KAMWE USIJARIBU KUZAMIA KWENDA USA, ULAYA, CANADA. KUNA NJIA SAHIHI ZA KUFUATA

  Рет қаралды 12,398

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Hata kama una hasira namna gani ya kwenda ughaibuni, jitahidi kufuata taratibu utafanikiwa. Njia hizi za kuzamia zinaweza kuharibu maisha yako yote

Пікірлер: 58
@jacobndwikendwike-bd7jj
@jacobndwikendwike-bd7jj Жыл бұрын
Ebm hongera sana kwa upendo wako na moyo mzuri wa kutuelimisha...by Jacob Ndwike
@KazimiliFaustine
@KazimiliFaustine 10 ай бұрын
Ebm hongera Sana Kaka kwa upendo wako was dhati endelea hivyo Kaka ubarikiwe mno
@suleimanmasoud567
@suleimanmasoud567 Жыл бұрын
Exactly brother uneongea vitu vya msingi sana vijana ni lazima wasikilize hii na sio ile ambayo wana sikua tu watu wengine kuhisi ana na kuzamia ulaya
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 Жыл бұрын
Watu wamezamia lakini wamefika viwanjani wamesoma wanakazi mzuri na makaratasi wamepata na makwao wanakwenda kila mtu na njia yake ya utafutaji, kuna watu walefu na wafupi. Watu wote sio sawa.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Information nzuri sana EBM. Ahsante kwakuelimisha vijana.
@preciousbocco1445
@preciousbocco1445 10 ай бұрын
Kaka nakukubali Sana, inatusaidia Sana wasio na elimu juu ya haya Mambo
@REBECAMSENGI
@REBECAMSENGI 7 ай бұрын
Kaka Asante kwa elimu nzuri ila shida yako hujibu message kwa wakati sijui tatizo nini
@saidinanchwe6710
@saidinanchwe6710 Жыл бұрын
More Blessing
@PondamaliJacques
@PondamaliJacques 7 ай бұрын
Mungu akubariki kaka yangu najuwa mimi ivi natafuta iyo application yako tunakupenda sana
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
Watu wamezamia wengi tu na wamehalalisha makazi yao KILA MTU na njia zake
@b.emmanuel4088
@b.emmanuel4088 6 ай бұрын
Mafunzo Mazuri sana
@travixclay8990
@travixclay8990 Жыл бұрын
Agency wanataka milion 9 ukiangalia hali zawatanzania wengi wanao taka kwenda nje niwale ambao hawajai shika hata milion mbili so sometimes mtu anaona bora a lisk maisha kikubwa aondokane na umasikini
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
BOMBA sana
@izereswabri78
@izereswabri78 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@MamanuruMchagga
@MamanuruMchagga 5 ай бұрын
Santee br
@VictorNtanga-eg2eh
@VictorNtanga-eg2eh Жыл бұрын
Asante sana kaka
@abdimuna
@abdimuna Жыл бұрын
Umeongea point sana bro
@berrymshana4686
@berrymshana4686 Жыл бұрын
Naelewa sana bro
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 ай бұрын
Babu yote maisha we kama ulifanikiwa kwa njia yako achana na watu watu
@hassanwaissa2391
@hassanwaissa2391 Жыл бұрын
Be blessed faaza, we real apriciate for what u doing for us. 🙏🙏🙏
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 Жыл бұрын
Your right but inategemea umetoka ktk familia gani, wengine wametoka ktk familia ya wauza mchicha na vitumbua na Bongo akieleweki the only way out tukutuku, kinachotakiwa kujielewa na nizam viwanjani, all other legal issues zitakuja taratibu, TZ tukutuku vichaa one love from states.
@MjombaOg-py2ls
@MjombaOg-py2ls Жыл бұрын
Pamoja mzee
@AbdulRahimYusuf-ty6no
@AbdulRahimYusuf-ty6no Жыл бұрын
Good
@aoloathumani10
@aoloathumani10 Жыл бұрын
Umeongea ukwel, Mi natafuta njia sahih za kuondoka, ila ikishindikan kabisa hamna namna itabid tu nizamie😠🌷
@wazainakigomaboy2724
@wazainakigomaboy2724 Жыл бұрын
Unishue mimi mwenyewe ntazamia
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Жыл бұрын
Wee na mm nkotiali iranazitaufta kwanza
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Apo sawa nilikuwa sijakusikiliza vizuri
@makibadatela7865
@makibadatela7865 Жыл бұрын
Ushauri wako ni mzuri ,japo kuwa una wafaa watu wenye kiwango fulani cha uelewo ( Elimu ), Taifa letu kama Tanzania lingekuwa linafanya uchunguzi kujua wazamiaji wengi ni huwa ni vijana wenye kiwango gani cha elimu na wametokea familia gani na vitu kama hivyo tungejua ushauri upi tutoae.
