mashaAllah...very well prepared..will definitely give it a try
@fatmamohamed9803 Жыл бұрын
Was looking for this recipe, shukran 🥰
@KhamisRashid-r8n6 ай бұрын
Mashaallah shukran jazaqallahu kheir
@samiasalim83223 жыл бұрын
Mashalla uko na rohoblzuri mwanangu mingu akulipe kwa kutufunea abariki mokono zako so chakula ni mzuribmashalla
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Ameen ya rabbi...Shukran habibty
@BiubwaMuhammed-un3dt3 ай бұрын
Pilipili mbuzi haifai hizondefu sina
@marynzilu3 жыл бұрын
Wow, very nice recipe. Learning new recipes 😘. Inakaa tamu❤️
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Thank you dearest for sharing me we are together ♥️♥️
@LezizTV3 жыл бұрын
How beautifuly prepared. Thank you.
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Thank you
@BestaAlly11 ай бұрын
Nimeipenda nilikuwa sijui kuitengeneza..Shukran maa
@hellensholo54233 жыл бұрын
Asante dada kwa kutuelimisha.... Be blessed.
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Ameen
@LunasBites3 жыл бұрын
MashaAllah great recipe sis looks delicious 😋 🤝❤️
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
😋😋😋👌Bala hii natamani niruke jamanii
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
😂😂😂na wali wako wa kokoriko😂😋😋🤤🤤
@iamfriedrich3 жыл бұрын
Rukia pia Mimi nakutambua kwa mapishi
@iamfriedrich3 жыл бұрын
Rukia pia Mimi nakutambua kwa mapishi
@cookingandbaking63693 жыл бұрын
14 very nice👏
@gladyskavithe6008Ай бұрын
Mbirimbi zaitwaje kwa kizungu?
@mwalimucharo927719 күн бұрын
Cucumber penis
@wahidasaid6081 Жыл бұрын
Best mbirimbi recipe
@salwasuleiman35253 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akubariki katka kazi zako amin
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Ameen ya rabbi
@umibakari5843 жыл бұрын
Masha Allah very nice
@umibakari5843 жыл бұрын
Nakama nataka kununuwa nitaipata vp
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Contact me habibty 0740797748 Najla fuad...Mombasa Kenya
@ramadhaniabubakari8643 жыл бұрын
@@najlaskitchen1572 my naombaaa kuuliza je kama hauna iyooo sink utaweza kuwekaa vinenger
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
@@ramadhaniabubakari864 siki ni vinegar
@ramadhaniabubakari8643 жыл бұрын
@@najlaskitchen1572 Asanteee my dear
@treasurekitchen3 жыл бұрын
This is nice
@terryskitchen3373 жыл бұрын
Mbirimbi zavutia kweli, hadi nimetamani😋
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Asante da Terry and karibu
@theemagazijas3 жыл бұрын
Masha Allah mirimbi 😋😋looks so yummy
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Asante
@hermandemello2200 Жыл бұрын
Ty Najla for the awesome lovely bimbli pickle 🥒🥒🥒 recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania WOW.
@satwanthoogan67463 жыл бұрын
Asantee my dear.. 😋👍😘
@asishome71483 жыл бұрын
8liki🎁💐👍🏻
@lesthermulagha66873 жыл бұрын
Asante Sana kuwa darasa. Je hicho kikopo unauzaje?
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Mimi nipo kenya nauza 200
@sarahwanyonyi81383 жыл бұрын
Naeza pataje hio mbirimbi?
@lucydee7753 Жыл бұрын
Masala used is a mix or which one
@mariamtofiki9489 Жыл бұрын
Nice
@lesthermulagha66873 жыл бұрын
Asante sana dada darasa liko poa.
@debierich5412 жыл бұрын
Thanks my dear
@ashamidello82983 жыл бұрын
Hatariii Najla,Mashaallah mashaallah 😘
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Shukran dear
@fatimabinsayid13233 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah ❤❤
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Shukran habibty
@cookingwithsherry3 жыл бұрын
Looks really good
@wajuumukhadija79632 жыл бұрын
Maashallaah
@rithamturi18033 ай бұрын
Nasikia ukiweka vitunguu inawah kuharibika hii imekaaje?
@janetndeanasiambene39752 жыл бұрын
Asante nimeipenda hii recipe iko simple. Kwa hiyo haiwekwi mafuta? Na chupa ya plastik inafaa kuwekea juani?
@najlaskitchen15722 жыл бұрын
Shukran mami..ya unaiweka juani
@ramlaabdurahman3059 Жыл бұрын
Ni tam Maa Shaa Allah. Haiwekwi nyanya?
@jikelasimbakenya70958 ай бұрын
Tomatoes itaharibu pilipili haraka
@cornelialiyombo91732 жыл бұрын
Asante sana lakini hujasema masala gani
@cresensiaitatiro Жыл бұрын
Habali my..tofati na kuweka juani siwezi kuipka?
