Ubarikiwe mtumishi wa mungu, kweli mungu amekupa hekima ya pekee katika kufundisha ufundishaji wako ni wapekee,namtukuza mungu kwa ajili yako,napenda mmasomo yako nayapenda,❤❤❤
@RebekaMpakiАй бұрын
Nahitaji nione alama za misumari Kisha nibusu mikono hiyo na kumwimbia yesu juu ya upendo wake wa ajabu,na wanyaturu watakuwepo.🎉🎉🎉
@RebekaMpakiАй бұрын
AMEN Amen Aminaaa🎉🎉🎉
@NaamanOgare-mm6fzАй бұрын
Nimelipenda somo zuri
@johnstephano6486Ай бұрын
Amina endelea kuturushia haya masomo ni mazuri sana.
@RebekaMpakiАй бұрын
Kondoo na dubu watakaa pamoja naye baba yetu adamu nimwona halisi.
@RebekaMpakiАй бұрын
Nitakula zabibu😂😂😂
@RebekaMpakiАй бұрын
Kondoo na dubu watakaa pamoja naye baba yetu adamu nimwona halisi.