No video

Mbinu 5 za Kuongeza Mauzo Katika Biashara Yako - Charles Nduku

  Рет қаралды 6,931

Hamasika Tv

Hamasika Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 10
@mbarakkhalid117
@mbarakkhalid117 2 ай бұрын
Braza uko vizuri kusema kweli uko juu umesema kweli maneno ya busara ili ufanikiwe
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 3 ай бұрын
Wahindi wako vizuri sanaa..anacheka na MTEJA....mswahili ananuna kama amefumaniwa
@rukiangilla3113
@rukiangilla3113 2 ай бұрын
Uko vizr sana kaka Yani yote hayo nikweli kabisa
@user-jh6jf2vr4o
@user-jh6jf2vr4o 2 ай бұрын
Asante bro 🙏
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 2 ай бұрын
Kweli kabisa biashar ni usafiii na kauli zuri
@rukiangilla3113
@rukiangilla3113 2 ай бұрын
Kweli kabisa.....
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 2 ай бұрын
Kweli, muonekano kwenye biashara ni muhimu sana.
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 3 ай бұрын
Safi sana hii ni content muhimu sana
@williammollel97
@williammollel97 2 ай бұрын
Safi
@ramlamussa9144
@ramlamussa9144 5 күн бұрын
Smart ni kitu kikubwa sana kwa biashara na sio kwa mavazi tu, bali na maeneo megine. Mimi niliwah kutamani kununua bisi pale makumbusho, wakati najiandaa nimuite muuza bisi ninune, yule muuza bisi akakwapua mate kutoka kwenye koo, akayatema pembeni na wakati huo ameshikilia bisi packt mbili mikononi, nikahisi knyaa nikagairi. Mpaka sasa sitamani tena popcorn za makumbusho zote
MBINU KUBWA 3 ZA KUPATA PESA NYINGI KIRAHISI | Victor Mwambene.
9:54
Victor Mwambene
Рет қаралды 6 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 16 МЛН
Mambo Matano (5) Yanayopoteza Hamasa Ya Kufanikiwa Kwenye Maisha.
10:05
Huwezi Kufanikiwa Kifedha Bila Kuyajua Haya - Edmund Munyagi
14:27
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 44 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 42 М.