MBOWE AFUNGUKA MAZITO KWENYE MSIBA WA ALLY KIBAO TANGA/AMVAA WAZIRI MASAUNI/AMTAJA RAIS SAMIA

  Рет қаралды 24,041

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@shersaid7988
@shersaid7988 Ай бұрын
😢😢 Poleni wafiwa Allah atalipa
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 Ай бұрын
Du!! Salamu imefika kwa watekàji
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 Ай бұрын
Allah amrehem amlaze pahala pema
@RabihuHussein
@RabihuHussein Ай бұрын
Nashauri isomwe Albadil kwa hao wote waliohusika na wanaohusika kwa utekaji wote Tanzania. Wale wa kaskazini wajumuike pamoja kuvunja chungu kwa wahusika wote nchi nzima! Mtakuja kunishukuru!
@AmneAlRiyami-zp4ri
@AmneAlRiyami-zp4ri Ай бұрын
KWA KWELI SISI TUNAMSHITAKIA M/MUNGU OGOPA MTU AKUSEMA NAMSHITAKIA MUNGU TANGA USIOMBE MTU AKIKUAMULIA AKUSEMA NAMUACHIA MUNGU SALA ZOTE ZA USIKU UNAMLILIA M/MUNGU BASI KILA ALIESHIRIKI MAUWAJI HAYA DAMU ITAWAFATA MMOJA BAADA YA MMOJA INSHALLAH KUN FAYA KUN KAMA TUDIN TUDAN HASBUNALLAH WANEEMAL WAKIL TANZANIA INATISHA NAWASHAULIWA WENGI LAKINI ICHI KIFO CHA ALI KIBAO ALLAH ATAWALIPA INSHALLAH INSHALLAH INSHALLAH AMIN
@aickatesha4542
@aickatesha4542 Ай бұрын
Mbowe ety mkitufinya mruhus ndugu walie😂❤😂😂
@KichwaGeneral
@KichwaGeneral Ай бұрын
Mungu tusaidie,
@HafidhOmar-rs4ty
@HafidhOmar-rs4ty Ай бұрын
Police ya ya Tz ni tawi la kisiasa na kiongozi na kada wa chma ndio waziri wa mambo ya ndani hvi nivituko vya karne ya 21
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga Ай бұрын
Uhai wamtu hauna siasa
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips Ай бұрын
Mbowe ameongea kwa uchungu sana
@JeromeMtunga
@JeromeMtunga Ай бұрын
Wange mwacha mzee amalizie muda wake dunian ila kisomo kiendelee kiendelee mana hata kama wamejifcha kisomo kina watambua
@christinamselle4490
@christinamselle4490 Ай бұрын
Ni ukatili mkubwa sana😭😭😭
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Ай бұрын
Uyo waziri kafka hapo kufanya nn wanashindwa kuimarisha urinzi wa ndan watu wanauriwa kila sku mnasema wasiojurikana wanawajua wanaofanya mauwaji hayo na tz ifike mwisho sasa vita ssi wenyewe kwa wenyewe tutauwana wananchi tuandamaneni hii sio poa huoga huu utatuponza tutanyanyasika mbaka rini
@Nyanda506
@Nyanda506 Ай бұрын
Mbowe ameongea kwa uchungu kabisa
@omaryramadhani290
@omaryramadhani290 Ай бұрын
Mashehe waungane tanzania wapige dua yaarukyana albadiri watadondoka kama njugu
@LumolaSteven
@LumolaSteven Ай бұрын
Sauti ya Mamlaka
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 Ай бұрын
MI SI MSHABIKI WA CHAMA.CHOCHOTE ILA INAUMA SANA INASIKITISHA SANA.
@Hellen-i2y
@Hellen-i2y Ай бұрын
Tupo wengi sana ambao si wanasiasa tumeumizwa sana na huu msiba
@richardhezron2588
@richardhezron2588 Ай бұрын
Hujjielewi unazungumzia ushabiki badala siasa si ushabiki ushabiki wenzio wanamiliki migodi yazahabu ushabiki wanamiliki bandari sema mimi sigombanii mali za nchi hii
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 Ай бұрын
😢😢Eti rais aunde tume ya majaji sijui nini? Think twice Freeman mshauri rais akae chini na JWTZ aunde kikosi cha gizani kitakachoweza kumtia nguvuni mtu yeyote maana mamlaka za usalama zote hazina nguvu zaidi ya JWTZ ikiwa ni polisi au Idara yeyote itaadabishwa maana jeshi alinakuogopa mtu lenyewe linafata ORDER tu
@Karungi4B
@Karungi4B Ай бұрын
Natoa pole sana kwa familia yake na wanachadema wote napia kuanzia Leo sipigi kura tena wala mke wangu au wazazi wangu nimarufuku katika familia yangu kupiga kura ya kiongozi yoyote.lakini pia nawaonya viongozi wa vyama vyote nchi mnaigawa katika makundi mawili, naona vita ya wautu na watusi katika nchi yangu.nimetabili
@MaryTango-e1o
@MaryTango-e1o Ай бұрын
❤Natoa pole kwa familia Mungu ampumzishe kwa amani
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 Ай бұрын
Yule mama Spika juzi alivyocma hataki kujadili hlo bungeni sasa ndo wakamwonyesha kwamba watateka na kuua kabisa😢
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123 Ай бұрын
Mbona mwanahalisi mnashindwa kutoa sauti. Sauti inakata kata sana
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Ай бұрын
Police wanawatuma watu wanabaka na kulawitiwa kama yule binti wa nyombo kesi inayumbishwa tu sina imani na police wa tz kwa sasaiv,,,niritaka kumpeleka mtto wangu jeshin lkn kwa haya matukio sitaki kabsaa
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 Ай бұрын
Polisi wote wa tanzania msijekunikamata niikikosa bila vielelezo muhimu!!! Itakuwa noma
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123 Ай бұрын
Mwanahalisi mmeanza kushindwa kazi kama tbc.
