Huu tu ndio wakati Nakubaliana na mwijaku. Harmonize huandika mistari/ mashairi ya maana East African nzima. Diamond ako kwenye show off ya hela, Magari ya kukodisha, macheni na kumharibia Zuchu wakati.
@sarahsaimon4095Күн бұрын
Kweli
@SolixTofresh-em8rxКүн бұрын
Mwijaku ana akili za kitoto sana sasa diamond akuongeleye kwa lipi sasa
@MwanaishaShattry10 сағат бұрын
Sput zote zinashonwa hakuna inayozaliwa kamanyama ama inayoshuka mbonguni wewe bado ni mshambarera tu.