Wapeni nunyi chakula....saafi Sana....by A. Sabuni
@victormalinga6394 жыл бұрын
Nimejifunza Kuketisha Tatizo La Aina Yeyote Chini, Mungu Aniwezeshe Kufanya Hivyo Zaidi Na Zaidi Kwani Kuyaketisha Chini Matatizo Yahitaji Neema Ya Kristo, Pia Nakupa Hongera Kubwa Kwa Kutimiza Miaka Kumi Ya Ndoa Yako Mungu Aendelee Kukupa Kibari Na Ufanye Mambo Makubwa..!