Allah akufanyie wepesi inshallah.pole mdogo wangu.
@Winleizerabdy4 күн бұрын
Pole sana upo na mungu❤❤
@abdulmutwi2 күн бұрын
Pole sana Mbosso Mwenyezi Mungu akunehemeshe, lots of love from
@RosiAnodi4 сағат бұрын
Pole mbosso biki zako tunakupenda tunakuombea maisha marefu atatenda miujiza tunakuombea usiku na mchana tunakupenda❤❤❤
@lilyviva43084 күн бұрын
More life to u mbosso ❤
@KiduoMasimba-p3p4 күн бұрын
Mungu anahitaji watu wanaopambana sio kutulia kisa kaanbiwa haiwezekan inshaaalaa mungu Yu pamoja nasi nawe ukiwemo
@BentiM-q2c3 күн бұрын
Pole mung akupe shifaa ya harak bro angu more love from kenya 🇰🇪
@JeniAlex-e4v4 күн бұрын
Mungu akuponye mboso
@FatumaAlly-k6e4 күн бұрын
Pole sana mbosso
@NaimaMuhsin-n5k3 күн бұрын
ALLAH akufanyie wepesi my dea,love from kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤
@DayanaSocpita4 күн бұрын
Pole mbosso wangu Mungu akuponye ❤❤❤❤
@itwas20224 күн бұрын
Pole sana kaka, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uweze kupona INSHAALLAH 🤲🙏🤝
@dangomc_official4 күн бұрын
haumwi ameenda kufanya check up tu😅😅
@laurentshedrack42564 күн бұрын
Yaaani watu wako busy na pole mboso utafikiri anaumwa kumbe ya Mh Rais Wasanii kupima Moyo Bure 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@dangomc_official
@MUZIRANENGEDiane-hw6um4 күн бұрын
I love you 💖🎉 mboso
@edmundnkarangu1344 күн бұрын
Pole sana Mbosso Mungu akusaidie😭🙏
@MmMm-tt1wi4 күн бұрын
Pole sana 😢
@ZuhuraShekoloa4 күн бұрын
Masikin mboso Allah akujaalie upone
@modollarheartcode4 күн бұрын
Fans mbosso nipe like ❤️ ❤️ ❤️ kutoka nigeria Congo Kenya 🇰🇪
@SerlermKingOfAiMusic4 күн бұрын
Tunaomba likes na mwenzetu ni mgonjwa
@simateitim47004 күн бұрын
Unataka kuzikula?
@Scolayusuph5583 күн бұрын
unaacha mpa p0le una0mba like binadam bana
@DativaMbowe2 күн бұрын
Pole mbosso MUNGU atakufanyia wepesi
@LovenessAlbert4 күн бұрын
Pole sana dogo MUNGU akuponye.
@ConfusedOpenStadium-sl1he2 күн бұрын
Anllha akufanyiee wepes kaka akee pole sana
@TunuHashim4 күн бұрын
Pole sana mungu akupe wepes inshallah🙏🙏
@MariSwaiКүн бұрын
Mpe yesu maisha yako utapona kaka mbosso hakuna linalo.mshinda MUNGU
@BelladonaTz3 күн бұрын
Hii hali inatesa nyie oneni tu watu wanacheka lkn 😢😢,,pole mbosso utakuwa Sawa tu ,,nakupenda mwaya
@harunahamisi4424Күн бұрын
❤
@LilianBernad2 күн бұрын
Pole sana mbosso Khan🙏🙏🙏🥰🥰
@MaryWayua-d8fКүн бұрын
Mungu hakuondolee hio ungonjwa na mbaya Sana yesu mwana WA mungu hakushindanie 🙏🙏🙏
@ZaharaSamgweno-p3k2 күн бұрын
Pole sana mungu atakulinda
@MonicaMkombweКүн бұрын
Jamani anaumwa😥😥pole kaka
@JAMBOBoy-v3k4 күн бұрын
KWAIYO D VOICE NDO INTENO SERVICES🎉😂😂
@TruphenaTerry3 күн бұрын
