Chagua lugha ya kutumia kama ni kiswahili tu tumia kiswahili tu na kama ni English tumia English tu katika sentesi usipoelewa neno moja inaweka ikakutoa kwenye kuelewa sentesi nzima na unajua Tanzania wengine English haipandi sana kivile...
@kwisa489912 күн бұрын
Tanzania tunatumia lugha 2
@BukelebeTv18 күн бұрын
Ukitumia Kingereza tunaomba ufasiri. Tunabarikiwa sana na masomo yako
@AbuuSudais-wf6ns14 күн бұрын
Kaka angalia sana Hilo swala LA lugha, kiswahili ni bora Sana Kwa jumla
@magrethpaul22077 күн бұрын
Haya ndio mambo napenda
@EmanuelSimon-eh8mr15 күн бұрын
Kwani bro ww ni Muingerezaa? Somo zuri sana tatizo unachanganya lugha
@busarafadhil244220 күн бұрын
Unachanganya lugha kama unaongea kiswahili ongea kiswahilitu na ikiwa English ongea English tu usiige
@zackariamtunguja943519 күн бұрын
Nimeweza kusave 8000/day kutoka kutumia gari na kutumia public transport.. 5000/day kwa kutumia wifi.. 13,000/day *30 =390,000 Now napambana kufuta madeni.
@marinakarunde331117 күн бұрын
Hongera una uthubutu sana.. Mimi kusave ndo ugonjwa wangu nazidi kupambana nao😂
@maureenmgeni14 күн бұрын
Hongera sanaaa
@hamasikatv10 күн бұрын
Hongera sana kwa hatua hiyo
@benyavan577414 күн бұрын
Kwani hadi muchangaye kuswali na English ndiyo tujue unajua Tumien lugha ya taifa we unadhani una sikiliza na wangapi
@BaruaniAllyally11 күн бұрын
Niku shauri tu Mada iyoiyo irudie Tena kwakiswahili tu umepika chakula kizuri Sana ila kama chunvi haikuskika
@EsterinePhilipo13 күн бұрын
Acha ushamba wa rugha
@ahz690719 күн бұрын
Wa tz nani katuroga? Si tujifunze english maana ndio lugha ya ulimwengu jamani tuache kulalama😂
@busarafadhil244220 күн бұрын
Wengine hawakurleei hapo unatuchanganyatuu
@user-wd4xl5cl4y2 сағат бұрын
Speak Swahili
@BaruaniAllyally11 күн бұрын
Sasa boss mbona kiingereza kingi Sana iyo ni kiswaili cha marekani
@Kanyawela15 күн бұрын
Ukiongea kingereza bas tafsiri ya kiswahili ili wote tuelewe