MBOWE ATAJA AHADI ALIZOPEWA NA MAGUFULI ... ASEMA 'NINA NGUVU ZA KUPAMBANA NANI KASEMA NIMECHOKA'

  Рет қаралды 4,848

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@SaadaSamson
@SaadaSamson 5 сағат бұрын
Akili kubwa sana mbowe,Mungu akulinde.lisu sio mbaya ila uwezo wakufanya mambo yaende vema Hana,viva mbowe viva
@mkamamoris9415
@mkamamoris9415 20 сағат бұрын
Musiwaingize viongoz walio fany mazur kwa watanzania wakat walisha kufa hawawez kuwajibu why kukusem kipindi magu hupo hai
@georgekabaka377
@georgekabaka377 20 сағат бұрын
Hamna kwa Magu nakataaa..... Amekufa mnatafuta chaka la kujifichia.... Mjomba magu hata kama alikuwa na mapungufu lakini. Kwenye swala la kubembeleza mtu hilo alikuwa hana kabisa wazi wazi
@matugatv6121
@matugatv6121 20 сағат бұрын
Hakika kaka
@arnoldnminja3476
@arnoldnminja3476 4 сағат бұрын
Ndio maana.... 1. Kwa kukataa kwake hayo yote aliweza kum-panish na hata kumfukulizia mbali. 2. Mkakati wa kudhoofisha upinzani ulikuwa wazi ikiwezekana kabisa kufuta vyama vingine lilikuwa wazi ndugu. Sio kwa sabab hayupo ndio asitajwe kwa lolote haswa aliyokuwa anayafanya -vely. Mbona akitajwa kwa aliyokuwa ameyafanya +vely hamsemi kama tunasema ni chaka la kujificha.? MTU ATAJWE WAKATI WOTE KWA ALIYOYAFANYA +VELY & -VELY AWE YUPO AU HAYUPO. TUJIFUNZE KWA WEMA NA UBAYA WAKE..TUSIEGEMEE UPANDE M1....
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 49 минут бұрын
Magufuli kuna mambo mengine alikuwa wa hovyo sana na athari zake za hayo mambo yake ya hovyo amewarithisha wengine.yeye ndio muasisi wa kuiba kura na kupora uchaguzi,yeye ndio muasisi wa kupita bila kupingwa,yeye ndio alikuwa anaua vyama vya ipinzani.Yeye ndio alikuwa kavunja katiba na sheria za nchi hii.Hayo mambo yote machafu yalikuwepo tangu huko nyuma ila magufuli kaja kuyabariki na kuyaongeza kasi zaidi.Uchafu huo hadi sasa unaendelezwa na chama tawala.Mtu mzalendo,muadilifu na mpenda haki ,kwanza huijengea nchi mifumo imara na inayotenda haki ili akiondoka madarakani au kufa nchi inakuwa kwenye misingi imara.sasa yeye kaondoka na nchi kaiacha bila kuijengea mifumo imara.Yale machafu ndio watu wameyarithi na wanayaendeleza.ufisadi,ubadhirifu,wizi,rushwa vimekithiri kama kawaida.Utamsifu vp rais wa nchi aliyeshindwa kuijengea nchi mifumo imara kiasi kwamba akifa au akiondoka madarakani nchi inaendelea kuwa imara.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Сағат бұрын
Mbowe yuko vizuri sana
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 21 сағат бұрын
Umeona mzee ametanfulia mbele ya hak unaanza kumsingizia
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 20 сағат бұрын
Magufuli hakuwa hivo ww magufuli mwamba ww
@ellymaz2187
@ellymaz2187 21 сағат бұрын
Magu Hayupo, hatuna hakika unachosema kama ni kweli au umetafuta kichaka
@Yusuphrevocatus-g3v
@Yusuphrevocatus-g3v 21 сағат бұрын
Magufuli kimekuwa kichaka cha kujifichia
@renatusmisigaro6332
@renatusmisigaro6332 17 сағат бұрын
Toka waachie wenzio
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 21 сағат бұрын
Mbowe hujachoka ila hakuna unachokifany chadema, siasa za tanzania zinahtaj mtu makn sn mbal na hapo mtakua mnashndw uchaguz kila mwaka
@matugatv6121
@matugatv6121 20 сағат бұрын
Mbowe sasa acha uwongoo😄 Magufuli kama kweli angesema hivyo na wewe ungekua mkweli na ulimkatalia kwanini ujatangaza kwa Wana chadema wenzio? Je Magufuli angemfata kisu angeweza kukaa na hilo mda wote? Iyo sio hoja kiongozi 🙏
@AmosJohhn-f1l
@AmosJohhn-f1l 19 сағат бұрын
Hakika umepitia mengi yawezekana usingekuwa na msimamo, chadema ,nasi tungekuwa kama cuf
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 21 сағат бұрын
Ataje pia anazopewa sasa na utawala wa kazi iendelee
@sadickjosia4352
@sadickjosia4352 16 сағат бұрын
Ccm namba2 hawezi ng'oka uyo amwachie nani chama chake maana hicho chama ni Cha familia
@isackrichard6356
@isackrichard6356 20 сағат бұрын
Huyu jamaa ukimwangalia sura tu ni muongo mkubwa🙌
@matanokitwana3249
@matanokitwana3249 21 сағат бұрын
Huyu lisu ni shida sana
@robertzamani5612
@robertzamani5612 4 сағат бұрын
Ila kwa Mama umelamba Asali ww
@mdimistudio6041
@mdimistudio6041 16 сағат бұрын
Magu pumzika mzeee watu wanatapatapa huku
@matanokitwana3249
@matanokitwana3249 21 сағат бұрын
Lisu ni mtovu wa nidhamu Hana busara ktk kufikia Marengo
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 16 сағат бұрын
Watanzania wanajionea wenyewe. Mbowe ni wa kutuambia sisi kwamba ukomo wa madaraka ni kitu muhimu? Sikiliza: ukomo wa madaraka si tu ni muhimu bali ni lazima! It is as simple as that!
@josephjohn2114
@josephjohn2114 20 сағат бұрын
Ww ni saivi ni mpiga dili wa siasa kama Zitto.
@samkitwima7933
@samkitwima7933 17 сағат бұрын
Pamoja na heshima niliyo nayo kwa Mbowe, Ule msemo wa "Useful Idiot" aliopewa Carlson Tucker na Hilary Clinton baada ya interview na Putin nahisi unamfaa huyu jamaa😂😂Najuta kwa nini miaka 10 iliyopita nilikuwa Shabiki wa Chama hiki. Huyu Jamaa anatumika na Sysytem since day 1. Chadema akirudi huyu inakuwa CUF chap tu. Kwishnee...... KWA staili hii CCM miaka 100 tena. Naumia japo hayanihusu😪😪
@JumaKibasila
@JumaKibasila 14 сағат бұрын
Acha uwongo mbowe utaweza kumjibu marehemu magufuri hivyo ulivyisema?thubutu
@lovenessmohamedy6329
@lovenessmohamedy6329 14 сағат бұрын
Magufuli alipambana na mafisadi wakubwa mfano Makinikia co wewe msaka tonge
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
ELON MUSK AMTUKANA KIONGOZI WA UJERUMANI, AMUITA ‘MJINGA ASIYEJIWEZA’
5:20
A-Z WENJE AFUNGUKA  ABDUL KWENDA NYUMBANI KWA LISSU SEHEMU YA PILI
7:41