If diplomacy sets us back to this extent while bonding the benefits of the few leaders, then that diplomacy is useless.
@MwanduMachiya6 сағат бұрын
Wewe kweli umeishiwa,tumetoka kwenye uchaguzi chama umepata nini
@MwanduMachiya6 сағат бұрын
Nimegundua kitu, mbowe amehamia CCM, bado mda wa kutangazwa
@AlphaBarageti-ru5xj13 сағат бұрын
Mikutano bado haijafunguliwa . Tusijidanganye
@AlphaBarageti-ru5xj13 сағат бұрын
Tukope pesa, lakini tusiwe watu wa kukopa busara ! Tena busara zenyewe ni zile za mwenye nguvu, mpishe !
@AlphaBarageti-ru5xj13 сағат бұрын
Je, mkutano wa Mbeya wa siku ya vijana uliruhusiwa na nani ?
@AlphaBarageti-ru5xj13 сағат бұрын
Kulinganisha busara za nyakati , mazingira na sababu tofauti na mazingira, nyakati na sababu zako za sasa, ni kupuuza na kutoamini kwamba na wewe Mungu anakupa busara leo ili upambane na mazingira halisi uliyomo leo. Wao walipewa busara hizo kwa wakati huo na kwa mazingira hayo. Hivi kwa umri ule, Mugabe au Nelson wangefikiria kwenda msituni kwa vita ?
@AlphaBarageti-ru5xj13 сағат бұрын
Je, utetezi huu ndio msingi wa kupuuza madai ya msingi ya haki za kiraia ? Je, lini tumeruhusiwa lini kuandamana ?
@AlphaBarageti-ru5xj13 сағат бұрын
Yote usemayo ni sahihi. Lakini ni sisi tunaoumizwa . Chama kinapata fungu la ruzuku je, haki zetu raia wenye matumaini na chama hiki ni zipi ikiwa hata haki yetu ya kidemokrasia kupitia uchaguzi tunadhurumiwa mbele yenu nanyi viongozi mnachukuliwa poa. Mkuu wa nchi anaandaa jeshi lijiandae kwa uchaguzi, what do you expect Mnakosea kutegemea fikra za watu na misemo ya watu mkidhani hilo litawapa sifa na huku mnapoteza haki zetu na kujenga diplomasia yenu viongozi.😊
@AlphaBarageti-ru5xj13 сағат бұрын
Yote usemayo ni sahihi. Lakini ni sisi tunaoumizwa . Chama kinapata fungu la ruzuku je, haki zetu raia wenye matumaini na chama hiki ni zipi ikiwa hata haki yetu ya kidemokrasia kupitia uchaguzi tunadhurumiwa mbele yenu nanyi viongozi mnachukuliwa poa. Mkuu wa nchi anaandaa jeshi lijiandae kwa uchaguzi, what do you expect Mnakosea kutegemea fikra za watu na misemo ya watu mkidhani hilo litawapa sifa na huku mnapoteza haki zetu na kujenga diplomasia yenu viongozi.