IKO SIKU MKE WANGU NA SISI TUTAKULA KUKU NA NYAMA ZA KUCHOMA NA UGALI MOTO ❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 KENYA TUNAKUKUBALI SANA MBOSSO
@preciouscute4074 жыл бұрын
Mme wangu akirud na mawazo hua namuwekea hii nyimbo tunacheka wenyew maisha yanaendelea
@vanidiaronaldo26404 жыл бұрын
Mbosso huku KENYA twala huo Mrenda™ ....Kibao safi tena sana..endelea na hio RIENG'
@mkenya25454 жыл бұрын
😂😂
@eliuthamangula17914 жыл бұрын
Haha rieng ninini?
@tashkimly15114 жыл бұрын
😂
@afyasession4 жыл бұрын
Haijakaa sawa instrumental beat kzbin.info/www/bejne/e5_FYoSciqpriZo
@boeihongoa14364 жыл бұрын
😂 tujibu sisi Watanzania hatujui RIENG ni nini.
@elisafimsemo53395 күн бұрын
Mbosso mbosso mbosso nimekuita Mara Tatu Unasema mambo ya ndoa sijui kwann huoi ndugu yangu Allah akufanyie wepesi
@mwalimrubea23384 жыл бұрын
Tena nafungaaaaa sana sunnaaaa Mboso Haija kaa saw Km umemuelewa like Tujuane....🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@emanuelkasiano69344 жыл бұрын
Hiv ndivyo inavyodhihilisha kuwa WCB ndicho chuo cha muziki hapa AFRICA mashriki wapi like za MBOSSO KHAN @fundi wa mashairi🙏🙏🙏♥️♥️💯💯🔥🔥
@WillyIratanga10 ай бұрын
😢😢. Ibb. Nol '
@lari72864 жыл бұрын
001 from Mombasa tunao mkubali Mbosso gonga like hapa Nyali 👍👍
@queencynthiaadhiambo26033 жыл бұрын
Hi song inanikumbusha mengi sana katika maisha yangu for real
@liban2004 жыл бұрын
Wa Kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 @Mbosso king Of Romance 💞✌️we love U 🇹🇿🇹🇿🔥
@jay-sr3js4 жыл бұрын
If you beleave this guy gonna be lit in the coming days gonga like #team_mbosso_from_kenya
@belindasteve47494 жыл бұрын
Hii ngoma ingeitwa "Niombee"ingependeza kinoma☺☺....imebeba maudhui mazuri sana.😘😘😘
@timothmwakakusyu45634 жыл бұрын
Haijakaa sawa ndo imebeba maudhui kwasababu ni hali yake ya maisha anayopambana ili afikie malengo. Hali ya kiuchumi haijakaa sawa ni sahihi zaidi kuliko niombee, haijakaa sawa ni vision niombee ni mission
@allyomary14794 жыл бұрын
Mbosoo anajua kiukwel mungu ambarik
@GloriaChipango-s7nАй бұрын
mbosso love this song u make me cry every time i listen to this song life is like this but God Chag everything just Bev in God ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 thanks for this lovely
From Nairobi to dar......... mbosso is east Africa hot shot at the moment
@thekingkenya4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKGqZqaMgtV7lc0 Yap
@alilantez_music4 жыл бұрын
facebook.com/alilantez/
@zahramohamed25334 жыл бұрын
100%
@hgdplatz63394 жыл бұрын
erico davido *Samahani kwa usumbufu* *Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia KZbin link*👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/e56qnKR5rMiDnKs
@ericodavido76804 жыл бұрын
@@hgdplatz6339I loved it especially the beat
@turaendan60034 жыл бұрын
kama ibada naswali sana kwa usiku wamanane tena nafunga na sunnah my favourite artist💖💖from🇸🇴🇸🇴mbosso🥇🥇🥇🥇
@nestor_nyb3 ай бұрын
1:54 hii verse nyinyi mshawahi isikiliza kwa umakini dah uyu jama fundi 2024🎉
@iamnjugunanjuguna52314 жыл бұрын
Huku South Africa tunakutambua kwa mashairi Mr Mshedede 🔥🔥🔥
@abrahaminess5204 жыл бұрын
Sawa yimbo ina furahi halissi 🇹🇿🇹🇿 Love sana Mzé
@afyasession4 жыл бұрын
Haijakaa sawa instrumental beat kzbin.info/www/bejne/e5_FYoSciqpriZo Kwa wale tuopenda beat jipatie hiyo beat iko tayari
@kelsykerubo4 жыл бұрын
And there is something special about mbosso,who else liked before even listening😂😂😂😍😍😍😍😍
@IsmaelJacintoJacintoАй бұрын
More Force my brother mbosso.
