No video

Jinsi Ya Kutatua Matatizo Kwa Haraka - Joel Nanauka

  Рет қаралды 34,103

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 130
@user-mr4yr4op3i
@user-mr4yr4op3i Жыл бұрын
MOLA akubarik hakika najifunza mengi kutoka kwako mwalimu Nanauka
@deusjohn1107
@deusjohn1107 4 жыл бұрын
Habari za leo kiongozi Joel nanauka Mimi ninauwezo sana tokea nimeanza kujifunza mwishoni mwa mwaka jana naweza nikasema wewe Joel nanauka na Ezden juma nne mmebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa pengine mimi nisingefika apa nilipo sasa mwalimu wangu mimi ninatatizo moja tu nashindwa kutuliza nguvu mahali moja nakuwa natapanya sana nguvu zangu na kuwa na haraka sana katika kufanya vitu
@hannachamwiyega1630
@hannachamwiyega1630 5 жыл бұрын
Hata nnapotumia bundle sijutii kwa kuwa napata madini hasaa,mi nataka nishinde hofu zote kupitii hii video sitakuwa naangalia tatizo bt katika kila tatizo nitakuwa naangalia namna ya kutatua tatizo.Barikiwa sana mtumishi
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 Жыл бұрын
Unachosema nkwel kabisa. Mimi tangu nimeanza kufuatilia video zako mbalmbal nmekuwa nimtu ninaye jiamin sana tofaut na mwanzo nilivyokuwa.
@zenahaji6310
@zenahaji6310 3 жыл бұрын
Toka nimeanza kuangalia video zako nimejifunza vitu vingi na nimekuwa jasiri Sana na sina tenaa hofu yakushindwa na formula ya Kila unpochelewa kufanya maamuzi ndivyo unvyochelewa kupata mafanikio imenisaidia Sana kuwa mwenye kufanya maamuzi ya haraka Asante sana kk Joel ubarikiwe
@abelmwilapwa1111
@abelmwilapwa1111 4 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwani kwasasa sina hofu kabsa i na naamin kupitia ww nitafanya mambo makubwa sana ....Jnanauka thnx a lot
@Aviero_07
@Aviero_07 5 жыл бұрын
Mr.nanauka ahsante sana Abdul halim ap nimerudi kivingine.... Baada ya kupotez cm yang nlinkua nakosa masom ila ss nipo vizur....
@lilianraymond8561
@lilianraymond8561 5 жыл бұрын
Kiukweli natamani kushinda hofu ya kuongea mbele za watu...Ni kitu ambacho ninakifanyia kazi na ninaamini ninaweza!
@herrymadini4656
@herrymadini4656 5 жыл бұрын
Hey u can go kwenye site inaitwa school of life kuna article inaongelea tatizo la aibu pia hofu its helpfull jaribu.. limetuzuia wengi kufanya makubwa
@lilianraymond8561
@lilianraymond8561 5 жыл бұрын
@@herrymadini4656 Asante sana kwa recommendation, will take a look and learn about it right away! Be blessed!
