSI ALIVYO TESWA NA UCHAWI WA DADA WA KAZI, ALIKUWA MCHAWI ,MTOTO WANGU ALIKUWA HANIITI MAMA

  Рет қаралды 56,153

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Hii ndiyo anafundisha mtumishi wa Mungu Gwajima, unakaa na mtoto unadhani ni mwanao kumbe hayupo! Au mume au mke hamuelwani ndani kumbe hayupo! Ametekwa amefichwa, hapa kunahitajika Neno la Mungu kufungua...
@TheresiaMage
@TheresiaMage 6 ай бұрын
❤🎉stor napendag San stori wadada wa kazi acheni uchawi💖💝♥️
@LumièreMwangaza-x4d
@LumièreMwangaza-x4d 8 ай бұрын
Dada ulenimutumishi namungu amubariki na atukumbuke sa'na
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Tausi kwa kweli ameokoka sababu maelezo yake ina busara kabisa
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Жыл бұрын
Wallah mwanzangu ana enda miaka 20 lakin akir zake ni kama mtto wa miaka 5 adi juz nme sema hii sio kawaida nadhan nae akir yake ipo ulimwengu ungine
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 Жыл бұрын
Mpeleke kwa Mwamposa akaombewe atapona
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Wadada wa kazi wachonganishi na hao manabii wengine wachonganishi wamegeuka kuwa kama waganga wa jadi wapiga Ramli Sasa kuwa makini na hao watumishi wenu wapiga pesa
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@lilianjustine2616
@lilianjustine2616 9 ай бұрын
Aisee
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Ndugu mtangzaji una sauti nzurii
@noornasir4378
@noornasir4378 Жыл бұрын
Nimeipenda style ya rangi ya kucha
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Weumependa kuchatuu
@yasinthaprosper4226
@yasinthaprosper4226 Жыл бұрын
Nimetokea kukupenda Sana mtangazaji jmn unajua kumuinterview MTU vzr mnooo , na unajua kutangaza vzr sijui nisemeje Yan nikikusikiliza nasikia matamu moyoni, najisikia vzr kweli uko vzr Mungu aendelee kukuwezesha ukawe mtangazaji mkubwa. Amen.
@NgomwaACNTV
@NgomwaACNTV Жыл бұрын
Napenda uyo dada anavyo ongea from 🇲🇿🇲🇿
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 Жыл бұрын
hu upuuuzi msilushe .hakuna mchawi. na uyo kuhan mnatupangaa
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 Жыл бұрын
Tausi
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 Жыл бұрын
Subuhanallah
@yasinthaprosper4226
@yasinthaprosper4226 Жыл бұрын
Tausi pole na yaliyokukuta Mungu alijua hayo yote na ana makusudi makubwa nawe, Usimwache Mungu muweke yeye WA Kwanza maishani. Ubarikiwe Sana Kwa uchaguzi na maamuzi yako mazuri Naya faida mnooo. Amen.
@rajabunyambi541
@rajabunyambi541 Жыл бұрын
saf sana tausi mungu atakusimamia ufike mbali
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Жыл бұрын
Mtagazaji wemgumu kuhelewa ashakwambiya alikuwa nachukuwa mtoto hinamanisha alikuwa namchukuwa kihuchawi hata wewe hapo hujuwi if husiku hunapelekwa wapi🤷‍♀️
@anikaanikaa7617
@anikaanikaa7617 Жыл бұрын
Tuweni makini jamani na wadada uchawi upo
@navokisembo
@navokisembo Жыл бұрын
Barikiwa Tausi endelea na wokovu wako dear❤
@fedhandunga5935
@fedhandunga5935 Жыл бұрын
Tausi anaongea ukweli
@khatimabdallah8143
@khatimabdallah8143 Жыл бұрын
Saa umeokoka nini na unaishi na mwanaume bila ndoa kheeeh😏
@Mohabmts
@Mohabmts Жыл бұрын
Soma 1 Wakorintho 7
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Pole Tausi yanatisha
@tuombesunzuesperance5196
@tuombesunzuesperance5196 Жыл бұрын
Amen dada Barikiwa sana Mungu aendelee kukuinuwa
@celestineniyibaruta4805
@celestineniyibaruta4805 Жыл бұрын
Na umechaguwa njiya sahihi mudogo wangu mungu ndo mukuu wawa kuuu ulimwenguni pote
@rehemakomba6376
@rehemakomba6376 Жыл бұрын
Mungu azidi kukufunilia mengi zaidi na kikutea tausi wetu
@bonifaceetyang4453
@bonifaceetyang4453 Жыл бұрын
Plzzz mtu asiongele mtumishi wamungu vibaya if mtu hamini kunamungu achane nawengine
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 Жыл бұрын
Mwezetu ujaokoka kwani ushakua mkirsto mwwzetu. Hapo hajarogwa umertad mwwzetu sasa hapo utayaona mengi shoga
@kitomondo
@kitomondo Жыл бұрын
Tujitahidi tupate elimu maishani mwetu.