@photostudio85944 жыл бұрын
The best real bongolist in africa Mbossocan
@frankmwaura52164 жыл бұрын
Mbosso to the world...aujawai tuangusha...👏👏👏From 254 gonga like kaa umependa hii ngoma💗💖💜
@dixyobiero904 жыл бұрын
"Ustahimilivu mnao wachache mno Jua shida rafiki wa mbivu Baada ya dhiki mavuno Kila jema lina maumivu"🔥🔥🔥🔥🔥
@kilumbiengineering9142 жыл бұрын
Maneno makubwa mno hayo
@Winleizerabdy4 ай бұрын
Niko hapa kila siku kuimba hii song hili mungu ajibu maombi yangu🤲🏼 God see my man🤌am a provider but i remember one day God will open is door's 🙏🏼🤗♥️
@bavistambwe99694 жыл бұрын
Mbosso mimi ni #TeamKIBA 100% ila uyu mziki it's good song for me now mashairi inakaa sawa adi mbele za wazazi naupiga bila shaka ao uoga Am from#DRCONGO naomba like zenu basi wa tanzania
Aiseee!! Hii ni hatar Sana mtandao umekataa kuplay vitu vingine vyote but baada ya kuona ngoma yako tu hahaha ukakaa poa wcb mboso hijakaa sawa
@Mgengetv10 ай бұрын
My favourite part. "Baada ya dhiki mavuno, kila njema lina maumivu."❤😢
@bellomusic45394 жыл бұрын
Nani mwengne alitamani kuona hii video? #MbossoKhan #Mbosso #MrRomantic Kijana unajua sana kuandika ngoma kali,,, #HaijakaaSawa Bonyeza like twende sawa mashabiki wa mbosso na wcb kwa ujumla
@husnashindano11924 жыл бұрын
Oman 🇴🇲 tulisha kufa Mbosso lini unarudi Tena uku? Love u Mbosso from Oman 😍😍😍😍💋💋💋💋💋
@jamalahmed7974 жыл бұрын
Mpka Corona iishe atakuja oman huoni wagonjwa wanazidi daily huku oman
@edulinks81124 жыл бұрын
Mbosso never fails us,, weka like tukisonga
@kryptonmarcus12214 жыл бұрын
Swear that's true never disappoints
@danielsdiary47933 күн бұрын
I am listening this song from Mozambique, I don't understand Suahili but the message is perfect.❤❤❤ When i listen the music, i remember my lovely wife, we had the same life in the past
@tsaj63444 жыл бұрын
Kwenye utunzi mboso nambari 1....+254...
@atikamghen53624 жыл бұрын
Nakukubali Mbosso Unauwa Sana Like Kama Unaamini Mbosso Ni Bora Kuliko tembo
@vestadealer42664 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rWSbdquwnrmWm7c
@vestadealer42664 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rWSbdquwnrmWm7c
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Mbosso I love this song 😍😍😍😍😍😍😍 Haya likes kwa Mbosso kisha chungulieni kule kwangu pia na ku support 😉 shukran 😘😘😘😘😘😘😘
@alilantez_music4 жыл бұрын
facebook.com/alilantez/
@officialflex14884 жыл бұрын
Julia Ayieta nisha subscribe kwako...nawe pia subscribe kwangu.
