Chadema muache mihemko miaka 20 sio mingi kwa kukijenga chama mjuwe chama mnakiuwa huyo lissu hana uwezo wa kuishinda CCM Chadema akiondoka Mbowe Chadema kitageuka kama Serious raisi alio pinduliwa
@FIVEMORE-w2n4 сағат бұрын
Kumbe mnamambo ya siri?Ukiona hivi tambua kwamba huitajiki tena bnamkubwa!
@mussamnndewa17832 сағат бұрын
Mbowe ondoka miaka 21 inatosha kwaiyo chadema akuna mwenye akili kama ww??
@MtaiwaMtaiwa10 сағат бұрын
Umechemka boss
@solomtz70496 сағат бұрын
Ubaya ubwrla tyuu Kiongozi
@wilfredmlaki8225 сағат бұрын
Acha ulafi ndugu waachie na wengine !
@MadodoMartini12 сағат бұрын
Mbona Nyerere alienda Uingereza kudai Uhuru na bado aling'atuka, sasa utumie busara zako ndani ya CHADEMA nje ya Uenyekiti, Uking'ng'ania Utakiharibu Chama, Watanzania tumewaamini kwa muda mrefu kama Chama badala kwa mabadiliko ya kweli... ✌️✌️✌️✌️✌️, Unalalamika kwa sababu wengine wanataka kugombea Uenyekiti, kila unachofafanua Watanzania wengi wanaelewa...
@SengalaRajabu11 сағат бұрын
Mbowe kosa lako ni kurudisha form ya umwenyekiti ulitakiwa ugombatie umwenyekiti mpaka mwisho,ushinde,ushindwe hapo ungepata takwimu ya wanaokukubali ,kama unanielewa Chukuwa form ya umwenyekiti ili uwajuwe wanachana wenu mnaishi vipi ,kinafiki au kwa kuheshimiana.
@traudkamugisha805111 сағат бұрын
Miaka 20 inakutosha tunashukuru kwa mchango wako ila itoshe tu kusema pumzika mzee Mbowe
@MadodoMartini12 сағат бұрын
Sasa hv kuna Mikutano gani Mzee wetu?,....
@MadodoMartini12 сағат бұрын
Mbowe unafafanua mambo mengi bila sababu, hakuna asiyejua jitihada zako katika Uongozi wako, tunafahamu mema yako kwa Chama yaani Viongozi mwenzako na wanachama kwa Ujumla,, atakaepata ridhaa ya kwa kuchaguliwa Aongoze Chama, mtaisdiana,.
@DicksonJackson-u3x13 сағат бұрын
Mmmhh!!Aya bhna tumekuelewaa pga campain hyo nafax n yako ww na lipumba
@solomtz70496 сағат бұрын
Hakuna
@faizaannassir256810 сағат бұрын
Mabutu seseseko. Na kamuzu banda. Na jina lipumba . Ndo ww. Cc wapenda mageuzi tumechoka na ww . Unavunja dream zote za wana mageuzi. 20 year kila mtu anamakosa isipokuwa ww tu. Watu wame kufa kila mtu amapotaka kugombea u/k tu utafanya figisu fitna. Kutumia mamluki wako. Jiuzulu tumechoka na ww