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 5 жыл бұрын
Ninashida hiyo pia kusimama mbele za hazara nakuongea hua napata tabu sanaa
@hafidhikitala2508
@hafidhikitala2508 4 жыл бұрын
Joel mimi nimdau wako Nikikufatilia kwamda mlefu naitwa kitala kutokambagala Kwaili lahof yamaamuzi nnayo Nnakijana wakazi sasa amekuaboss nnachomuelekeza anajibu anachojiskia naomba ushauliwako
@ramadhanalmashamza3458
@ramadhanalmashamza3458 2 жыл бұрын
Asante sana kaka nataka kuishinda hofu ya kusoma Kwa bidii sababu mara yakwanza niliona kama nitasoma sana itapelekea mm kichoka na kubadilisha maisha yangu ya furaha lakini sasa nitasoma Kwa bidii nasitoogopa lifestyle yangu kubadilika
@lilianjacobs248
@lilianjacobs248 3 жыл бұрын
Asante Ila Mungu anisaidie maana Mimi naona kiyangea matatizo kwa watu ndio nafarijika ilaa naitaji kuponywa
@AfiSoul103
@AfiSoul103 3 жыл бұрын
Joel..mimi kweli nna hofu ya mambo mengi yoote hayo uloongea ni kweli kabisa nayaishi day by day... kupitia video zako napata nguvu ya kujaribu tena na tena...nilikua naishi katka mzunguko wa yaleyale ...ila hua nasoma kitabu chako na kupitia pages zako sanaa...kuna audio ya yule dada Alietaka kujiua..niliisikiliza mara mbili alafu nikajivalisha viatu vyake..na kujaribu kuamini kua nibadilishe nnavojiona ....Mimi ni Thamani.. asante 🤗
@uhuruplastics23
@uhuruplastics23 5 жыл бұрын
Ahsante kwa Elimu uliyotupatia,Kwa Hakika ninataka kutatua tatizo la kujiamini k. ua ninaweza kwa niyapangayo Maishani,licha ya Vikwazo vinavyojitokeza.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Uhuru Plastics safi dana hongera mnooo-Anza kuchukua hatua leo Usighairishe kabisa
@dudapaschal6547
@dudapaschal6547 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Bro kwa somo lako
@petermhendi4570
@petermhendi4570 2 жыл бұрын
Daaahhh!!! An brooo kila nikisikiliza masomo Yako ni kama yote yananilenga mim broo Asante sana. Leo umegusa mfano hai katika maisha yangu maana mim ktk family yetu wazazi wetu ni kama vile wametutoa sadaka na kila afanyalo mwanafamilia hawezi kufanikiwa
@petermhendi4570
@petermhendi4570 2 жыл бұрын
Ushauri wako hapo broo
@rashidkihombo6782
@rashidkihombo6782 4 жыл бұрын
Asante mungu akubalik nimejifunza kujiamin maan ninatatizo kama hilo la kuanguka kibiashara na madeni mengi kwa sasa silikimbii tatizo natafuta suluhu ya tatizo langu asante sana
@divinahgesare8842
@divinahgesare8842 Жыл бұрын
thanks Mr Joel umezaidia Sana kiukweli
@samwelfabian1950
@samwelfabian1950 Жыл бұрын
asante kwa mawazo umenipa ujasiri sana naanza sasa
@franciscomanyama2424
@franciscomanyama2424 2 жыл бұрын
Amina barikiwa sana
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Hiyo ya Nne na yamwisho naikubali sana binaadam unapokua unalalama sana hii inakupunguzia kuchukua hatua stahiki nautashindwa kujiamini kabisa haipaswi kijana kulia lia sana
@jacksonmlula5281
@jacksonmlula5281 4 жыл бұрын
Mr Joel Nanauka, I wish these subjects if it could be as syllabus at secondary levels and Universities , it could have been changed a lot of majority who loosed their dreams due to lack of these subjects , I pray more for the sure and you are able to change peaple's mind set. Nataka serikali iangalie elimu hii mitaala ya life skills iboreshwe na uwe founder for the first ili jamii inusurike. Wengine wanapata mimba mashuleni, au kukata tamaa, kwakuwa hawapati haya, yaani hata wafanyakaz makazini wangekuwa wathaman kama wangekuwa wanakuwa na misingi ya elimu hii. Ubarikiwe
@joelnanauka
@joelnanauka 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana,nami naamini kuna siku jambo hili litawezekana kabisa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻Tuombe uzima,mimi nimedhamiria kwa 100% nitafanya kwa sehemu yangu.
@tinajoe5487
@tinajoe5487 5 жыл бұрын
Hongera sana Joel Mungu pekee akulinde nakufatilia sana.
@anithamichael5716
@anithamichael5716 4 жыл бұрын
Asante sana Kwa Elimu nzur sana
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 5 жыл бұрын
Kaka sina namna ya kusema lakini umenijenga mnoo mnoo mnooo nilipolega lega umenifanya nikaze na nlipokuwa nakaza basi nimezidisha mkazo.. asanteee sana kaka Joel💪
@rhinakiza
@rhinakiza 5 жыл бұрын
Mungu aniepushia bali na mabaya yote, mimi family yetu mimi ni wa kwanza kupata social degree I am so happy about.
@phanuelpaul3785
@phanuelpaul3785 5 жыл бұрын
Thanks a lot brother nimefurah San kutazama video hii imenitoa tongotongo #SeeYouAtTheTopToo
@herrymadini4656
@herrymadini4656 5 жыл бұрын
Unayoyafanya kwetu Mungu atakulipa chief joel
@rahemahrahemah2719
@rahemahrahemah2719 5 жыл бұрын
Somo liko makini Sana Kaka Joel, thank u so much teacher Joel Allah bless you 🙏
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Ahsante Brother maana umetibu tatizo langu la hivi karibuni 🙏💎
@michaelmshana4562
@michaelmshana4562 5 жыл бұрын
Ni kweli kaka unatusaidia sana kwenye suala la kujiamini.. asante sana Mungu akubariki
@muzdahomar662
@muzdahomar662 5 жыл бұрын
Thnx somo limenigusa
@ellymakere3213
@ellymakere3213 4 жыл бұрын
Brother...I really appreciate you...kwa masomo mazuri
@mwanaharusialifakifaki8716
@mwanaharusialifakifaki8716 4 жыл бұрын
Ahsante docta ,somo zuri mafunzo mazuri
@joshuajastin5763
@joshuajastin5763 5 жыл бұрын
Asante mwalim wangu
@giftsam8458
@giftsam8458 5 жыл бұрын
Kaka asante kwamafundishooo ila naamini self believe yangu iko sawa ila nahitaji ushahuri ktk mambo flan
@mariamuswedy8899
@mariamuswedy8899 5 жыл бұрын
Safi kabisa ur the one who given me power
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 3 жыл бұрын
Bless you
@joemouly7877
@joemouly7877 5 жыл бұрын
Asante kaka. We have to break away our comfort zone...
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Mouly Joseph kabisaaa
@Alama_Tv_online
@Alama_Tv_online 5 жыл бұрын
Mimi namba moja inanisumbua
@mkwizoxsafarisadventures9750
@mkwizoxsafarisadventures9750 5 жыл бұрын
Yes, Mr JNanauka... Always I talk to myself that I'm bigger than my circumstances... This excels me far away and being positive frequently... Thanks for caring by sharing your brilliant ideas... Mungu akutunze sana mnenaji. #SeeYouAtTheTop #ComeBackToTriumph...
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Gabriel Nelson Ameen keep shining my friend
@mkwizoxsafarisadventures9750
@mkwizoxsafarisadventures9750 5 жыл бұрын
Joel Nanauka I'm humble brother... Thanks much for your everything under the sun!!!
@johnluhwa8342
@johnluhwa8342 5 жыл бұрын
Shukrana kaka joel tunaenda sawaa
@farajangwala9748
@farajangwala9748 5 жыл бұрын
hongera sana mafundisho yako ni mazuri sana
@matokeoanania4692
@matokeoanania4692 5 жыл бұрын
Asante kaka nitajitahidi kuishinda hofu yangu
@amykhalifa2535
@amykhalifa2535 3 жыл бұрын
Amani na fulaha vitawale maisha yangu kitu kidogo hofu kibao hofu haina mamlaka kwenye maisha yangu tena sitakufa bali nitaishi
@elvistemba6803
@elvistemba6803 5 жыл бұрын
Hapo kwenye kutokujiamini nimekaanapo sana mpaka nahisi pamenizoea Japo watu wananisifu kwenye mambo mengi ila bado sijiamini ninaweza kama wanavyodhani...Tatizo huwa ninapanic sana kila nikihisi nakosea Yani mpaka nakosaga pumzi na kupata kigugumizi cha ghafla....
@timeabdallah2368
@timeabdallah2368 5 жыл бұрын
Kaka asante kwa masomo yako kwangu,maana nilikata tamaa kabisa ktk maisha yangu kutokana na matatizo nilikutananayo lkn sasa najiona km ndio maisha nayaanza,ninanguvu mpya kabisa.Nakuomba kwa mungu akuzidishie kili lililolakher kwako..lkn natamani kuhudhulia mkutano wako ata km mmoja niko dar.