@elitetvkenya4 жыл бұрын
@@officialflex1488 wewe pia kwangu nimekusub tayari
@elitetvkenya4 жыл бұрын
subscribe kwangu pia
@hgdplatz63394 жыл бұрын
Julia Ayieta *Samahani kwa usumbufu* *Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia KZbin link*👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/e56qnKR5rMiDnKs
@sammymutiso67584 ай бұрын
NASEMA WALE WAKO HAPA NA MAMBO HAYAJA TIKI USIWAHI POTEZA IMANI IPO SIKU MAMBO YATAKUA SAWA 2024.NEVER GIVE UP💪💪💪💪💪💪
@roszervellshannon36274 жыл бұрын
I just love this guy his voice ,songs and they way he is,,, Likes from kenya..
@abbaarnaud744 жыл бұрын
Iki ndico Kenny ame mzidi Hascana japokuwa ni yy kampa somo, Kenny Mungu kamjalia ubunifu wa video yani video za Kenny zinacapa uwalisia wamaandishi ya mziki atakama ujuwi kiswaili kupitiy video yak unatambuwa wanaimba nini, umewazidi duniani kote
@rashidrajab48784 жыл бұрын
maandishi yann sas mzee 😂😂😂
@johnsilima67894 жыл бұрын
Abba Arnaud me nimekwelewaa
@chigavatz75564 жыл бұрын
Abba Arnaud oya hascana hapa Bongo hakuna wa kufananishwa nae. Harafu pia yeye die director ambae amepunguza safari za wasanii kwenda kuchukua madirector kutoka kwa madiba kiufupi hascana kauwa soko la madirector wengi walio kuwa wanategemea wasanii wa bongo
@Ray-vk7bp4 жыл бұрын
@@chigavatz7556 alichokifnya ni kipi zimekubalika mpka kimataifa au..?
@chigavatz75564 жыл бұрын
Ray Fredinand Kama hujui mziki kaa kimya Hascana amefanya Madirector wa Bongo wapate dhamani tofauti na kipindi cha nyuma. Kiufupi jina la Hascana litakuwa kwenye mstari wa mbele kabisa kwenye kitabu cha kumbukumbu kinacho husu madirector
@kingbashar42934 жыл бұрын
From uvira DRC nipo hapa 🇨🇩 mbosso khan 💪🏿💪🏿
@lutulalihim15854 жыл бұрын
Wa salim home kwa Mzee sadi musa kakugwe kwao na kayumba na soli karibu na nganda du grand luc. Poleni na mafuruko from 🇺🇸
@mmilly89522 жыл бұрын
This song I dedicate to all ladies whom working in Iraq. Mungu atupe nguvu tusife moyo. Kuna siku tuta vuna 🥰🥰team strong 💪🇰🇪
@PatrickMulunda-w4q Жыл бұрын
Jesus christ fils de David un jour vous venira à n'aidez à n'irak, sont sang cris est s'auver encore... ❤❤❤
@hsoneiraq5258 Жыл бұрын
Am one of them lazima kujipa nguvu❤
@abdullahsalimu9468 Жыл бұрын
Kenyan ladies you deserve flowers mko very survivers and strong strugglers god bless y'all mgagaa na upwa hali wali mkavu big up sster until next time
@cattleyaali9766Ай бұрын
Tuko wengi uko jamani
@ommynajus56914 жыл бұрын
Weka like yako ku show love al the way from kenya 🤩
@amriharuna42364 жыл бұрын
Daah huo ujumbe ni kama umetungia watu,daah imegusa moyo wangu
@emoriquesdopeboy25884 жыл бұрын
Actually he's ma best from Wasafi.. Dodosha likes za Mbosso hapa...
@almaskitambi11992 жыл бұрын
Hali haijakaa sawa. Wimbo mzuri sana na Ujumbe wake umeshiba. Basi acha niendeleee kuuplay mara nyingi nyingi hadi pale hali itakapokaa sawa.
@abdulaiganiyu52754 жыл бұрын
From Ghana 🇬🇭, I love this boy so much
@morrisontv_ke4 жыл бұрын
This Guy is a genius in that ,,anatunga wimbo utaskia more than 10 times na hauishi ladha,,,😄😄much love from 254
@Faridah234 жыл бұрын
I agree.it has been on repeat. Totally love it
@ahmedseif38684 жыл бұрын
Mshedede mboso khani 💥💥 sijawahi kupata, hata likes 10 WCB for life
@araphamjema49234 жыл бұрын
Nakubali xana bro
@henryatupele45334 жыл бұрын
My love
@henryatupele45334 жыл бұрын
Ninakubali
@ahmedseif38684 жыл бұрын
@@araphamjema4923 aipingwi team wasafi for life
@ahmedseif38684 жыл бұрын
@@henryatupele4533 😋😋
@emanuelnjalakila4693 Жыл бұрын
Huu ndio wimbo wako bora kuliko kijana utakumbukwa kwa vizaz na vizaz. Hongera sana🤝
@gyimahernest68443 жыл бұрын
I’m Gyimah from Ghana...Mobsso thanks for telling my story to the public your song has really touch’s my heart
@samwelgracetown56864 жыл бұрын
Leo nimewahi na me kumcheki mboso khan usininyime hata like 10
@tonniekim82244 жыл бұрын
One of the best writers in Africa and also very creative in arranging his lyrics kudos mbosso........Hata ibraah wa harmonize akikucopy hawezi kufikia hata robo
@vandotz4 жыл бұрын
Tonnie kim m.kzbin.info/www/bejne/omjJY4mrgdimiZI
@chriskay006kenya54 жыл бұрын
Ibrah mkali haezi kopi
@ashumtamuturi39244 жыл бұрын
Please wachana n ibraah he have his own way of writing songs
@zarinahmukabaneh11284 жыл бұрын
Exactly
@francisoduorojuwang71554 жыл бұрын
Kweli mapenzi inataka uvumilivu na msamaha,mistari ambao unatuliza nafsi kazi bomba mboso
@kilumbiengineering9142 жыл бұрын
Hakika maneno yenye busara ya maisha...saafi sana mboso give up...,nadhani huu ndo utakuwa wimbo wako bora wa maisha
@AnzaziDick10 ай бұрын
Nkm hvo
@kennedymaina57634 жыл бұрын
Manze sijawai Pata like ata tisa si Leo tufanikinishe tuki support love ya mbosso hapa 🇰🇪
@Chanhagaf4 жыл бұрын
Wasomali mko wapi wa kenya 🇰🇪 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇰🇪
@mohamedabdimashin75584 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴 ugaas wanjognaa
@tahakaramuna62984 жыл бұрын
Poa bro za hali❤️
@KevinKipngetich-wj8tt Жыл бұрын
Nyimbo katamu sana mbosso
@Little_deno4 жыл бұрын
This is why MBOSSO is so loved in Kenya. Likes za mbosso hapa
@Amjern4 жыл бұрын
Well said
@hgdplatz63394 жыл бұрын
DENO KADOGO *Samahani kwa usumbufu* *Ndugu yang naomba sapoti yako kwa kutazamaa nyimbo yangu kupitia KZbin link*👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/e56qnKR5rMiDnKs
@mogerepannah92144 жыл бұрын
Sijapata usingizi nafeel kurudia kuangalia hii Ngoma jameni nani anangalia hii ngoma mara ya 20ka mimi..muuch love from Kenya$Mbossso fun..nipeeeni.like hata moja ya Mbosso funs wetu
@kulthumjuma95824 жыл бұрын
Nice
@mogerepannah92144 жыл бұрын
Kitu safii..nimekubali..gonga like tukisonga
@rappershiku26164 жыл бұрын
Nampenda sana Mbosso inshallah Mungu amjalie azindi kung'aa
@evelynemueni82014 жыл бұрын
I watch it every day, so sweet
@احمدعلي-ط6ض8ذ4 жыл бұрын
Hakuna nyimbo za mbosso zenye sizipendi ju zote napenda
@saidiphily49644 жыл бұрын
Wasio kuna na Tim Lakini wana sapot mzki mzuri bc gongeni Like tujiane😂😂😂😂😂😂😂
@afyasession4 жыл бұрын
Haijakaa sawa instrumental beat kzbin.info/www/bejne/e5_FYoSciqpriZo Kwa wale tuopenda beat jipatie hiyo beat iko tayari
@jumaakidogo34224 жыл бұрын
Haa
@khadijamlungu95334 жыл бұрын
Tupoooo
@estertano74944 жыл бұрын
Nyimbo zatanzania zikovizur
@hellenndunge10992 ай бұрын
Thanks to god mbossso rich kid🎉
@youngrozay56074 жыл бұрын
King wa mashairi Mbosso Khan💥💥💥
@zabongchannelemmanuel26154 жыл бұрын
Dah, sitii naksh sana, ila kama wali basi ni wali kachumbali, au mkate wa kumimina, ika kama mke basi huyu ni yule mashallah#mbosokhan # king best love melody @ "siko juu, siko chini niko nusu sado"
@elsaatieno30314 жыл бұрын
Team Mbosso from Kenya, Tanzania gonga like
@saumuhamisi39854 жыл бұрын
Fundi Wangu Hukoseagi mboso💞💞💞💞
@shinunasalim25704 жыл бұрын
Mboso nakupenda,saana nyimbo zako zimetulia saana
@P-SPICQ4 жыл бұрын
Kabisa..
@P-SPICQ4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e5jEXnx5hryCj80
@mukaplatnumz23134 жыл бұрын
Mboso fundi wa mapenzi🔥
@catherinerwegoshorwa96513 жыл бұрын
Yaani na Kazi zetu hizi bila kutoboa tunaliaga wote na hii song mbosso Mbele kwa Mbele
@eddycheune65474 жыл бұрын
So love the song from 🇦🇺 Australia 🇦🇺 we love you mbosso
@thekingkenya4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKGqZqaMgtV7lc0 Cool
@DrMylesMunroe-xy1rm4 жыл бұрын
We love him... Tizama kaa kimya, kzbin.info/www/bejne/iomxc3SQnpqpepI
@alilantez_music4 жыл бұрын
facebook.com/alilantez/
@sammymulei35734 жыл бұрын
Cool..sometimes music triggers what you feel from inside
@johnmonarikebabe3197 Жыл бұрын
Lost my job during corvid time had a strong woman who stood by me,love you darling things working now
@chesa32834 жыл бұрын
254 ndani gonga like button kama umeipenda
@mariacelestino8699 Жыл бұрын
Uvumilivi ni wema .msic huu umenifunza kuvumilia .lakini leo nipo princess.napenda saana💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝
@jeconeske59044 жыл бұрын
Mimi sio siri jameni mnipe likes as many as possible si huyu kijana anafunza watu sana na sanaah yake.JUST LIKE IT AND SUBSCRIBE.
@neemashija1804 жыл бұрын
Kama unampenda mboso na umeipenda ngonga like nying hapa ili twende sawa👍👍👍💞💞💞
@hotbabytz22944 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@leilakhamisi47174 жыл бұрын
Daaah weee fundiiiii
@eliatoshamamuya7484 жыл бұрын
💋💋💋💋💋
@mtanzaniamwenzangu1814 жыл бұрын
Wakwanza comment Like za mbosso hapa
@alilantez_music4 жыл бұрын
facebook.com/alilantez/
@arikadialfonsi92164 жыл бұрын
Steven Munisi mbosso
@youngkmizo34204 жыл бұрын
Steven Munisi uko sawabas
@abduldaiyaan5025Ай бұрын
My Favorite this year. '''Ustahimilivu munao wachache mno'' To the girls of these days!!!!
@mamabear79444 жыл бұрын
This guy is something 🥰😍😍😍can't get tired of it(the song)
@agapemuhorakeye1574 жыл бұрын
Hi
@vennesamonday68824 жыл бұрын
That's a big tune
@maxwellotieno67094 жыл бұрын
I hope you don't use the same words to your wife too ,then that would be muggy😂. Joke mate👌 Mbosso is fwarkin legend ,no doubt
@vestadealer42664 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rWSbdquwnrmWm7c
@ab3ab3134 жыл бұрын
😚😚😚😚😚😚😚😚
@tuyisengeemmanuel87244 жыл бұрын
Watu wanamupenda mbosso wa like iyi comment
@kanyaritycoon00134 жыл бұрын
I am a kenyan,shukrani kwako mbosso,this is the real life we r goin thru.....thanks tu all our wives or husbands who are understandin the situation right now,we shall overcome🙏🙏🙏🙏
@mussakadikilo11404 жыл бұрын
Well spoken bro...🤝
@mgenisuleiman564 жыл бұрын
Its an emotional song 4 sure😴😴
@kanyaritycoon00134 жыл бұрын
@@mussakadikilo1140 the guy touches our heart deeply
@kanyaritycoon00134 жыл бұрын
@@mgenisuleiman56 yap..he is going far
@lamymmwasango41014 жыл бұрын
Naupenda huu wimbo hatariii,nipe subra Mola wangu tuivuke mitihani na muhibby🥰
@ahmeymoha43394 жыл бұрын
Mbosso mashaa Allah your songs Zina touch kweli....
@patrickmshila84214 жыл бұрын
For the Love of your Music, This made even my bae calm down for me in this hard time... Mad Love from Kenya
@mgenisuleiman564 жыл бұрын
Ngoma nzuri sana hakika inaliwaza weka like kama unaikubali hii ngoma
@dominickjoseph25013 жыл бұрын
Unafariji jembe
@salummpango54193 жыл бұрын
Mia mia nakukubali sana
@mmilly89523 ай бұрын
😂😂😂😂Maskani 47 helloooos.. Niseme nisiseme🤗. Nme fika uku kwa sababu yenyu. # @Billy na @Mbaruk. More love from Baghdad. Tuko kuanguka nayo. Kwani iko nini Niseme nisiseme 😍😍😍💃💃💃💃 #hapa ndipo
@abdillahihassan86434 жыл бұрын
"Akili ikichoka Rizki nikosa najua kwako ntajiliwaza".....that really hit me
@lewismulokozi83884 жыл бұрын
Same here
@davidkuria25224 жыл бұрын
Nipewe likes za mbosso.He never disappoints.I love this.
@khimreal86184 жыл бұрын
Bado Hali si sawa bila Ruto!!!!
@minyanya_kunoga4 жыл бұрын
chukua na comment
@sebastianfesto87774 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mbosso from south Africa keep going on
@abdousatarmahmoud84434 жыл бұрын
Mboso ni muimbaji bora TZ kwa kua nyimbo zake zote zina mafunzo ktk maisha
@doreennabio93064 жыл бұрын
Am From Ghana 🇬🇭🇬🇭🇬🇭🇬🇭🇬🇭 I wish someone will teach me Swahili I love Tanzania 🇹🇿❤️❤️❤️
@liban2004 жыл бұрын
I can dear 😋
@thekingkenya4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKGqZqaMgtV7lc0 Come along I will
@thekingkenya4 жыл бұрын
@@liban200 kzbin.info/www/bejne/gKGqZqaMgtV7lc0 Ok
@alphonsinaelia78394 жыл бұрын
Ok
@alilantez_music4 жыл бұрын
facebook.com/alilantez/
@mimilet29504 жыл бұрын
Wow another hit I love this dear keep it up may God bless your hustle sending you love from 🇳🇬
@RehemaSaid-r4h6 ай бұрын
Wanao angalia wimbo huu mwaka wa 2024 weka like
@BigandaFrancine5 ай бұрын
M
@omaryomaryomaryomary12003 ай бұрын
L❤❤❤❤❤@@BigandaFrancine
@ArmandIlunga-y4l2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤@@BigandaFrancine
@mashjiwelogistics2 ай бұрын
Nice song
@helenamtey64942 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@jacquesitongwa83183 жыл бұрын
Chochoa kuni kipenzi changu ....ni kirudi na hasira ni zoweye mambo magumu .....najuwa kwako nita jiliwaza kama makosa ni hite chumani kununa nuna una jilemaza wow 😢😢😢😢🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦
@donomar68764 жыл бұрын
Umenipa Faraja ya Maisha Mbosso ❤
@mzalendotz33974 жыл бұрын
Kuna kitu unatakiwa ufanyie hiki kipaji chako mboso zaidi ya kuimba. Nimekusikiliza sana na nina songs zako nyingi tangu unaanza. Jitahidi uandike kitabu cha Mapenzi. Uko na maneno tofauti sana ukilinganisha na wengi waimbao mapenzi. Welldone son!
@brigithapaschali49482 жыл бұрын
Uhakik anawez kushawish hyu mwamb
@sayidali21814 жыл бұрын
Who else watching from somalia mbosso kweli ww umeweza