Quick recovery Mr Khan all shall be well God will protect you❤
@shannarsaidSwahili4 күн бұрын
Pole saana ndugu yangu, Mwenyezi mungu Allah s.w akufanyie wepesi na shifaa❤❤❤
@FirstLady-j8d2 күн бұрын
Ungua pole mungu yupo nawe mbosso
@Tetelive4 күн бұрын
Afya mhimu kuliko kitu chochote bro big up sana
@vibetz9991Күн бұрын
Screen ya Machine imeonyesha kitovu Cha yammi
@khadijabakari2932Күн бұрын
Allah atakujalia utapona inshaallah
@SimaojorgeManuel4 күн бұрын
abarigani mbosso 👍🙏♥️🇲🇿🇲🇿
@petermwangi53554 күн бұрын
May GOD heal you bro
@Oumaymahmm3 күн бұрын
Pole kaka mbosso😢😢
@FatmaFundi-r3s2 күн бұрын
Pole san kaka mm mwenyew naumwa shida pesa tu
@IVANOVICEMPIREKENYA4 күн бұрын
Hope is well sababu nyimbo zake huu mwaka zimetupendesa Hadi roho zetu zinapendeza
@esthersiresire4 күн бұрын
All will be well Mbosso khan 🙏
@HarmonicheHarmo4 күн бұрын
Ifike mahala tuanze ku mtumikia mungu
@RajabuMkonje4 күн бұрын
Nimejifunza kitu hapo ukiwa maarufu kila doctor anatamani akuhudumie yeye naupa pole umasikini wangu
@RoseAmilet4 күн бұрын
Yani ukiwa napesa tu kila kitu kinaeezekan
@AaaAaa-s7e3 күн бұрын
Allah Akulide Amiin
@MichaelMwakibolwa4 күн бұрын
AFYA KWANZA. PONGEZI KWAKO KWA KUONESHA UMUHIMU WA KUJALI AFYA. 🎉🎉🎉
@AliKaranja-tx5sl23 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@roudhamahmoud7634 күн бұрын
Sasa hamna hela mpaka mtangaziwe vya bure😂😂😂
@alexmurithi13274 күн бұрын
Umbwa mwitu wewe. Utaumwa tukuchangie ghasia wewe
@BigZhumbe4 күн бұрын
Ungeweka ile ngoma unaimba. Dokta nicheki homa ama UTI nipime damu ana Malaria 😂😂😂😂
@jastinedaudi-qi9vr4 күн бұрын
😂😂😂 dah w miyeyusho xn
@BigZhumbe4 күн бұрын
@jastinedaudi-qi9vr 🤣🤣🤣
@GetrudeAmmo2 күн бұрын
I see a regular heart beat of 60 100 bpm❤❤
@zeyanasaleh93994 күн бұрын
uyo Dvoive kama mgonjwa yeye😂😂
@KBFMUZIZIWAJIWE4 күн бұрын
Mbosso
@shush4154 күн бұрын
Qr mbosso
@HassanPacha-f9w22 сағат бұрын
Ndio sababu ya kutupigia ngoma zenye maneno makali sana ya mapenzi au
@ShabaniSuleimani-n6n2 күн бұрын
Sawaaa
@AminaKina-t6u2 күн бұрын
Mungo akulinde
@davidsibejo49164 күн бұрын
Mboso mbn kinyonge
@imannoel72454 күн бұрын
nmeimba2 kimoyo moyo 😂 ako ka beat
@azizahuruma74634 күн бұрын
❤❤❤❤🙌
@showqrii2 күн бұрын
tuliojua kuwa ni ngoma itatoka soon gonga like
@ZakiaAlRamadani4 күн бұрын
Fundiiii khan🎉🎉
@dangomc_official4 күн бұрын
ako kanako mpima mbosso kanafeel like mhhhh😂😂
@JastinMsigwa-v6x3 күн бұрын
Toanyimbo hatamoja yakumshukulu mungu haijalishi majib yakoje shukulu mazuli ama mabaya shukulu
@johnnchora32154 күн бұрын
Waooo
@nuhumuhami7314 күн бұрын
asa mnampa pole ya nini😂😂😂😂
@AshaMwamba-m5x4 күн бұрын
Ndo hapo sasa sio
@AishaGoontv3 күн бұрын