@winfreyemmanuel
@winfreyemmanuel Жыл бұрын
Mungu akubariki aana kwa kukujikuba
@rosemaryikamba5288
@rosemaryikamba5288 Жыл бұрын
Tausi ukioka unararua moyo wako sio mavazi Unaweza okoka ka na ukafanya kazi' Yako ya uigizaji na ukawa smart na ukampenda MUNGU na kutoa sadaka zako ma biashara zako
@clementinewilondja7268
@clementinewilondja7268 Жыл бұрын
Walai dunia hii ni balaa,usilolijua nikama.....
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 Жыл бұрын
Duuu haya maisha bila Mungu kazi bule Pole kwa mapito Tausi
@bijoux20
@bijoux20 Жыл бұрын
Amen Mungu mkubwa sana
@adelaungwa9232
@adelaungwa9232 Жыл бұрын
Wow very very Nice♥️♥️♥️♥️
@khadijaali4657
@khadijaali4657 Жыл бұрын
Nawapenda sana from kenya na mtangazaji nakupenda na sauti yako ni nzuri sana dadangu ❤❤❤you all
@celestineniyibaruta4805
@celestineniyibaruta4805 Жыл бұрын
Mungu amekupigania kiwukweli Amen
@sarafinajuma1472
@sarafinajuma1472 Жыл бұрын
Pendaaa Sanaa tausi mungu azid kukufunulia zaid
@kamenemulu8561
@kamenemulu8561 Жыл бұрын
From kenya I like hio story
@adorostakatikiro2247
@adorostakatikiro2247 Жыл бұрын
Ongera Sana mwanangu yadunia yamepita mungu ni mwema
@evarahma9409
@evarahma9409 Жыл бұрын
Alafu uyo dada wa tausi me nimesomanaye jamni
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 Жыл бұрын
@@evarahma9409 kwahiyo alikuwa popo wakati mnasoma nae au!?????
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 Жыл бұрын
Duuh
@djiyoboclassicjames6786
@djiyoboclassicjames6786 Жыл бұрын
Nimependa maamuzi yako kumgeukia mungu mpendwa
@Raya171
@Raya171 Жыл бұрын
Duh maisha haya hakika mungu ni mwema
@happyeusebius3407
@happyeusebius3407 Жыл бұрын
Waoooo tausi Mungu nimwema
@joleal7941
@joleal7941 Жыл бұрын
Tausi nakupenda dada umepotea❤
@attunelson8828
@attunelson8828 Жыл бұрын
Hongera sana Tausi kwa kuokoka
@shillahkenny4818
@shillahkenny4818 Жыл бұрын
Tausi unazngua
@Amina-gu6zr
@Amina-gu6zr Жыл бұрын
Wacha yakukute ndio utajua
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
best naso ndani ya HERITAGE FULL
27:41
EVELINE CHADORA
Рет қаралды 7 М.
MIMI NI MCHAWI / SIOGOPI KUROGA / UCHAWI MZURI  - JIKESHUPA
2:36
Wasafi Media
Рет қаралды 7 М.
MAZITO YAIBUKA KUHUSU DIAMOND NA P DIDY, USHAIDI UMEPATIKANA
19:47
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН