Mbinu hii ukiwa USA 🇺🇸 Itakusaidia kupata kazi kwa urahisi ukiwa unaanza maisha

  Рет қаралды 5,043

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

11 ай бұрын

Kazi Marekani zipo nyingi sana. Lazima uwe na vibali na pia ujue jinsi ya kuomba kazi hizo

Пікірлер: 21
@mickymicky969
@mickymicky969 2 ай бұрын
Barikiwa mkuu
@mtalikwamtalikwa5689
@mtalikwamtalikwa5689 11 ай бұрын
Nakubali 💯 mzee baba
@user-we4rt4ud1b
@user-we4rt4ud1b 11 ай бұрын
Shukran
@keitawallet953
@keitawallet953 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mkuu
@vuionm
@vuionm 11 ай бұрын
Big up
@ngoynzoagermain
@ngoynzoagermain 8 ай бұрын
Pamoja sana 5/5🇨🇩🇨🇩
@hamudseif
@hamudseif 11 ай бұрын
Language ni kipengele, km ujui effective eng commication utazunguka sana kutafuta kaz..nime experience ilo adi unakata tamaa, kwa ivo watu wajifunze lugha ni vzr
@Abduli23
@Abduli23 10 ай бұрын
Me labda niulize Hicho kibali una patia wap..
@goodluckipupa720
@goodluckipupa720 11 ай бұрын
Ata mwenyewe uwezi kuhingia ndani😂
@thomasbinah7597
@thomasbinah7597 10 ай бұрын
Si bora tu hata usinge comment!!unaona hasi tu kwenye fikra zako bila shaka utakuwa bunju A hapo
@BillyNahum
@BillyNahum 9 ай бұрын
​@@thomasbinah7597😂
@BillyNahum
@BillyNahum 9 ай бұрын
Acha zarau kuna taratibu zake za kuingia anaruhusiwa mwandishi wa habari mwenye kibali 😅
@wakuitwangosha
@wakuitwangosha 11 ай бұрын
Sisi tunataka mbinu za wale ambao hawana vibari,halafu ww unakomaa na green card
@mkingageorge2641
@mkingageorge2641 11 ай бұрын
Ila mm napendekeza kuomba apointment naye ili umwambie shida yako kma unatka bila green card kwa upande wangu nilisha book na nika meet nae mambo ni fire sana
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 11 ай бұрын
😂
@muttaperfect
@muttaperfect 11 ай бұрын
😂😂😂😂 anakutengenezea njia ya kwenda kuishi kabisaa sasa sema sisi wengi tunapenda kwenda kutafuta alafu turudi zetu home tu
@user-hi2ii3ks2c
@user-hi2ii3ks2c 11 ай бұрын
​@@mkingageorge2641 sasa kama wengine tupo mwanza tunampataje sasa tusaidie kuomba hiyo appointment maana nina shida nae sana
@danstanmgaya1251
@danstanmgaya1251 11 ай бұрын
Mwamba kama nakuona vile Mm napenda kwenda in legal way lakin sasa shida ni maokoto
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 3,2 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 7 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,9 МЛН
Kazi za Usiku wa Manane Marekani, Canada na Ulaya
9:59
EBM SWAHILI
Рет қаралды 2,8 М.
USA Tourist Visa Interview 2024- B1/B2 Visa Interview Questions and Answers 🇺🇸🇺🇸
8:44
Beyond Education & Immigration Services
Рет қаралды 151 М.
Maisha ya Marekani - Upweke, Nyumba, Ukimya na Familia
14:01
EBM SWAHILI
Рет қаралды 22 М.
Jinsi ya kununua vitu used marekani kwa bei rahisi
12:02
Dnyota usa
Рет қаралды 8 М.
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 3,2 МЛН