@helmanmamai3709
@helmanmamai3709 5 жыл бұрын
Barikiwa brother joel
@salomemtani5687
@salomemtani5687 5 жыл бұрын
Asante sana bro mimi nataka kushinda hofu ya kutoweza nitaka kufungua Kampuni lakini najiona kama sitoweze msaada hapa bro
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 5 жыл бұрын
kweli hofu ni janga linalokwamisha watu wengi kabla ya hapo nilikuwa MTU siwezi kufanya chochote nilikuwa nahisi nikijaribu nitafeli lkn baada ya kujifunza mengi kupitia kaka#joel mafundisho yke nimekuwa jasiri wa kufanya mengi bila hofu yeyote nikiamini nitafanikiwa hofu kwangu Haina nafasi kabisa.
@victorlaiser1512
@victorlaiser1512 5 жыл бұрын
Nataka kushinda hofu ya kuanguka kwa biashara yangu. Namna ya kushinda hofu ya deni.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Victor Laiser Anza kuchukua hatua hata kama ni ndogo.hofu yoyote ile utaishinda kwa kufanya
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 5 жыл бұрын
Asante Sana kaka masomo yako kila siku ni mazuri mnooo
@amykhalifa2535
@amykhalifa2535 3 жыл бұрын
Nahitaji kuwa na amani sitaki hofu itawale maisha yangu kuna sehemu nimesoma kwenye mada zako kuhusu nisijilinganishe na watu wengine sasa nakuwa njisahau najilinganisha ila yote najua hukuwa na maana mbaya kaka hata nikijilinganisha sipatwi na kibaya nataka kuwa na amani mpaka ukikongwe
@veronicawoisso5332
@veronicawoisso5332 5 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua kaka
@chananjajohn7630
@chananjajohn7630 5 жыл бұрын
Shukrani kaka kwa somo zuri Mungu akubariki sana#Seeyouatthetop
@giselamassawe5989
@giselamassawe5989 5 жыл бұрын
Hofu yangu nikuongea kiingezera naona kama nikiongea mara zote nitakosea tu....... Ushauri tafadhali
@jacobedmar.yakobo4546
@jacobedmar.yakobo4546 5 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo wa mafunzo mkuu.soi motivé aussi
@Vipajivyatanzania
@Vipajivyatanzania 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana sijutii mb zangu kupotea bule
@wilsonnkumba2104
@wilsonnkumba2104 5 жыл бұрын
Nzuri saana.
@sharounaidan4473
@sharounaidan4473 5 жыл бұрын
Samuel nkumba ni ndugu yako
@grevassaulo2461
@grevassaulo2461 5 жыл бұрын
U are the best.
@denisbenedicttemba3369
@denisbenedicttemba3369 3 жыл бұрын
Asante Sana Kaka
@charlzzesonconsciousness6685
@charlzzesonconsciousness6685 5 жыл бұрын
Tunakusubiria mbeya chuo cha MUST kwa hamu kubwa tupate haya madini
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Charlz ze son Consciousness nashukuru sana nami nina hamu kubwa ya kuwaona
@clintonjakob5411
@clintonjakob5411 5 жыл бұрын
Good xn my brother umefanya asubuh yangu kuwa nzuli
@antelmmartine9588
@antelmmartine9588 5 жыл бұрын
somo liko safii
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 жыл бұрын
Shukran
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Shukraan brother kwa somo nzuri ubarikiwe sana
@suleymanazizabdallah8165
@suleymanazizabdallah8165 5 жыл бұрын
Hukosagi kipindi😅
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Nitakosaje kipindi kama hiki cha mafanikio na Zingatia sana
@suleymanazizabdallah8165
@suleymanazizabdallah8165 5 жыл бұрын
Safii sana
@richardmnkama4358
@richardmnkama4358 5 жыл бұрын
the topic is very educative as planned, keep it up brother
@hamismjeda3942
@hamismjeda3942 2 жыл бұрын
Hofu ya kuogopa kusema
@godifalsafa6956
@godifalsafa6956 5 жыл бұрын
Asante sana kaka usichoke tunakutegemea
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Kizazi bro
@SandrineNduwimeNduwim
@SandrineNduwimeNduwim 5 жыл бұрын
Asante sanaaaa.