@ZaharaHassan-e8s
@ZaharaHassan-e8s Жыл бұрын
Sasa naomba kuuliza wanaoenda kwa njia ya kufanya kazi kwenye makapun utafanyeje ili ubaki huko?
@abilundomba7499
@abilundomba7499 Жыл бұрын
Njia ya kubaki ni ipi?
@anorderick7162
@anorderick7162 7 ай бұрын
Mmmmhh Hapo ni wapi... mbona kama bongo...majani na
@brigitajoseph1963
@brigitajoseph1963 Жыл бұрын
Kijana ubarikiwe mpaka umshangae Mungu!
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌👊👍.
@ribentsp
@ribentsp Жыл бұрын
Eti watu wasizamie,wasizamie kivipi wakati hawana ela yakutosha,ela ya visa aitoe wapi,ela ya tiketi aitoe wapi ela zakuonyesha kwny acc azitoe wapi.nyie wenyewe mmejaa roho mbaya tu,mtu anakuomba msaada lakini wapi hata wa ushauli hamna Sasa akipata mchongo kwanini asizamie,au unazani maisha ya afrika ni mazuri Sana?,Mimi Kama unaijua njia ya kuzamia niambie nkifika ntakupa hata ela ya maji,shaichoka bongo
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Aina hiyo
@alijumamohamed
@alijumamohamed 10 ай бұрын
Maneno mazima sana.na ushauri ni bure
@Wesley-AK
@Wesley-AK Жыл бұрын
Kweli kabisa
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 Жыл бұрын
Paka ni paka tu @ebm
@machinefannatic99
@machinefannatic99 8 ай бұрын
wanaozamia ndio wanafanikiwa haraka na kupewa kipa umbele kuliko wanaopitia njia sahihi
@jacklinenaftal7985
@jacklinenaftal7985 Жыл бұрын
@ValetineLubeja
@ValetineLubeja Жыл бұрын
Ungeweka na namba ya whatsaap ili iwe rahisi na kulipia service tunazotaka na kurahisisha mawasiliano wengine huku mtandao shida sana tunaomba lakini
@ValetineLubeja
@ValetineLubeja Жыл бұрын
Tupo pamoja
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 Жыл бұрын
Kitu ambacho hua kinaniogopesha kuwapa watu mualiko ni hicho kitu cha kukimbia bado sijatokea kuwaamini sana mpaka mtu nimjue vizuri sana mana kuna jamaa aliniomba mualiko kumbe nia yake akifika huku apotee yani angeniingiza shidani sana tangu ile siku inanifanya niogope sana
@betricedavid2412
@betricedavid2412 Жыл бұрын
Naomba mimi haki tena siwez zamia nitakuja lakini nitarudi nyumbani baadae nitakuja tena na kutafuta kazi na kusoma haki tena nakwambia je nikupe mawasiliano yangu
@mukrimchum7453
@mukrimchum7453 Жыл бұрын
Sasa izo njia ndo tunazitaka kuzijua
@Francis-kx1sb
@Francis-kx1sb Жыл бұрын
Kichwa makini hiki
@kilima_njaro
@kilima_njaro Жыл бұрын
Muhimu
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
kuzamia hakuna maana kuingia chini ya meli
@JosephatCyprian-gt4go
@JosephatCyprian-gt4go Жыл бұрын
Kiongozi vipi mpango wa Nazi?
@HalfaniChande
@HalfaniChande Жыл бұрын
Tuko pomoja kaka
@mapinduzihasanitz4864
@mapinduzihasanitz4864 Жыл бұрын
Mbwa ni mbwa na paka ni paka
@SalumKhamis-rs8xt
@SalumKhamis-rs8xt Жыл бұрын
Ni maelezo yalio nyooka kiufundi kabisa
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
Mimi nimeigia marekani na meli.sasa nime kwa ma
@blacksingapore
@blacksingapore Жыл бұрын
Oi niaje, nicheki mzee mi nipo New York city
@wazainakigomaboy2724
@wazainakigomaboy2724 Жыл бұрын
@@blacksingapore oya nitumie namba nina ishu mi nipo Pretoria South Africa
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
@@blacksingapore neworleans Louisiana
@muranisalim3572
@muranisalim3572 Жыл бұрын
Fact 1:35
@abilundomba7499
@abilundomba7499 Жыл бұрын
Namba yako ya whatsapp
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Why Indian Immigrants Become Rich and Raise Successful Kids
13:55
Valuetainment
Рет қаралды 4,1 МЛН
Viral Video of a Man's Crazy Job Interview
16:02
Darryl Vega TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Safari yangu kuja USA na kuishi miaka 15 (Njia niliyotumia)
15:34
Njia rahisi ya kuingia marekani
2:35
Dnyota usa
Рет қаралды 19 М.