@evermarki32493 ай бұрын
Masala ipi umetumia dear? Ambayo inapatikana kwa urahisi
@bayinurein96853 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah 😋😋😋
@tingbatuuka72783 жыл бұрын
Safi sana
@whocein2 жыл бұрын
Mbirimbi ukizitoa kwa nkebe baada ya kulala usiku kucha unaziosha?
@sa4536410 ай бұрын
Mbona inawekwa kwa jua siku tatu?
@magdalenambena29873 жыл бұрын
Huwezi kusaga hii mchanganyiko??
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Unaweza m nimesaga hapo, kitunguu maji, vinegar pamoja na pilipili mbichi
@rehemamussa65992 жыл бұрын
Masala ni ya aina gan? Na je kama hakuna jua tunafanyaje?
@HajraRashidkuziwa Жыл бұрын
Nimekuja kuangalia video zako ya kucehelewa naomba nijibi kama unaona comment yangu je naweza saga kwenye Brenda ikawa rojo na nikaendelea kuiweka juani
@gulleid3 ай бұрын
Ndyo waweza
@zeraismail75233 жыл бұрын
Shukran habibty kwa recipe ila naomba kujua ukiacha manjano hayo masala uliyotumia ni masala gani?
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Ya kawaida mpenzi
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Ya kuuzwa dukani
@zeraismail75233 жыл бұрын
Shukran👏👏
@mfouaponhassan81873 жыл бұрын
kitchen samahani, je haitiwi kitunguu thoum na tangawizi.?
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
@@mfouaponhassan8187 hapana
@fatmaabdallah7709 Жыл бұрын
Habari zenu wapendwa naomba kuuliza km achari za kuuza niweke dawa gani isiharibike haraka?
@azizaaliy8981 Жыл бұрын
sodium benzoate
@fatmaabdallah7709 Жыл бұрын
@@azizaaliy8981 shukran kama ni ndoo moja unaweka hiyo sodium kiasi gani? Au vijiko vingapi?
@rayanassor50773 жыл бұрын
Asnt sn kwa achari 😋
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Afwan
@liliandeus21712 жыл бұрын
Masala ni ipi? Garam
@asmaomar14713 жыл бұрын
nzur. napenda lkn kakasi ya mbirimbi yanikeraaa
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Acha tu..nazila sana mpaka naskia ulcer 😭
@asmaomar14713 жыл бұрын
@@najlaskitchen1572 polee sanaa
@marinafarijala23143 жыл бұрын
Kutoa ukakasi kwenye mbilimbi,unatakiwa uziloweke almost siku 3 kwenye maji kisha unazitoa,unasuuza tayar kuzifanyia kazi,
@asmaomar14713 жыл бұрын
unaziroeka baada kuzikata yan au b4
@shalomeunice70773 жыл бұрын
Yaeza ekwa nje ama lazma iwe kwa fridge
@gwantwabeno26292 жыл бұрын
Somo zuri lakini hiyo masala Ni masala gani??
@Thisisgrace9793 жыл бұрын
Naweza tumia pilipili aina yoyote?
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Yes dear
@iptisamhamran3383 жыл бұрын
Mouth watering
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Mashaallah 🥰🥰
@najlaskitchen15722 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@erastitesha9433 жыл бұрын
Kama hauna hiyo think unaweka nn?
@fardahhassanially70332 жыл бұрын
Nini kinafanya zisiharibike?
@najlaskitchen15722 жыл бұрын
Siki
@liliandeus21712 жыл бұрын
@@najlaskitchen1572 please tujibu sie tunaouliza masala gani? Zipo nying
@najlaskitchen15722 жыл бұрын
@@liliandeus2171 c nimejibu siki my ama white vinegar
@liliandeus21712 жыл бұрын
@@najlaskitchen1572 hapana sio siki masala ndo sjui ipi dada
@jykims99565 ай бұрын
Hio mbirimbi wachemsha au
@shifaaal-baity45033 жыл бұрын
😘👍🏻
@wajuumukhadija79632 жыл бұрын
NZURI MNOOO
@habibahabiba7128 Жыл бұрын
Kama hizo ulizopack unauza shilingi ngapi
@mwanatz59802 жыл бұрын
Dada mbirimbi zitoemoyo wa kati unasababisha marazi ya mshipa au ngiri kwa wanaume.
@a.8563 жыл бұрын
😋😋😋
@SamwelMbalazi-jz1yo Жыл бұрын
Kama huna blenda unafanyaje samahani
@johnrojo72112 жыл бұрын
silki ndo nni
@lesthermulagha66873 жыл бұрын
200 ya kenya ni shs. ya tanzania. Nimeweza kupika na ikatoka vizuri sana.