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 5 жыл бұрын
kwel bro 3&4vinanihusu
@joshuakwelimoto6494
@joshuakwelimoto6494 5 жыл бұрын
Hofu
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@clementvenance1742
@clementvenance1742 3 жыл бұрын
Samahani mwalimu mm napenda kingereza lakini kinanishinda nifanyaje
@alihassanhaiba6937
@alihassanhaiba6937 5 жыл бұрын
Ahsante sana bro ,mm nipo kwenye point ya 3 kuishinda hofu , nataka niende chuo kumfata boss wangu kuomba ruhusa naogopa sijui kwanini ? na hili ndo tatizo langu miaka mingi hofu tuuu
@neemamroso6864
@neemamroso6864 5 жыл бұрын
Mimi nina tabia ya kukata tamaaa.Naanza kitu naachia katikati
@Maulidfundi
@Maulidfundi 5 жыл бұрын
Akika ata mm nimeona kama maitaji ya kumpeleka dada angu shule ni tatizo kubwa baada ya kujumlisha ila baada ya kuangalia hiii video imenipa uwezo tofauti,,,na ntailudia zaid na zaid hii adi nishnde hiii ali.
@kelvinmagath5506
@kelvinmagath5506 5 жыл бұрын
Asante sana bro
@joshuayohana5998
@joshuayohana5998 4 жыл бұрын
Vitabu namna yakuvipata
@gressluhimbo1020
@gressluhimbo1020 Жыл бұрын
Hofu ya kutojiamin
@aysharamadhan645
@aysharamadhan645 5 жыл бұрын
Asante Sana kaka ila tatizo liko wapi mimi kama niko mbali ni kweli mwisho nashindwa kutatua matatizo yngu kwa haraka ila kwa Sasa Naanza kuamua kutatua matatizo yngu kwa haraka
@jeremiamussa7910
@jeremiamussa7910 5 жыл бұрын
Asantee sana kaka joel
@pambatz2984
@pambatz2984 5 жыл бұрын
asante kaka joel
@shijamorris8280
@shijamorris8280 4 жыл бұрын
Kuongelea tatizo langu na sio suluhisho ila kuanzia sasa nitabadilika
@adelehridecosmas3404
@adelehridecosmas3404 5 жыл бұрын
Hofu yangu ni kushinda biashala yangu naninahisia yakuwa tajili na kumpa mfano mume wangu kuwa naweza nasi kama yeye anavyojua mimi siwezi
@saidimkubwa5158
@saidimkubwa5158 4 жыл бұрын
Mm ninahofu ya kuongea sana mbele za watu sijuiiii nifanye nini
@kassimmhamadi5449
@kassimmhamadi5449 5 жыл бұрын
Thanks 🙏
@samwelfabian1950
@samwelfabian1950 Жыл бұрын
changamoto nimtaji
@ngendakumanasalumdiki4885
@ngendakumanasalumdiki4885 5 жыл бұрын
Kwakweli nakupongezatu.
@jaxboytv7834
@jaxboytv7834 5 жыл бұрын
Thanks bro you are the best!
@lilianbenson5774
@lilianbenson5774 4 жыл бұрын
Thanks for the inspired lessons. I've learnt to overcome fear and believe on myself.