@Namtumbo
@Namtumbo Ай бұрын
Inauma auye kwa upanga atakufa kwa upangaaaaa
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
Waziri wa ulinzi.ajiuzulu
@Nyanda506
@Nyanda506 Ай бұрын
Kwann Waziri hazijiuzulu why anang'ang'ania😢
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 Ай бұрын
Police Hana shida tuna waonea tu kwa sababu wanatumwa na kijeshi Una tii oda
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
Muwaji CCM
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 Ай бұрын
Unachuki na uisilami kwanini hukusema asalamualikumu
@SamwelMasai-e9d
@SamwelMasai-e9d Ай бұрын
Lema nimekuelewa sana
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r Ай бұрын
Unasema kwa hisia sana.mm sipo chadema lkn machozi yananitoka.
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Ай бұрын
Kutorewa mtu roho Haina chama hii sio sawa police wanatuma vijana wanabaka wanauwa sio pow
@rithaurassa
@rithaurassa Ай бұрын
Kwa hiyo wew wtu wanaenda mbele wew unaridi miaka ya 64. Uko nyuma ya kalenda ya dunia.wew unahamasisha nikawaida yakitokea. Yakikufika hongei sana utayaacha yaelee juju ty.
@husseinbakar2358
@husseinbakar2358 Ай бұрын
Mbona viongozi wa ccm hatujawahi kusikia ametekwa kwann.
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Ай бұрын
Waziri kawa mdogo hadi aibu
@reginas1832
@reginas1832 Ай бұрын
Hiyo familia hata hiyo rambirambi wasingepokea
@ErickAlipipi
@ErickAlipipi Ай бұрын
Wazili wa mambo ya ndan kazi imekua ngumu kwako itapendeza endapo utajiuzur
@reginas1832
@reginas1832 Ай бұрын
Ngumu kwake wakati ndiyo mkakati wao wa kumaliza viongozi wa CHADEMA. Mungu hajalala ccm watalipa mpaka damu ya mwisho
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Lakini kweli Mimi ninaamini kuna kikundi kingine kabisa ambacho kinateka watu sio ccm wala serikali labda jeshi lifanye upelelezi manake tunaweza tukapunguzwa kimya kimya
@reginas1832
@reginas1832 Ай бұрын
Amka samia na ccm ndiyo wanafanya haya
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Siyo tu wanachama hata huyo waziri ni kumpiga na kutupwa huko msituni. Kama wanavyo teka watu hovyo. Tulia anasema hajaona na pili hata huyo Masahuni apigwe na atupwe vichakani pia. Ili Serikali ione pia
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Ай бұрын
Waziri wa mambo ya ndani kwanini asijiuzulu mbona mwinyi alijiuzulu
@AllyHassan-e2m
@AllyHassan-e2m Ай бұрын
Siku hizi jeshi la police kuna Hadi jeshi la mqambo
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l Ай бұрын
Serikali ya mama Samia ipo wapi mbona inaacha watu wanalia hivi? hii damu jamani daaaaaa mpaka naogopa tunakoelekea but damu ambayo haina hatia haijawahi kumuacha mtu salama
@reginas1832
@reginas1832 Ай бұрын
Samia yuko kazini kumaliza wapinzani ili ccm iendelee kukaa madarakani
@Wambula..deogratias
@Wambula..deogratias Ай бұрын
Raisi aikemee inchi imeyumba
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Ай бұрын
😂😂😂waziri kapata aibu kawa mdgo kama pritoni watu wanauchungu arafu mpo kmya matukio kibao mnajifanya hamuyaon na bungen yule mburu wa mbea akajifanya ataki kujadri haya turia katuria kmya kasema yye ayajui kama kunautekaji awezi kushauri serekari sasa mazala yake yatakuja subrin mnajifanya nchi ni yakwenu pekenu dunia hii membiwa nyie viongoz watz
@joyceatupele8848
@joyceatupele8848 Ай бұрын
Ndio maana mimi sitaka chama chochote
@AllyHassan-e2m
@AllyHassan-e2m Ай бұрын
Mambo haya tokea mwaka 64 Hadi Leo yanaendelezwa
@GraceGaudent
@GraceGaudent Ай бұрын
Watu niwaajabu mnapiga makofi kwaajil ya aman kuvunjwa ivi mnajua maana ya amani😂
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v Ай бұрын
Jamani hiyo iko wapi watu wanatekwA Watesw kila siku na kuuliwA hebu vaa ilokoti la familia hiyo ambayo Baby yao ameuliwA kwa mateso makubwA mzee kama Huyo kweli
@happybraison8857
@happybraison8857 Ай бұрын
Wew unaijua amani kweli angekuwa baba yako ungekuwa na amani
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 7 МЛН
КОГДА К БАТЕ ПРИШЕЛ ДРУГ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 7 МЛН