Kweli nimwimbji mzuri lakin kinacho mkumba so moyo ni sheria zimekuwa nzitoo
@luendosabah20474 күн бұрын
Ungepata pesa wende Indian 🙏
@Focasnyari4 күн бұрын
Ashaambiw hawezi kupona Ila Kuna vitu hatakiwi kutmia Sasa aende India kufanya nini
@dullah-f7p4 күн бұрын
anaumwa au anaigiza
@hilsalboy41184 күн бұрын
Taasisi
@AbdallahIsmail-vh1tb4 күн бұрын
Nmekuona kaka
@farhannahkulishwaburekunam536023 сағат бұрын
Daimond yaani mbosso mgonjwa siku nyingi moyo unamsumbua badala ya kumpeleka indi mara moja anakuingiziya pesa nyingi unamshughulikii maumiuvi yake
@hamisirajab43074 күн бұрын
Mboso ushauri wangu Acha mziki na urudi kwa mungu sababu umauti watembea nayo mdogo wangu
@RubenDelefa-eg8mm4 күн бұрын
Vp utampa Hela ya kula na wewe utatufurahisha kama anavyotufurahisha yeye
@AsmaAmeir-c6r4 күн бұрын
Kwani bila ya mziki hawezi pata pesa kwan wew unaimba pia
@AtukuzweJohn-r2n4 күн бұрын
Kila mtu naneema yake@@AsmaAmeir-c6r
@exprodigitaltechtv55714 күн бұрын
Wewe hautembei na umauti?
@alicedusabe75102 күн бұрын
@@exprodigitaltechtv5571kila mtu anatembea nawo bwana mungu amponye tu
@richkaja33173 күн бұрын
Unajiongezea stress mbosso huna lolote
@mdendamono33113 күн бұрын
Nenda kanisani
@mafrapaevariste66672 күн бұрын
Tuna mBona jisi ana pimwa ujauzito tuna subiri doctor atupa tarifa mtoto ana endeleya aje
@Chokambay4 күн бұрын
Mboso huyo kenge t wamayayi
@fahdihasnuu90344 күн бұрын
ECG
@Marie-g6y2h2 күн бұрын
Kama ni kweli sio kiki tumia dawa za forever living.
@FredrickMatiku-xf2uk3 күн бұрын
Hivi mkubwa fella aliendagaaa wapi au tayaliiii kasafariiii
@farhannahkulishwaburekunam536023 сағат бұрын
Daimond anatizama pesa tu hatizami afya ya mtu yeye anamajumva k7bao hao wanamuingizia pesa mbosso , zichu lava lava hawana hata nyumba
@lukamavoice53774 күн бұрын
Tozi wa muziki
@bettygacheri28824 күн бұрын
Are u ok? Mbosso has heart problem!
@SalumSaid-w8i2 күн бұрын
Najiuliza jee wakati anafanyiwa hivi vipimo na huumziki ndio unapigwa hapo Alison au ni his video ndio imewekwa na mziki? Maisha ya anasa nimaisha mabovu sana alwa amjalie yeye na sisi ktk kuifanta haki mpaka mwsho wamaisha yetu
@JuliusMatiku-ux4ch4 күн бұрын
Duh kumbe umaarufu pia unakaz, dio kamera kila sehem.
@georgemapesa57294 күн бұрын
una ugonjwa wa moyo ww penda kuchagua manesi wakike watapiga hapo hapokwenye moyo kummmke
@VitusMbega-w8h2 күн бұрын
Mung Yuko pamoja nawew jembe lang
@Yusuphrevocatus-g3v4 күн бұрын
Usipendelee kwenda hapo mzee utakuja kunielewa siku moja
@suleimanmohd.71974 күн бұрын
Aende kwa waganga wa jadi au?
@ZubedaMasoud4 күн бұрын
Mbna unasema hivyo sijakuelewa
@Yusuphrevocatus-g3v4 күн бұрын
@@suleimanmohd.7197 kuelewa hadi uwe na zaidi ya D 2