@fadhilirobert6169
@fadhilirobert6169 4 жыл бұрын
Kaka Mimi naitwa gody Niko moshi Mimi nilisomea udeleva nikamaliza vizuri kabisa Sasa Mimi nahofu yakweda hatakuogea kwenda hata kuombakazi nimegitaidi lakini nimeshindwa kabi hoofu imenijaa
@nyawallyambroce6335
@nyawallyambroce6335 5 жыл бұрын
Natak niishinde hof ya kuanza upya
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 5 жыл бұрын
Ahsant
@maggiepeter8936
@maggiepeter8936 5 жыл бұрын
Nataka kuishinda hofu ya kuanza upya...cz nilianza nikaanguka
@mahmoudnyamzugu2166
@mahmoudnyamzugu2166 4 жыл бұрын
I'll struggle with academic problem
@jumannekijombi9376
@jumannekijombi9376 4 жыл бұрын
kutojiamin nipo tayal kuishada
@bakarialykitemwe9232
@bakarialykitemwe9232 4 жыл бұрын
Dah brother umenifungua sana koz Kuna jamaa alikuja kunilalamikia shida zake na akaniomba kama nikiwa na kibarua chochote ni mpe ili apate chochote kitakacho msaidia ktk kula yake,mi nilimchukua nikampeleka site ninako jenga nikamkabizisha kwa mafundi awe Kama saidia nikawa Nina mlipa kwa siku 10000 kula bure kafanya kazi siku nne tu mafundi waka mkataa koz jamaa ni mvivu sana nikambadilishia majukumu akawa Kama msimamizi lakini mwisho wa siku mi nimehamia nyumbani kwangu yeye kasahau Kama ulikuja kufanya kibarua tu yani kila kukicha na yeye kafika asubui mapema kawasha tv kaz kuangalia move umkalibishe chai akisha maliza makalio kwenye sofa macho kwenye tv mchana ale arudi tena kwenye tv akisha kula cha usiku ndio anaenda kulala kwake,kesho yake hali Kama ile ile yani wewe zinguka ukirudi yeye yupo ndani anacheza na watoto na kuangalia move alafu ni kijana mkubwa miaka 30 na ana mtoto mmoja hata hamu hudumi na ni timamu wa viungo na afya tele Sasa mi kazi ya kumpa Sina na jinsi ya kumtoa hapa nashindwa kumuambia lakini inanikera kuona nimeongeza familia bila kukusudia alafu ni kijana mwenzangu so baada ya kuona hi video Leo nitajitia ujasir wa kumuambia Bali Kama Kuna ushauri naomba nipewe jamani
@abelbenedicto5392
@abelbenedicto5392 5 жыл бұрын
Hakika umenena Broo, Haya mambo ndicho chanzo Cha kukuza na kuyapa nafasi Matatizo. Thanks Much🤝
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Abel Benedicto kabisa kabisaa
@giftsosten2446
@giftsosten2446 5 жыл бұрын
@@joelnanauka Naomba namba yako kk nakuelewa sana
@charlzzesonconsciousness6685
@charlzzesonconsciousness6685 5 жыл бұрын
Npo darasani kujifunza
@officialmartin4432
@officialmartin4432 4 жыл бұрын
broo kiukweli tatizo linalonisumbua ni uvutaji bangi kwa mda mrefu na kila nikijaribu kulitatua hili tatizo linanishinda
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 5 жыл бұрын
Sijawai jutia kukusikiliza
@successmbizo3209
@successmbizo3209 5 жыл бұрын
God bless you bro...
@hosseinmpangandaro2046
@hosseinmpangandaro2046 5 жыл бұрын
M/mungu akupe mwisho mwema maisha yko,lkn bro niltuma text zngu lkn ckupata majibu,plz just answer me my text.....!
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Hossein Mpangandaro ahsante sana.Pole kwa kushindwa kujibu naomba utume tenatafdhali
@johanessevodius812
@johanessevodius812 5 жыл бұрын
SOMO LINAELEWEKA VIZURI NA LIMENIPA UJASILI
KUIPAMBANIA NDOTO YAKO - JOEL NANAUKA
13:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 8 М.
Kutawala Hisia Zako - Joel Nanauka
11:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 59 М.
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,4 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,3 МЛН
AINA YA WATU WANAOTAFUTWA NA WAAJIRI
9:56
The HR Tanzania
Рет қаралды 3,1 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 264 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Maeneo Sita (6) Ya Kuzingatia Katika Kujenga Nidhamu - Joel Nanauka
12:01
Kauli ya Baba wa Taifa J. K.  Nyerere juu ya maendeleo
13:31
Mambo ambayo hutakiwi kabisa kumwambia Boss wako
9:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 67 М.